×

Habari

Njemba aua wawili na kujeruhi Sita

Wakazi na wafanyabiashara wa Mabibo jijini Dar es Salaam wakiwa wameizunguka ofisi ya soko la Mabibo-Mwisho alimohifadhiwa mtu anayetuhumiwa kuua...

READ MORE

Matokeo ya Uchaguzi Jimbo la Dimani, Zanzibar

MATOKEO: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Dimani Zanzibar, Juma Ali Juma (CCM) ameshinda uchaguzi huo kwa kura 4860, wakati mpinzani...

READ MORE

Mbeya Wachangamkia Shindano la Shinda Nyumba

  DERICK LWASYE,  Mbeya SHINDANO la Shinda Nyumba na Global Publishers awamu ya pili, limepokelewa vizuri na wasomaji wa maga­zeti...

READ MORE

Muigizaji Mtanzania Ateuliwa Kuwa Rais wa Kampuni ya Filamu kwa Trump

NEW YORK: Muigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Tanzania, anayefahamika zaidi kupitia filamu ya Going Bongo, Ernest Napoleon (pichani),...

READ MORE

Overmars; Alikulia Kwenye Mashamba ya Viazi, Akawa Staa wa Dunia

UKICHUNGULIA kwenye kikosi cha Ar­senal kilichotwaa ub­ingwa wa Premier 1997-98, ndani yake utakutana na sura ya Mholanzi matata, Marc Overmars....

READ MORE

Nafasi za Kazi Dar Live

KAMPUNI ya Dar Live iliyopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam inayojishughulisha na burudani, ukumbi wa sherehe n.k, inatangaza nafasi...

READ MORE

Zitto Asakwa na Polisi kwa Uchochezi, Dereva Wake na Katibu wa Chama Wakamatwa

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo ndugu Msafiri A Mtemelwa ametoa taarifa kuwa kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Mh...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Jumatatu, Januari 23, 2017

     MAGAZETI Yote ya Leo Jumatatu, Januari 23, 2017 Soma kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Jumatatu, Januari 23,...

READ MORE

Dume Suruali Kaa Mbali Namii!-4

DUME SURUALI KAA MBALI NAMII!-4 Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mama Careen alipomsikia binti yake huyo akimkaribisha mgeni ndani,...

READ MORE

Maalim Sief Afungukia Fedha za Ruzuku Benki Kuu

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif  Sharif Hamad. KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif ...

READ MORE

Rais wa Uturuki, Recep Erdogan Awasili Nchini Kwa Ziara ya Kikazi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa   na Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan  aliyefuatana na  mkewe, Mheshimiwa Emine Erdogan (kulia) wakifuhia ngoma...

READ MORE

Watu 36 Wamefariki Dunia na Wengine Zaida ya 50 Kujeruhiwa Katika Ajali ya Train India.

Mashuhuda wakiangalia Treni iliyopinduka. INDIA: Katika jimbo la Andhra Pradesh huko India watu 36 wamefariki dunia na wengine wengi zaidi...

READ MORE

Wananchi Jimbo la Dimani, Zanzibar Wapiga Kura

Wananchi wakiangalia majina yao kabla ya kupiga kura katika kituo cha Bweleo katika jimbo la Dimani leo. Hatimaye wananchi wa...

READ MORE

Uchaguzi wa Ubunge Jimbo la Dimani na Madiwani Tanzania Bara

Wanachi wakipiga kura katika chaguzi zilizopita. Uchaguzi wa madiwani unafanyika kwenye kata Ishirini (20) katika Halmashauri Kumi na Tisa (19)...

READ MORE

Kilichojiri Siku Moja Baada ya Kuapishwa Trump

Baadhi ya waandamanaji wakiwa na mabango barabarani. JUMAMOSI hii mamilioni ya wanawake duniani, waliandamana kupinga kuapishwa Rais Donald Trump akiwa...

READ MORE

Tanzia: Kamanda wa Polisi wa Zamani Dkt. Mohamed Chico Afariki Dunia

Kamanda wa polisi wa zamani mkoa wa Kilimanjaro Dkt. Mohamed  Chico amefariki dunia  usiku wa kuamkia leo jijini Dar es...

READ MORE

Mwanjale Mchezaji Bora wa Desemba 2016

    Sentahafu wa Simba, Method Mwanjale. Sentahafu wa Simba, Method Mwanjale amechaguliwa kuwa mchezaji bora Desemba wa Ligi Kuu...

READ MORE

Sekeseke la Mauaji Mabibo Jijini Dar

  Wakazi na wafanyabiashara wa Mabibo jijini Dar es Salaam wakiwa wameizunguka ofisi ya soko la Mabibo-Mwisho alimohifadhiwa mtu anayetuhumiwa...

READ MORE

Watoto wa Mastaa Gumzo Mtandaoni

Mtoto wa Esma Platnumz akiwa na Mjomba wake, DJ Romy Jones. HAPO awali ushindani kwa mastaa ulikuwa ni ufahari katika...

READ MORE

Kikwete Akutana na Mabilionea, Aliko Dangote na Bill Gates

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete (kushoto), Alhaji Aliko Dangote (katikati) na Bill Gates (kulia). Rais wa awamu ya nne wa Jamhuri...

READ MORE

Baada ya Bilicanas na Shamba, Serikali ‘Yakamata’ Hoteli ya Mbowe wilayani Hai, Kilimanjaro

 Ikiwa ni takribani miezi mitano sasa tangu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe alipoondolewa katika jengo la Bilicanas lililokuwa pia...

READ MORE

Yahya Jammeh ‘Alivyosepeshwa’ Gambia Kwenda Kuishi Uhamishoni

Aliyekuwa Rais wa Gambia, Yahya Jammeh. Aliyekuwa Rais wa Gambia, Yahya Jammeh ameondoka nchini humo baada ya mvutano wa muda...

READ MORE

Ditto Kumtoa Afande Selle 2017

Lameck Ditto (kushoto) akiongea na Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Saleh Ally (kulia). Mkali wa Bongo Fleva anayetikisa kwa sasa...

READ MORE

Ujumbe wa Mpoto Wahusishwa na Baa la Njaa

Mrisho Mpoto akiwa Global Tv Online Mwanamuziki wa Muziki wa Asili Bongo na mtumbuizaji kwa staili ya kughani mashairi, Mrisho...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Jumapili, Januari 22, 2017

Soma kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Jumapili, Januari 22, 2017. Pia endelea kutembelea Global Publishers kwa habari zote zinajiri...

READ MORE

Aliyetumbuliwa na JPM Ukuu wa Mkoa, Amteua Kuwa Mbunge

Rais Dkt John Pombe Magufuli leo Jumamosi, Januari 21, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Hadithi ya Eric Shigongo: Dimbwi la Damu-05

ERIC SHIGONGO DIMBWI LA DAMU-05 GLOBAL PUBLISHERS Roho mkononi Tehran: Katika nchi zilizopiga vita madawa ya kulevya kwa nguvu zote...

READ MORE

Albamu Mpya ya AIM ya Navy Kenzo Haikamatiki Mitandaoni

IKIWA ni baada ya Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wasanii wawili kutoka Bongo, Aika na Nahreel kuachia Albamu yao...

READ MORE

Yanga Yaichapa Ashanti Bao 4-0, FA Cup

Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho, Yanga wameanza kampeni yao ya kulitetea kombe hilo vizuri kwa kuitwanga Ashanti United kwa mabao...

READ MORE

Mbalizi Nao Wanasema ni Zamu Yao Kushinda Nyumba Msimu Huu

Msomaji akisoma Gazeti la Risasi Mchanganyiko linalokuwa mtaani kila Jumatano. Wasomaji wakichangamkia Magazeti ya Championi na Risasi Mchanganyiko. Wakijaza kuponi...

READ MORE

Wachina Waishio Tanzania Washerehekea Siku Yao ya Mwaka Mpya

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo katika sherehe hizo. Balozi wa China hapa nchini, LU Youging akizungumza jambo...

READ MORE

Moyo Sukuma Damu: Hazina Iliyofichwa Maktaba Mwaka Mzima!

    Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erik Evarist (wa kwanza kulia) akimuonyesha Lameck Ditto (katikati) utengenezaji wa gazeti la...

READ MORE

Mbasha: Ukiona Ndoa Imedumu Kuna Mmoja Kajifanya Bwege!

LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la kuelewana kwenye...

READ MORE

Video: Donald Trump Aapishwa Kuwa Rais wa 45 wa Marekani (+Pichaz 40) za Matukio

  WASHNGTON DC, MAREKANI: Mfanyabiashara Maarufu duniani, Donald John Trump ameapishwa rasmi kuwa Rais wa 45 wa Marekani huku bwana...

READ MORE

Maneno ya Mike Sangu kwa Mama Kanumba Baada ya Kumtambulisha Mrithi wa Mwanaye

GLADNESS MALLYA, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Januari 21, 2017 KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa...

READ MORE

Mshindi wa Chemsha Bongo ya Shinda Nyumba kwa Leo ni Jafar Nzowa

Mshindi wa Chemsha Bongo ya #ShindaNyumba2 kwa leo ni Jafar Nzowa amwenye namba za simu 0752826061. ‘Alikomenti’ kupitia tovuti ya...

READ MORE