×

Habari

Prof. Kabudi Asaini Mkataba Ujenzi Bomba la Mafuta Uganda Hadi Tanzania

Na Benny Mwaipaja, WFM. Serikali za Tanzania na Uganda zimetiliana saini Mkataba wa Ujenzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta...

READ MORE

VIDEO: Wahudumu wa Mochwari Mbaroni kwa Kupasua Maiti na Kuchukua Kete za Madawa

WAHUDUMU wanne wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma...

READ MORE

Uzuri, U-Mcharuko, Shepu za Video Queen Vimewabeba Kwenye Vichupa

ILI video ya muziki iwe nzuri zaidi inahitaji wauza sura ‘video queens’ ambao wataibeba. Tumezoea kuona video nyingi za nje...

READ MORE

Maxime: Nitatua Kuinoa Yanga SC Msimu Ujao

Said Ally | CHAMPIONI | Dar es Salaam KOCHA wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amefunguka kuwa anaweza kutimkia na kujiunga...

READ MORE

Mzee Akilimali: Nilijua tu Manji Atasepa

Na Ibrahim Mussa | CHAMPIONI | DAR ES SALAAM KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali, ameibuka...

READ MORE

Serengeti Boys Ni Mashujaa, Huu Usiwe Mwisho Wao

Bodi ya Uhariri | CHAMPIONI| Maoni JUZI Jumatano, kikosi cha Serengeti Boys, kiliwasili jijini Dar es Salaam kikitokea Gabon kilipoenda...

READ MORE

Irene Sanga Sikumpenda JK Lakini JPM Kanishika

 NA HAMIDA HASSANI | IJUMAA | MAKALA KWA wafuatiliaji wa masuala ya burudani Bongo, jina la Irene Sanga litakuwa siyo...

READ MORE

Nimemsamehe Baraka – Ben Pol

Mwanamuziki wa miondoko ya RnB bongo, Ben Pol amejibu ‘diss’ ya Baraka The Prince kuhusu ujio wa wimbo wake mpya...

READ MORE

Droo ya Nne ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili Kufanyika Mwezi Huu

DROO ndogo ya nne ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili imewadia na sasa itafanyika mwezi huu kwa...

READ MORE

Ben Pol Huo ni ushamba na umejidhalilisha! Wabongo si watu wa Utupu

NA OJUKU ABRAHAM, +255 719 786 35| IJUMAA | ZA CHEMBE LAZIMA UKAE BENARD Paul ndilo jina lake halisi, lakini...

READ MORE

Mbasha Sina Hamu na Ndoa Tena

NA GRADNESS MALLYA, IJUMAA, STAR MIX BAADA ya hivi karibuni aliyekuwa mkewe, Flora Mbasha kuolewa na mwanaume mwingine, Mwimbaji wa...

READ MORE

Hemed: JPM Kanishikisha Adabu ya Pesa

STORI: BRIGHTON MASALU, IJUMAA, STAR MIX TOZI mwenye makeke katika tasnia ya filamu Bongo, Hemed Suleiman ‘PHD’ amekiri kubadili mfumo...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Mei 26, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 26, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Wolper Atokwa na Povu Baada ya Kubanwa Kuhusiana na Madai ya Kunuka Mwili

STORI: ALLY KATALAMBULA NA BONIPHACE NGUMIJE, IJUMAA , HABARI Staa wa filamu ‘grade one,’ ‘Jacqueline Wolper’ ametokwa povu si la...

READ MORE

Welu Abanwa Kuzaa na Mume wa Mtu

STORI: MAYASA MARIWATA, IJUMAA, STAR MIX MSANII wa filamu Bongo, Welu Sengo amefunguka madai ya kujifungua mtoto wa kike wa...

READ MORE

Kumradhi DC Sofia Mjema

NA MHARIRI WA GAZETI LA IJUMAA NDANI ya gazeti hili, toleo namba 1038 la Mei 1925, 2017 katika ukurasa wa...

READ MORE

KAHAMA: Polisi Wazingira Mgodi wa Bulyanhulu

KAHAMA: Jeshi la Polisi limeuzingira mgodi wa  Bulyanhulu baada ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellaack kuzuiwa kuingia katika...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Azuiwa Kuingia Mgodi wa Bulyanhulu

KAHAMA: Msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Zainab Tellack umezuiwa kuingia katika mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu alikokwenda kukagua...

READ MORE

Mwanza: Askari wa Kike Afariki kwa Tetemeko la Ardhi

ASKARI Polisi wa kike amefariki dunia leo mchana wilayani Misungwi baada ya kupatwa na mshtuko kufuatia kutokea kwa tetemeko la...

READ MORE

Video: Mecky Mexime, Masau Bwire Wafunguka Mazito Ndani ya Sport House

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime  kupitia kipindi cha Sport Housi cha Global TV Online leo amesema kuwa ujio...

READ MORE

Wajasiriamali Wanawake Wapewa Mafunzo ya Kibiashara

Wanawake wajasiriamali jijini Dar es Salaam, wamepewa mafunzo maalum ya namna ya kuendesha shughuli zao za kibiashara kwa mafanikio. Mafunzo...

READ MORE

Geita: Wachimbaji Wanne Wafariki Dunia Mgodini Baada ya Kufukiwa na Kifusi

GEITA: Wachimbaji wadogo wanne wamefariki dunia baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo madogo ya Nyamalimbe yaliyopo wilayani Geita mkoani...

READ MORE

Mama Lulu Akwepa Mtego wa Lulu kuchumbiwa!

NA MAYASA MARIWATA | AMANI | TAMU TATU UCRESIA Kalugira ambaye ni mama wa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael...

READ MORE

Amanda Ampigia Chapuo Jokate kwa ‘Mapouda’

NA MAYASA MARIWATA | AMANI | TAMU TATU DAR ES SALAAM: Staa wa Bongo Muvi, Tamrinah Poshi ‘Amanda’ ameweka wazi...

READ MORE

Watoto Majeruhi wa Lucky Vincent Sadia na Wilson Wataruhusiwa kutoka Hospitali Leo

CST-Sioux City IA: Watoto majeruhi wa Lucky Vincent Sadia na Wilson wataruhusiwa kutoka Hospitali (full discharge) leo saa 8 mchana(saa...

READ MORE

Kidoa Adaiwa Kumrithi Masogange Kwa Rammy

  NA MAYASA MARIWATA | AMANI | TAMU TATU MH! YETU MACHO! Msanii wa Filamu Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ sasa...

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Kidato cha Sita Waliochaguliwa Kujiunga JKT 2017

TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), limechagua vijana waliohitimu Elimu ya Sekondari Kidato cha Sita kwa mwaka 2017,...

READ MORE

CEO wa Acacia Aibuka Kutetea Mchanga Wao wa Madini

Response to this morning’s Press Conference and presentation of the First Presidential Committee’s report on the export of metallic mineral...

READ MORE

CCM Yalaani Mauaji Yanayotokea Pwani

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimelaani vikali mauaji ya baadhi ya viongozi, raia na askari polisi, wanaouawa kwa kupigwa risasi katika...

READ MORE

VIDEO: Mkuu wa Msafara Serengeti Boys Alivyoangua Kilio Mbele ya Waziri Mwakiembe

Kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys jana walirejea Dar es Salaam na kupokelewa...

READ MORE

Joseph Msukuma: Wasukuma Tutawaloga Ng’ombe Wetu Mtakaokula Nyama Yake Mvimbe Matumbo (VIDEO)

DODOMA: Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Musukuma amesema hawezi kumsifia hata kidogo Prof. Jumanne Maghembe, Waziri wa Maliasili na...

READ MORE

Njia Sita za Kumnasa Demu Mkali…Ulimwengu wa Mahaba

NA MWANDISHI WETU | AMANI | ULIMWENGU WA MAHABA KUNA watu wamezaliwa wakiwa na hofu kubwa ya kuwaogopa mademu wazuri....

READ MORE

TANZIA: Mume wa Zari, Ivan Semwanga Afariki Dunia

TANZIA: Aliyekuwa mume wa Zarina Hassan ‘Zari The Bosslady’, Ivan Semwanga amefariki dunia akiwa hospitali nchini Uganda alipokuwa amelazwa kutokana...

READ MORE

Rais wa Brazil Asambaza Jeshi Kuzuia Vurugu

Rais wa Brazil Michel Temer ameyasambaza majeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo Brasilia, baada ya waandamanaji kuanza kulichoma moto...

READ MORE

Video+ Pichaz: Zimbwe JR, Msuva, Niyonzima, Manura Wanyakua Tuzo VPL

Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom zimetolewa jana na kumalizika kwa mafanikio ambapo ile iliyokuwa gumzo ikienda kwa beki wa...

READ MORE