×

Habari

Ujumbe wa Mpoto Wahusishwa na Baa la Njaa

Mrisho Mpoto akiwa Global Tv Online Mwanamuziki wa Muziki wa Asili Bongo na mtumbuizaji kwa staili ya kughani mashairi, Mrisho...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Jumapili, Januari 22, 2017

Soma kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Jumapili, Januari 22, 2017. Pia endelea kutembelea Global Publishers kwa habari zote zinajiri...

READ MORE

Aliyetumbuliwa na JPM Ukuu wa Mkoa, Amteua Kuwa Mbunge

Rais Dkt John Pombe Magufuli leo Jumamosi, Januari 21, 2017 amemteua Anne Kilango Malecela kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Hadithi ya Eric Shigongo: Dimbwi la Damu-05

ERIC SHIGONGO DIMBWI LA DAMU-05 GLOBAL PUBLISHERS Roho mkononi Tehran: Katika nchi zilizopiga vita madawa ya kulevya kwa nguvu zote...

READ MORE

Albamu Mpya ya AIM ya Navy Kenzo Haikamatiki Mitandaoni

IKIWA ni baada ya Kundi la Navy Kenzo linaloundwa na wasanii wawili kutoka Bongo, Aika na Nahreel kuachia Albamu yao...

READ MORE

Yanga Yaichapa Ashanti Bao 4-0, FA Cup

Mabingwa watetezi Kombe la Shirikisho, Yanga wameanza kampeni yao ya kulitetea kombe hilo vizuri kwa kuitwanga Ashanti United kwa mabao...

READ MORE

Mbalizi Nao Wanasema ni Zamu Yao Kushinda Nyumba Msimu Huu

Msomaji akisoma Gazeti la Risasi Mchanganyiko linalokuwa mtaani kila Jumatano. Wasomaji wakichangamkia Magazeti ya Championi na Risasi Mchanganyiko. Wakijaza kuponi...

READ MORE

Wachina Waishio Tanzania Washerehekea Siku Yao ya Mwaka Mpya

Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo katika sherehe hizo. Balozi wa China hapa nchini, LU Youging akizungumza jambo...

READ MORE

Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Ajiuzulu Ubunge

Dkt. Abdallah Possi.

READ MORE

Moyo Sukuma Damu: Hazina Iliyofichwa Maktaba Mwaka Mzima!

    Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erik Evarist (wa kwanza kulia) akimuonyesha Lameck Ditto (katikati) utengenezaji wa gazeti la...

READ MORE

Mbasha: Ukiona Ndoa Imedumu Kuna Mmoja Kajifanya Bwege!

LEO Januari 21, 2017 mwimbaji wa nyimbo za Injili hapa Bongo, Emmanuel Mbasha ameweka wazi kuwa jambo la kuelewana kwenye...

READ MORE

Video: Donald Trump Aapishwa Kuwa Rais wa 45 wa Marekani (+Pichaz 40) za Matukio

  WASHNGTON DC, MAREKANI: Mfanyabiashara Maarufu duniani, Donald John Trump ameapishwa rasmi kuwa Rais wa 45 wa Marekani huku bwana...

READ MORE

Maneno ya Mike Sangu kwa Mama Kanumba Baada ya Kumtambulisha Mrithi wa Mwanaye

GLADNESS MALLYA, Gazeti la Risasi Jumamosi, Toleo la Januari 21, 2017 KUTOKANA na hivi karibuni mama wa aliyekuwa staa mkubwa...

READ MORE

Mshindi wa Chemsha Bongo ya Shinda Nyumba kwa Leo ni Jafar Nzowa

Mshindi wa Chemsha Bongo ya #ShindaNyumba2 kwa leo ni Jafar Nzowa amwenye namba za simu 0752826061. ‘Alikomenti’ kupitia tovuti ya...

READ MORE

Video + Picha: Barack Obama na Mkewe Walivyosepa Washington DC

Kutoka kushoto ni First Lady Melania Trump, Karen Pence, Rais Donald Trump, Makamu wa Rais Mike Pence, Barack Obama, Joe...

READ MORE

Acha Maneno, Miliki Nyumba kwa Shilingi 500 Tu

Wauza magazeti wakimuelekeza msomaji namna ya kujaza kuponi ya Shinda Nyumba iliyoko ukurasa wa pili wa kila Gazeti linalochapishwa na...

READ MORE

Maambukizi Kwenye Mfuko Wa Kizazi (Pelvic Inflamatory Disease)

MAAMBUKIZI haya ni ya vijidudu katika via vya uzazi ambapo wadudu hupanda kutoka kwenye utupu wa mwanamke na kuingia kwenye...

READ MORE

Umeyasikia Maneno ya Trump Mara Baada tu ya Kuapishwa Kuwa Rais?

MAREKANI: Rais Donald Trump wa Marekani ameahidi kuwaunganisha Wamarekani alipokuwa anawahutubia muda mfupi mara baada ya kuapishwa kuwa rais wa...

READ MORE

Tatizo la Fangasi Kwenye Ubongo

ATIZO la fangasi katika ubongo (Mucormycosis), ni ugonjwa ambao katika siku za hivi karibuni umekuwa maarufu huku ukisababisha vifo vya...

READ MORE

Hatimaye Rais Jammeh ‘Amekubali Kuachia Madaraka’ Gambia

GAMBIA: Hatimaye Kiongozi wa muda mrefu nchini Gambia, Yahya Jammeh (pichani) amekubali kung’atuka na kuondoka nchini humo, rais anayetambuliwa na...

READ MORE

Magazeti ya Yote ya Leo Jumamosi, Januari 21, 2017

Soma kilichoandikwa kwenye magazeti ya Tanzania leo Jumamosi, Januari 21, 2017. Pia endelea kutembelea Global Publishers kwa habari zote zinajiri...

READ MORE

Ditto: Moyo Sukuma Damu ni ‘Idea’ ya Miaka Miwili

Msanii wa kizazi kipya anayesumbua kwa sasa na ngoma yake mpya ya Moyo Sukuma Damu, Lameck Ditto leo katika mahojiano...

READ MORE

Balozi wa WGFA Atangaza Fursa za Kuuza Bidhaa Uarabuni kwa Wajasiriamali

Khadija akizungumza na waandishi wa habari wa Global Publishers, leo. Wewe ni mjasiriamali mdogo na una ndoto za kukua kibiashara...

READ MORE

Simbu Awashukuru Watanzania, Nape Atoa Neno

Waziri Nape Nnauye akizungumza na wadau na wanahabari wakati wa hafla ya kumpokea mwanariadha Simbu. KINARA wa Standard Chartered Mumbai...

READ MORE

Nikki wa Pili: Mashabiki Wamekacha Shoo!

Nikki wa Pili GAZETI LA IJUMAA JANUARI 20 RAPA anayefanya poa katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Nickson Simon ‘Nikki...

READ MORE

Tonya: Tulitaka Tumzike Gigy Money

Matonya. WAFUATILIAJI wa burudani hususan katika Muziki wa Bongo Fleva watakuwa wanazifahamu nyimbo kama Vaileth, Anita, Taxi Bubu na Dunia...

READ MORE

Mahakama Yamthibitisha Benjamin Sitta Kuwa Meya wa Kinondoni

DAR ES SALAAM: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtambua Benjamin Samweli Sita (pichani) kuwa meya wa Kinondoni. Hukumu hiyo imetolewa...

READ MORE

Sababu 8 Mourinho Amshukuru Van Gaal

MANCHESTER, England MANCHESTER United imekuwa na kipindi cha miaka kadhaa ya mtikisiko tangu kuondoka kwa aliyekuwa kocha wa timu hiyo,...

READ MORE

Utata Waibuka Mtoto wa Chuchu na Ray

Ray na Chuchu. UTATA mzito umeibuka kuhusiana na mtoto aliyezaliwa na msanii wa filamu Bongo, Chuchu Hans ambapo mashabiki wengi...

READ MORE

Joaquin “El Chapo” Akabidhiwa kwa Maafisa Marekani

Joaquin “El Chapo akiwa chini ya uandalizi wa maafisa wa Mexico. MEXICO: Kiongozi wa genge la walanguzi wa mihadarati nchini...

READ MORE

Chale 21 Alizochanjwa Diamond…

Daimond Platnumz DAR ES SALAAM: Ijumaa Januari 20, 2017 Alama 21 zinazodaiwa ni chale zinazopatikana mgongoni mwa mwanamuziki Nasibu Abdul...

READ MORE

Wasomaji Arusha Waapa, Lazima Msimu Huu Mshindi wa Nyumba Atoke Kaskazini

KIPYENGA PRIIIII!, Hatimaye lile shindano kubwa nchini la bahati nasibu ya Shinda Nyumba Msimu wa Pili linaoandaliwa na Kampuni ya...

READ MORE

Nilifanya Mapenzi na Maiti 20 Nitajirike – 15

ILIPOISHIA… “Ichome taswira hiyo kwa hicho kisu,” iliniambia. “Unasemaje?” niliuliza huku jasho likinitiririka, hakika niliogopa kwani nilijua kwamba endapo ningeichoma...

READ MORE

Msajili wa Vyama Ashikilia Msimamo wake Wa Kumtambua Profesa Lipumba

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema hana hofu ya kuchafuliwa kutokana na tuhuma zinazotolewa dhidi yake,...

READ MORE

Pacha wa Ney wa Mitego Awa Gumzo Mtandaoni

Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.   Baada ya kuibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii...

READ MORE

Profesa Ndalichako: Mikopo Ngazi Ya Diploma Yaja

Serikali imewasilisha pendekezo la mabadiliko ya Sheria ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ili kuwezesha wanafunzi wanaochukua Stashahada...

READ MORE

Jeshi la Senegal Laingia Gambia Kukabiliana na Rais Jammeh Aliyegoma Kuondoka Madarakani

GAMBIA: Vikosi vya majeshi kutoka nchini Senegal vimethibitisha kuingia katika ardhi ya Gambia katika muda ambao rais mpya Adama Barrow...

READ MORE