×

Habari

Polisi Waua Watuhumiwa Wawili Msitu wa Ngomboroni Kibiti

  DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi nchini limewaua watu wawili wanaodaiwa kufanya mauaji katika Wilaya za Mkuranga, Kibiti na...

READ MORE

VIDEO: Washindi wa Spoti Hausi Smart Phone Walivyopatikana Zawadi Zao

HATIMAYE washindi wawili wa Shindano la Spoti Housi Smart Phone, wamepatikana leo, katika mchakato wa kuchuja majina uliofanyika mubashara kupitia...

READ MORE

Simulizi ya Maisha ya Ebitoke… Aliyoyapitia si Mchezo!

  KOMEDIANI wa kike Bongo, Anastazia Exavery ‘Ebitoke’ (19) anayefanya vizuri zaidi kupitia mitandao ya kijamii alipitia mambo mengi ikiwemo...

READ MORE

Skauti Tanzania Yagonga Miaka 100

  Chama cha Skauti Tanzania kinatarajiwa kuadhimisha miaka 100 ya uskauti tangu kuanzishwa kwake, maadhimisho yatakayofanyika kuanzia tarehe 21 hadi...

READ MORE

Ommy Dimpoz Asaini RockStar4000, Aungana na Kiba

  MKALI wa muziki, Ommy Dimpoz amesaini kufanya kazi na label kubwa ya muziki, RockStar4000 inayofanya kazi kwa ukaribu na...

READ MORE

Buriani Shaban Dede ‘Kamchape’, Simulizi ya Maisha Yake Isome Hapa

  Mwimbaji mkongwe nchini wa muziki wa dansi, Shaban Dede amefariki dunia asubuhi ya leo katika Hospitali ya Taifa ya...

READ MORE

Yaliyojiri Mahakamani Kisutu Kesi ya Yeriko Nyerere, Leo

  MAHAKAMANI KISUTU: Mfanyabiashara Yeriko Nyerere anayekabiliwa na kesi ya uchochezi wa kimtandao, mapema leo Julai 6 amefika katika Mahakama...

READ MORE

Esha Buhet Ateswa na Kisirani cha Mimba

STAA wa sinema za Kibongo, Esha Buhet amefunguka namna anavyoteswa na kisirani cha mimba hivyo kuwaomba watu wamsamehe pindi atakapowakwaza....

READ MORE

Siku Chache Baada ya Kutolewa Hospitali…. Jini Kabula Adaiwa Kuzua Timbwili Hotelini

  MSANII wa filamu Bongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ juzikati alidaiwa kuzua timbwili la aina yake kwenye Hoteli ya Lamada iliyopo...

READ MORE

TANZIA: Mwimbaji Nguli wa Msondo, Shaaban Dede Afariki Dunia

  NYIMBO ALIZOWAHI KUIMBA DEDE

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Waziri Kindamba Kuwa Afisa Mtendaji Mkuu TTCL

#Breaking: Rais @MagufuliJP amemteua Waziri Waziri Kindamba kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL. Kabla ya uteuzi alikuwa akikaimu nafasi hiyo....

READ MORE

Yasome Hapa Mashtaka 7 Aliyosomewa Manji Akiwa Amelazwa Muhimbili

  Yusufu Manji na wenzake jana walisomewa mashtaka saba yakiwemo ya kuhujumu uchumi wa nchi, kukiuka sheria ya usalama wa...

READ MORE

WATEJA WA VODACOM WAICHANGAMKIA RED RLX KATIKA MAONESHO YA SABASABA

Kampuni ya simu za mkononi inayoongoza nchini, Vodacom Tanzania inashiriki Maonesho ya 41 ya Viwanda na Biashara maarufu kama “Sabasaba”...

READ MORE

IGP Sirro: Wananchi wa Kibiti na Ikwiriri Wajilinde (VIDEO)

  MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka wakazi wa maeneo ya Ikwiriri na Kibiti mkoani Pwani...

READ MORE

VIDEO: Bunge Latii Agizo la JPM

IKIWA ni zimekwishapita wiki chache tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli aliombe Bunge la...

READ MORE

Kesi ya Uamsho Yaunguruma, DPP Ashinda Rufaa… Yaliyojili Bofya Hapa

  Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameshinda rufaa dhidi ya viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (Jumiki),...

READ MORE

OFM Kazini… Chimbo la Unga, Bangi Laibuliwa

    LICHA ya juhudi kubwa zinazofanywa na vyombo vya dola katika kutokomeza uhalifu wa aina zote, ikiwemo biashara na...

READ MORE

Saa Chache Baada ya Kupitishwa kwa Sheria Mpya ya Makinikia… Acacia Yakimbilia Kortini

Saa chache baada ya bunge kipitisha sheria ya marekenisho ya sheria mbalimbali itayayoleta mageuzi makubwa katika usimamizi wa rasilimali za...

READ MORE

VIDEO: Manji Asomewa Mashtaka 7 Kitandani Akitibiwa Muhimbili

Wimbi la vigogo wa ngazi na hadhi mbalimbali kufikishwa mahakamani kwa makosa mbalimbali na kunyimwa dhamana limeendelea baada ya leo...

READ MORE

Kahama: Wezi wa Pikipiki Wafanyiwa Kitu Mbaya

        Wananchi waliojichukulia sheria mkononi jana  wamewaua kwa kuwachoma moto watu watatu ambao majina yao bado hayajafahamika...

READ MORE

Tamko la Serikal Kuhusu Madereva 24 Waliotekwa Kongo na Kikundi cha Mai-Mai

  SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesema imefanya jitihada za kuwaokoa madereva 24 waliotekwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya...

READ MORE

Wakili Jerome Msemwa Ajitoa Rasmi Kumtetea Malinzi na Wenzake

Wakili Jerome Msemwa leo ametangaza kujitoa katika kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Mpira nchini(TFF), Jamal Malinzi na Wenzie wawili(Celestine...

READ MORE

IGP Sirro: Nitatoa Majibu Mauaji Kibiti Muda si Mrefu

  Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP), Simon Sirro amesema muda si mrefu atatoa majibu ya suala la mauaji yanayotokea...

READ MORE

DAS wa Tabora Aagiza Kukamatwa kwa Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete

Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Thea Ntara amemtaka Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Kitete...

READ MORE

Birthday ya AY… Lil Ommy Afunguka Mchango wa Rapa Huyo Kwenye Game

  MTANGAZAJI wa Kipindi cha The Play List cha Times FM, Lil Ommy amefunguka kuhusu mchango mkubwa kwenye game ya...

READ MORE

LIVE Kutoka Bungeni Dodoma: Bunge Lapitisha Sheria Mpyaya Makinikia, TMAA Yazikwa Rasmi

Bunge  limepitisha sheria mpya ambayo sasa itatambua haki na dhamana ya serikali katika makinikia ambayo itakuwa ni marufuku kuchenjuliwa nje...

READ MORE

Polisi Wamtia Mbaroni Halima Mdee, Apelekwa Kituoni Oysterbay

  Mbunge wa Kawe, Halima Mdee  (Chadema) jana jioni alikamatwa na Jeshi la Polisi akiwa nyumbani kwake Makongo Juu jijini...

READ MORE

Shangwe Dawa Mpya ya UKIMWI

  Mungu Mkubwa! Dawa mpya ya kupambana na Virusi vya Ukimwi (VVU) imegunduliwa na kuanza kutumika nchini Kenya ambapo ndani...

READ MORE

Kunaswa kwa Wanafunzi 11 kwa Soo la Ufuska Dar, Wazazi Washtushwa

  Tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata watoto wa kike na kiume 11 walio chini ya miaka 18 wakifanya vitendo...

READ MORE

Vigogo Wastaafu Wakomaa na Kilimo na Ufugaji

  VIONGOZI wastaafu nchini Tanzania, wakiwemo marais na baadhi ya mawaziri wakuu, sasa wanakomaa na kilimo au ufugaji na mambo...

READ MORE

Manji na Wenzake Wawasilisha Pingamizi Dhidi ya IGP Sirro, AG Masaju na Mkuu wa Upelelezi DSM

  Mwenyekiti wa Makampuni ya Quality Group ya jijini Dar es Salaam, ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya...

READ MORE

Kaimu Jaji Mkuu Atembelea Mabanda ya Sabasaba – Dar

Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Hamis Juma leo Julai 4 mwaka huu ametembelea Maonyesho ya sabasaba yanayoendelea katika viwanja...

READ MORE

DC Kinondoni Aagiza Mdee Awekwe Ndani

  MKUU wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Hapi leo aliliagiza Jeshi la Polisi kumkamata na kumweka ndani Mbunge wa Kawe...

READ MORE

JPM: NGO’s Mfungue Shule Zenu kwa Ajili ya Wenye Mimba

  Rais John Magufuli amezitaka Asasi za Kiraia (NGO’s) kufungua shule kwa wanafunzi wanaopata mimba shuleni kama kweli zinawapenda wanafunzi...

READ MORE

Picha 5: Wabunge Chadema Walivyotaka Kumchapa Makonde Mbunge wa CCM

  MBUNGE wa Viti Maalum (CCM) Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya bunge na kunusurika kupigwa na...

READ MORE

VIDEO: Rais Magufuli Azindua Mradi wa Maji Nyamazugo Sengerema, Atoa Kauli Nzito

  Rais Dkt. John Magufuli amezindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo wilayani Sengerema leo ambapo mradi huo...

READ MORE

Bendi ya Hifadhi ya Ngorongoro Yatangaza Dili kwa Waimbaji

Msanii wa muziki wa asili ambaye pia ni Balozi wa Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA), Mrisho Mpoto ametangaza deal...

READ MORE

Kutoka Sengerema: Mwanamke Aangua Kilio Mbele ya JPM

SENGEREMA: Rais John Magufuli amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela kuyafanyia kazi malalamiko ya mwanamke mmoja mkazi wa...

READ MORE