×

Habari

Necta Yaweka Hadharani Matokeo Ya Darasa La Saba, Yatazame Hapa

Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba leo Oktoba 20,2017. Katibu Mtendaji wa...

READ MORE

Lulu Kortini Tena Leo Kesi ya Kifo cha Kanumba – Video

MSANII wa Filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’ leo Ijumaa, Oktoba 20, amefika katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam...

READ MORE

Nape: Tulia Mjomba Upone Kabisa Kabla Hujasema Mengi

Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amemtaka Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu atulie hadi apone kabla hajasema mengi....

READ MORE

VODACOM WATOA MSAADA WA KOMPYUTA 10 KITUO CHA WATOTO YATIMA

  KAMPUNI ya Mawasiliano ya Simu ya Vodacom leo imekabidhi msaada wa kompyuta 10  katika Kituo cha Child In The...

READ MORE

Serikali Yafikia Maridhiano na Barric, Kugawana Makinikia 50 kwa 50 – Video

RAIS John Magufuli amepokea taarifa ya maridhiano kati ya serikali ya Tanzania na Kampuni ya uchimbaji madini ya Barric Ikulu...

READ MORE

Waraka wa Zitto Baada ya Kusikia Sauti ya Lissu Akitoka ICU

JANA nimefarijika kukusikia tena sauti yako tangu nikusikie nilipokuja kukusabahi hospitalini. Sauti yako sasa imeboreka na kurudi sauti ile ile...

READ MORE

Mwigamba wa ACT Wazalendo na Wenzake 10 Wahamia CCM

IKIWA ni siku tatu baada ya Samson Mwigamba kujiuzulu uenyekiti wa Kamati ya Kampeni na Uchaguzi Taifa na ujumbe wa...

READ MORE

Kesi ya Lulu Yaunguruma, Mdogo wa Kanumba Asimulia Ugomvi Siku ya Tukio – (Pichaz + Video)

KESI inayomkabili mwigizaji maarufu wa Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhusishwa na kifo cha aliyekuwa staa wa filamu nchini, Steven...

READ MORE

Uchaguzi Kenya: Odinga Mbishi, Kenyatta Mbabe

KIONGOZI wa Umoja wa Muungano wa Upinzani nchini Kenya (NASA), Raila Odinga amesema wafuasi wake watafanya maandamano makubwa zaidi siku...

READ MORE

Famous Furniture Yatua Dar, Wakali Wa Magodoro, Masofa

  KAMPUNI  ya Famous Furniture ya Rochester, New York, Marekani, imefungua duka lake nchini eneo la biashara la Mlimani City,...

READ MORE

Lulu Awasili Mahakamani Kesi ya Kifo cha Kanumba – Video

#GlobalHabariUpdates: Muigizaji maarufu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ akiambatana na mama yake mzazi, Lucresia Karugila wamewasili katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar...

READ MORE

Madiwani Waliojiuzulu Chadema Wapigwa Chini Kura ya Maoni CCM

MADIWANI watatu wa Chadema waliojiuzulu katika Halmashauri ya Meru mkoani Arusha na kujiunga na CCM, wameangushwa katika kura ya maoni...

READ MORE

DROO KUBWA SHINDA NYUMBA WASHINDI DINNER SET KICHEKO!

WASHINDI watatu wa Dinner Set, waliopatikana wakati wa uchezeshaji wa droo kubwa ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya...

READ MORE

MISS TANZANIA AKABIDHIWA BENDERA YA UREMBO WA DUNIA 2017

MISS Tanzania mteule wa mwaka 2017, Julitha Kabete,  leo amekabidhiwa bendera ya Tanzania kwa ajili ya kushiriki mashindano ya urembo...

READ MORE

Mama Aliyenyang’anywa Mume na Mwanaye wa Kumzaa Asimulia Mazito – Part 3

Mama afunguka kunyang’anywa mme na mwanaye wa kumzaa. Duh kweli duniani kuna mambo, huwezi kuamini kama mtoto anaweza kumsaliti mama...

READ MORE

Breaking News: Picha za Tundu Lissu Yatoka Kwa Mara ya Kwanza

Baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe jana kuahidi mbele ya waandishi wa habari kwamba...

READ MORE

HESLB Yaanika Orodha ya Wanafunzi Waliopatiwa Mikopo

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema baada ya uchambuzi wa maombi ya mikopo ya elimu...

READ MORE

Polisi Waua Majambazi Wawili Dar, Wakamata Mabomu ya Kijeshi!

KAMANDA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa, ametoa ripoti ya matukio ya kihalifu yanayoendelea hapa nchini ambapo...

READ MORE

GF Trucks & Equipments Yaikabidhi Mbao FC Basi la Sh. Mil 70

  KLABU ya Mbao ya jijini Mwanza imekabidhiwa basi lenye thamani ya Sh70 milioni kwa ajili ya wachezaji. Basi hilo...

READ MORE

ACT-Wazalendo Wafunguka Kung’atuka kwa Mwigamba, Waishutumu CCM – Video

UONGOZI wa ACT-Wazalendo umesema u,naheshimu maamuzi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampeni na Uchaguzi wa chama chao, Samson Mwigamba aliyeandika barua...

READ MORE

Janeth Museveni: Mabinti Zangu Waliolewa Wakiwa Bikira

MKE wa Rais wa Rwanda, Yoweri Museveni, Janet Museveni amesema kuwa aliwalea na kuwatunza mabinti zake vizuri hadi wanaolewa wakiwa...

READ MORE

Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Kenya Ajiuzulu Akiwa Marekani

Nairobi, Kenya. Kamishna wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) nchini Kenya, Dk Roselyn Akombe ametangaza kujiuzulu nafasi yake...

READ MORE

WAZIRI ULEGA NA ZIARA YA KUHIMIZA UFUGAJI NA MAENDELEO

 Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kibamba juu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo...

READ MORE

MEYA WA KINONDONI ASAINI MIKATABA UJENZI KIWANDA CHA MBOLEA

MEYA wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamin Sitta leo ametia saini mkataba na Kampuni ya CRJE ya China, inayotarajia kujenga kiwanda...

READ MORE

WASHINDI WA WEKA AMANA NA BENKI YA CBA WAPATIKANA

  BENKI ya CBA, leo iliendesha droo yake ya Nne katika kampeni ya kuhamasisha umma kujiwekea akiba inayojulikana kama ‘weka...

READ MORE

Mama Aliyenyang’anywa Mume na Mwanaye wa Kumzaa Asimulia Mazito – Part 2

Mama afunguka kunyang’anywa mme nà mwanaye wa kumzaa. Duh kweli duniani kuna mambo hakuna wakumuamini kama mtoto anaweza kumsaliti mama....

READ MORE

WARAKA MZITO WA KUSHTUA KWA RAIS JPM… BABU SEYA AANIKA MAPYA

HIVI karibuni ulisambazwa waraka mzito na wa kushtua kwenye mitandao ya kijamii uliosemekana umeandikwa na mwanamuziki wa dansi mkongwe nchini,...

READ MORE

San; Kabila la Namibia Lililokuwa Halijui Fedha-3

KATIKA matoleo mawili yaliyopita nilijikita kumsimulia muigizaji maarufu X!xau aliyecheza filamu maarufu za “The Gods Must Be Crazy aliyetoka Kabila...

READ MORE

Mbowe Afungukia CCTV Kamera Zilizonasa Tukio la Lissu, Aituhumu Tena Serikali – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema afya ya Mbunge Tundu Lissu ambaye amelazwa hospitalini Nairobi, Kenya, baada ya kushambuliwa...

READ MORE

Takukuru Yatoa Tamko Ushahidi wa Lema, Nassari Kuhusu Madiwani – Arusha

WANANCHI wanaopeleka taarifa katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) wametakiwa kuwa na subira na kutokishinikiza chombo...

READ MORE

Walioongoza Harakati za Kujitenga kwa Catalonia Yawakuta

JAJI nchini Uhispania amewazuia rumande viongozi wakuu wawili wa harakati za Uhuru wa Catalonia. Jordi Sánchez, ambaye anaongoza bunge la...

READ MORE

TMA Yatahadharisha Kuhusu Mvua Zitakazonyesha Novemba Hadi Aprili -Video

MAENEO ya Kusini-Magharibi mwa nchi yanategemewa kuanza kupata mvua za masika kuanzia mwezi Novemba mwaka huu hadi Aprili mwaka kesho...

READ MORE

Shambulio la Kikatili, 300 Wafariki Dunia Mogadishu

IDADI ya watu waliouawa kwenye, mlipuko mkubwa wa bomu katika eneo lenye shughuli nyingi kwenye Mji Mkuu wa Somalia Mogadishu...

READ MORE

RC MAKONDA, APOKEA TSH MIL.50 KUTOKA KWA PBZ

BENKI ya watu wa Zanzibar [PBZ], imemkabidhi hundi ya Tsh Mil.50, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,...

READ MORE

WAZIRI AHIMIZA UPENDO KWA WAKULIMA, WAFUGAJI MKURANGA

  NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ullega amewataka wakulima na wafugaji waondokane na chuki iliyopo kati yao ikiwa...

READ MORE

MHASIBU UBALOZI WA TANZANIA MSUMBIJI APANDISHWA KORTINI KISUTU

  MHASIBU wa Ubalozi wa Tanzania nchini Msumbiji, Joyce Moshi (56) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na...

READ MORE

Nassari Apeleka Flashi Nyingine ya Ushahidi Takukuru -Video

MBUNGE wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari (Chadema)  amewasilisha ushahidi mwingine kwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kuhusu...

READ MORE

VIGOGO WA CHUO CHA FEDHA WAPATA DHAMANA

  VIGOGO wawili wa Chuo cha Uhasibu Tanzania (TIA) wanaokabiliwa na kosa la kuisababishia serikali hasara ya Sh. Bilioni 1,097,681,107,...

READ MORE

Kesi ya Lulu Kuhusishwa na Kifo cha Kanumba Kuanza Kuunguruma

MSANII maarufu wa kike wa fani ya uigizaji wa filamu nchini, Elizabeth Michael Kimemeta, ‘Lulu’, anayekabiliwa na kesi ya mauaji...

READ MORE