×

Habari

Polisi Yasema Kesi ya Dk Shika Haina Mashiko

JESHI la Polisi Kanda Maalumu yaDar es Salaam, limesema kesi ya Dk Louis Shika hawataendelea nayo kwa kuwa nyumba tatu...

READ MORE

KUBENEA: Sinunuliki, Siwezi Kuhama Chadema Wala Kuisaliti Ubungo – Video

MBUNGE wa Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendelo (Chadema), Saed Kubenea amekanusha taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa kuwa...

READ MORE

BREAKINGS: CHADEMA Wamlipua Mtulia, Wadai Njaa Zake Zimempeleka CCM

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilaya ya Kinondoni, Waziri Mhunzi, kwa niaba ya chama hicho, ametoa tamko...

READ MORE

Mnyika Azungumzia Taarifa Zinazosambaa Kuwa Amejiuzulu Chadema

MBUNGE wa Kibamba, John Mnyika amesema taarifa kwamba amejiuzulu nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chadema – Bara hazina ukweli...

READ MORE

Mtalii kutoka Ujerumani Auawa Kwa Kupigwa Risasi Ethiopia

Mtalii mmoja kutoka Ujerumani amepigwa risasi na kuuawa kaskazini mashariki mwa Ethiopia. Dereva wake pia alijeruhiwa wakati wa tukio hilo,...

READ MORE

Zanzibar Yamuadhibu Niyonzima

TIMU ya taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Rwanda kwenye mchezo wake...

READ MORE

DENTI MBUNGE UDSM, ALIYEVUJISHA PICHA ZA BWENI LENYE NYUFA, AACHIWA HURU

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amethibitisha kukamatwa na kuachiliwa kwa dhamana, denti Dawson Kumbusho, ...

READ MORE

Rais Mwinyi Amjulia Hali Tundu Lissu, Nairobi Hospital

RAIS Mstaafu wa awamu ya pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi leoDesemba 5, 2017 amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema) na...

READ MORE

KAMPENI YA UZALENDO: JPM KUFUNGUKA KUHUSU MAISHA YAKE YA UTOTONI

USIKU wa Kitendawili unazidi kupamba moto ambapo Rais, Dk. John Pombe Magufuli mnamo Desemba 8, mwaka huu anatafunga siri na...

READ MORE

JPM Akutana na Vigogo wa Toyota Kuharakisha Ujenzi wa Bomba la Mafuta, Hoima – Tanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Total...

READ MORE

Polisi Wauwa Majambazi Watatu Na Wakamata Silaha Aina Ya Ak.47 Na Risasi 57

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dsm mnamo tarehe 28/11/2017 na tarehe 30/11/2017 askari walifanya oparesheni maalum ambayo ilifanikisha kukamatwa kwa...

READ MORE

Wabunge Kiwanga, Lijualikali Warejeshwa Rumande Morogoro

Wabunge Susan Kiwanga na Peter Lijualikali waliofikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro pamoja na washtakiwa wengine 36 wamerejeshwa rumande....

READ MORE

Wanafunzi 2,679 Vyuo Vikuu Waliokata Rufaa Wapatiwa Mikopo – Video

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Disemba 5, 2017) imetangaza orodha yenye wanafunzi 2,679 ambao...

READ MORE

Makamanda wa Majeshi Kuingia Mazoezini Siku 17 Kupambana na Ugaidi, Maafa (VIDEO)

MAJESHI yaliyoko ndani ya nchi tano zinazounda Umoja wa Afrika Mashariki, Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi yanatarajia kuanza mazoezi...

READ MORE

MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMANNE, DEC 5, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Dec 5, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mambosasa: Polisi Haina Taarifa ya Kukamatwa kwa Aliyesambaza Picha za Nyufa UDSM

JESHI la Polisi Kanda ya Dar es Salaam, limesema halina taarifa za kukamatwa kwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu wa...

READ MORE

Chama Cha Maofisa Uhusiano Chazinduliwa Dar

CHAMA Cha Maofisa Uhusiano wa Umma (PRST) kimezinduliwa jijini Dar es Salaam, ambapo maudhui makubwa ya kuundwa kwa umoja huo...

READ MORE

Denti UDSM Aliyetuma Picha za Nyufa Mabweni ya Magufuli Adakwa na Polisi

KIJANA Kumbusho Dawson Kagine ambaye ni Mbunge katika Serikali ya Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) amekamatwa na...

READ MORE

Mwandishi wa Mwananchi Adaiwa Kupotea Kibiti Tangu Novemba 21

Mwandishi wa Habari wa Mwananchi, Azory Gwanda anadaiwa kupotea baada ya kuchukuliwa na watu ambao hawajajulikana tangu Novemba 21 mwka...

READ MORE

Pigo Jingine Chadema, Katibu wa Chama Wilaya ya Kahama Atimkia CCM

KATIBU wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga amejivua uwanachama wa chama hicho na na...

READ MORE

Mahakama Yagoma Kufuta Mashtaka 20 ya Gugai wa Takukuru

MAHAKAMA ya Hakimu Mkuu mkazi Kisutu imekataa kuyafuta mashtaka 20 ya utakatishaji fedha kati ya 43 yanayomkabili aliyekuwa mhasibu wa...

READ MORE

Mtulia Rasmia CCM, Awajibu Wanaomtuhumu Kusaliti Upinzani

ALIYEKUWA Mbunge wa Kinondoni kupitia Chama Cha Wananchi (CUF), Maulid Mtulia leo Jumatatu Desemba 4, 2017 amekabidhiwa rasmi kadi ya...

READ MORE

JPM, MPOTO KUKUTANA KAMPENI YA UZALENDO NA UTAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Mgufuli anatarajia kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Kampeni ya...

READ MORE

CUF ya Lipumba Yamlipua Mtulia, Yaanika Alichokifanya Kabla ya Kuhamia CCM -(VIDEO)

CHAMA cha Wananchi upande wa Prof. Ibrahim Lipumba, leo Desemba 4, 2017 kimetoa ufafanuzi huu aliekuwa Mbunge wa Kinondoni (CUF),...

READ MORE

Majeshi ya Polisi Tanzania na Rwanda Waungana Kupambana na Wahalifu

TANZANIA na Rwanda Zimeunganisha nguvu kupitia Majeshi yao ya Polisi chini ya wakuu wake IGP Simon Sirro wa Tanzania na...

READ MORE

Kajala Alia Mwisho wa Mwaka!

MKALI wa Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amefunguka kuwa, anaona mwaka ndiyo unaisha, lakini bado hajatimiza malengo yake aliyojipangia, jambo...

READ MORE

TBA Yakiri Kubomoka kwa Mabweni Mapya ya UDSM Yaliyozinduliwa na JPM

MKURUGENZI wa Wakala wa Majengo nchini (TBA), Mhandisi Elius A. Mwakalinga, amekiri picha zinazosambaa mitandaoni zikionyesha majengo mapya ya mabweni...

READ MORE

Bora Uchebe Afe Kuliko Kumkosa Shilole

  MCHUMBA wa staa wa mduara Bongo, Zuwema Mohamed ‘Shilole’, Uchebe Ashiraf amefunguka kuwa kuliko kumkosa Shilole kwenye maisha yake...

READ MORE

Usiku wa 900 Itapendeza, Dk. Shika Kuungana na Ebitoke, Nature Dar Live

‘BILIONEA’ aliyejizolea umaarufu baada ya kuibuka mshindi katika mnada wa nyumba za mfanyabiashara, Said Lugumi, Dk. Louis Shika anatarajiwa kuungana...

READ MORE

Siku Chache Kabla ya Ndoa, Shilole Hoi, Atundikiwa Dripu

WAKATI akisubiri kufunga ndoa na mchumba wake, Uchebe Ashraf siku chache zijazo, staa wa muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ yu...

READ MORE

Jengo la Ghorofa 10 la Tanesco Ubungo Litakavyoporomoshwa Mwezi Mzima

IKIWA ni kutekeleza agizo la Rais John Magufuli kwa Shirika la Tanesco nchini kubomoa sehemu ya jengo lake lililo kwenye...

READ MORE

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia Atangaza KUhama CUF, Ajiunga CCM (Video)

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CUF, Maulid Mtulia amejiuzulu uanachama wa CUF na kujiuzulu nafasi zake...

READ MORE

Kaka wa Messi Mbaroni Baada ya Bunduki Kukutwa Kwenye Boti Yake Iliyotapaa Damu

  KAKA mkubwa wa nyota wa soka, raia wa Argentina, Lionel Messi, amekamatwa baada ya kukutwa na bunduki isiyokuwa na...

READ MORE

LIVE GLOBAL HABARI: JESHI LA POLISI LATOA TAMKO KUFUATIA NASSARI KUVAMIWA

KUFUATIA tukio la Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake usiku wa kuamkia leo na...

READ MORE

Nyerere Afunguka Wema Kuhamia CCM, Ataja Sababu za Kumjibu Polepole – (Video)

Muigizaji maarufu nchini, Steve Nyerere ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kuwa amefurahishwa sana na maamuzi...

READ MORE

Mama Amlipua Wema LIVE, Adai Steve Nyerere ni Bomu (Video)

IKIWA ni takribani saa 15 tangu mwanaye ambaye ni Queen wa Filamu za Bongo na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006,...

READ MORE

LIVE: CHADEMA Watoa Kauli na Maamuzi Mapya Baada ya Patrobas Kuhamia CCM

KAMATI Tendaji ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), BAVICHA wamefanya uteuzi wa viongozi wake ngazi...

READ MORE

Mbunge Nassari Anusurika Kuuawa Kwa Risasi Na Watu Wasiojulikana – Video

  MBUNGE wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari usiku wa kuamkia leo yeye na  familia yake walivamiwa nyumbani kwao ...

READ MORE

Kisa Wema, Nyerere Amvaa Polepole: Hiki Chama Hujakiunda… Wewe ni Nani?

HEADLINE inayobamba mitandaoni na kwenye vyombo vya ahabri kuanzia jana jioni ni kuhusu Malkia wa Filamu Bongo, Wema Sepetu kuhama...

READ MORE