×

Habari

Mifupa ya Binadamu Yakutwa Kwenye Bwawa Mkoani Shinyanga

KAMANDA wa polisi mkoa wa Shinyanga, Kamishna Msaidizi Simon Haule amethibitisha kuokotwa kwa viungo vya mwili wa binadamu katika bwawa...

READ MORE

Mwana FA Awananga Wenzake

MWANA-HIP Hop asiyechuja Hamisi Mwijuma maarufu kama Mwana FA, amewananga wasanii wenzake akidai kuwa wengi wao wanafahamika kwa kiki zao...

READ MORE

Marie Stopes Yatoa Huduma Ya Kupima Magonjwa Bure Kwa Wa Siku Tatu

Hospitali ya Marie Stopes iliyoboreshwa na kituo cha kupokea simu za wateja, Mwenge jijini Dar es salaam hivi karibuni.  

READ MORE

Breaking News: Raila Odinga Ajiondoa Kwenye Uchaguzi Mkuu Kenya

Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, ametangaza kuwa hatashiriki kwenye uchaguzi mkuu ambao unapangwa kufanyika tarehe 26 mwezi...

READ MORE

Mugabe Afanya Maamuzi Magumu Kama ya Rais Magufuli

HARARE, ZIMBABWE: Ikiwa ni siku tatu baada Rais John Magufuli kufanya mabadiliko ya Baraza lake la Mawaziri hapa nchini, Rais...

READ MORE

HALOTEL KUWEZESHA VICOBA KUWASILIANA BURE

      Taarifa kwa Vyombo vya Habari   DAR ES SALAAM;  Kuendelea kukua kwa teknolojia ya Mawasiliano, kumekuwa chachu...

READ MORE

TRA Yaanika Makusanyo Yake ya Miezi Mitatu

Makusanyo ya kodi kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha wa 2017/2018 (Julia, Agosti na Septemba) yamefikia Sh3.65 trilioni...

READ MORE

KESI YA WAETHIOPIA 40 YAAHIRISHWA KISUTU

KESI ya raia 40 wa Ethiopia waliokuwa wanakwenda Afrika Kusini wakipitia Tanzania imeahirishwa leo hadi Oktoba 13 mwaka huu katika...

READ MORE

Tatizo La Nguvu Za Kiume Kwa Wanaume Wa Dar Linavyotikisa

KELELE zimekuwa nyingi na limetikisa kwenye mitandao ya kijamii na mitaani, ikiwemo kwenye migahawa, vijiweni, saluni na kwingineko kuhusu madai...

READ MORE

Mshindi Shinda Nyumba…Dar Sipawezi, Nitabaki Dom

  MSHINDI wa Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili, George Majaba ambaye ni mkazi wa Makole Dodoma, wakati...

READ MORE

Mwanza: Mkuu wa Shule Ajinyonga Chumbani Kwake

MKUU wa Shule ya Sekondari Migukulama iliyopo Halmasahauri ya Buchosa wilayani Sengerema, Benedicto Lweikiza (45) amejinyonga hadi kufa akiwa chumbani...

READ MORE

Barua ya Kitila Mkumbo Ajivua Uanachama wa ACT-Wazalendo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Prof. Kitila Mkumbo amejivua rasmi uanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo. MAGAZETI: Siku...

READ MORE

Mawaziri Wapya Naombeni Tutete Kidogo…Napasua Jipu

    NAMSHUKURU Mungu wa Mbinguni, kwa fadhili zake ni za milele. Amekuwa nami katika kila hatua niipigayo maishani kwangu,...

READ MORE

JPM Ashtushwa na Vifo vya Watu 12 Ziwa Victoria

Rais Magufuli ametumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela kufuatia vifo vya watu 12. Rais Magufuli...

READ MORE

Wakili wa Godbless Lema Ajitoa Kesi ya Uchochezi

WAKILI Sheck Mfinanga amejitoa kumwakilisha mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema katika kesi ya uchochezi akidaiwa kumkashifu Rais John...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumuua Mwanaharakati wa Wanyamapori Wafikishwa Kortini

WATUHUMIWA wa mauaji ya mwanaharakati wa kuhifadhi Wanyamapori raia wa Afrika Kusini, Wayne Lotter, aliyepigwa risasi na kuuawa maeneo ya...

READ MORE

Mwanza: Wanane Wafariki Baada ya Hiace Kutumbukia Ziwa Victoria – Video

WATU nane wamekufa na wawili wameokolewa wakiwa salama baada ya Toyota Hiace kutumbukia Ziwa Victoria katika kivuko cha Kigongo Feri...

READ MORE

Mawaziri Wapya wa JPM Waanika Mikakati Yao, Sasa ni Mchakamchaka

MAWAZIRI na manaibu walioapishwa na Rais John Magufuli, wametoa ahadi ya jinsi watakavyotekeleza majukumu yao. Mawaziri na manaibu walioapishwa leo...

READ MORE

Waraka Mzito wa Kibatala kwa Tundu Lissu

WAKILI wa kujitegemea, Peter Kibatala ameandika waraka kwa Rais wa chama cha Wanasheria wa Tanganyika  (TLS), Tundu Lissu kwamba atahakikisha...

READ MORE

Ndugai Ampa Tano Dkt. Kashililah

Spika wa Bunge, Job Ndugai amemshukuru aliyekuwa Katibu wa Bunge, Dk Thomas Kashililah kwa utumishi uliotukuka. Ametoa shukrani hizo leo...

READ MORE

Mwenyekiti wa Halmashauri Akidaiwa Kutishia Kuua

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tunduma, Herode Jivava ametiwa nguvuni na Polisi akidaiwa kutishia kuua kwa maneno. Jivava ambaye pia...

READ MORE

Rais Magufuli Awaapisha Mawaziri Wapya – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Mawaziri na Manaibu Mawaziri wapya walioteuliwa kufuatia mabadiliko...

READ MORE

Roma: Kutembea na Waleti ni Mzigo

STAA wa Ngoma ya Zimbabwe, Ibrahim Musa, ‘Roma Mkatoliki’ amefunguka kuwa, katika maisha yake kamwe hawezi kutembea na waleti mfukoni...

READ MORE

Dkt. Kashililah Baada ya Kuenguliwa Asema Rais Magufuli Yuko Sahihi

KATIBU wa Bunge wa zamani, Dkt. Thomas Kashililah amesema, Rais John Magufuli hakufanya kosa katika uteuzi wa Katibu wa Bunge....

READ MORE

Sirro Asema Hataki Malumbano Kuhusu Kushambuliwa Lissu

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Simon Sirro amesema hataki malumbano na hana majibu kuhusu shinikizo linalotolewa na Chadema...

READ MORE

MASAILAND; GLAMOROUS TOURIST HOTEL IN ARUSHA!

  TALKING of Arusha Region and its tourist attractions one has to reckon with Masailand Hotel which has all the...

READ MORE

IGP SIRRO AWAJENGEA UWEZO ASKARI WA MBEYA

  Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, Jana alizungumza na askari wa kikosi maalumu cha kupambana na...

READ MORE

Mahafali Darasa la Saba Msingi St. Mary’s Yafana!

  WAHITIMU wa darasa la saba wa Shule ya Msingi ya St. Mary’s iliyoko Mbezi-Goigi, jijini Dar es |Salaam, jana...

READ MORE

MASAILAND: HOTELI NZURI YA KITALII ARUSHA!

  UKIZUNGUMZIA Mkoa wa Arusha na vivutio vyake, kamwe huwezi kuiweka pembeni Hoteli ya Masailand yenye mandhari nzuri kwa mapumziko....

READ MORE

Aua Wapenzi Wawili Akiishia Kujitoa Utumbo

Watu wawili wamefariki dunia na mwingine mmoja kujijeruhi baada ya kutokea ugomvi unaohusishwa na wivu wa mapenzi mjni Bunda.  ...

READ MORE

Maghembe, Lwenge Wang’oka Baraza la Mawaziri

RAIS John Magufuli amefanya mabadiliko katika Baraza lake la Mawaziri kwa kuwahamisha baadhi yao kwenda wizara nyingine, kuwapandisha baadhi ya...

READ MORE

Pspf Yawazawadia Wafanyakazi Wake Kwenye Kilele Cha Wiki Ya Huduma Kwa Wateja Duniani

Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, amewapongeza wafanyakazi wa Mfuko huo, kwa kazi nzuri wanayofanya...

READ MORE

Mbowe: Lissu Amefanyiwa Upasuaji Mara 14

Babati. Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu amefanywa upasuaji mara 14 na ataendelea...

READ MORE

Mbowe Ampongeza Rais Magufuli Kutenganisha Wizara Ya Nishati Na Madini

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amepongeza kitendo cha Rais John Magufuli kuitenganisha Wizara ya Nishati na Madini kwa kuwa kwa...

READ MORE

JUKATA Wakomaa na Rais Magufuli Kuhusu Maandamano ya Katiba

JUKWAA la Katiba (Jukata) limemuomba Rais John Magufuli apokee maandamano ya amani kushinikiza kufufua mchakato wa Katiba mpya. Jukata limefikia maamuzi...

READ MORE

Taarifa Rasmi ya Ikulu Kuhusu Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri – VIDEO

Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri nchini huku akizigawanya baadhi ya wizara zikiwemo Wizara ya...

READ MORE

Meli ya Mfalme wa Oman Imeondoka Kuelekea Zanzibar Tanzania

Meli ya Mfalme wa Oman, Sultan Qabous imeondoka Leo kuelekea Zanzibar Tanzania. Ikifika huko Zanzibar itafanya safari ya kwenda Dar-es Salaam...

READ MORE