×

Habari

Polepole: Chama Chetu Sio Daladala….. Ni Heri Akabaki Hukohuko (Video)

BAADA ya Msanii maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu kutangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kurudi...

READ MORE

Wema Sepetu Atangaza Rasmi Kurudi CCM -(Video)

MSANII maarufu wa Bongo Movie, Wema Sepetu leo Ijumaa, Desemba 1, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Mapenzi Ya Jinsia Moja Yamkamatisha Mtumishi wa Mgodi wa GGM

Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita linamshikilia mtumishi wa mgodi wa GGM, Milembe Suleiman anayetuhumiwa kujihusisha na mapenzi ya jinsi...

READ MORE

HEINEKEN WAZINDUA BIDHAA YA AMSTEL TANZANIA

KAMPUNI ya Vinywaji baridi ya Heineken jana (Novemba 30) walizindua bidhaa mpya aina ya Amstel (ya chupa) katika soko la...

READ MORE

Stamina: Wanaosema Kiba_100 ni Tusi Wanakosea

RAPA anayekimbiza kwa sasa kutoka pande za Morogoro, Stamina amesema kwamba ngoma yao mpya walioimba na Roma Mkatoli (ROSTAM), wakimshirikisha...

READ MORE

RC Makonda, IGP Sirro, Mo Dewji, Bakhresa na Kigwangalla Wateuliwa TFF

MBALI na Kamati Kuu ya Kuratibu Michuano ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye...

READ MORE

Tanesco Waanza Kuondoa Vifaa Kwenye Jengo Lao Ubungo

Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ambaye amepewa kazi ya kubomoa jengo la Tanesco Ubungo, leo Ijumaa ameanza kusimamia shirika hilo...

READ MORE

VP Samia Suluhu Awaonya Vikali Machangudoa

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Desemba 1, 2017 amewaongoza wakazi wa Dar...

READ MORE

Baraza la Mawaziri la Mnagangwa Ajaza Wajeda Waliomuondoa Mugabe

RAIS mpya wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametangaza Baraza jipya la Mawaziri, ambalo ndani yake amewaweka maofisa wa Jeshi la Ulinzi...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Gari Linalodaiwa Kuzama Baharini Dar (Video)

TAARIFA na video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii asubuhi hii zinaeleza kuwa gari dogo aina ya Toyota Land Cruiser (Prado)...

READ MORE

Matukio Haya Yametikisa 2017, Tumekuwekea Hapa

TANGU mwaka huu uanze kumekuwa na matukio mengi yaliyojitokeza kwa mastaa, ambayo yalileta mshtuko kwenye jamii hususan kwa watu wanaofuatilia...

READ MORE

MADAI YA KUSIKITISHA, BABA AZAA NA BINTIYE!

Dunia imekwisha! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia jamaa mmoja mkazi wa Mabibo-Mahakama ya Ndizi kudaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi...

READ MORE

STRAIKA MPYA WA SIMBA HUYU HAPA, NI HATARI TUPU!

HARAKATI za usajili wa wachezaji katika vilabu vya soka la Tanzania, zinaendelea kwa nguvu huku Klabu ya Simba ikikaribia kumsajili...

READ MORE

HATIMAYE SERIKALI YAKUBALI MO DEWJI, MANJI WAWE MABOSI SIMBA NA YANGA

WAKATI sakata la uwekezaji likiendelea kuteka hisia za wadau wengi wa soka la nchini Tanzania, hatimaye serikali imetoa tamko juu...

READ MORE

Eto’o Akanusha Kukodi Ndege Kuwarudisha Cameroon ‘Watumwa’ wa Libya

MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Cameroon, Samuel Eto’o, amekanusha ripoti kwamba alikodisha ndege...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine Wizara ya Ardhi

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amteua Bi. Stella Tullo Chagi kuwa Msajili wa Mabaraza...

READ MORE

ZAIDI YA MILLION 20 ZAPATIKANA KUSAIDIA WATOTO WENYE MATATIZO YA VICHWA VIKUBWA NA MGONGO WAZI

Ikiwa Jana ni Jumanne ya kutoa (GIVING TUESDAY) kote duniani na Taasisi ya Foundation for Civil Society iliadhimisha kwa kuwasaidia...

READ MORE

WAKAMATWA NA MADINI, WAHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imetoa hukumu kwa wafanyabiashara watatu ambao ni Mashaka Lucas, Jafarri Hussein na Akifu Mohamed,...

READ MORE

BONGO MUVI WATOA SOMO KWA WANAFUNZI

  Wamama wa Bongo Muvi kupitia Malezi Daima Foundation leo wamefanya semina kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Buza...

READ MORE

Lissu Asimulia Mambo Mazito Kwa Dakika 60

Nairobi-Kenya. Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesimulia hali ilivyokuwa siku ya tukio na pia kueleza ujumbe aliompa Makamu...

READ MORE

Kagaigai: Wabunge Waliotimuliwa CUF, Mahakama Haijaamuru Warudishwe Bungeni

KATIBU wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Stephen Kagaigai amekanusha taarifa zinazovumishwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa wabunge...

READ MORE

Dk Shika Atamba Kutikisha Usiku wa 900 Itapendezaa (Video)

YULE daktari bingwa wa magonjwa ya binadamu aliyejizolea umaarufu mkubwa hapa nchini siku za hivi karibuni kufuatia kufika dau wakati...

READ MORE

MAKAMPUNI 500 KUSHIRIKI MAONYESHO YA PILI YA BIDHAA DAR

ZAIDI ya Makampuni 500 yanatarajia kushiriki katika maonesho ya pili ya bidhaa za viwanda  yanayotarajia kufanyika Desemba 7 hadi hadi...

READ MORE

Afande Sele Hapo Vepee Zipu ya Jinsi Kufunguka!

DAR ES SALAAM: Hapo vepee! Ndivyo walivyosikika wapenda ubuyu, wakimuelekezea vidole, mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Selemani Msindi ‘Afande...

READ MORE

LHRC Yabaini Mapungufu Kibao Uchaguzi wa Madiwani

  MKURUGENZI wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Anna Henga, amesema kuwa kituo hicho kimefuatilia kwa ukaribu...

READ MORE

MSANDO AFUNGUKIA LIVE VIDEO YAKE NA GIGGY MONEY

MWANASHERIA maarufu nchini aliyekuwa Chama cha ACT Wazalendo na hivi karibuni akahamia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Albert Msando, kwa mara...

READ MORE

SpotiHausi LIVE: Selemani Matora Alivyoikazia Simba SC

LEO  katika kipindi cha SpotiHausi kutakuwa na mahojino na Kocha wa timu ya Lipuli, Selemani Matora kupitia Global TV Online....

READ MORE

Atupwa Jela Miaka 10 Kwa Kukutwa Na Bastola, Risasi

MFANYABIASHARA Gairo Mtozoma (43) amehukumiwa kifungo cha miaka 10 jela katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukutwa na...

READ MORE

Jokate: Uvumilivu Ndio Kila Kitu Maishani

JOKATE Urban Mwegelo, Miss Tanzania namba 2 mwaka 2006, ndiye tunaye leo kwenye ukurasa huu wa Ulipo Mwanamke Tupo. Yeye...

READ MORE

Wanasiasa, Wanataaluma Washiriki Mdahalo Kuhusu Demokrasia

TAASISI ya Twaweza ikishirikisha wadau mbalimbali,  leo imefanya mdahalo kutathmini hali na mustakabali wa demokrasia nchini  ambapo wadau, wanasiasa na...

READ MORE

BancABC na Muhimbili Watoa Bima ya Afya kwa Watoto

BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, imeshirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kutoa huduma ya bima ya...

READ MORE

RC Akanusha Kumuomba Msamaha Rais Magufuli

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Amos Makalla amekanusha taarifa kuwa, anakusudia kuandika barua ya kumuomba radhi Mwenyekiti wa Chama cha...

READ MORE

WAZIRI MKUU AIBUKIA BANDARINI, AMPA AGIZO IGP SIRRO

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa leo Novemba 29, 2017 amemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simo Sirro kuwakamata Bw....

READ MORE

AKATA NYETI ZA MWANAYE KWA SHOKA KUONDOA MAPEPO

MTU mmoja huko mwenye umri wa miaka 39 huko Chhattisgarh, India, amemtoa kafara mwanaye mdogo katika kitendo cha ushirikiana kwa...

READ MORE

Korea Kaskazi Yarusha Kombora Linaloweza Kuangamiza Sehemu Yoyote Duniani

KOREA Kaskazini imelifanyia majaribio kombora lake la masafa marefu lililoruka juu zaidi na kudumu angani kwa dakika 53 kabla ya...

READ MORE

Wahitimu wa Ufundi Kupitia VSOMO Watunukiwa Vyeti

Mkurugenzi wa VETA Kanda ya Dar es saalam , Habibu Bukko akikamkabidhi Cheti Mhitimu wa Mafunzo ya VSOMO kwa njia...

READ MORE

IGP Sirro Kupeleka Magari Mawili ya Polisi Pwani

IKIWA ni siku chache baada ya Rais John Magufuli kufanya ziara ya kushtukiza Bandarini ya dar es Salaam na kukagua...

READ MORE

Bibi Wa Miaka 73 Aomba Talaka

MWANAMKE ambaye yupo kwenye ndoa kwa miaka 55, amefungua kesi mahakamani kuomba mumewe ampe talaka kwa madai kuwa hamjali, na...

READ MORE