×

Habari

Kauli ya TAKUKURU Baada ya Kuwakamata Jamal Malinzi, Mwesigwa

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania, (Takukuru) imethibitisha kumshikiria Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi...

READ MORE

Watoto wa Mzee Yusuf: Yupo Wapi Mama?

HAKIKA ni huzuni! Zikiwa zimepita siku kumi tangu apate pigo la kufiwa na mkewe mdogo, Chiku Khamis, aliyekuwa Mfalme wa...

READ MORE

Emmanuel Mbasha Amkana ‘Mchumba’ke’

  BAADA ya kudaiwa kumvisha pete ya uchumba mshiriki wa Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa ‘Jack’, Mwimbaji wa Nyimbo za...

READ MORE

Breaking News: Maalim Seif Aishutumu RITA Kusajili Wajumbe wa Bodi CUF

  #GlobalBreakingNews: Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif amesema haki ya Wazanzibari iliyopotea kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 itapatikana...

READ MORE

Tambwe Mambo Safi Yanga

UONGOZI wa Yanga upo kwenye hatua za mwisho za kufanikisha kumuongezea mkataba mwingine mshambuliaji wao tegemeo raia wa Burundi, Amissi...

READ MORE

VIDEO: Jonas Mkude Apewa Tuzo Mwanza

Tawi la timu ya soka ya Simba jijini Mwanza, Simba Mwanza Task Force imemkabidhi tuzo ya heshima nahodha wa timu...

READ MORE

Rais wa Tff Malinzi na Katibu Wake Watiwa Mbaroni na TAKUKURU

Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake, Selestine Mwesigwa wanashikirikia na Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Breaking News: Mtendaji wa Kijiji Auawa Kibiti, Nyumba ya Mwenyekiti Yachomwa Moto

  KIBITI: Viongozi wawili wamepigwa risasi katika Kijiji cha Mangwi kilichopo Kata ya Mchukwi wilayani Kibiti usiku wa kuamkia leo...

READ MORE

Hatimaye Baba Mzazi wa Jose Mourinho Azikwa Kwao Setubal

  Hatimaye baba mzazi wa Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho mzee Felix Mourinho amezikwa nyumbani kwao Setubal nchini Ureno....

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano June 28, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Juni 28, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Maalim Seif: Hii Ndiyo Siri Yangu na Karume -3

  WIKI hii tunamalizia mahojiano yetu na Katibu Mkuu wa  Chama Cha wananchi  CUF ambaye pia aliwahi kuwa Makamu wa...

READ MORE

Mwalimu Ajiua kwa Sumu Akiwa Gesti, Aacha Ujumbe Mzito

  SUMBAWANGA. Mwalimu, Betson Sanga aliyekuwa akifundisha Shule ya Sekondari Milundikwa iliyopo wilayani Nkasi mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya...

READ MORE

Kiongozi Huyu Aliyedaiwa Kulewa Pombe Mbele ya JPM, Siri Nzito Yafichuka

  DAR ES SALAAM: Wakati Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mkoa wa Pwani, Mrisho Swagara akitoa shutuma nzito kwa Katibu wa...

READ MORE

Nay Wa Mitego Awachana Vibaya Young Killer, Barakah Da Prince

‘MDUNGUAJI’ bei mbaya kwenye kilinge cha Hi-hop, Emmanuel  Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amekoleza moto bifu lake na wasanii chakaramu, Baraka...

READ MORE

Joining Instructions Kidato cha Tano 2017/18 Shule Zote za Serikali… Bofya Hapa

MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SEKONDARI KIDATO CHA TANO >> Arusha >> Dar-es-salaam >> Dodoma >> Iringa >> Kagera >> Katavi...

READ MORE

Mauaji ya Polisi Kibiti, DC Awatemea Cheche Wauaji

PWANI: Baada ya polisi trafiki wawili kuuawa hivi karibuni, Mkuu wa Wilaya ya Kibiti mkoani Pwani, Gulamhusein Kifu (pichani) ametema...

READ MORE

Edward Lowassa Afunguka Alivyohojiwa na DCI, Aachiwa kwa Dhamana (VIDEO + PICHAZ)

  DAR ES SALAAM: Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amefunguka kuhusu alivyohojiwa kwa saa nne katika Ofisi ya Mkurugenzi wa...

READ MORE

Rais Magufuli Aizika Rasmi BRN……Wafanyakazi Wahamishiwa Idara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 27 Juni, 2017 ameagana na wafanyakazi...

READ MORE

Je, Una Kero Yoyote Unapotumia Website Yetu Kwenye Simu Yako, Ipad, Laptop au Desktop?

JE, UNA KERO YOYOTE UNAPOTUMIA WEBSITE YETU KWENYE SIMU YAKO, IPAD, LAPTOP AU DESKTOP? KATIKA kuendelea kuboresha huduma yetu ya...

READ MORE

Wema Sepetu: Shepu ya Mwendokasi… Ndo Niliojaliwa Nayo

MALKIA wa filamu za Bongo, Wema Sepetu amefunguka ya moyoni na kutupa jiwe gizani kwa wanaoumnanga kuhusu shepu yake, namna...

READ MORE

Mwizi wa Gari Ashambuliwa na Nyuki, Ajisalimisha Polisi

FRANCIS SIKADIGU anayesadikiwa kuwa aliiba gari nchini Uganda, alijisalimisha kituo cha polisi cha Bungoma nchini Kenya Jumapili iliyopita baada ya...

READ MORE

Humphrey Polepole Azindua Ukarabati Mkubwa Uwanja wa CCm Kirumba- Mwanza

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, amezindua rasmi ukarabati wa Uwanja wa Soka wa CCM Kirumba jijini...

READ MORE

NAPASUA JIPU: Damu Isiyokuwa na Hatia Haitawaacha Salama Wauaji Kibiti

  NEEMA na baraka za Mungu maishani mwangu ni za kipekee mno. Ni vyema kujijengea utaratibu wa kumshukuru Mungu kila...

READ MORE

Bobi Wine Akamatawa Akifanya Kampeni za Mwisho Uganda

POLISI wa Kasangati, Wilaya ya Wakiso nchini Uganda leo wamemkamata mgombea binafsi wa kiti cha ubunge cha Kyadondo Mashariki, Robert...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi Linalotembea Utupu-2

  Wiki iliyopita tuliona jinsi Wabodi wanavyoishi wakiwa na tabia tofauti na jamii zingine za Kiafrika katika nchi ya Ethiopia...

READ MORE

Edward Lowassa Awasili Makao Makuu ya Polisi Dar kwa Mahojiano

  WAZIRI Mkuu Mstaafu na mgombea urais mwaka 2015 kwa tiketi ya Chadema, Edward Lowassa, amewasili katika Makao Makuu ya...

READ MORE

Droo Ndogo ya 5 ya Shinda Nyumba… Wasomaji wa AMANI Wapagawa

  WAKATI Droo Ndogo ya Tano ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ikiendelea kubamba kila kona ya...

READ MORE

Kafulila Aanika Escrow Ilivyowatema Wabunge Waheshimiwa

  DAR ES SALAAM: WAKATI gumzo nchi nzima likiwa ni wizi mkubwa ambao haujawahi kufanyika wa zaidi ya shilingi bilioni...

READ MORE

Mbaba Afumaniwa Chumbani kwa Denti!

AMA kweli za mwizi arobaini! Ndicho kilichomtokea mbaba anayefanya biashara ya kitimoto maeneo ya Kihesa, Kilolo mjini Iringa, Katito Nganga...

READ MORE

Breaking News: Lowassa Aitwa kwa Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI)

  Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameitwa na Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Kamishna Robert Boaz....

READ MORE

Njemba 2 Zanaswa Ubakaji Mtoto Miaka 5

  NJEMBA wawili, Issa Njunja na mwenzake ambaye jina halikupatikana mara moja, wakazi wa Keko jijini Dar, wanadaiwa kunaswa kwa...

READ MORE

Kwa Hali Yake Ilivyo… wa Kumnusuru Wastara ni Mungu Tu

WA kumnusuru Wastara ni Mungu tu! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia hali ya kusikitisha ya kiafya ya staa wa sinema...

READ MORE

R.O.M.A, Darassa, Stamina Mwisho wa Ubishi Leo Dar Live

MWISHO wa Ubishi! Unaweza kusema hivyo kwa maana nyingine katika siku hii ya Idd Mosi pale watakapovamia jukwaa moja la...

READ MORE

Unataka Kuwa Bakhresa Mpya Bongo? Hujachelewa

  NIMEKUWA nikitumia muda mwingi kutafiti maelezo kamilifu juu ya namna mabilionea mbalimbali walivyofanikiwa kufika kwenye kilele cha utajiri. Swali...

READ MORE

Uwoya Amfanyia Kitu Kibaya Mdogo wa Zari

MADAI mazito! Staa wa sinema za Kibongo, Irene Uwoya, anatuhumiwa kumfanyia fujo mdogo wa mjasiriamali maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan...

READ MORE

Mashua Yazama Colombia 6 Wafariki Dunia, 16 Hawajulikani Waliko

  Idara ya polisi nchini Colombia, imesema kuwa yamkini watu 6 wamefariki ika ajali ya kuzama kwa boti moja la...

READ MORE

Heri ya Sikukuu ya Idd

LEO ni Sikukuu ya Iddi El Firti ambapo Watanzania wanaungana na ndugu zao wa Madhehebu ya Kiislam kuadhimisha kumalizika kwa...

READ MORE

Afrika Kusini: Wazungu Waliomuingiza Kijana Mweusi Kwenye Jeneza Wafikishwa Kortini

AFRIKA KUSINI: Wakulima wawili wazungu watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini, baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma kijana mmoja mweusi na kumuingiza...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Swala ya Eid El Fitr Dar

  RAIS Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, mapema leo Jumatatu amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea Sikukuu...

READ MORE

Chid Benz Amtoa Chozi Mama Yake

MKALI wa michano, Rashid Mwakwiro ‘Chid Benz’ amemtoa machozi mama yake baada ya kuachia ngoma yake mpya ya Muda alioshirikiana...

READ MORE