×

Habari

Majaliwa: Viongozi wa Dini Wasaidie Kulinda Maadili na Kukemea Dawa za Kulevya

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa madhehebu ya dini nchini kuendelea kuihimiza jamii kuzingatia msingi ya maadili...

READ MORE

Makalla: Hakuna Mtia Nia Aliyeenguliwa CCM, Mchakato Bado Unaendelea – Video

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo . akiongea na Wandishi wa Habari leo...

READ MORE

Benki ya NBC Yazindua Msimu wa Pili wa Kampeni ya NBC Shambani Kuhamasisha Kilimo cha Kahawa Mkoa wa Ruvuma

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetambulisha msimu wa pili wa kampeni yake ya ‘Shinda Mechi Zako Kinamna Yako na...

READ MORE

Humphrey Polepole Ajiuzulu Ubalozi Ampongeza Rais Samia Kwa Fursa

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole, amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ibada Ya Kuwekwa Wakfu Askofu Mteule Dkt. Daniel Mono

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Julai 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ibada ya kumweka wakfu na...

READ MORE

Dkt. Mpango Atoa Wito kwa Waganga Wakuu Kuhamasisha Afya Bora kwa Wananchi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Waganga Wakuu wa Mikoa na...

READ MORE

Benk Ya NMB Imejizatiti Kutoa Huduma Bora Kwa Walimu

Na Mwandishi Wetu,Manyara. Benki ya NMB imesema itaendelea kutoa huduma bora kwa Walimu ikiwemo kuwapatia mikopo yenye riba nafuu ili...

READ MORE

Katibu mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda na Zanzibar Fatma awataka wafanyabiashara kuchangamkia Fursa kati ya China na Tanzania 

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar, Fatma Mabrouk Khamis, amewataka wafanyabiashara wa Tanzania kuchangamkia fursa...

READ MORE

Serikali imeitaka sekta binafsi kushiriki Katika utekelezaji wa Mpango mkakati wa Kuhamisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia

Serikali imeitaka sekta binafsi kushiriki katika utekelezaji wa mpango mkakati wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia kutokana na...

READ MORE

Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Wakabidhi Vifaa kwa Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalum Bariadi

Meneja Mauzo Mwandamizi wa Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Ziwa, Straton Mchau ( wa pili kushoto) pamoja na Meneja wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Afungua Mkutano wa Mwaka wa Waganga Wakuu Dodoma

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango leo Julai 12, 2025  amefungua Mkutano wa Mwaka...

READ MORE

RC Chalamila: Udhibiti wa Showroom Holela Kuimarishwa Dar – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema atatoa maelekezo kwa Wakuu wa Wilaya kuhakikisha wanadhibiti ufunguaji holela...

READ MORE

Wachumba Waliotrendi, Mrefu Na Mfupi Watangaza Ndoa Ya Kihistoria – Video

Ukiambiwa mapenzi ya kweli bado yapo, usibishe! Hili hapa ni mfano hai wa penzi la dhati na la kuponya roho....

READ MORE

Raila Odinga Amkosoa Rais Ruto Agizo la Kuwapiga Risasi Waandamanaji

Nairobi, Kenya – Aliyekuwa Waziri Mkuu na kiongozi wa upinzani wa muda mrefu, Raila Odinga, amemkosoa vikali Rais William Ruto...

READ MORE

Kuwa sehemu ya bilioni 1.5 kutoka LOOT Legends, Ni Meridianbet Pekee

Meridianbet, kampuni namba moja ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania, imezindua promosheni kali kabisa ya msimu huu, ni LOOT Legends....

READ MORE

NBC Yakutana na Wateja Wake Wakubwa wa Jijini Arusha, Yajadili Fursa, Ufanisi wa Huduma Zake Kwa wateja

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekutana na wateja wake wakubwa kutoka kampuni, wateja binafsi na taasisi mbali mbali (Corporates)...

READ MORE

Rais Ruto Ateua Rasmi Mwenyekiti na Makamishna wa IEBC

Nairobi, Kenya – Rais William Ruto ametangaza rasmi uteuzi mpya wa Mwenyekiti na Makamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na...

READ MORE

Kesi ya Kanisa la Ufufuo na Uzima Yaaahirishwa Hadi Julai 14, 2025 -Video

Dodoma, Tanzania – Kesi iliyofunguliwa na Kanisa la Glory of Christ Tanzania Church (Ufufuo na Uzima) imeahirishwa hadi Julai 14,...

READ MORE

Watuhumiwa Watano Wakamatwa kwa Mauaji ya Mtumishi wa TASAF – Video

Tabora, Tanzania – Jeshi la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watuhumiwa watano kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya Castory Madembwe,...

READ MORE

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Maombi ya Tundu Lissu Kuhusu Kesi ya Uchapishaji Taarifa za Uongo

Dar es Salaam, Tanzania – Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na...

READ MORE

Shiriki Super Heli Kushinda Simu za Samsung A25 na Meridianbet

Meridianbet, jukwaa linaloongoza kwa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, linawapa wachezaji fursa ya kipekee ya kuingia kwenye burudani ya mchezo...

READ MORE

Muuguzi wa India asubiri kunyongwa Julai 16

Na mwandishi wetu, Elvan Stambuli Nimisha Priya alihukumiwa kifo kwa mauaji ya mwanamume mmoja ambaye alikuwa mshirika wake wa zamani...

READ MORE

Rais wa Liberia Atoa Hotuba Yenye Mvuto White House, Trump Ampongeza – Video

Rais wa Liberia Joseph Nyuma Boakai alitoa hotuba yenye mguso wa kipekee katika Mkutano wa Viongozi wa Afrika Magharibi uliofanyika...

READ MORE

RC Chalamila Ataka Wataalam Kuja Na Suluhu Ya Msongamano Wa Magari Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila amewataka Wakuu wa wilaya za Ilala,Temeke na Kigamboni, wakurugenzi wa...

READ MORE

Kuelekea NBC Dodoma Marathon: Benki ya NBC Yakabidhi Pikipiki 10 Kwa jeshi la Polisi Kuimarisha Usalama, Yakabidhi ‘Kits’ kwa Mkuu wa Mkoa Dodoma

Waandaaji wa mbio za NBC Dodoma Marathon, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) leo wamekabidhi pikipiki 10 zenye thamani ya...

READ MORE

Vodacom na Stanbic Wakabidhi Msaada wa Miche na Vifaa Singida

Mkuu wa Kanda ya Kati wa Vodacom Tanzania, Chiha Nchimbi (kulia) na Mkuu wa Mtandao wa Matawi wa Benki ya...

READ MORE

Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, Afariki Dunia

Taifa la Kenya limegubikwa na huzuni kufuatia kifo cha Kadhi Mkuu wa Kenya, Sheikh Abdulhalim Hussein, ambaye alifariki dunia Jumatano,...

READ MORE

Kesi ya Mgogoro wa Rasilimali CHADEMA Yasitishwa, Hatima ya Jaji Mwanga Kusubiriwa – Video

Dar es Salaam, Julai 10, 2025 – Kesi namba 8323/2025 inayohusu mgawanyo wa rasilimali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Cheza Aviator, Shinda Simu ya Kisasa Kila Jumatatu – Ofa Kabambe kutoka Meridianbet!

Kwa wale wote wenye mapenzi ya dhati na michezo ya kasino mtandaoni na kwa wale ambao hawakuwahi kushiriki michezo hii...

READ MORE

China Yatoa Onyo Kwa Marekani Kuhusu Ushuru Mpya – Yaapa Kulipiza Kisasi

Serikali ya China imetoa onyo kali kwa utawala wa Rais wa Marekani Donald Trump, kuhusu mpango wa kurejesha ushuru wa...

READ MORE

Prof. Nombo: Mafunzo Ya ADEM Ni Msingi Wa Elimu Bora Nchini

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya...

READ MORE

Miaka 5 ya Uongozi Madhubuti, Uadilifu, Unyenyekevu, Maono na Matokeo Makubwa

Kampuni ya Global Publishers leo inatoa pongezi kubwa kwa Ruth Zaipuna, Afisa Mtendaji Mkuu wa Kwanza Mtanzania wa Benki ya...

READ MORE

Televisheni ya Taifa Iran Yatangaza Vifo 1,060 Kufuatia Vita na Israel

Serikali ya Iran imetoa takwimu mpya za vifo vilivyosababishwa na vita vya hivi karibuni dhidi ya Israel, ikisema kuwa angalau...

READ MORE

Benki ya Absa Tanzania Yatangaza Washindi wa Wazo Challenge Tanzania 2025

Benki ya Absa Tanzania Yatangaza Washindi wa Wazo Challenge Tanzania 2025 •⁠ ⁠Biashara tatu bora za FinTech zachaguliwa kutoka kwa...

READ MORE

Pura yawataka wawekezaji kuja kuwekeza Katika masuala ya Nishati Safi

MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA), imewataka wawekezaji kuja kuwekeza katika masuala ya Nishati Safi kutokana na...

READ MORE

Acer Yajizatiti Kupanua Soko Afrika Mashariki kwa Teknolojia ya Kisasa na Usambazaji wa Huduma Zake

Dar es Salaam, Tanzania – 9 Julai 2025: Kampuni ya Acer Inc., moja ya vinara duniani katika suluhisho la kisasa...

READ MORE

Mwenyekiti wa Bodi TBL Azungumza na Wanahisa

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kiwanda cha Bia cha Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL Plc), Leonard Mususa leo...

READ MORE

Kikwete, Ashiriki Mkutano Maalumu London

Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, ameshiriki katika Mkutano Mkuu wa Afrika ulioandaliwa na Jarida la Uongozi la Afrika...

READ MORE

Said Mrisho: Nilitobolewa Macho, Nikachomwa Visu, Lakini Haki Yangu Haijatimia – Video

Kijana Said Mrisho, ambaye miaka tisa iliyopita alinusurika kifo baada ya kufanyiwa ukatili mkubwa wa kutobolewa macho na kuchomwa visu...

READ MORE

Ruto Atangaza Hatua Kali Dhidi ya Maandamano ‘Inatosha!’

Rais wa Kenya, William Ruto, ameapa kuchukua hatua kali kuhakikisha kuwa amani na utulivu vinarejea nchini, akisema yuko tayari kutumia...

READ MORE