×

Habari

Mti Mrefu Zaidi Afrika Wagunduliwa Tanzania

Wanasayansi wanasema kuwa wamegundua kile wanaamini kuwa ni mti mrefu zaidi barani Afrika. Mti huo uko bonde moja lililo Kaskazini...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Alhamisi Desemba 1, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 1, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Sangoma Auawa Akitaka Kumbaka Mgonjwa

SHINYANGA: Mganga wa kienyeji ‘Sangoma’ aliyejulikana kwa jina la Kashinje Kashinje (55), mkazi wa kijiji cha Singita kilichopo Kata ya...

READ MORE

Kisa Kukana Ujauzito, Nisha Amchana Nay wa Mitego

  MSANII wa filamu za vichekesho nchini, Salma Jabu ‘Nisha’ ameibuka na kumchana staa wa Hip hop, Nay wa Mitego...

READ MORE

Washia Waadhimisha Kifo cha Mtume Muhammad kwa Maandamano ya Amani Dar

   WAUMINI wa Dhehebu la Shia nchini, leo wamefanya maandamano ya amani kwa ajili ya kuadhimisha kifo cha Mtume Muhammad...

READ MORE

Taasisi za Serikali, Dini na Kiraia Zatakiwa Kufuata Maadili

Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Suzan Mlawi, akizungumza jambo kwenye hafla...

READ MORE

Samia Kuzindua Mkutano wa Wasindika Vyakula Nchini

CHAMA cha wasindikaji  wa vyakula nchini  (Tanzania Food Processors Association  – TAFOPA) kinatarajiwa kufanya mkutano wake wa wadau wa uwekezaji...

READ MORE

Tanzia: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Kakamba Afariki Dunia

DAR ES SALAAM: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida SACP Peter Kakamba amefariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, leo...

READ MORE

Rapa Tyga Ashitakiwa Kutolipia Ferrari Aliyokodi

BAADA ya kukumbana na matatizo mengi ya kifedha yakiwemo ya  kunyang’anywa magari kadhaa mwaka huu, rapa wa Marekani, Tyga, ambaye...

READ MORE

Masikitiko Tena! Kipa wa Brazil Aliyenusurika Ajali ya Ndege Naye Afariki Dunia

         MWANASOKA wa Brazil aliyejiondoa katika mabaki ya ndege iliyoanguka nchini  Colombia Jumatatu usiku, alimpigia simu ya mwisho mkewe muda...

READ MORE

Wafuasi wa CUF Wavamia Makao Makuu ya Chama Zanzibar

MTENDENI, ZANZIBAR: Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF), Zanzibar leo wamevamia Ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho yaliyopo eneo...

READ MORE

Mfalme Charles Mumbere wa Uganda Afunguliwa Mashtaka kwa Mauaji ya watu 62

UGANDA: Charles Wesley Mumbere, ambaye ni mfalme kutoka magharibi mwa Uganda amefunguliwa mashtaka ya mauaji kufuatia mapigano ya mwishoni mwa...

READ MORE

Scorpion Aongezewa Shtaka la Kujeruhi, Arudishwa Rumande Hadi Desemba 14

DAR ES SALAAM: Mtuhumiwa anayedaiwa kumtoboa macho Said Ally, Salum Njwete (34) maarufu kama Scorpion leo ameongezewa shtaka lingine la...

READ MORE

Pichaz: King Kiba Alivyosherehekea Birthday Yake Kwenye Hifadhi ya Serengeti

Alikiba akipokea keki. King Kiba akikata keki. Kiba akimlisha keki Baraka Da Prince. Baraka Da Prince, Seven Mosha na Alikiba...

READ MORE

Mtanzania Anyakuwa Tuzo ya TEHAMA Kenya

Kila mwisho wa mwaka kumekua kukitolewa tunzo za utambuzi wa michango mbali mbali ya wana TEHAMA maeneo mengi ambapo mwaka...

READ MORE

Ngome ya Wanawake ACT Yamshitaki RC Makonda kwa Kumdhalilisha Afisa Ardhi Kinondoni

  Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo imeitaka Tume ya Maadili na Utawala Bora kufanya uchunguzi na kuchukua hatua dhidi ya...

READ MORE

Rais Lungu Ahitimisha Ziara Yake, Akataa Biashara ya Uswahiba

DAR ES SALAAM: Rais wa Zambia, Edgar Lungu amewataka watendaji wa nchi yake na Tanzania, kuweka siasa pembeni na kujikita...

READ MORE

Selfie ya Diamond Akiwa Amevaa Kichupi Aibu Yake Hii Hapa!

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul  ‘Diamond Platnumz’ amezua sintofahamu kwenye mitandao ya kijamii baada ya jana Jumanne kupost kwenye...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatano Novemba 30, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 30, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Rais Magufuli Afanya Ziara ya Kushtukiza Gereza la Ukonga Dar

Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni...

READ MORE

Yanga Chini ya Lwandamina Yazidi Kujifua Tayari kwa Mzunguko wa Pili wa VPL

Wachezaji wa Yanga wakiendelea na mazoezi leo kwenye Uwanja wa Polisi, Kurasini chini ya kocha mkuu George Lwandamina pamoja na...

READ MORE

Pedeshee Ndama Kortini Kwa Kugushi Nyaraka na Kutakatisha Bil 1.77

DAR ES SALAAM: Mfanyabiashara wa jijini Dar, Ndama Shaaban Hussein almaarufu Pedeshee Ndama Mutoto ya Ng’ombe, aliyewahi kuwa mfadhili wa...

READ MORE

Kiba Ampiga Dongo Diamond Baada ya Kuwaona Simba Origino

Simba original 😂 #KingKiba A photo posted by alikiba (@officialalikiba) on Nov 29, 2016 at 3:34am PST Mwanamuziki Alikiba amechafua...

READ MORE

Wananchi wa Cuba Watoa Heshima za Mwisho Kwa Mwili wa Rais Fidel Castro

HAVANA, CUBA: Maelfu ya raia wa Cuba wanatoa heshima zao za mwisho kwa kiongozi mwanamapinduzi Fidel Castro, aliyeaga dunia Ijumaa...

READ MORE

Daktari Feki Afanya Upasuaji Wagonjwa 9 na Kufariki Mmoja, Apewa Ofa ya Kujiendeleza Kielimu

KENYA: Kamati ya maswala ya afya nchini Kenya imependekeza daktari feki aliyekamatwa nchini humo aruhusiwa kujiendeleza na masomo ya udaktari...

READ MORE

Burundi Yiishutumu Rwanda kwa Jaribio la Kumuua Mshauri Mkuu wa Rais Nkurunzinza

Burundi imemlaumu jirani wake Rwanda kwa kupanga jaribio lililofeli la kutaka kumuua mshauri mkuu wa rais Pierre Nkurunziza. Msemaji wa...

READ MORE

Happy Birthday KingKiba

LEO Novemba 29 ndiyo siku aliyozaliwa staa wa Bongo Fleva hapa nchini, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ au ‘KingKiba’. Staa huyo anayekimbiza...

READ MORE

Chadema Waja na Oparesheni Mpya ‘Kata Funua’

Baada ya kuanzisha na hatimaye kukwama kuitekeleza operesheni ya Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania (Ukuta), Chadema imekuja na nyingine itakayokwenda...

READ MORE

Ajali; Ndege Iliyobeba Wanasoka wa Brazil Yaanguka Colombia, Yaua 76, Watano Wanusurika 

Mabaki ya ndege iliyoanguka. Kabla ya kuanza safari timu hiyo ilipiga selfie hizi. Ndege iliyoanguka hii hapa. Mmoja wa wachezaji...

READ MORE

Njama 638 za Mauaji Alizoepuka Rais Fidel Castro

Njama ya kutumia sigara kumuua Fidel Castro ambayo ilitibuka inajulikana sana, lakini njama nyengine 637 dhidi ya maisha yake ni...

READ MORE

Rais Magufuli na Rais Lungu Kufufua Miradi ya TAZARA na TAZAMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa...

READ MORE

Prof. Ndalichako Akanusha Taarifa ya Wanafunzi wa Diploma Kuzuiliwa Kujiunga vyuo Vikuu

DAR ES SALAA: WIZARA ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada...

READ MORE

Chanjo Dhidi ya Ukimwi Kuanza Kufanyiwa Majaribio Kesho Jumatano

AFRIKA KUSINI: Chanjo mpya dhidi ya virusi vinavyosababisha Ukimwi itaanza kufanyiwa majaribio nchini Afrika Kusini Jumatano wiki hii. Wanasayansi wanasema...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumanne Novemba 29, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Novemba 29, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Kesi ya Mke wa Bilionea Msuya Yaahirishwa Tena

DAR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo imeahirisha kutoa uamuzi wa maombi ya Miriam Msuya aliyekuwa mke wa...

READ MORE

Ali Kiba, Diamond, Vanessa Mdee & Navy Kenzo Watajwa Kuwania Tuzo Nigeria. Wapigie Kura Hapa

NIGERIA: Kituo cha runinga cha Sound City (Sound City Tv) kimetoa orodha ya wasanii na vipingele watakavyowani katika tuzo za Sound...

READ MORE

Mbunge Lema Akwama Tena Mahakamani, Arudishwa Rumande Hadi Disemba 2

   ARUSHA: Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema leo amefikishwa tena Mahakama Kuu Kanda ya Arusha kwa ajili ya kusikiliza...

READ MORE