×

Habari

NBC Yazindua Msimu wa nne wa Kampeni ya NBC Shambani Kwa Wakulima wa Korosho Mtwara

BENKI  ya Taifa ya Biashara (NBC) imeatambulisha msimu wa nne wa kampeni yake ya ‘Wekeza NBC Shambani Ushinde’ Kwa wakulima...

READ MORE

Video: Dkt. Bashiru: Samia Atashinda Uchaguzi wa 2025 kwa Kishindo

Mratibu wa Kampeni za Kitaifa za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Katibu Mkuu mstaafu wa chama hicho, Dkt. Bashiru Ali,...

READ MORE

Mwabukusi: Wananchi Wana Haki ya Kuhudhuria Kesi ya Lissu – Video

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema ni haki ya kikatiba kwa wananchi kuhudhuria na kusikiliza...

READ MORE

Israel Yashambulia Qatar: Viongozi wa Hamas Wanusurika, Watu Sita Wauawa

Doha, Qatar – Watu sita wamepoteza maisha katika shambulio la anga la Israel lililolenga viongozi wa Hamas waliokuwa kwenye kikao...

READ MORE

Nic Na Benki Ya COOP Wasaini Mkataba Wa Ushirikiano Wa Kimkakati kwa Ajili Ya Kupanua Huduma Za Bima

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Kaimu Abdi Mkeyenge (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa COOP Bank, Godfrey...

READ MORE

Baba Levo Azindua Rasmi Kampeni Kigoma Mjini Kwa Kishindo!

MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Clayton Revocatus Chipando maarufu kama Baba Levo, Septemba...

READ MORE

Tanesco Yaendelea Kuboresha Huduma Kwa Wateja Kwa Kununua Vitendea Kazi Vya Usafiri

  Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limezindua mpango mpya wa kuboresha huduma kwa wateja kwa kununua vitendea kazi ikiwemo magari...

READ MORE

Vodacom Tanzania Yazindua Dira Ya 2030, Yawekeza Zaidi Ya Dola 100 Milioni Katika Uboreshaji Wa Miundombinu Ya Teknolojia Kwa Uchumi Jumuishi Wa Kidijitali  

14 Septemba 2025, Dar es Salaam: Kampuni ya Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania inapoadhimisha miaka 25 ya huduma hapa nchini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 10, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Utawala wa Kikatili Waanguka Nepal, Waziri Mkuu Mstaafu Apata Kipigo

Nchini Nepal, hali ya kisiasa imeingia katika sura mpya baada ya utawala uliotajwa na wananchi wengi kuwa wa kikatili kuporomoka...

READ MORE

Samia Azungumza na Wananchi wa Ikungi, Atoa Ahadi Kuu za Maendeleo (Picha +Video)

Wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Ikungi Mashariki, wilayani Manyoni mkoani Singida, wamejitokeza kwa wingi leo Jumanne,...

READ MORE

Exim Bank Na GF Automobile Waingia Ushirikiano Kurahisisha Umiliki Wa Magari

Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania Bw. Shani Kinswaga (Kushoto) na Mkurugenzi wa GF Automobile Bw. Mujtaba...

READ MORE

Wananchi Dar Watakiwa Kupaka Rangi Majengo Yao Kabla ya Septemba 30

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Elihuruma Mabelya, ametoa agizo kwa wananchi wote jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Alipambana sana kupata mapenzi ya huyu binti bila mafanikio ila leo hii wapo pamoja

Yona alikuwa kijana mnyenyekevu na mwenye heshima kubwa katika kijiji chao kilichopo Kagera. Alikuwa mchapakazi, akijishughulisha na biashara ndogo ndogo...

READ MORE

Dkt. Nchimbi Awahutubia Wananchi wa Jimbo la Kwela, Sumbawanga Vijijini

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...

READ MORE

NIRC Yaridhishwa Na Kasi Ya Ujenzi Wa Skimu Ya Makwale-Kyela

Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC) kupitia Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uendelezaji wa Miundombinu, Mhandisi Leopord Runji, imefanya ziara...

READ MORE

Tajiri wa Madini Aliyefilisika Arejea Tena Katika Biashara kwa Kishindo

Katika kijiji kidogo kilichopo Tarime, aliishi kijana aitwaye Benedicto. Alizaliwa katika familia ya kimasikini sana, familia ambayo mara nyingi ililala...

READ MORE

Wananchi Kome Wampokea Shigongo Kwa Shangwe, Aahidi Mshikamano

Mgombea ubunge wa Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo, amepokelewa kwa hamasa kubwa na wakazi wa...

READ MORE

Dar Yashuhudia Usiku wa Kipekee wa Amarula Sundown Sessions

Jumapili, tarehe 7 Septemba 2025, jiji la Dar es Salaam lilijaa shangwe pale Amarula Sundown Sessions lilipofanyika – tukio la...

READ MORE

Polisi: Wanahabari Arusha washikiliwa kwa kuendesha mitandao bila usajili

Jeshi la Polisi nchini Tanzania limetoa ufafanuzi kuhusu kushikiliwa kwa wanahabari wawili, Baraka Lucas, mwakilishi wa Jambo TV mkoani Arusha,...

READ MORE

Video: Rostam avunja ukimya kuhusu ununuzi wa mgodi wa Mwadui

Mfanyabiashara mkubwa nchini, Rostam Aziz ameeleza jinsi alivyofanikiwa kununua mgodi wa almasi wa Mwadui uliozusha gumzo siku kadhaa zilizopita kwenye...

READ MORE

Mgombea mwenza wa CCM, Dkt. Nchimbi, apiga kambi Kagera kusaka kura za kishindo

MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Septemba 8, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Mabilioni Kuwainua Wakulima Wa Viungo Tanzania

  Wafanyakazi katika kiwanda cha kuchakata viungo Cha Horizon Group wakitayarisha mazao hayo katika mji wa Kaduna. Nigeria. Wakulima wa...

READ MORE

I$m Bank Tanzania Yaingia Ubia Na Pesapal Kuimarisha Malipo Kidigital Kwa Biashara

I&M Bank Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Pesapal Tanzania, kampuni yenye leseni ya kutoa huduma za malipo na...

READ MORE

Samia: Serikali Italipa Madai Halali ya Wafanyakazi wa Kiwanda cha Mgololo

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

Jamii Forums Yafungiwa Siku 90 na TCRA kwa Maudhui Yenye Utata

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 90 leseni ya huduma za maudhui mtandaoni ya kampuni ya...

READ MORE

Iringa Yatikisika! Dkt. Samia Apokelewa Kwa Shangwe Nyororo – (Video +Picha)

Wananchi wa Nyororo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa, wamemiminika kwa wingi kumpokea na kumpongeza Mgombea wa Urais kupitia Chama cha...

READ MORE

DAWASA Yatoa Onyo: Mradi wa Usafi Mbezi Beach Kukamilika Bila Kusuasua

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), Mhandisi Mkama Bwire amemuagiza...

READ MORE

Msanii Rose Ndauka Anusurika Ajali ya Gari, Amshukuru Mungu!

Msanii wa filamu na muziki, Rose Ndauka, amenusurika katika ajali ya gari na kumshukuru Mungu kwa ulinzi wake. Kupitia ukurasa...

READ MORE

League One Yazidi Kunoga Meridianbet Waweka Odds Kali Leo

Jumamosi ya kibabe imefika, mechi za Mataifa mbalimbali zinaendelea kwani kila timu inajifua kufuzu Kombe la Dunia 2026. Meridianbet wao...

READ MORE

Thailand Yampata Waziri Mkuu Mpya Baada ya Msukosuko wa Kisiasa

Bunge la Thailand limemchagua mfanyabiashara Anutin Charnvirakul kuwa Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo, ikiwa ni kiongozi wa tatu kushika...

READ MORE

Mataifa 26 Yajitolea Kuunga Mkono Ukraine Kijeshi

Washirika 26 wa Magharibi wamejitolea rasmi kupeleka wanajeshi “nchi kavu, baharini au angani” kwenda Ukraine, siku moja tu baada ya...

READ MORE

Meridianbet Kuja na Meridian Bonanza Yenye Ushindi Mfululizo

Katika zama hizi ambapo michezo ya kubashiri mtandaoni inazidi kuchukua nafasi kubwa kwenye burudani ya kidijitali, Meridianbet imezidi kujiimarisha zaidi...

READ MORE

Columbia Africa Yaingia Tanzania Kwa Kuinunua IST Clinic

Dar es Salaam, Tanzania – Septemba 7, 2025. Columbia Africa Healthcare Limited imetangaza ununuzi wa IST Clinic, kituo maarufu cha huduma...

READ MORE

China na Tanzania Washirikiana Kukuza Ujuzi wa Ufundi kwa Vijana

Ushirikiano wa kielimu kati ya Tanzania na China umechukua hatua mpya baada ya kuzinduliwa kwa mafunzo ya ubunifu ya “Kichina...

READ MORE

Nmb bank Yatambuliwa Katika Maadhimisho ya Miaka 10 ya JKCI

Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imesema imeokoa zaidi ya Sh. bilioni 172 ambazo awali...

READ MORE

Samia: Serikali ya CCM Inafanya Kazi kwa Kuheshimu Utu wa Mtanzania

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 5,...

READ MORE

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Atunuku Tuzo Ya Chakula Barani Afrika

Wanasayansi wanawake wawili – Profesa Mary Abukutsa-Onyango kutoka Kenya na Mercy Diebiru-Ojo kutoka Nigeria – wametangazwa washindi wa Tuzo ya...

READ MORE

Rais Mwinyi aungana na Waislamu Maulid ya Kitaifa Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi, usiku wa Septemba 4, 2025, ameungana...

READ MORE