Kiongozi wa kijeshi wa Madagascar, Kanali Michael Randrianirina, amevunja serikali nzima kwa kumfuta kazi Waziri Mkuu pamoja na mawaziri wote...
READ MOREJeshi la Marekani limesema limepiga hatua kubwa katika kudhoofisha uwezo wa kijeshi wa Iran tangu kuanza kwa operesheni za kijeshi...
READ MOREMvutano kati ya Iran na Marekani umeongezeka baada ya viongozi wa Iran kutoa onyo kali kwa Rais wa Marekani, Donald...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi wa kina kuhusu makadirio...
READ MOREWaziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Yvette Cooper amesema kuwa London haitajiunga katika vita vya Marekani na utawala wa...
READ MOREKampuni ya ALAF, inayoongoza katika suluhisho la paa na vifaa vya ujenzi Tanzania, imezindua Kundi la 5 la Mpango wa...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumanne (Machi 10, 2026) amekagua miundombinu na utendaji kazi wa Bandari ya Kasanga iliyopo...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema wanafunzi watakaofaulu kwa viwango vya juu watanufaika na ufadhili wa masomo kupitia mpango wa...
READ MOREKampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila...
READ MORERais wa Marekani Donald Trump amesema vita dhidi ya Iran vimekaribia kukamilika kabisa, akidai kuwa Iran ilikuwa inapanga kuishambulia Marekani...
READ MOREKatika historia ya dunia kuna hadithi nyingi ambazo zinaonyesha jinsi binadamu wanaweza kuvumilia maumivu makubwa kwa ajili ya wale wanaowapenda....
READ MOREProfesa wa sheria na mwanadiplomasia, Costa Mahalu (77), amefariki dunia. Taarifa kutoka kwa familia yake imethibitisha kuwa Profesa Mahalu...
READ MORETaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imewafikisha mahakamani Mbunge wa Jimbo la Chato Kaskazini, Cornel...
READ MORENaibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, Machi 8, 2026, amemtembelea na kumjulia hali mwanamuziki mkongwe wa...
READ MOREMkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Charles Kamoto, ametembelea Shule ya Msingi Kiromo kukagua maendeleo ya mradi wa ukarabati unaofadhiliwa na...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, Machi 9, 2026, limemfikisha katika Mahakama ya Wilaya ya Ilemela, Faima Yasin Twaibu (19),...
READ MORERais wa Urusi, Vladimir Putin, amemtumia salamu za pongezi Mojtaba Khamenei kufuatia uteuzi wake kuwa kiongozi mpya wa Iran....
READ MOREMTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa eneo la Isakalilo katika Mtaa wa Njiapanda, Manispaa ya Iringa,...
READ MOREPolisi wa Los Angeles nchini Marekani wanafanya uchunguzi baada ya nyumba ya Rihanna iliyopo Beverly Hills kushambuliwa kwa risasi Jumapili...
READ MOREShirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje,...
READ MOREIRAN usiku wa kuamkia leo Jumatatu Machi 9, 2026 imemteua Mojtaba Khamenei kama kiongozi wake mkuu, akichukua nafasi ya baba...
READ MOREDar es Salaam, Machi 9, 2026 – Kampuni ya mawasiliano ya Airtel Tanzania imeandaa hafla maalumu ya Iftari ya mwezi...
READ MORERais mstaafu wa Botswana, Ian Khama (73), bado anaonesha kiwango kikubwa cha uimara wa mwili kwa kuendelea kufanya mazoezi makali...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kufanya uchunguzi wa kina kuhusu matumizi...
READ MORETehran, Iran – Mwanazuoni wa Kiislamu Mojtaba Khamenei amechaguliwa kuwa Kiongozi Mkuu mpya wa Iran, akimrithi baba yake Ali Khamenei,...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Sumbawanga...
READ MOREKatibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosi amesema CCM ndiyo baba wa demokrasia...
READ MORENi simulizi ya kusikitisha lakini yenye tumaini. Mtoto Nuru alizaliwa katika mazingira ya kutisha ambayo si rahisi kuamini kwa haraka....
READ MORENafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...
READ MOREWaziri wa fedha na mipango Zanzibar Dkt Juma Malik Akili amesema serikali ya mapinduzi Zanzibar inatambua mchango wa sekta za...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Serikali itachukua hatua kali ikiwemo kufilisiwa kwa yeyote anatakayebainika kuhujumu wakulima kwa kuwauzia...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemzawadia gari aina ya Toyota Harrier mama wa marehemu Steven...
READ MOREWAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 08, 2026 amekagua maendeleo ya ukarabati na uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa...
READ MOREJe unajua kuwa ukiwa na Meridianbet kwenye simu yako ni rahisi sana kutengeneza pesa?. Mechi kibao zipo kuhakikisha huondoki patupu...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, amethibitisha kukamatwa kwa wanachuo 17 wa Chuo cha Ardhi tawi la Tabora kwa...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump, amehudhuria kuwaenzi wanajeshi sita wa Marekani waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio lililohusishwa na Iran katika...
READ MORETehran, Iran – Mlipuko mkubwa na moto uliotanda angani uliripotiwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, baada ya Israel kufanya...
READ MOREMeridianbet imezidi kuonesha ubunifu wake kupitia mchezo wa kasino unaovutia, Gates of Halloween. Mchezo huu umeleta mandhari ya Halloween, ukichanganya...
READ MOREKatika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka, matumizi ya mafuta ya gari yamekuwa jambo linalowagusa madereva wengi. Wapo wanaolalamika...
READ MOREIsrael imefanya shambulio la anga lililolenga Uwanja wa Ndege wa Mehrabad, Tehran, na kuharibu ndege 16 za Iran, ikiwemo ndege...
READ MORE