×

Habari

Madaha: Mastaa Mrudi Shule!

  Baby Madaha MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amewataka mastaa wenzake kurudi shule kwani kwa kipindi hiki...

READ MORE

Klabu Billicanas Inavyozidi Kutoweka Ikibomolewa

Eneo ambalo lilikuwepo klabu maarufu ya Billicanas ambalo linaendelea kubomolewa kutokana na kudaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)....

READ MORE

Walimu Waitaka Serikali Ilipe Malimbikizo ya Trilioni 1.060/-

Kaimu Katibu Mkuu wa chama cha Walimu Tanzania (CWT) , Ezekiah Oluoch CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimepongeza jitihada za...

READ MORE

Godbless Lema, Mkewe Kizimbani Tena Leo Kesi ya Kumtukana RC Gambo

DAR ES SALAAM: Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, Augustino Rwezile, leo, anatarajia kuwasomea hoja za...

READ MORE

Dayna Awalilia Watanzania Tuzo za Bae

Na Risasi Januari 18 MWANADADA anayefanya poa kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Mwanaisha Said ‘Dayna Nyange’ amewalilia Watanzania kumsapoti kwa...

READ MORE

Shinda Nyumba Awamu ya Pili Kuzinduliwa Leo

DAR ES SALAAM: Mkurugenzi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Tarimba Abbas Tarimba ndiye atakuwa mgeni rasmi katika uzinduzi...

READ MORE

Jeshi la Nigeria Lalipua Kimakosa Kambi ya Wakimbizi na Madaktari, 6 Wauawa

Ndege ya Jeshi la Nigeria imelipua kimakosa kambi ya wakimbizi na madaktari wasio na mipaka wakidhani ni wanamgambo wa kundi...

READ MORE

Mzee Yusuf Awa Mhadhiri wa Kitaifa

DAR ES SALAAM: Aliyekuwa staa mkubwa wa muziki wa Taarab Bongo, Mzee Yusuf ambaye kwa sasa amemrudia Mungu wake na...

READ MORE

Mama Aliyechapwa Viboko Hadharani Mara Afunguka Mazito, Bofya Umsikie! (+Video)

Gazeti la Uwazi, Toleo laJumanne, Jan. 17, 2017 MARA: Tukio la mwanamke mmoja mkoani Mara kucharazwa viboko 50 na wanaume ...

READ MORE

Rais Magufuli Amteua Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli,  tarehe 17 Januari, 2017 amemteua Mhe. Jaji Prof....

READ MORE

Ajira Mpya Serikalini

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref. Na EA.7/96/01/93 17th January, 2017 VACANCY ANNOUNCEMENT, (RE-ADVERTISED)...

READ MORE

Vee Money Apasua Alimopita Lupita Nyongo

    Muigizaji Lupita Nyongo MAKALA; Na Boniface Ngumije, Gazeti la Uwazi, Toleo la Jan. 17, 2017 KABLA ya mwanzoni...

READ MORE

Diamond Kanyakua Tena Tuzo Nigeria, Usiulize ni Tuzo Gani Wewe Bofya Hapa!

MKALI wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameshinda tena tuzo za Too Exclusive zinazotolewa nchini Nigeria katika kipengele cha Msanii Bora...

READ MORE

Mbeya: Polisi Wafukua Jeneza la Aliyekufa na Kuzikwa, Baadaye Mwili Wake Kukutwa Kitandani

MBEYA: WAKAZI wa eneo la Isanga katika Jiji la Mbeya wameendelea kushuhudia visa, mikasa na matukio ya vioja, baada ya...

READ MORE

Mchungaji Mwingereza alivyouawa na kuliwa nyama yake

Kabila la wala watu Fore. KABILA LA WALA WATU-02 Tunaendelea kusimulia habari ya kweli ya watu wanaokula binadamu wenzao kama...

READ MORE

Polepole: Wapuuzeni Wanasiasa Wanaojinufaisha na Matatizo Yenu

Katibu wa Siasa, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha  Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole Alipoongea na waandishi wa Habari. KATIBU  wa...

READ MORE

Yanga Yaifunga Majimaji bao 1-0

Kikosi cha timu ya Yanga Kilichoanza dhidi ya timu ya Majimaji leo katika Uwanja wa Majimaji, Songea.    Mwamuzi anapuliza...

READ MORE

Tamisemi Yaruhusu Wenyeviti Serikali za Mitaa Kutumia Mihuri

Mheshimiwa wa (Tamisemi) Waziri Simbachawene Akioungea na Waaandishi wa habari. WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), George Simbachawene,  leo...

READ MORE

Matokeo Mabaya Kidato cha Pili Mtwara Siyo Bahati Mbaya -RC Mtwara

Siku moja baada ya Mkoa wa Mtwara kutangazwa kushika mkia katika matokeo ya upimaji wa kitaifa wa wanafunzi wa kidato...

READ MORE

Mbeya: Maiti Iliyozikwa Yakutwa Kwenye Godoro Chumbani

Wakazi wa Isanga Jijini Mbeya wamekumbwa na taharuki baada ya tukio lisilo la kawaida ambapo maiti iliyokwenda kuzikwa katika makaburi...

READ MORE

Shinda Chemsha Bongo na Global Publishers

KUSHIRIKI: Comment jibu lako na namba yako ya simu, atakayekuwa wa kwanza kutoa jibu sahihi atapewa vocha ya buku 5...

READ MORE

Madee Kupora Simu ni Kiki?

Madee. DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita siku chache tangu msanii wa bongo Fleva na staa wa wimbo ya Pombe, Hamad...

READ MORE

Pichaz 7: Gari la Maji Taka Lamwaga ‘Mzigo’ Ubungo Mataa

DAR ES SALAAM: Mapema leo asubuhi, lori la maji taka limechafua hali ya hewa kwenye Barabara ya Morogoro baada ya...

READ MORE

Binadamu wa Mwisho Kutembea Mwezini Gene Cernan Afariki Dunia

MAREKANI: Mwanaanga wa Marekani Gene Cernan, aliyekuwa binadamu wa mwisho kutembea kwenye Mwezi, amefariki dunia akiwa na miaka 82. Shirika...

READ MORE

Diamond, Zari Walamba Shavu Jarida Maarufu la Sauzi

Zari na mpenzi wake, Diamond Platnumz,Toleo lijalo la Februari 2017. MWANAMUZIKI mwenye taito kubwa kwa sasa nchini na Afrika, mtoto...

READ MORE

MJ Records Yatambulisha Kundi Jipya la Bongo Fleva

Lebo maarufu ya muziki hapa Bongo, MJ Records imetambulisha kundi lake jipya la muziki wa Bongo Fleva ambalo ni Hanike...

READ MORE

Nogesha Upendo Ya Vodacom Yaja Na Tsh Bilioni 32 Za M-pesa

Wakati wateja na wananchi mbalimbali wakiendelea kunufaika na promosheni ya Nogesha Upendo ya Vodacom katika kujishindia mamilioni ya fedha kila...

READ MORE

Mo Dewji Asinda Tuzo ya ALM 2016

Jarida la African Leadership limefunga zoezi la kupiga kura kuchagua mshindi wa tuzo ya African Leadership Magazine Person Of The...

READ MORE

Aliyeuwa Watu 39 Mkesha wa Mwaka Mpya Istanbul Akamatwa

Picha za muuaji huyo zilisambazwa na polisi baada ya kufanya shambulizi hilo. Istanbul: Vyombo vya habari nchini Uturuki vimesema mshukiwa...

READ MORE

Magazeti Yote ya Leo Jumanne, Januari 17, 2017 Yako Hapa

Soma kilichoandikwa katika magazeti ya Tanzani leo Jumanne, Januari 17, 2017. Pia usikose kutembelea tovuti hii mara kwa mara kwa...

READ MORE

Hawa Ndiyo Walibebwa na Kolabo Wakatusua Bongo

KILA msanii huwa na njia zake za kupita kabla ya kuja kutusua na kuteka mashabiki. Kuna wale ambao wametoka wakiwa...

READ MORE

Matokeo Kidato Cha Pili 2016 Yametoka, Boya Hapa Kuyatazama

Katibu Mtendaji wa Baraza hilo Dk Charles Msonde amesema jumla ya wanafunzi 435,075 walioandikishwa kufanya mtihani huo kati yao wasichana...

READ MORE

Mtoto wa Rais Afariki Baada ya Kung’atwa na Mbwa

Bwana Barrow yuko nchini Senegal kabla ya kuapishwa siku ya Alhamisi. Mtoto wa kiume wa rais mteule wa Gambia, Adama...

READ MORE

Costa: Nachukia Soka la Uingereza

LONDON, England MSHAMBULIAJI wa Chel­sea, Diego Costa, ame­onyesha kuwa anaweza kuondoka kwenye timu hiyo wakati wowote, aliposema kuwa analichukia soka...

READ MORE

Wenger: Sina Shida na Sanchez

LONDON, England KOCHA wa Arse­nal, Arsene Wenger amesema hakuna tatizo lolote kati yake na mshambuliaji wa timu hiyo, Alexis Sanchez....

READ MORE

Mkurugenzi Barca atimuliwa kisa kumkosoa Messi

Barcelona, Hispania KLABU ya Barcelona imeonyesha kuwa hakuna mtu muhimu kwenye timu hiyo zaidi ya mshambuliaji wake Lionel Messi baada...

READ MORE