×

Habari

CHADEMA Watoa Kauli Kuhusu Kujiuzulu kwa Mbunge wa Siha, Molel

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) tarehe 14 Disemba,2017 tumepokea taarifa kupitia mitandao ya kijamii kuwa Mbunge wa Siha...

READ MORE

Twaweza: Tumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000

  TAASISI ya utafiti ya Twaweza imesema kuwa, kuwalipa walimu bahshishi kumewanufaisha wanafunzi zaidi ya 48,000 katika kujifunza stadi za...

READ MORE

SERIKALI KUENDELEA KUIMARISHA VIWANDA VYA NGUO ILI KUKIDHI SOKO LA NDANI

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kuthamini wajasiriamali wa viwanda vya kutengeneza nguo hapa nchini vinavyoendelea kukua na kukidhi mahitaji ya wanachi....

READ MORE

Askari Auawa Kwa Risasi Na Askari Mwenzie Kisa Chadaiwa ni Wivu Wa Mapenzi

ASKARI Magereza Faustine Masanja wa Gereza la Kisongo anadaiwa kumuua askari mwenzake aliyefahamika kwa jina la Ombeni Mwakiyani kwa kumpiga...

READ MORE

Mke wa Mwandishi Azory Afunguka Mzazito Mumewe Alivyopotea, Cheki Video

ZIKIWA zimepita siku zaidi ya 20 tangu kupotea kwa mwandishi wa Mwananchi, Azory Gwanda, wilayani Kibiti mkoani Pwani, aliyepotea tangu...

READ MORE

Breaking News: Mbunge wa Siha Atangaza Kuhama Chadema, Ajiunga CCM -(Video)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Siha Mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA, Dr. Godwin Mollel ametangaza kujivua uanachama wa Chama hicho kuanzia...

READ MORE

Lissu Aibua Mapya Kuhusu Wasaliti wa Chadema

MBUNGE wa Singida Mashariki na Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Tundu Lissu ambaye sasa Kenya akiendelea na matibabu...

READ MORE

JPM: Wanaosema Vyuma Vimekaza, Waweke Grisi la Sivyo Vitavunjika (Video)

RAIS John Magufuli amesema kuwa wanaodai maisha ni magumu mitaani huku wakitumia msemo wa “vyuma vimekaza”, basi waviwekee grisi vilainike,...

READ MORE

Majonzi na Vilio Kuagwa kwa Miili ya Askari 14 wa JWTZ Waliouawa, DRC -(Video)

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameongoza waombolezaji kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi 14 wa JWTZ Waliouawa DRC Yaagwa, Mmoja Wao Hajapatikana

MAMIA ya waombolezaji wamejoteka kuaga miili ya askari 14 waliouawa na waasi wa ADF nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo...

READ MORE

Yaliyojiri Kortini Kesi ya Wadada Wanaodaiwa Kujihusisha na Usagaji

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mwanza inatarajiwa kutoa uamuzi wa dhamana ya washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya kujihusisha na vitendo...

READ MORE

MWAKIBINGA: WAPINZANI WANAHAMA KWA KUVUTIWA NA JPM

  KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), James Mwakibinga amesema sababu zinazowafanya wanasiasa wa upinzani kuhamia CCM ni utendaji...

READ MORE

JPM Aagiza Wananchi Walime Eneo Lililotengwa Makaburi ya Marais na Mawaziri

Rais John Magufuli ameagiza ardhi ya Iyumbu mjini Dodoma iliyotengwa kwa ajili ya kuzikwa viongozi wakuu wa nchi, (marais, mawaziri...

READ MORE

Baada ya babu Seya Kutoka… Mtabiri Atoa Mpya!

SIKU chache baada ya wanamuziki, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha...

READ MORE

CHADEMA Yatangaza Kutoshiriki Uchaguzi Mdogo wa Ubunge Songea Mjini

ZIKIWA zimepita siku chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA na Mwenyekiti mwenza wa UKAWA Mheshimiwa...

READ MORE

Mabilioni Yakamatwa Airport Yakiingizwa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema zaidi ya dola bilioni moja zimeshikwa zikiingizwa nchini...

READ MORE

Kisa Dola za Kimarekani, JPM Acharuka, Atoa Agizo BoT (Video)

RAIS John Magufuli amemwagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, kuhakikisha malipo kwa kutumia fedha za kigeni  nchini yanadhibitiwa...

READ MORE

Scorpion Yametimia Hukumu Kusomwa Januari 10

  Kesi ya kumjeruhi mpaka kumtoboa macho kinyozi, Said Mrisho inayomkabili mwalimu wa sanaa ya kujihami, ‘Martial Arts’ na msanii...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMATANO, DEC 13, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 13, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Huseein Bashe Atoa Kauli Nzito Askofu Niwemugizi Kuhojiwa Uraia Wake

MBUNGE wa Nzega Mjini, Hussein Bashe ameelezwa kusikitishwa kwake baada ya Askofu wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara,...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM… Kinana Amfuta Gulamali Jimbo la Nyalandu

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahman Kinana imewazuia Haider Gulamali na Elia Mlangi kugombea nafasi ya ubunge Singida Kaskazini kutokana...

READ MORE

Hashim Rungwe Amjulia Hali Lissu Nairobi Hospital

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe Spunda, amemtembelea na kumjulia hali mbunge wa Singida Mashariki, Tundu...

READ MORE

Airtel yaleta bando mpya za ‘SMATIKA na Yatosha Intaneti’ MPYA

Dar es salaam,  Desemba 12, 2017: Airtel Tanzania mtandao bora kwa Smartphone yako leo imezindua bando mpya zitakazojulikana kama ‘SMATIKA...

READ MORE

NYUMBA YA MJANE YABOMOLEWA KATIKA MAZINGIRA YA KUTATANISHA

Nyumba ya mjane Chiku Juma Athuman iliyopo Kinondoni Studio jijini Dar es Salaam, imebomolewa kufuatia kuibuka kwa mgogoro wa utata...

READ MORE

Breaking News: Nguza Viking Afiwa na Mdogo Wake

MUDA mfupi baada ya Babu Seya na Papii Kocha  kuachiwa huru kutokana na kupewa msamaha wa rais Magufuli, familia hiyo...

READ MORE

JPM Ataka Wasanii Wakaa Uchi Washughulikiwe

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, ameitaka Mamlaka...

READ MORE

Nyalandu Amwandikia Ujumbe JPM

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, jana Disemba 11, 2017 alituma salamu za pole kwa Rais na...

READ MORE

Michirizi Ya Damu – 16

“Jisikie huru!” alisema mzee huyo. “Nashukuru sana!” Mzee Al Fakh akaondoka na kwenda chumbani kwake, alipofika, haraka sana akachukua simu...

READ MORE

Askofu Aliyesema Katiba Mpya Ipewe Kibaumbele, Ahojiwa Uraia Wake

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Rulenge, Wilaya ya Ngara, mkoani Kagera, Severine Niwemugizi (61), amehojiwa na Idara ya Uhamiaji kuhusiana...

READ MORE

LIVE: Miili ya Wanajeshi Waliouawa DRC Yarejeshwa Nchini

MIILI ya Askari 14 wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliouawa na waasi wakilinda amani katika nchi ya Jamhuri...

READ MORE

AFDB YAMWAGA BILIONI 630 ZA UJENZI WA BARABARA ZA LAMI MIKOA YA PEMBEZONI MWA NCHI

  Benki ya Maendeleo ya Afrika –AFDB imetoa msaada wa shilingi za Kitanzania Bilioni 630.25 kwa serikali ya Tanzania kwa...

READ MORE

Sadifa Akwama Kortini, Arejeshwa Rumande Hadi Desemba 19

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Dodoma imesema itatoa uamuzi wa maombi ya dhamana Desemba 19,2017 kwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa...

READ MORE

Miili ya Wanajeshi Waliouawa DRC Kurejeshwa Nchini Leo

Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limetoa Taarifa kwa Umma kuwa, Askari wake waliouawa na waasi wakilinda amani katika nchi...

READ MORE

Kheri James Anyakua Uenyekiti UVCCM Taifa

WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi, ambaye pia ni mjumbe wa Baraza la Wadhamini la Umoja...

READ MORE