×

Habari

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Mei 6, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 6, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Mambo 7 Ya Jakaya Kikwete Kuhusu Maisha Yake ya Sasa

STORI: BRIGHTON MASALU, IJUMAA , HABARI NI takriban miaka miwili sasa tangu Rais wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya...

READ MORE

Bella Kutoa taji kwa Pam D, Gigy Dar Live kesho

WAKATI mambo yakizidi kuwa moto kuelekea Mei 6 (kesho) katika mpambano wa kuimba kati ya Pamela Daffa ‘Pam D’ na...

READ MORE

Kesi Ya Msichana Aliyejirusha Bahari Kutoka Kwenye Boti ya Azam

Jeshi la Polisi Zanzibar limesema kuwa limekamilisha kumhoji msichana aliyejitosa bahari ya hindi eneo la Chumbe alipokuwa akisafiri na boti...

READ MORE

Mauaji ya Raia Yaendelea Kutikisa Pwani

Mkazi wa kitongji cha Makaravati katika Kijiji cha Umwe Kusini wilayani Rufijii anayeitwa Amri Chanjale (55),  ameuawa kwa kupigwa risasi...

READ MORE

Kitilya, Wenzake Wataka Upelelezi Ukamilike

NA DENIS MTIMA/GPL UPANDE wa utetezi katika kesi inayomkabili Kamishna Mkuu Mstaafu wa TRA, Harry Msamire Kitilya,mshindi wa Mashindano ya...

READ MORE

VIDEO: Sugu Amvaa Bashite, Ataka Ashtakiwe, Awaponda Bongo Muvi

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amemshambulia Bashite huku akisema kuwa mtu huyo alipaswa awe mahakamani na sio ofisini...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Anunua Hisa Vodacom

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amenunua hisa za kampuni ya Vodacom Tanzania Plc zenye thamani ya sh. milioni 10 pamoja na...

READ MORE

Professor Jay: Wasanii wa Tanzania Wamekata Tamaa (Video)

Mbunge wa Jimbo la Mikumi ambaye pia ni Mwanamuziki wa Hip Hop Tanzania, Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameiomba serikali kuzingatia...

READ MORE

Mjema Atembelea Soko la Buguruni, Achukizwa Uuzaji Bidhaa Chini

Stori: Denis Mtima na Hilaly Daudi. MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema leo ametembelea soko la Buguruni jijini Dar...

READ MORE

VIDEO: Kama Tunakimbiza Mwenge Basi Tukimbize Jembe, Nyundo & Shoka – Sugu

MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amelaumu kuwa baadhi ya viongozi wa serikali wamesahau misingi ya Muasisi wa Taifa,...

READ MORE

Tonto Nusura Aue Muendesha Baiskeli

MKONGWE wa filamu ambaye ameelekezea maisha yake kusaidia jamii, Tonto Dikeh amefanikiwa kuokoa maisha ya kijana mmoja ambaye jina lake...

READ MORE

Madaktari Bingwa India kutoa huduma Tanzania

MADAKTARI  Bingwa kutoka Hospitali ya Prince Aly Khan ya Nchini India kwa kushirikiana na Madaktari wa Aga Khan wameanza kufanya...

READ MORE

Genevieve: Miss Tanzania 2010 Anayevaa Viatu Vya K-Lyinn

NA ANDREW CARLOS | GAZETI LA IJUMAA | SHOWBIZ UKIAMBIWA utaje ma-miss walioteka katika Muziki wa Bongo Fleva moja kwa...

READ MORE

Hali ya Mbunge wa CHADEMA Siyo Nzuri, Alazwa Muhimbili

Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche alifikishwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jana akitokea Dodoma kwa ajili ya matibabu...

READ MORE

Mo Akabidhiwa Mzigo wa Mamilioni Simba

MWANACHAMA wa Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’, endapo atafanikiwa kuimiliki klabu hiyo, atakutana na mzigo wa kulipia madeni ya kodi klabuni...

READ MORE

Mbaraka Amkana Aveva, Adai Hana Mkataba Simba

 Na Said Ally | Championi Ijumaa | Habari BAADA ya juzi Jumatano, Rais wa Simba, Evans Aveva kutangaza klabu hiyo...

READ MORE

Gigy Money Taa Nyekundu Yamuwakia

TAA nyekundu imeshamuwakia modo na msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kwani kura zake zinaonekana kutaka kupungua. Baada...

READ MORE

LIVE: Wabunge Viti Maalum Wacharuka Dhidi ya Wabunge wa Majimbo Kuhusu Pesa za Mfuko wa Bunge

Wabunge wa kuteuliwa wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamecharuka Bungeni wakitaka wahusike kwenye mfuko wa Bunge ambao...

READ MORE

Pluijm Aihamishia Singida United Mwanza

CHAMPIONI IJUMAA TIMU ya soka ya Singida United ya mkoani Singida ambayo imepanda daraja hivi karibuni na itashiriki Ligi Kuu...

READ MORE

Ufafanuzi wa Taarifa Inayodai JPM Ametengua Agizo la Mwakyembe Kuzuia Redio na TV Kusoma Magazeti

Ufafanuzi wa taarifa inayodai Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametengua agizo la Waziri Dkt. Mwakyembe kwa vyombo vya habari kuhusu...

READ MORE

VIDEO: Manchester United Walivyoichapa Celta Vigo 0-1 (Europa)

Klabu ya soka ya Manchester United usiku wa kuamkia leo imechomoza na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Celta Vigo...

READ MORE

Baby Madaha Adaiwa Kuhongwa Gari

 STORI: MWANDISHI WETU, IJUMAA, HABARI MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amegandwa na skendo ya kuhongwa gari kisha...

READ MORE

Tatizo la Kuvimba Miguu Wakati wa Ujauzito

DK. CHALE | IJUMAA | AFYA KWA kawaida katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya ujauzito hali ya mama...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Ijumaa ya Mei 5, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 5, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Machangu Wajilipua Kwa Rais Magufuli

STORI: ANDREW CARLOS, IJUMAA, HABARI DAR ES SALAAM: Kama mbwai na iwe mbwai! Ndivyo wanavyosema baadhi ya wasichana wanaojihusisha na...

READ MORE

Vanessa Mdee Alalamika Kuchafuliwa na Afande Sele

Muda mfupi baada ya msanii wa kitambo kwenye muziki wa kizazi kipya Bongo, Afande Sele kusikika kwenye kituo kimoja cha...

READ MORE

‘Dasani Marathon’ Kufanyika Dar Mei 14

MASHINDANO ya riadha ya Dasani Marathon yameandaliwa na kampuni ya Coca-Cola ya jijini Dar es Salaam, yanatarajiwa kuanza Mei 14...

READ MORE

NEC Yamteua Catherine Ruge Kuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema

Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na...

READ MORE

Waziri Kijana Zaidi wa Somalia Auawa kwa Kupigwa Risasi

MOGADISHU, SOMALIA: Waziri mwenye umri mdogo zaidi nchini Somalia, ameuawa kwa kupigwa risasi mjini Mogadishu muda mchache baada ya kuzindua...

READ MORE

Spoti Hausi LIVE: Binslum Afunguka Udhamini Wake Kwenye Soka la Tanzania

Mfanyabiashara Nasor Binslum ambaye anaidhamini Klabu ya Mbeya City amefunguka kuhusu udhamini wake kwenye klabu mbalimbali za soka hapa Tanzania...

READ MORE

Waziri Azindua Mpango wa Waajiri Kutoa Mafunzo kwa Vijana

NAIBU Waziriri wa Kazi, Vijana na Ajira, Antony Mavunde, amezindua mpango mkakati wa kutoa mafunzo kwa vijana wanaotarajiwa kufanya kazi...

READ MORE