×

Habari

Waziri Mwijage Afunguka Baada JPM Kutoridhishwa na Utendaji Wake

Jana (August 6, 2017) Rais Magufuli  alitoa kauli ya kutoridhishwa na hatua zinazochukuliwa na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji...

READ MORE

Tundu Lissu Amvaa Mwijage

Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu amefunguka na kumchana Waziri Waziri wa...

READ MORE

Chadema Yalalamikia Mahakimu Kuwanyima Dhamana Wanachama Wake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelalamika dhidi ya baadhi ya mahakimu wanaokataa kupewa dhamana viongozi na wanachama wake wanaokabiliwa...

READ MORE

Yanga Kuna Kombinesheni 3 Hatari

  KOCHA Mkuu wa Yanga, George Lwandamina ameonekana kutengeneza safu mbili za ushambuliaji atakazozitumia kwenye msimu ujao wa Ligi Kuu...

READ MORE

Prof. Maji Marefu Ataka Rais Magufuli Abaki Madarakani Miaka 20

Mbunge wa Korogwe Vijijini Steven Hillary Ngonyani alimaarufu kama ‘Prof. Maji Marefu’ amefunguka na kutaka Rais Magufuli aongezewe miaka mingine...

READ MORE

Manji Akwama Tena Mahakama Kuu

Manji akwama tena mahakama kuu MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya kupewa dhamana kwa mfanyabiashara...

READ MORE

Kaseke: Subiri Muone Singida Utd ni Timu Bora

  KIUNGO wa zamani wa Klabu ya Yanga, Deus Kaseke amesema japokuwa wamepoteza mechi yao ya kirafiki dhidi ya timu...

READ MORE

Kesi ya Uchochezi, Halima Mdee Awasilisha Pingamizi Kortini

  Mbunge wa Kawe, Halima Mdee kupitia kwa Mawakili wake amewasilisha pingamizi la awali katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

READ MORE

Niyonzima Aliyowakwepa Yanga Airport

KIUNGO mpya wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima alitua nchini jana alfajiri akitokea kwao Rwanda tayari kwa kujiunga na kikosi cha...

READ MORE

PENZI LA GWAJIMA, FLORA JIPU PWAA!

  TAKRIBAN miaka miwili iliyopita kuliibuka sarakasi ya aina yake  katika ndoa ya waimba Injili wawili Bongo, Emmanuel Mbasha na...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Azindua Stendi Mpya ya Mabasi Korogwe -Tanga

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amezindua rasmi stendi ya mabasi wilayani Korogwe, Tanga akihitimisha...

READ MORE

Nisha: Mpenzi Wangu Hafurukuti

LICHA ya kusambaa video yake ya zamani akielezea anavyompenda msanii wa Bongo Fleva, Barakah The Prince huku akionesha tattoo aliyojichora...

READ MORE

Vigezo 10 Vilivyotajwa na HESLB kwa Wanafunzi Wanaoomba Mikopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetangaza mwongozo na vigezo vya utoaji mikopo na ruzuku kwa mwaka...

READ MORE

Dk Fadhili: Wolper ni ‘Wife Material’

TABIBU maarufu Bongo, Dk Fadhili Emily ameibuka na kumkingia kifua muigizaji Jacqueline Wolper kuwa anafaa kuwa mke wa mtu tofauti...

READ MORE

Magazeti Ya Tanzania Leo Jumatatu, Agosti 7, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Agosti 7, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Onyo Waziri Mwijage

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameelezea kutoridhishwa kwake na hatua zinazochuliwa na Wizara...

READ MORE

Utoaji Tinted Magari: Paul Makonda Atengua Agizo la Polisi Dar

“Nasitisha zoezi lililotolewa na polisi Mkoa wa Dsm la kuondoa tinted lililopangwa kuanza kesho hadi nitakapopewa na polisi hoja za...

READ MORE

BONGE LA NYAU ATOBOA SIRI YA KUPOTEA KWENYE GEMU

  Baada ya kupotea kwenye gemu kwa zaidi ya mwaka mzima, msanii wa Bongo Fleva , Bonge la Nyau, amefunguka...

READ MORE

Kituo cha Kuhesabia Kura cha Upinzani Kenya Chavamiwa

IKIWA ni siku tatu kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika nchini Kenya, Muungano wa Upinzani (NASA) umeishutumu serikali kuwa imevamia moja...

READ MORE

Washukiwa wa Mauaji ya Mkurugenzi TEHAMA Kenya Wakamatwa

Jeshi la Polisi nchini Uganda linawashikiliwa watuhumiwa 3 (Mkenya 1 na Waganda 2) wa mauaji ya Meneja wa TEHAMA wa...

READ MORE

Hivi Ndivyo Ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal Ilivyovunjika

Msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambaye hivi karibuni kumeibuka minong’ono kuwa ndoa yake na Nawal imesambaratika, amefunguka kuhusu hilo...

READ MORE

Tamasha La Usalama Barabarani Kufanyika Agosti 12 Mwaka Huu

NAIBU Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema kuwa Tamasha la Usalama Barabarani ambalo lilitarajiwa kufanyika Agosti...

READ MORE

‘DOGO’ APATA BONGE LA ZALI BAADA YA KUBETI, ALAMBA MIL 284

  MSHINDI wa michezo ya kubahatisha kutoka mkoani Singida, Kikuba Ramadhan Kimu amejishindia kitita cha  shilingi milioni 284 baada ya kubeti...

READ MORE

VIDEO: Trafiki, Bongo Movie na Bongo Fleva Sasa Nguvu Moja Kutokomeza Ajali

  WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi kupitia Kikosi cha Usalama Barabarani imeamua kuunganisha nguvu na wasanii hapa nchini...

READ MORE

Rais Magufuli Aridhia Kumpelekea Gesi Museveni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia ombi la Rais wa Uganda Yoweri Museveni la...

READ MORE

Rais Magufuli Amchimba Mkwara Mbunge wa CUF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amempiga biti Mbunge na viongozi wa upinzani mkoani...

READ MORE

ULAYA HAKUKALIKI: JOTO KALI LATISHIA UHAI

Kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa yanayotokea kwa sababu ya shughuli za binadamu ikiwemo ongezeko la viwanda, joto kali...

READ MORE

Rais Magufuli Amaliza Bifu la Makonda na Ruge Jukwaani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amemaliza bifu kubwa lililokuwepo kati ya Mkurugenzi wa Vipindi na...

READ MORE

Askofu Gwajima Kununua Ndege ya Kisasa

Baaada ya kimya cha muda mrefu Askofu Mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima, Mchungaji Josephat Gwajima ameibuka na kutangaza...

READ MORE

Povu la Ndikumana kwa Uwoya Lachafua Hali ya Hewa

  Mwanasoka wa Kimataifa kutoka Rwanda, Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa ndoa wa staa wa filamu za Bongo, Irene...

READ MORE

UKATILI WA KUTISHA: HAUSIGELI AMCHOMA MOTO MTOTO WA BOSI (VIDEO)

Inasikitisha! Hausigeli aliyetajwa kwa jina moja la Maua anashikiliwa kwenye Kituo cha Polisi cha Mbezi kwa Yusufu kwa kudaiwa kumchoma...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya Lowassa Kumpigia Debe Kenyatta

Zikiwa zimebaki siku mbili nchi ya Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amefunguka sababu...

READ MORE

RWANDA: Rais Paul Aweka Historia Ushindi Urais

Tume ya Uchaguzi nchini Rwanda imemtangaza Paul Kagame kuwa mshindi wa urais wa nchi hiyo katika uchaguzi uliyofanyika jana Ijumaa,...

READ MORE

LIVE: Uzinduzi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Kutoka Uganda Hadi Tanga

  Tayari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefika katika Viwanja vya Chongoleani jijini Tanga...

READ MORE

VIDEO: Tundu Lissu Afafanua Kilichotokea Kuhusu ‘Mkojo wa Wema’

Kufuatia skata la kesi ya Wema Sepetu ambaye anadaiwa mkojo wake ulikutwa na chembechembe za bangi baada ya kupimwa na...

READ MORE

Manji Hali ni Tete, Azidi Kusota Mahabusu

  Upande wa serikali umewasilisha pingamizi la awali Mahakama Kuu ya Tanzania kupinga maombi ya dhamana ya mfanyabiashara Yusuf Manji....

READ MORE

Sakata la Acacia, Bangi Vyawaweka Matatani Wabunge Wawili wa Mara

  Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche anashikiliwa na Jeshi la Polisi Tarime, huku Mbunge wa Tarime Mjini Esther Matiko...

READ MORE

Darassa, Snura Kuweka Historia Chato Kesho

  IMEFIKA! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi, hatimaye wakali wawili wasioshikika kunako gemu la Muziki wa Bongo...

READ MORE