×

Habari

Hawa Jamaa Wamevurugwa Hatari

  UZALENDO ni kukubali kilicho chako hata kama kibaya. Lakini si dhambi kusifia cha mwenzio kizuri. Nasema hivyo kwa sababu...

READ MORE

Rais Magufuli Ateua Mwenyekiti Mpya Bodi ya Wakurugenzi TRA

  IKULU: Rais Magufuli amemteua Prof. Florens Luoga kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRA kuchukua nafasi ya Bernard Mchomvu...

READ MORE

Ubuyu Ulionyooka! Wolper Ndani ya Penzi Jipyaaa

  Ubuyu ambao upo mezani leo ni wa staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Massawe ambaye kwa sasa yupo kwenye...

READ MORE

Ujenzi barabara za juu Ubungo waanza

MRADI wa Ujenzi wa barabara za juu ((Interchange) Ubungo uliowekewa jiwe la msingi na Rais John Magufuli miezi kadhaa iliyopita...

READ MORE

Madee, Lulu Mahaba Niue!

  STAA wa Bongo Fleva anayejiita Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ na staa mwenzake wa muziki huo, Lulu Abbas...

READ MORE

Mshuhudie LIVE Mtanzania Mrefu Kuliko Wote na Mateso Anayoyapata

  JULIUS Charles, huenda ndiye Mtanzania mrefu kuliko wote kwa sasa, akiwa na urefu wa futi saba na nchi mbili,...

READ MORE

Wafanyakazi wa Global Wakijiachia Ufukwe wa Bahari ya Hindi

Jumamosi iliyopita, wafanyakazi wa Global Publishers walipata fursa ya kwenda kujiachia kwenye ufukwe wa Hawaii ulioko Bahari ya Hindi eneo...

READ MORE

Uhakika, Rooney Athibitisha Kutua Bongo

  Uhakika ni kuwa staa wa soka wa England, Wayne Rooney anatarajiwa kutua nchini Tanzania akiwa na kikosi chake cha...

READ MORE

Chadema Yaibuka na Operesheni ‘Ondoa Msaliti’

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza operesheni maalumu ijulikanayo kama Ondoa Msaliti Buguruni (OMB) kwa lengo la...

READ MORE

BEYONCE, KIM KARDASHIAN KUNA NINI TENA???

MSANII kutoka Marekani ambaye pia ni mke wa Rapa Jay Z, Beyonce Knowles ameibuka gumzo mitandaoni baada ya kukataa zawadi...

READ MORE

NI ZAMU YA WOLPER KUCHORWA TATTOO

Baada ya kutupiwa virago na mpenzi wake wa zamani, diva kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Jacqueline Wolper, amempata ‘baby’ mwingine...

READ MORE

Kesi ya Kukutwa na Bangi, Wema Awasili Mahakamani na Mama Yake

  MLIMBWENDE mwenye jina kubwa Bongo, Wema Sepetu amefika katika Mahakamani ya Hakimu Mkazi Kisutu mapema leo  akiwa na mama...

READ MORE

Rais Magufuli Awakumbuka Mkapa na Kikwete

  Rais John Magufuli ameukumbuka mchango wa marais wastaafu, Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete na kuwashukuru huku akieleza kuwa wao...

READ MORE

Dar: Jeshi la Polisi Lakamata Watuhumiwa 250

  Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limewakamata zaidi ya watu 250 wanaokabiliwa na makosa mbalimbali, ikiwemo...

READ MORE

Wauaji Kibiti Waua Mwingine kwa Risasi, Mkewe Ajeruhiwa

  Watu wasiojulikana wanadaiwa kumuua kwa kumpiga risasi, mkazi wa Kijiji cha Ruaruke, wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, Ramadhani Mzurui,...

READ MORE

VIDEO+TWEETS: HOTUBA ya JPM Akipokea Nyumba 50 Kutoka kwa Mkapa

Rais Dkt. John Magufuli amezindua rasmi nyumba 50 zilizojengwa na Taasisi ya Mkapa, Chato mkoani Geita kwa ajili ya watumishi...

READ MORE

VIDEO: Halima Mdee Asomewa Shtaka Kisutu, Aachiwa kwa Dhamana

  Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amefikishwa katika Mahakama ya Kisutu leo asubuhi ili kusomewa mashtaka ya kesi yake inayomkabili....

READ MORE

Mwakyembe Alivunja Baraza la Michezo kwa Agizo la Waziri Mkuu

  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, leo Julai 10 amesitisha uteuzi wa mwenyekiti pamoja na...

READ MORE

VIDEO: KIMEKUKA! Ngeleja Arudisha Tsh. Mil. 40 za ESCROW

  Mbunge wa Sengerema kwa tiketi ya CCM, William Ngeleja amerudisha pesa kiasi cha Tsh milioni 40.4 alizohusishwa nazo kwenye...

READ MORE

Taarifa ya Efm Juu ya Kifo cha Bikira wa Kisukuma

Kwa majonzi makubwa, Uongozi na wafanyakazi wote  wa Efm Radio na TV-E , unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu Seth...

READ MORE

LIVE: Rais Magufuli Apokea Nyumba 50 za Mkapa Foundation -Chato

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa ametembelea na kuzindua nyumba ya wahudumu wa afya katika kijiji cha Mkungo...

READ MORE

Mlela Asimulia Alivyonusa Kifo

  MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Yusuf Mlela amesimulia mazingira yote ya namna alivyonusa kifo, kufuatia ajali aliyoipata hivi karibuni iliyosababisha...

READ MORE

Hali ya Shumi Yadaiwa Kuwa Tete Ughaibuni

  MWIGIZAJI wa kitambo Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ au ‘Shumi’ anadaiwa kuwa na hali tete ya kimaisha nchini India kufuatia...

READ MORE

Rose Muhando: Siogopi Wanaonisema Vibaya

STAA wa nyimbo za Injili, Rose Muhando amefunguka kuwa, haogopi watu wanaomsema kwa ubaya kila kona bali anaangalia kile kilichomsababisha...

READ MORE

Mimba ya Hamisa Mobeto Jipu Pwaaa

WAKATI yakisemwa mengi juu ya ujauzito alionao ambao kwa sasa hauhitaji miwani ili kuuona, mwanamitindo matata Bongo, Hamisa Mobeto amepasua...

READ MORE

TANZIA: MTANGAZAJI ‘BIKIRA WA KISUKUMA’ AFARIKI

Mtangazaji za kituo cha redio cha EFM, Seith Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma, amefariki dunia leo katika Hospitali ya...

READ MORE

MEYA MWITA AMTEMBELEA KARDINALI PENGO

MSTAHIKI Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Dar es salaam...

READ MORE

NMB Yawafungulia Watoto Akaunti ya Wajibu Tamasha la Watoto

BENKI yenye mtandao mkubwa zaidi nchini ya National Microfinance Bank (NMB) leo imewafungulia watoto mbalimbali Akaunti ya Wajibu bila malipo...

READ MORE

Viongozi wa Ukawa Walivyoipamba Harusi ya Prof. Jay (Video)

(PICHA NA RICHARD BUKOS | GLOBAL PUBLISHERS)

READ MORE

Rais Putin: Nimeimarisha Uhusiano Wangu na Trump

RAIS wa Urusi, Vladmir Putin,  amesema kuwa ameimarisha ushirikiano wake wa kikazi na rais wa Marekani Donald Trump ambapo amesema...

READ MORE

PICHAZ: Sugu, Msigwa Walivyokata Mauno Harusi ya Prof. Jay

  USIKU wa kuamkia leo ilikuwa ni shangwe kwenye Ukumbi wa Mlimani City wakati wa sherehe ya Rapper nguli wa...

READ MORE

Lukaku Kupandishwa Kortini Nchini Marekani

Pamoja na kuwa gumzo kuhusiana na uhamisho wake kwenda Manchester United, ’Romelu Lukaku atapandishwa kizimbani nchini Marekani. Mshambulizi huyo wa...

READ MORE

ZANTEL YAZINDUA ‘APP’ YA SIMU KUHAMASISHA UTALII NCHINI

Dar es Salaam, Tanzania, Juni 29 2017. Kampuni ya simu za mkononi Zantel ambao wanaongoza katika utoaji wa huduma bora...

READ MORE

Majina ya Wagombea Waliopitishwa na ‘Waliochinjwa’ Uchaguzi Mkuu TFF

Kamati mpya ya Uchaguzi wa TFF, imetangaza majina ya wagombea waliopita usaili huku Rais wa TFF, Jamal Malinzi akiondolewa.  ...

READ MORE

Waziri Wa Fedha Na Mipango, Dkt. Philip Mpango Ajiunga Na PSPF

 Waziri Dkt. Mpango (kulia), akipokea fomu ya kujiunga na PSS, kutoka wka Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Msanii...

READ MORE

Wana Chadema 51 Mbaroni Chato

Viongozi na wanachama 51 wa Chadema waliokamatwa jana wakiwa kwenye kikao cha ndani wilayani Chato wanaendelea kushikiliwa na polisi kwa...

READ MORE

Tayari Nahodha wa Zamani wa Everton Ametua Dar

  Mchezaji wa zamani wa Everton, Leon Osman ametua nchini leo na ataendesha mafunzo ya siku moja kwa waandishi na...

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kifo cha Mkewe, Mzee Yusuf Aoga Matusi Ukweni

  SIKU chache baada ya aliyekuwa mwanamuziki maarufu wa Taarab Bongo, Alhaj Mzee Yusuf kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis,...

READ MORE

Mwanza: Polisi Waua Majambazi 6

  Watu sita wanaosadikiwa kuwa majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na polisi katika mtaa wa Fumagila Mashariki Kata ya...

READ MORE