×

Habari

MOROGORO: Mwanamke Ajifungua Mapacha Wanne

MWANAMKE mmoja mkazi wa Mkoa wa Morogoro, Asha Mashaka amejifungua watoto mapacha wanne katika Wodi ya Wazazi ya Hospitali ya...

READ MORE

Video: Ajali Mbaya! Gari Lavunja Duka la Nguo Dar na Kujeruhi

GARI aina ya Toyota Spacio T945 DHD limezua kizaazaa baada ya kuvunja duka la nguo la Jordan Store Collection lililopo...

READ MORE

Lulu Diva: Sijaumia Belle 9 Kuoa

MSANII anayefanya poa kwenye ulimwengu wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ambaye kipindi cha nyuma aliwahi kuweka wazi hisia...

READ MORE

Breaking: Askari Mwingine wa JWT Aliyeshambuliwa DRC Afariki Dunia

ASKARI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) aliyekuwa katika Kikosi cha Umoja wa Mataifa cha Kulinda Amani...

READ MORE

Ubungo: Usafiri wa Abiria Waenda Mikoani ni Kizungumkuti

KUFUATIA msimu wa sikukuu ambapo watu wengi husafiri kuelekea mikoani kwa ajiri ya kwenda kusherehekea sikukuu hizo na ndugu jamaa...

READ MORE

Mbaroni kwa Kukutwa na Magamba ya Kakakuona na Nyama ya Simba

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia Ngerezya Chamukaga mkazi wa Kijiji cha Kanyara wilaya ya Sengerema kwa kukutwa na...

READ MORE

Nabii Amnunulia Binti Yake wa Miaka 4 Gari la Mil. 926

NABII wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering, Shepherd Bushiri, amemfanyia sapraizi mwanayae wa kike, Israella Bushiri mwenye umri wa miaka...

READ MORE

Mali za CCM Zamfikisha Kortini Mwenyekiti UVCCM

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Arusha, Lengai Ole Sabaya ambaye amesema alifunguliwa kesi nne kwa sababu ya kutetea mali...

READ MORE

MANISPAA UBUNGO YAPONGEZWA KUJENGA SHULE YA SEKONDARI

Waziri Suleiman Jafo akiangalia vyumba vya madarasa ya Sekondari ya Mavulunza leo.     MANISPAA ya Ubungo imepongezwa na Waziri...

READ MORE

Jafo Ataka Soko la Mabibo Lijenge Miundombinu Bora

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Suleiman Jafo, ametembelea soko...

READ MORE

Aliyetajwa na JPM Kukamatwa na Mabilioni Airport, Afikishwa Mahakamani

IKIWA ni takribani siku 9 baada ya Rais Dkt. John Magufuli kubainisha kukamatwa kwa mtu aliyekuwa akiingiza nchini kiasi kikubwa...

READ MORE

Mabinti Wanaswa Wizi wa Pikipiki, Sare za Jeshi

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu watatu, wakiwemo mabinti wawili wa miaka 19,  kwa tuhuma...

READ MORE

Rugemarila Azua Mapya Sakata la Escrow, Sasa Kumtaja Mwizi wa Fedha za Escrow

MFANTABIASHARA hara James Rugemarila anayekabiliwa na kesi ya utakatishaji fedha ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Kim Jong Un: Marufuku Kunywa, Kuimba Korea Kaskazini Wakati wa Krismasi

RAIS Kim Jong Un wa Korea ya Kaskazini amepiga marufuku kuimba, kunywa vileo na kufanya mikusanyiko ya aina yote nchini...

READ MORE

Lissu: Bado Nina Risasi Moja Mwilini

Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema mwili wake bado una risasi moja licha ya kutolewa nyingine 15, huku...

READ MORE

Kigwangalla Awakutanisha Wema na Jokate

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk.Hamisi Kigwangalla jana Desemba 21, 2017 aliteua majina mengine ya Kamati ya Kitaifa ya kuandaa...

READ MORE

MWENYEKITI UVCCM APOKELEWA KWA KISHINDO DAR

  MWENYEKITI  mpya Taifa wa  Umoja wa Vijana  wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James  amepokelewa kwa kishindo na vijana...

READ MORE

Mashindano ya Miss Tanzania Yafutwa Rasmi

WAANDAAJI wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Kampuni ya Lino International Agency Limited,  wamesema  kwamba hakutakuwa na Fainali za Taifa za...

READ MORE

Mwanza: Mwanamke Akamatwa na Shehena ya Bangi

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, DCP Ahmed Msangi amesema mtuhumiwa Mwanamke Asha Jeremiah (32), amekamatwa kwa kosa la kukutwa...

READ MORE

Zitto Akutana na Kufanya Mazungumzo na Mbowe

Katika kikao chake cha juzi, ambacho kiliamua kugomea ushiriki wa uchaguzi wa marudio, Kamati Kuu ya ACT Wazalendo iliuagiza Uongozi...

READ MORE

Baada ya JPM Kuchokonoa, TTCL Waanika Mazito ya Airtel

  KUFUATIA Rais Dkt. John Magufuli kueleza jana Mjini Dodoma kuwa Serikali imebaini kwamba Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel ni...

READ MORE

Urafiki Dar Yawatimua Wapangaji Wake

UONGOZI wa Kiwanda cha Nguo cha Urafiki cha jijini Dar es Salaam umetoa siku kwa wapangaji wake zaidi ya 160 kulipa...

READ MORE

Uingereza: Theresa May Amtimua Naibu Waziri Mkuu

Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amefukuza kazi Naibu wake, Damian Green baada ya kugundulika alidanganya kuhusu kwa video za...

READ MORE

Kimenuka… Wabunge wa Tanzania, Burundi Wamkataa Spika wa EALA

SIKU moja baada ya Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika mashariki kuchaguliwa na wajumbe wa nchi nne za jumuiya...

READ MORE

Mbatia Apata Ajali Usiku, Avunjika Mkono

MBUNGE wa Vunjo kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC mjini Moshi mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

Singida: Aliyeteuliwa Kugombea Ubunge Chadema Ajitoa

SIKU moja baada ya NEC kuanika majina ya wagombe huku jina lake likitajwa kuwa miongoni mwao, Djumbe Joseph aliyepitishwa na...

READ MORE

JPM: Wanaopotosha ‘Vyuma Vimekaza’ Washughulikiwe – (Video)

RAIS Dkt. John Magufuli ametoa agizo kwa Mamlaka ya Takwimu ya Taifa (NBS) kuwachukuliwa hatua haraka mashirika, taasisi na watu...

READ MORE

JPM Abaini Airtel ni Mali ya Serikali, Ataka Uchunguzi Ufanyike (Video)

RAIS Dkt. John Magufuli amesema Serikali imebaini kuwa kampuni ya Mawasiliano ya Bharti Airtel ni mali ya Shirika la Mawasiliani Tanzania...

READ MORE

Wanahabari Wambana DCI Kuhusu Lissu, Ben Saanane, Azory

MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz, amesema kuwa matukio ya kihalifu kwa mwaka huu wa 2017, yamepungua sana...

READ MORE

Hongera JPM Kwa Kulinda Maadili

  ASANTE Mwenyezi Mungu kwa kunipa nafasi nyingine ya kuweza kuzungumza na mashabiki wa Barua Nzito, ambao wamekuwa msaada mkubwa...

READ MORE

Kisa Kuwania Ubunge Kupitia CCM, Mtulia Aoga Matusi

ALITEKUWA Mbunge Kinondoni (CUF), Maulid Mtulia ambaye alijivua ubunge na uanachama kisha kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza nia ya...

READ MORE

Diwani Mwingine Chadema Ajiuzulu, Ajiunga CCM

KILIMANJARO: Diwani wa Donyomurwak kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilayani Siha mkoani Kilimanjaro, Lwite Ndossi amejiuzulu...

READ MORE

Siku Chache Baada ya JPM Kuteua, Kigwangalla Atengua

Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla ametengua uteuzi wa Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya  Hifadhi Eneo la...

READ MORE

MAHAKAMA YAKUBALI ZUIO DHIDI YA WADHAMINI CUF-LIPUMBA

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubali maombi ya zuio la muda dhidi  Bodi ya Wadhamini ya CUF...

READ MORE

Simulizi ya Mfungwa Aliyeishi Gerezani Miaka 55 na Kuachiwa na Magufuli Inasikitisha – Video

PEKOS Mtalikidonga (55) mfungwa aliyekuwa na umri mdogo kuhukumiwa kunyongwa akiwa na wenzake wanne akiwemo kaka yake, na baadaye kusamehewa...

READ MORE

Patrick Kanumba Afungukia Penzi Lake na Jennifer Kanumba – Video

STAA kijana aliyetambulishwa rasmi kwenye ulimwengu wa filamu za Kibongo na aliyekuwa nguli wa tasnia hiyo, marehemu Steven Kanumba, Othman...

READ MORE

Sarakasi za Uchaguzi Zaimega Chadema, Singida Wasimamisha Mgombea

SARAKASI za kisiasa zinazidi kushamiri! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia Uongozi wa Vyama Vinavyounda Umoja wa Katiba Mpya (UKAWA) kueleza kutoshiriki...

READ MORE

INAUMA SANA: Mtoto Asimulia Alivyotafunwa Mikono na Nguruwe – Video

MTOTO Farida Silvanus (15), mkazi wa Perege Wiliya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani,amewashangaza watu kutokana na vitu anavyofanya huku akiwa...

READ MORE