×

Habari

IKULU: Rais Magufuli Amuapisha Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamuapisha Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini, Ikulu Jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Liberia: George Weah Amwalika Wenger Sherehe Ya Kuapishwa Kwake

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameambia BBC kwamba amepokea mwaliko kutoka kwa rais mteule wa Liberia George Weah kuhudhuria sherehe...

READ MORE

Mwili wa Mkurugenzi wa Nuru Funeral Services Waagwa na Mamia Dar

MWILI wa Paul Beda Moshi, aliyekuwa Mkurugenzi wa Nuru Funeral Services umeagwa leo na mamia ya waombolezaji, nyumbani kwake Kawe...

READ MORE

POLISI TANGA YAELEZEA KUCHOMWA MOTO BASI LA SIMBA COACH

JESHI la Polisi Mkoa wa Tanga limetoa ufafanuzi kuhusu tukio la kuchomwa moto kwa basi la Simba Coach. Taarifa zinaeleza...

READ MORE

Hapi Asema Serikali Itawakopesha Vijana Pikipiki

MKUUS wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi.  ametangaza na kutoa agizo kwa viongozi wa Halmashauri ya Kinondoni kuanza kutoa mikopo...

READ MORE

ACT Wazalendo Wataja Uelekeo Wa Chama Chao Kwa Mwaka 2018

Chama cha ACT-Wazalendo kimetangaza mikakati minne ya kipaumbele itakayoitumia kufanya siasa mwaka huu, ikiwemo kuimarisha ushirikiano na vyama vya wafanyakazi....

READ MORE

Tundu Lissu Awasili Ubelgiji Kwa Ajili Ya Matibabu Ya Mazoezi Ya Viungo

  Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Antipas Lissu amewasili katika uwanja wa ndege jijini Brussels, nchini Ubelgiji ambapo amepelekwa kwa...

READ MORE

Global Insta Yaanika Mshindi wa Tecno Camon CX – Video

MTANDAO wa Instagram wa Global Publishers imemtangaza mshindi wa Simu mpya ya kisasa smartphone aina ya Tecnoi Camon CX anayetumia...

READ MORE

Mzee Kingunge Apokea kwa Masikitiko Taarifa za Kifo cha Mkewe

Mwanasiasa mkongwe nchini Kingunge Ngombale Mwiru leo Jumamosi amepewa taarifa za kifo cha mke wake Pares Mwiru ambazo imeelezwa kuwa...

READ MORE

Rais Magufuli Awatembelea Mapacha Walioungana Muhimbili (Video + Pichaz)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo amewatembelea watoto wawili Mapacha walioungana Maria na Consolata...

READ MORE

Aishi Manula Aagana na Ukapera, Afunga Ndoa na Aisha

Kipa namba moja wa Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Aishi Manula ameachana na ukapera baada ya...

READ MORE

Madaktari wa Kairuki Wagongwa 10-3

    TIMU ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki, imejikuta katika wakati mgumu baada ya kupokea kichapo kikali...

READ MORE

Rais Magufuli Alivyomtembelea Kingunge (Video + Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa...

READ MORE

Breaking News: CCM Yawateua Wabunge Waliotoka Ukawa Kugombea Ubunge

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewarudisha waliokuwa wabunge wa upinzani kugombea majimbo ya Siha na Kinondoni baada ya wabunge hao kuijiunga...

READ MORE

Vodacom Yatoa Pole Kwa Familia Ya Athuman Hamis

Kampuni ya Vodacom Tanzania inatuma salamu za pole kwa familia ya  aliyekuwa mpigapicha wa magazeti ya serikali ya Daily News ...

READ MORE

Mume Alivyowaua Mkewe Na Kichanga Chake Kwa Jembe

KATIKA eneo la Matosa Darajani, Goba wilaya ya Kinodnini jijini Dar es Salaam wakati mama, kichanga chake cha umri wa...

READ MORE

Breaking News: Rais Magufuli Ateua Naibu Waziri wa Madini Mpya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli amemteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini....

READ MORE

Lissu Akwea Pipa, Apelekwa Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi

  MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema) na Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Tundu Antipas Lissu ameondoka kutoka...

READ MORE

AMKA NA GLOBAL TV: Live Magazeti ya Leo Jumamosi Januari 6, 2017

AMKA NA GLOBAL TV: Magazeti ya Leo Jumamosi Januari 6, 2017 Tunakuletea uchambuzi wa magazeti ya Tanzania, mambo mbalimbali ambayo...

READ MORE

Kwasi: Nitawafunga Mpaka Mkome

WAKATI Kaimu Kocha wa Simba, Masoud Djuma, akiamini Asante Kwasi atawasaidia kutwaa mataji msimu huu, beki huyo amepania kufanya mambo...

READ MORE

Sumaye Afungukia Kurudi CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa – Video

KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya...

READ MORE

Nairobi: Lissu Aanika Mazito Kabla ya Kupelekwa Ulaya

MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), leo Ijumaa Januari 5, 2017 kwa mara ya kwanza tangu ajeruhiwe amezungumza na...

READ MORE

Kikwete Aongoza Mamia Kuuzika Mwili wa Athuman Msengi, Kisutu

RAIS Mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaongoza mamia ya waombolezaji katika kuaga na kuuzika mwili wa aliyekuwa mpiga picha wa magazeti...

READ MORE

Bongo Movie Waongoza Zoezi la Kuchangia Damu

Chama cha Wanawake Watasnia ya Filamu Tanzania (CWTF) , leo wameongoza zoezi la uchangiaji wa damu katika Stendi ya Mabasi...

READ MORE

Safari ya Mwisho ya Mpiga Picha Athumani Msengi

MWILI wa  aliyekuwa mpigapicha wa magazeti ya serikali (TSN), Athumani Hamisi Msengi,  unatarajiwa  kuzikwa  leo Januari 5 mchana katika makaburi...

READ MORE

Rugemalira Awataja ‘Wezi’ wa Escrow Mahakamani

MFANYABIASHARA, James Rugemalira anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha amewataja aliodai ni wezi wa fedha za Escrow katika Mahakama ya...

READ MORE

Mwandishi wa Championi Ajitwisha Jiko

MWANDISHI wa gazeti la Championi linalotolewa na Global Publishers, Sweetbert Lukonge,  hivi majuzi aliuacha ukapera baada ya kufunga ndoa na...

READ MORE

Wolper Umeshakua, Achana Na Hizi Kiki Za Kishamba!

HAKUNA mpenzi wa filamu za Kibongo am­baye hamjui Jacqueline Wolper, hii ni kwa saba­bu ya kujituma kwake kwenye kazi, hasa...

READ MORE

Breaking: Babu Seya, Papii, Watangaza Rasmi Kurudi Kwenye Muziki -(Video)

NGULI wa muziki wa dansi, Nguza Vicking ‘Babu Seya’ na mwanaye Jonhson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa mara ya kwanza tangu...

READ MORE

Bodi ya Mikopo Kumrudishia Fedha za Mwalimu Baada ya Kumkata Kimakosa

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itarejesha kiasi cha shilingi 282,000 ilizomkata kimakosa Mwalimu Edwini...

READ MORE

Tanzia: Mke wa Mzee Kingunge Afariki Dunia

MKE wa mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru, Peras Kingunge amefariki dunia leo Alhamisi katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili....

READ MORE

Mzimu wa Sajuki Unavyomtesa Wastara (Video)

Mzimu wa Sajuki Unavyomtesa Wastara Miaka mitano tangu kifo cha Sajuki, mkewe, Wastara Juma bado analia kuteswa na mzimu wa...

READ MORE

MAKAMBA, SIRRO WAONGOZA KUAGWA MKE WA KANGI LUGOLA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba,  na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP),...

READ MORE

TANZIA: MAZISHI YA MPIGA PIGA ATHUMANI HAMISI KESHO

MWILI wa  aliyekuwa mpigapicha wa magazeti ya serikali (TSN), Athumani Hamisi Msengi,  unatarajiwa  kuzikwa  kesho Januari 5 mchana katika makaburi...

READ MORE

Benki Kuu Yazifutia Leseni Benki 5

Benki Kuu ya Tanzania(BOT) imezifutia leseni benki 5 baada ya kukosa mtaji na fedha za kutosha kujiendesha. Benki hizo ni...

READ MORE

Exclusive: Sherehe ya Kuchumbiwa Wolper Usipime, Picha Zote Bofya Hapa

SHEREHE ya kuchumbiwa kwa Staa wa sinema za Kibongo na Malkia wa Mavazi, Jacqueline Wolper imezua gumzo la aina yake...

READ MORE

Rais Magufuli Aahidi Kulipa Bilioni 200 Madeni Ya Ndani Kuanzia Mwezi Ujao (Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameeleza kuwa wezi ujao serikali itaanza kulipa madeni...

READ MORE

Rais Magufuli Aagana Na Gavana Wa BOT Anayemaliza Muda Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 03 Januari, 2018 ameagana na Gavana...

READ MORE

Televisheni 5 ‘Kushushiwa Rungu’… Kituo cha Haki za Binadamu Waijia Juu TCRA

  IKIWA ni siku moja baada ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuvipiga faini vituo vitano vya runinga kwa kuvunja...

READ MORE