×

Habari

Tundu Lissu Amekaa Mwenyewe kwa Mara ya Kwanza

  Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (Chadema) leo amekaa mwenyewe pasipo msaada wa madaktari katika Hospitali ya Nairobi nchini...

READ MORE

Mugabe Apata Mafao Kibao Baada ya Kustaafu

ALIYEKUWA Rais wa Zambia na kuondolewa madarakani hivi karibuni, Robert Mugabe, amepatiwa mafao kibao ya kustaafu ambayo hutolewa na na...

READ MORE

Watoto Wafukua Kaburi la Baba Yao

Familia ya watoto wanne wakiongozwa na mama yao mzazi Julieta Majaliwa wamelazimika kufukua kaburi la baba yao Stanford Gombo, wakidai...

READ MORE

NABII KIBOKO YA MAPEPO KUFANYA MIUJIZA YA FUNGA MWAKA

Kwa mara ya kwanza, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministries International linawaletea ibada ya mkesha wa kuvuka mwaka kuingia...

READ MORE

Babu Seya, Papii Kocha ‘Wapigana’ Kumuona Magufuli

WASANII wa muziki wa dansi Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanawe Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambao kwa sasa wapo mapumzikoni...

READ MORE

Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

  Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kidini Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi chini ya Sheria ya Jumuiya,...

READ MORE

MWILI WA MWANAHABARI WAZIKWA JIJINI DAR

  WANAHABARI nchini wameombwa kuendeleza amani na upendo katika kumuenzi marehemu, Mayage S. Mayage liyefariki dunia juzi jijini Dar es...

READ MORE

Rais Magufuli Atoa Kauli kwa Kamati ya Kuhakiki Mali za CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe...

READ MORE

JPM Awasilisha Fomu Zake za Rasilimali na Madeni ya Viongozi – Video

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amewasilisha fomu zake za Tamko la Rasilimali na Madeni kwa Viongozi wa Umma kwa Kamishna...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji CRDB Atangaza Kung’atuka

MTENDAJI Mkuu wa CRDB Bank, Dr Charles Kimeo, leo ametangaza kustaaafu ifikapo Mei 2019. Dkt. Kimei aliwaambia waandishi wa habari...

READ MORE

Ikulu Haina Taarifa ya JPM Kushinda Tuzo ya Mandela

IKIWA ni siku moja baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe...

READ MORE

Polisi: Tutamkamata na Kumhoji Askofu Kakobe kwa Uchochezi

Licha  ya kutokiri moja kwa moja juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kumkamata Askofu Zakaria Kakobe wa Kanisa la Full...

READ MORE

Mwanajeshi Apigwa Risasi na Mpenzi Wake, Afariki

ASKARIwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika Kikosi cha Makambako (KJ 514) ambaye amefahamika kwa jina la Neema Masanja...

READ MORE

Mbunge Peneza Aanika Mbinu Wanawake Kufanikiwa!

MAFANIKIO yamemaanishwa kwa kila mwenye bidii. Leo kwenye safu hii ya Ulipo Mwanamke Tupo (UMT), tunaye Mbunge wa Viti Maalum...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaahirishwa Hadi Mwaka Kesho

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kesi ya mauaji inayomkabili mke wa bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrina na mwenzake...

READ MORE

Arusha: Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Aachia Ngazi

ARUSHA: Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha, Joseph Lebulu ameng’atuka katika nafasi yake hiyo leo baada ya Baba...

READ MORE

Nsekela: Wasilisheni Orodha ya Mali Zenu Kabla ya Desemba 31

  KAMISHNA wa Maadili Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu, Harold Nsekela, amesema sheria ya maadili ya...

READ MORE

Rais Magufuli Atunukiwa Tuzo ya Amani Sauzi

Johannesburg, Afrika Kusini: Rais John Magufuli ametunukiwa tuzo ya amani ya Mandela (Mandela Peace Prize) kwa kuendeleza shughuli ya kulinda...

READ MORE

Breaking: Mwanasoka George Weah Ashinda Urais wa Liberia

ALIYEWAHI kuwa mcheza soka bora duniani, George Opong Weah, ameshinda katika uchaguzi na kuwa Rais wa Liberia baada ya kushinda...

READ MORE

Fahamu Haya Kuhusu Televisheni za Ndani Kurusha Matangazo Bila Malipo ya King’amuzi

SERIKALI imesema jumla ya vituo 16 vya runinga vya ndani ya nchi, vikiwemo ITV, Channel 10, CloudsTV vimepewa leseni ya...

READ MORE

Nabii Kiboko ya Mapepo Kufanya Miujiza ya Funga Mwaka – Video

Kwa mara ya kwanza, Kanisa la Christ Mandate and Power Ministry International linawaletea kongamano la kuvuka mwaka 2017 kuingia mwaka...

READ MORE

Wazazi wa Wanafunzi 55 Kukamatwa Baada ya Watoto Wao Kupewa Ujauzito

Serikali kupitia Mkuu wa Wilaya wa Tandahimba imegiza kukamatwa kwa wazazi wa wanafunzi 55 waliopata ujauzito na kuacha Shule miaka...

READ MORE

CUF ya Lipumba Kumvua Uanachama Mtatiro

MWENYEKITI wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha Wananchi (CUF) upande wa Katibu Mkuu wa chama hicho Maalim Seif, Julius...

READ MORE

Nyoshi Ampotezea Patcho Mwamba

RAIS wa zamani wa Bendi ya FM Academia, Nyoshi El Saadat amempotezea mrithi wake, Patcho Mwamba kwa kusema hawezi kujibu...

READ MORE

ISHU YA MKEWE KUOLEWA NA KIBENTENI, MZEE ABDUL AWAKA!

BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Abdul Juma ‘Mzee Abdul’, amejikuta akiwaka ile mbaya baada ya kuulizwa ishu ya aliyekuwa...

READ MORE

MWENYEKITI UVCCM TAIFA, JOKATE WATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL

MWENYEKITI wa taifa wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James,  leo ametembelea ofisi za Kampuni ya...

READ MORE

Lissu Aanza Mazoezi ya Viungo Nairobi Hospital

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika na ameanza rasmi kufanya mazoezi ya viungo katika Hospitali ya...

READ MORE

Pigo Tena Upinzani: Wanachama Wengine 1,200 wa Chadema Watimkia CCM

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimezidi kumomonyoka baada ya wanachama wao zaidi 1,200, wakiwemo viongozi wakuu wa Wilaya ya...

READ MORE

DRC: Nyumba ya Rais Kabila Yachomwa Moto

NYUMBA ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Joseph Kabila imechomwa moto katika shambulizi linaloshukiwa kufanywa na waasi, ambapo...

READ MORE

MPIGAPICHA WA AZAM TV AFARIKI DUNIA

Mpigapicha maarufu wa runinga ya Azam TV, Idd Salum Mambo amefariki dunia baada ya kuugua muda mfupi. Mambo amefariki dunia...

READ MORE

Linah, Petit Man Live!

AMA kweli mastaa hawaishiwi vimbwanga! Hayo yalidhihirika usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita baada ya staa wa kike wa Bongo Fleva,...

READ MORE

Trump Ampa Mwaliko Kenyatta

SERIKALI ya Kenya chini ya Rais Uhuru Kenyatta imepokea mwaliko kutoka nchini Marekani kuhudhuria katika hafla ya kuwashukuru kwa kuendeleza...

READ MORE

Watoto Walivyosherehekea Krismasi Dar Live

  KATIKA kusherehekea sikukuu ya Krismasi watoto jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake leo wamesherehekea kwa furaha kubwa katika...

READ MORE

Malawi Yaichapa Tanzania Soka la Ufukweni

Timu ya Tanzania Bara kwa mchezo wa Beach Soka imefungwa mabao 7-6 na Malawi katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye...

READ MORE

Breakings: Mwenyekiti wa CCM Mkoa Apata Ajali na Familia Yake

AJALI: Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Juma Kilimba amepata ajali ya gari lake kupinduka leo akiwa na familia yake,...

READ MORE

Baba Mzazi Aliyenaswa Gesti na Mwanaye wa Kumzaa Kimenuka!

KIMENUKA! Fadhil Mshamu, mkazi wa Kibaha mkoani hapa anakula Krismasi na Mwaka Mpya wa 2018, akiwa na stresi kufuatia kusomewa...

READ MORE

Leo Ndiyo Leo… Global Publishers Instagram Inakupa Zawadi ya X-Mass Bureee!

Ladies and Gentlemen!!!🔥 Leo ndio leooooooo!! Katika Kuhakikisha Tunasheherekea na Wewe Sikukuu ya 🎄X-MaX🎄….. Leo Desemba 25….. Nafasi za Kujishindia...

READ MORE

Muuza Bangi Aingia Kimakosa Ndani ya Gari la Polisi Akidhani ni Teksi

MTU mmoja anayedaiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya amejikuta akipata wakati mgumu katika kipindi hiki cha Sikukuu ya...

READ MORE

Ibada ya Misa ya Takatifu, Sikukuu ya X-Mass, Kanisa katoliki la Mt. Petro – Oyster Bay

Ibada ya Sikukuu ya Christmas, Parokia ya Mt. Peter- Oyster Bay

READ MORE