Rais wa Mauritian Ameenah Gurib-Fakim amekubali kuachia madaraka baada ya kutuhumiwa kutumia kadi ya benki yenye thamani ya dola za...
READ MOREChombo kinachodaiwa kuwa ni ‘Ndege ya Wachawi’ kimeanguka katikati ya barabara wilayani Newala Mkoani Mtwara na kuzua taharuki miongoni mwa...
READ MOREMTOTO mmoja mwenye umri wa miaka mitano amemfikisha katika Kituo cha Polisi Ngara, mkoani Kagera baba yake mzazi baada ya...
READ MOREMbunge wa Ubungo, Saed kubenea amesema Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ali Hapi kumufukuza kwenye ofisi yake ya ubunge...
READ MORE Ajali imetokea leo karibu na Ofisi ya Mwananchi na kufunga barabara baada ya lori lilokuwa limebeba mbao kuacha njia...
READ MORENDOTO ya elimu ya Mzee Nyamohanga Suguta mwenye umri wa Miaka 79 ambaye mwaka jana alianza masomo ya darasa...
READ MOREMwili wa Mwenyekiti Mstaafu wa hama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kigoma, Dkt.Walid Amani Kaburu umezikwa leo nyumbani kwake...
READ MOREDAR ES SALAAM: Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda amewataka Polisi wa Mkoa wa Iringa wakimalizana na Mwenyekiti wa Mtandao wa...
READ MOREJeshi la Polisi limetoa onyo kwa kikundi kinachohamasisha maandamano kupitia mtandao wa Telegram na kusema litafanya kila liwezekanalo kisheria kukizuia....
READ MOREWaziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba amezungumzia maiti zinazookotwa baharini na kusema kuwa kama zingekuwa za Watanzania basi...
READ MORERAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta amekutana na kiongozi wa muungano wa upinzani nchini humo, Raila Odinga, katika ofisi yake ya...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amevionya vyama vya siasa na wananchi ambao wamepanga kufanya maandamo...
READ MOREDaraja la Kivule jijini Dar es Salaam limekatika tena kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini. Popote ulipo unapokutana na...
READ MOREMBEYA: Watu wanne wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Super Rojas...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump amekubali kukutana na Rais wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un baada ya kuahidi kusitisha mpango...
READ MOREMOROGORO: Hiki ni kifo tata! Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Vicky Urambo, mkazi wa Mtaa wa Kiswanya A,...
READ MOREAKIZUNGUMZA na waandishi wa habari leo, Machi 8, 2018, Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe amesema. “Wanaosema Bunge halina...
READ MOREDAR ES SALAAM: MKAZI wa Goba Matosa, Ammy Lukule (49), aliyedaiwa kumuua mkewe, shemeji yake na mtoto, amewahenyesha askari...
READ MOREDAR ES SALAAM: MKAZI wa Kibamba Kwembe Jijini Dar, Beatrice Shimeda (54) analia na mateso ya mguu wake tangu...
READ MOREOFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imesema mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi Februari 2018, umeongezeka kidogo hadi...
READ MOREUTAJIRI wa Rais wa Marekani, Donald Trump, umeporomoka mwaka huu baada ya kupungua kwa Dola milioni 500 ambazo ni...
READ MOREMBUNGE wa Singida Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu amedai kuwa vitendo vya watu kutekwa na kuuawa...
READ MOREJeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limefungua kuchunguza ili kubaini kama ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP),...
READ MOREKOCHA wa Timu ya Taifa ya Soka Tanzania (Taifa Stars), Salum Mayanga, leo Machi 8, ametaja majina ya wachezaji 23...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Hangang kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Mary Nagu amehojiwa katika Kituo Kikuu cha Polisi kwa...
READ MOREMwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ambaye pia ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
READ MORESHAROBARO mmoja ambaye jina lake halikujulikana mara moja wikiendi iliyopita alikutwa na mazito ndani ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili...
READ MOREDUNIA inatisha! Katika hali ya kushangaza mtoto wa mchungaji wa Kanisa la Emmaus Bible Church Pentecost lililopo Mlandizi, Pwani,...
READ MOREBADO pepo mchafu wa utekaji yupo kazini hivyo anahitaji kukemewa! Wakati mke wa Mwandishi wa Habari wa Kujitegemea wa...
READ MOREMBUNGE wa Jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye leo Machi 07, 2018 amewataka wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa...
READ MOREIKAO cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Dar es Salaam (RCC) kimepongeza kazi inayofanywa na Mkuu wa Mkoa...
READ MOREWATUHUMIWA saba raia wa Zambia, leo Machi 7, wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na tuhuma za kula...
READ MORETAARIFA zilizoenea mchana huu zinadai kuwa Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, ambaye pia ni mwanafunzi wa...
READ MORERAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amepokea kwa masikitizo kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti...
READ MOREZANTEL leo imekabidhi gari aina ya Toyota Suzuki Carry kwa mshindi wa kwanza wa zawadi kuu baada ya mshindi huyo...
READ MOREBODI ya barabara ya Mkoa wa Dar es Salaam, inayoongozwa na Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda ambaye ni Mwenyekiti...
READ MOREWANANCHI wa Kata ya Pugu, Mtaa wa Mustafa, wamempongeza Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya...
READ MOREMwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aliyekuwa amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Kilimanjaro Christian Medical Center (KCMC) ameruhusiwa kutoka hospitali hapo...
READ MOREMbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe leo amewasilisha barua ya hoja binafsi kuunda Kamati ya Bunge ili ichunguze matukio mbalimbali...
READ MOREAjali mbaya imetokea Kimara Mwisho jijini Dar es Salaam ambapo gari aina aya Toyota Noah namba T.871 BTU iliyokuwa ikitokea...
READ MORE