×

Habari

Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili....

READ MORE

Mzimu wa Sajuki Unavyomtesa Wastara (Video)

Mzimu wa Sajuki Unavyomtesa Wastara Miaka mitano tangu kifo cha Sajuki, mkewe, Wastara Juma bado analia kuteswa na mzimu wa...

READ MORE

MAKAMBA, SIRRO WAONGOZA KUAGWA MKE WA KANGI LUGOLA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba,  na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),...

READ MORE

TANZIA: MAZISHI YA MPIGA PIGA ATHUMANI HAMISI KESHO

MWILI wa  aliyekuwa mpigapicha wa magazeti ya serikali (TSN), Athumani Hamisi Msengi,  unatarajiwa  kuzikwa  kesho Januari 5 mchana katika makaburi...

READ MORE

Benki Kuu Yazifutia Leseni Benki 5

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni...

READ MORE

Exclusive: Sherehe ya Kuchumbiwa Wolper Usipime, Picha Zote Bofya Hapa

SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake...

READ MORE

Rais Magufuli Aahidi Kulipa Bilioni 200 Madeni Ya Ndani Kuanzia Mwezi Ujao (Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kuwa wezi ujao serikali itaanza kulipa madeni...

READ MORE

Rais Magufuli Aagana Na Gavana Wa BOT Anayemaliza Muda Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Januari, 2018 ameagana na Gavana...

READ MORE

Televisheni 5 ‘Kushushiwa Rungu’… Kituo cha Haki za Binadamu Waijia Juu TCRA

  IKIWA ni siku moja baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuvipiga faini vituo vitano vya runinga kwa kuvunja...

READ MORE

Pata Mkopo Wa Elimu Chapchap Kwa Riba Na Masharti Nafuu

WEZESHA MZAWA MICROFINANCE LTD inakupa fursa wewe Mtanzania binafsi au mtoto wako kupata mkopo kwa ajili ya ada ya masomo. Mkopo...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Yawageukia Waajiri, Yasema Ukitaka Usilipe Labda Ufe – Video

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini (HESLB) imesema kuanzia Jumatatu ijayo, Januari 8, 2017 itaanza kukagua...

READ MORE

Mawaziri Hawa wa JPM Tunawakumbuka… Nape, Kitwanga, Muhongo na Maghembe

  WE Miss Them! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Rais Dk. John Magufuli kufunga mwaka 2017 kwa utimilifu wa mambo...

READ MORE

Magufuli, Lowassa Wafunguka 2018

RAIS Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, wamewatakia Watanzania wote heri ya mwaka mpya 2018.  ...

READ MORE

Mapacha Walioungana Kuhamishiwa Muhimbili

MAPACHJA walioungana, Maria na Consolata wanatarajia kuhamishiwa jijini Dar es Salaam kwa ajiri matibabu zaidi katika Taasisi ya Moyo ya...

READ MORE

Utajiri Wa Kakobe Siri Yavuja! Uwazi Labaini Kanisa Lake Linavyovuna Mabilioni

  SIKU chache baada ya Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Zachary Kakobe kutoa kauli kuwa ana...

READ MORE

JPM: Niliyoyafanya kwa Babu Seya na Wenzake Siyo Mimi!

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amesema kitendo kilichofanyika cha kutoa msamaha kwa wafungwa 8,158, ikiwemo familia ya Nguza Viking siyo...

READ MORE

Mambosasa Atembelea Askari Rufiji, Akabidhi Zawadi

Kamishna Mambosasa (kulia) akisalimiana na mmoja wa askari wa Wilaya ya Rufiji.   KAMISHNA wa Kanda Maalum Dar es Salaam,...

READ MORE

Simanzi, Majonzi na Vilio Kuagwa kwa Mwanahabari Justine Limonga

NI SIMANZI, majonzi na vilio vimeikumba tasnia ya habari kufuatia kumpoteza mwanahabari mwenzao, Justine Limonga ambaye mwili wake umeagwa leo...

READ MORE

RAIS WA FIFA KUHUDHURIA MKUTANO DAR ES SALAAM

      SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepata uenyeji wa mkutano mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Soka Duniani...

READ MORE

Museveni Aidhinisha Sheria Kuondoa Kikomo Umri Wa Rais

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ameidhinisha mswada unaoondoa kikomo cha umri kwa wagombea urais nchini humo, hatua inayompa nafasi ya...

READ MORE

MFANYABIASHARA AJENGA ZAHANATI YENYE VIFAA VYA KISASA NA KUIKABIDHI SERIKALINI

  MFANYABIASHARA na mzaliwa wa Kijiji cha Uchau Kaskazini wilaya ya Moshi Vijijini, Emmanuel Mallya, ameikabidhi serikali zahanati ikiwa na vifaa...

READ MORE

Kauli ya Babu Seya Baada ya Kumuona Rais Magufuli – Ikulu

MWANAMUZIKI nguli wa Dansi Nguza Vicking “Babu Seya” amesema ana furaha kubwa kuonana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Baraka The Prince Amtembelea Lissu Nairobi – Pichaz

Msanii wa Bongo Fleva anayetamba na ngoma yake ya ‘Sometimes’, Baraka The Prince amefika katika Hospitali ya Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

FIFA Yaipa Shavu Tanzania

Tanzania imeteuliwa na Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kufanyia mkutano wake mkuu wa kila mwaka ambao utashirikisha Mataifa 19...

READ MORE

DR. MWAKYEMBE ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KIFO CHA LIMONGA JUSTINE LIMONGA

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanahabari na...

READ MORE

Breaking News: Babu Seya, Papii Watinga Ikulu

Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza  leo walikwenda...

READ MORE

Breaking News: Televisheni 5 Nchini Zapigwa Faini na TCRA kwa Kukiuka Maadili

 Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA, imekipiga faini kituo cha runinga cha Star TV ya jumla ya shilingi milioni 7.5...

READ MORE

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ Aitwa Polisi

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ na mratibu wa chama hicho Kanda ya Nyanda za Juu...

READ MORE

Polepole: Lema Utalisikia Hewani tu Jimbo la Arusha Mjini 2020

KATIBU wa Itikadi na Uenezi  wa  Chama Cha Mapinduzi CCM, Humphrey Polepole amemtahadharisha Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kwakumwambia...

READ MORE

Baada ya Kudaiwa Kukamatwa kwa Uchochezi, Kipanya Awatoa Hofu Watanzania

KUFUATI taarifa kusambaa mitandaoni jioni ya leo Januari 1,2018 kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la...

READ MORE

Utata Waibuka Kuhusu Alipo Mchora Katuni Masoud Kipanya

Majira ya jioni leo Januari Mosi 2018 zimesambaa taarifa kupitia mitandao ya kijamii kwamba, mchora katuni maarufu Tanzania, Masoud Kipanya...

READ MORE

Sajuki Amliza Upya Wastara!

STAA wa Filamu nchini Tanzania, Wastara amesema inapofika tarehe kama ya leo  huwa anaikumbuka kwa kumuenzi aliyekuwa mume wake marehemu...

READ MORE

Walionipiga Risasi Niliwaona Lakini Siwafahamu – Lissu

HALI ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu inaendelea kuimarika huku akiendelea na mazoezi ya viungo katika Hospitali ya Nairobi...

READ MORE

Ujumbe wa JPM Mwaka Mpya 2018

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amewatakia watanzania wote hjeri ya mwaka mpya 2018, huku...

READ MORE

Kigwangalla: Ukimpeleka Mahakamani Askofu Kakobe, Atashinda!

WAZIRI wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla (CCM) amesema kuwa ukimpeleka mahakamani Askofu Zacharia...

READ MORE

Chadema Yawataka Viongozi Wa Dini Kuendelea Kuikosoa Serikali (Video)

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kimewataka viongozi wa dini kuendelea kuikosoa serikali na wasitishwe na mtu yoyote kwani...

READ MORE