×

Habari

Waziri Mahiga Apokea Dola 50,000 kwa Ajili ya Waathirika wa Kagera

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb) akipokea mfano wa hundi kutoka kwa...

READ MORE

‘Pedeshee’ Ndama Kula Mwaka Mpya Lupango

  Ndama Shaaban Hussein ‘Pedeshee Ndama’ (mwenye pingu) alipofikishwa mahakamani Kisutu leo. DAR ES SALAAM: KESI  ya mfanyabiashara wa jijini...

READ MORE

Zitto Kabwe Aanika Kilichomkuta Hospitalini Wakati Mkewe Akijifungua

Tujue ‘ blood Group ‘ zetu – Maana Hatujui Siku na Saa Zitto Kabwe Usiku wa kuamkia tarehe 26 Desemba...

READ MORE

Zitto Kabwe na Mkewe Wapata Mtoto wa Kike

    Nay wa Mitego Ametoboa Siri: Hiki ndicho Alichokimiss kwa Shamsa Ford

READ MORE

Mashushu Watanzania 8 Wadaiwa Kutiwa Nguvuni Malawi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga. Na Mwandishi Wetu, Risasi KARONGA: Watanzania...

READ MORE

Mazingira ya Kifo cha George Michael Yamegubikwa na Utata

KIFO cha aliyekuwa mwanamuziki wa Uingereza, Michael George, bado hakijaelezewa kihalisi na wataalam chanzo chake. Rafiki wa muda mrefu wa...

READ MORE

Mwanajeshi Anusurika Kufa Kwenye Ajali Ya Ndege Kimiujiza

Na Mwandishi Wetu   Bado Urusi ipo kwenye hali ya sintofahamu kufuatia ajali mbaya ya ndege, iliyotokea juzi na kusababisha...

READ MORE

Nyumba ya Karne ya 18 Inauzwa kwa Paundi 110,000, Iko Njiapanda Uingereza

NYUMBA ndogo iliyojengwa karne ya 18 ikiwa na chumba kimoja cha kulala na  sebule ghorofani na maliwato sehemu ya chini,...

READ MORE

TBL, CRDB Na MKCB Zaongoza Kwa Mauzo Soko La Hisa

Meneja wa Masoko Soko la Hisa na Biashara, Patrick Msusa akiongea na wanahabari (hawapo pichani) leo. …Akiendelea kutaja kampuni zilizo...

READ MORE

Kiongozi Ahama Kijiji kwa SMS za Kifo!

Richard Bukos na Issa Mnally, Gazeti la Uwazi, Toleo la Desemba 27, 2016. PWANI: Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya...

READ MORE

Wachezaji na Mashabiki Wafariki Dunia Baada ya Boti Kuzama Ziwani

Takribani watu 30 wanahofiwa kuwa wamekufa maji baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama katika Ziwa Albert nchini Uganda mapema jana....

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Jumnne Desemba 27, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 27, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Picha 42: Waziri Nape Aongoza Mamia Kuuaga Mwili wa Marehemu Mpoki Bukuku, Dar

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mpoki Bukuku kuelekea Uwanja wa Shule ya Sekondari Tabata Kimanga, jijini Dar....

READ MORE

Ubelgiji: Kocha Aliyemsajili Samatta Atimuliwa KRC-Genk

Leo ni siku ya Boxing day kimenuka nchini Ubelgiji katika Klabu ya KRC Genk anayecheza Mtanzania Mbwana Ally Samatta imeamua...

READ MORE

Benki Kuu Yakanusha Taarifa Kuhusu Noti ya TZS 500 Kutotumika Tena Baada ya Disemba 31, 2016

Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuwafahamisha wananchi wote kuwa habari inayoenea katika mitandao mbalimbali ya kijamii kwamba noti ya shilingi...

READ MORE

Darassa, Roma Kufunikana Nichane Nikuchane, Dar Live

Darassa Hebu vuta picha usiku mmoja unakwenda kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Burudani wa DAR LIVE halafu unakuta wasanii wa...

READ MORE

Oprah Winfrey anakufungia mwaka kwa somo la utajiri

Makala: Nyemo Chilongani na Mtandao | Gzeti la Ijumaa Wikienda, Toleo la Desemba 26, 2016 Si maneno yangu tu, hata...

READ MORE

Picha 21 Za Kuchora Ambazo Nina Uhakika Zitakushangaza

Na: Nyemo Chilongani Kuna watu wamezaliwa kuwa na vipaji, leo unapowaona watu wanacheza mpira kwa kiwango cha juu jua kwamba...

READ MORE

Mkulima Achomwa Mkuki Mdomoni, Watokeza Shingoni

  OFISI YA MBUNGE Jimbo la Mikumi inalaani sana kitendo cha kinyama kilichofanywa na Ndugu zetu wa jamii ya wafugaji...

READ MORE

Polisi Wakatisha Raha Coco Beach

   Umati wa watu walikowa kwenye Ufukwe za Cocco. Vibaka, Mateja wahatarisha usalama, kamari, karata tatu, machangu tishio. Richard Bukos...

READ MORE

Pichaz: Coco Beach Kulivyonoga Sikukuu ya Krismasi

PICHA ZOTE NA RICHARD BUKOS/GPL ILIKUPITA HII? Mpaka Home; Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Darassa, Cheki Video Akipika Msosi Gheto

READ MORE

Watoto Walivyosherehekea Michezo ya Krismasi Dar Live

        Watoto wakiogelea katika bwawa maalum lililomo ndani ya ukumbi wa Dar Live. …Wakifurahia mabembea. …Wakiwa stejini kushindanishwa kuimba nyimbo...

READ MORE

Ma-Rapa wa Sebene Walivyokinukisha Dar Live, Usiku wa Krismasi

Khalid Chokoraa akifanya yake. G-Seven akikamua. Sebene likinoga. Hitler aliyeko kulia akikamua jukwaani. Mashabiki wakifurahia burudani. J4, hatari sana. J4...

READ MORE

Lori Laua Padri Saa 6 Kabla ya Krismasi

GEITA: TAKRIBANI watu saba wamekufa akiwamo Padri katika ajali ya barabarani, saa sita kabla ya sikukuu ya Krismasi. Watu hao...

READ MORE

DIAMOND PLATNUMZ & WASAFI CLASSIC: Shoo Ya Vodacom Wasafi Festival Yaacha Historia Mkoani Iringa

Usiku wa Dec 25, 2016  wakali wa Bongo Fleva akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize, Rayvanny, Queen Darleen, Q Boy, Chege pamoja...

READ MORE

Nguli wa Muziki wa Pop Duniani, George Michael Afariki Dunia

MWANAMUZIKI nguli mwenye asili ya Uingereza, ambaye alijizolea umaarufu mnamo miaka ya 1980 na kuwika ulimwenguni kutokana na mtindo muziki...

READ MORE

Wengi Wajitokeza Kwenye Msiba Wa Mpoki Bukuku Tabata

Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani,...

READ MORE

Rais Magufuli Ashiriki Ibada ya Krismasi Singida

Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli leo wakiwa katika ibada ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu...

READ MORE

Ndege Ya Jeshi Ya Russia Yaanguka Baharini Sochi

   Ndege kama hii ya  ya jeshi la Russia aina ya Tupolev Tu-154 iliyoanguka katika bahari ya Black Sea ....

READ MORE

Video: Alichokifanya Diamond Platnumz Usiku Wa WCB Jangwani Sea Breeze Dar

KCEE LIVE PERMANCE DIAMOND PLATINUM ALIVYOWASILI KWA BOTI KWENYE SHOW YA WASAFI BEACH PART WASAFI BEACH PART SHOO NDIVYO ILIVYOANZA...

READ MORE

Taarab Ya Jahazi Yafunika Dar Live Mkesha Xmas

Mashabiki wakiburudika katika ukumbi wa maraha wa Dar Live. Mwanamuziki wa Jahazi Modern, Prince Amigo, akitoa burudani ya kufa mtu...

READ MORE

Shoo Ya Diamond Platnumz (Wasafi) Yaacha Historia Jangwani Sea Breeze Dar (Video)

Rais wa Wasafi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku wa kuamkia leo Jangwani Sea Breeze jijini...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa Atinga Gereza La Ukonga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua gwaride lililoandaliwa na Jeshi la Magereza wakati alipowasili kwenye gereza la Ukonga jijini Dar es...

READ MORE

Magazeti Yote Ya Tanzania Leo Ijumaa Desemba 25, 2016 Yako Hapa

Angalia kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Desemba 25, 2016. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa habari...

READ MORE

Diamond Akipafomu live Jangwani Sea Breeze

Rais wa Wasafi, Diamond Platnumz akifanya makamuzi usiku huu Jangwani Sea Breez jijini Dar. Mashabiki wakimshangilia Diamond Platnumz (hayupo pichani)....

READ MORE

Baada ya Kutokuelewana kwa Miaka Miaka Kadhaa, Hatimaye Diamond, Baba’ke Wapatana

STORI: GLADNESS MALLYA NA MUSA MATEJA | Gaztei la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 24, 2016 DAR ES SALAAM: Hakuna...

READ MORE

Hivi Ndivyo Sinema ya Faru John Inavyochezwa

STORI: MWANDISHI WETU | Gaztei la Risasi Jumamosi, Toleo la Desemba 24, 2016 DAR ES SALAAM: Ile sinema ya kifo...

READ MORE

Basata Yawakumbusha Wamiliki Wa Kumbi Za Burudani Kufuata Sheria

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani...

READ MORE