×

Habari

LIVE Bongo Movies: JUMBA LA DHAHABU – Sehemu ya 7

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1 GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa...

READ MORE

Breaking News: Hans Poppe Ajiuzulu Kisa Pesa za SportPesa

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Poppe ameachia ngazi. Habari za uhakika zimeeleza kuwa Hans Poppe ameandika...

READ MORE

Wanaume Watakiwa Kuwaunga Mkono Wanawake Kimaendeleo

WAKATI serikali inatambua mchango mkubwa wa wanawake katika shughuli za maendeleo, imewataka pia wanaume kuwaunga mkono wanawake katika kuchangia maendeleo...

READ MORE

Mohammed Dewji Adaiwa Kutaka Arudishiwe Mamilioni Aliyowapa Simba

Ikiwa ni siku mbili tu zimepita baada ya Simba kutiliana saini kandarasi ya udhamini na kampuni ya SportPesa, mdau wa...

READ MORE

Ripoti Kamili Ya Mchungaji Aliyeoa Mke wa Muumini, Aongea na Risasi

STORI: Gabriel Ng’osha | Risasi Jumamosi | Habari KAGERA: Tukio la Mchungaji wa Kanisa la Huduma ya Kristo, Japhes Josephat...

READ MORE

TCRA Yawatahadharisha Watumiaji wa Kompyuta juu ya Kirusi Kiitwacho WANNACRY

Shambulizi la kihalifu mitandaoni lililotendeka kupitia vifaa vinavyoaminika kuibwa kutoka kitengo cha ujasusi nchini Marekani NSA limeathiri mashirika tofauti duniani....

READ MORE

Kauli ya Rais Mstaafu Mkapa Kuhusu Serikali Kubana Uhuru wa Habari

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mzee Benjamin Mkapa amevikosoa vyombo vya habari barani Afrika na haswa kusini mwa Jangwa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Mei 14, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 14, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

LIVE: Taarifa ya Habari ya TBC 1 (Usiku)

Serikali imesema itawashughulikia watumishi wake ambao wamehusika kwenye uchapishwaji wa vitabu vya kiada vilivyosambazwa mashuleni na vinaonekana vina makosa mengi.

READ MORE

Tamasha la Dar Bodaboda Superstar Lafanyika

MAKAMPUNI ya JP Decaux pamoja na International Republican Institute (IRI) zilizokuwa zimeandaa Tamasha la Waendesha Pikipiki leo limefanyika katika Viwanja...

READ MORE

VIDEO: Lowassa Asikitishwa na Serikali Kufuta Kongamano la Vyama vya Siasa

DAR ES SALAAM: MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesikitishwa na kile alichokisema...

READ MORE

Meya wa Jiji Dar Azindua Michuano ya Drafti

NA DENIS MTIMA/GPL MEYA wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amezindua mashindano ya Mchezo wa Drafti yanayofanyika katika...

READ MORE

Yanga Yaipiga Mbeya City Uwanja wa Taifa bao 2-1

FT: YANGA 2-1 MBEYA CITY Dakika ya 92: Mchezo unaendelea huku kukiwa na presha kubwa kwa pande zote. Dakika ya...

READ MORE

Abiria Waliokwama kwa Treni Morogoro Wapata Usafiri

MORORGORO: Abiria wapatao 802 waliokuwa wakisafiri kwa treni kutoka Dar es Salaam kwenda Bara kukwama Lukobe, Morogoro wamefanikiwa kusafirishwa kwa...

READ MORE

Mpaka Home: Nicole Apata Kigugumizi Kumzungumzia MC Pilipili

NA MAYASA MARIWATA | RISASI JUMAMOSI| MPAKA HOME KAMA ilivyo kawaida ya kolamu hii ya Mpaka Home kuwatembelea mastaa mbalimbali...

READ MORE

Harmorapa Ft Cpwaa & Ronei – NUNDU (Official Music Video)

Harmorapa ameachia video ya wimbo wake mpya wa NUNDU  ambao amemshirikisha Legendary Cpwaa pamoja na Ronei.

READ MORE

Picha: Treni ya Abiria Yapata Ajali, Morogoro

MOROGORO: Treni ya abiria iliyokuwa inakwenda Bara imepata ajali usiku wa kumakia leo majira ya saa 5:25 katika eneo la...

READ MORE

Ajali ya Basi na Lori la Mizigo Yaua Watu 19, Nakuru

NAKURU, KENYA: Watu 19 wamepoteza maisha na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya basi kugongana uso kwa uso na lori nchini...

READ MORE

Nafasi ya Kazi Kutoka Global Publishers

Global Publishers and General Enterprises Limited is a fast growing, reputable newspapers publication company which publishes a leading Swahili sports...

READ MORE

Usikose Tamthilia ya Jumba la Dhahabu Sehemu ya 6, Leo Saa 12:30 Jioni

TAMTHILIYA ya Jumba la Dhahabu ambayo iliibua hisia za watu wengi na kutokea kupendwa na kila rika leo itaendelea kuonekana...

READ MORE

Mkemi: Simba Wakiwahonga Mbeya City Watufunge Poa Tu

Mwandishi Wetu, | CHAMPIONI| Dar es Salaam WAKATI Ligi Kuu Bara ikielekea ukingoni, Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga,...

READ MORE

Maxime Aandaliwa Ulaji Yanga

Na Sweetbert Lukonge | CHAMPIONI| Dar es Salaam KWELI ukijituma neema zinakuja, Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amepigiwa simu...

READ MORE

VIDEO: Hali Ilivyo Sasa kwa Wanafunzi Walionusurika na Ajali Arusha

ARUSHA: TAARIFA rasmi kutoka chumba cha Mganga Mkuuwa Hospitali ya Rufaa ya Mt. Meru, Arusha, zimeeleza kuwa hali ya watoto...

READ MORE

Jambazi Sugu Mwanamke Auawa

NAIROBI: Mwanamke anayedaiwa kuwa jambazi sugu, Claire Mwaniki ambaye amekuwa akipakia mtandaoni picha zake akiwa amejipodoa na kujipamba, ameuawa na polisi...

READ MORE

Chelsea Mabingwa Rasmi wa EPL 2016/2017

Antonio Conte akipeperushwa. Goalkeeper Thibaut Courtois akifurahia ushindi. Chelsea wakicheza ugenini wamechukua ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya...

READ MORE

Shilole, Barnaba Usiku wa Wabishi… Kuimba Wapo na Nay Dar Live

NA MWANDISHI WETU | RISASI JUMAMOSI | MIKITO NUSUNUSU KWA mara ya kwanza tangu Ngoma ya Wapo iliyofanywa na mkali...

READ MORE

Shamsa Adaiwa Kumfirisi Mumewe

  STORI: Gladness Mallya na Hamida Hassan | RISAIS JUMAMOSI DAR ES SALAAM: Ikiwa ni miezi nane tu imepita tangu...

READ MORE

Jinsi ya Kuepuka Penzi la Machalemachale!

NA ERICK EVARIST | RISASI JUMAMOSI | LOVE STORY ULIMWENGU wa sasa, wapendanao wengi wanaishi kwa machale. Ni staili ile...

READ MORE

Yanga: Tupeni Kombe Letu

Wilbert Molandi na Musa Mateja | CHAMPIONI| Dar es Salaam NYOTA kadhaa wa Yanga wameapa kwamba, Simba ishinde au ifungwe...

READ MORE

Promosheni Ndogo za Shinda Nyumba Kufanyika Mtaa kwa Mtaa

WAKATI droo ndogo ya tatu ya Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba Awamu ya Pili ikibakia kuwa historia, mhamasishaji mkuu wa...

READ MORE

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya Mei 13, 2017

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 13, 2017. Ni yale ya...

READ MORE

Lowassa, Kinana, Polepole, Mbowe Kukutana Uso Kwa Uso Kesho

ALIYEKUWA mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyayi Lowassa; Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

JPM Atuma Salam za Rambirambi Vifo vya Sozigwa na Mwambungu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametuma Salam za Rambirambi kufuatia vifo vya viongozi wawili...

READ MORE

FT: Simba 2-1 Stand United Uwanja wa Taifa, Dar

Dakika ya 90: Mwamuzi wa akiba anaonyesha dakika 2 za nyongeza. Dakika ya 87: Kasi ya mchezo imepungua. Dakika ya...

READ MORE