×

Ijumaa

WASAFI FESTIVAL: RAYVANNY ATAMANI KUPAFOMU MWANZA

IKIWA imebaki siku moja kuelekea siku ya Uzinduzi wa Wasafi Festival itakayofanyika Mtwara katika Uwanja wa Nagwanda Sijaona wikiendi hii,...

READ MORE

FAIZA: MTANIONA CHIZI, ILA BAADAYE MTANIELEWA

MSANII wa filamu na pia mzazi mwenzie na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ Faiza Ally amefunguka kuwa...

READ MORE

ESHA: NIKO TAYARI KULEA MTOTO WA NJE

MSANII wa filamu hapa nchini Esha buheti amefunguka kuwa ameishi na mume wake kwa takribani miaka 10 sasa, hivyo hata...

READ MORE

MADAI MAZITO MUME AMUUA MKE WAKE BAA

MACHOZI! Mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Dulla, Mkazi wa Tabata-Matumbi jijini Dar, anadaiwa kumuua mkewe, Aisha Abdallah (34),...

READ MORE

ODEMBA KUMZALIA DIAMOND MTOTO WA 4!

 HISIA! Mwanamitindo anayeipeperusha vyema Bendera ya Tanzania duniani, Miriam Odemba, ametoa lililoko moyoni mwake kwa kusema, yupo tayari kumuongezea Staa...

READ MORE

MA-MISS T Z WALIOTOBOA

SHINDANO la urembo nchini Tanzania (Miss Tanzania) lilipata kuwa moja ya mashindano makubwa hapa nchini. Shindano hili lilivuta hisia za...

READ MORE

HOYCE TEMU APATA PIGO KUBWA

MISS Tanzania wa mwaka 1999, Hoyce Temu amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mtoto wake wa kike aitwaye Rania...

READ MORE

ESMA AANIKA BATA LA MAMA D, MUMEWE DUBAI

 MWANAMAMA maarufu kwenye mitandao ya kijamii (socialite) ambaye ni dada wa staa wa Afro- Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma...

READ MORE

MASTAA WALIOPITIA MISS TZ KISHA WAKAWIKA

 MASTAA wengi ambao wanawika kwenye tasnia ya filamu za Kibongo chimbuko lao ni kutoka kwenye Shindano la Miss Tanzania ambapo...

READ MORE

MUME WA AMBER RUTTY AIBUKA!

SIKU chache baada ya Abubakary Milenga, baba mzazi wa msanii aliyetikisa kwa skendo ya video ya ulawiti, Nascat Abubakar ‘Amber...

READ MORE

NANI KASEMA USAWA MGUMU… TAJIRI AMWAGA FEDHA UKUMBINI

WEWE endelea kulialia, oooh usawa mgumu, vyuma vimekaza! Wenye shughuli zao wanapata fedha hadi za kumwaga ukumbini na kuwashughulisha watu...

READ MORE

KAJALA: PAULA AKINIZINGUA NAMFUNDISHA ADABU

KARIBU mpenzi msomaji ndani ya safu hii mpya kabisa ya Staa na Familia. Hapa tutakuwa tunakuletea mastaa mbalimbali ambao wamejaliwa...

READ MORE

SHILOLE AHAMIA KWAKE NA MKOSI

MWANAMAMA ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’, wiki iliyopita alihamia kwenye mjengo wake mpya uliopo Majohe, Gongo...

READ MORE

AMBER LULU AFUNGUKA KURUDI KWA PREZZO

IN love again! Sexy lady wa Bongo Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Jini Kisirani’, Lulu Euggen ‘Amber Lulu’...

READ MORE

MENINAH: KULEA KUMENIPOTEZA

I AM back! Msanii wa kike wa Bongo Fleva ambaye ni zao la BSS 2012, Meninah Atik amesema alikuwa kimya...

READ MORE

QUEEN DARLEEN: MAMA YANGU KAFUNGWA CHINA?

MSHANGAO! First Lady wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mwanahawa Abdul ‘Queen Darleen’ ameshtushwa na tetesi za mama yake...

READ MORE

FAIZA AIBUKA NA WANAOONGEZA MAKALIO

KAIBUKA! Mwanadashoti wa Bongo Movies asiyeishiwa vituko, Faiza Ally ameibuka na stori ya wanawake wanaoongeza shepu za miili yao hasa...

READ MORE

MSHTUKO: MSANII BONGO MUVI APIGWA RISASI

MACHOZI! Msanii ambaye ni mwigizaji mwanamama wa Bongo Muvi, Leyness Ngunguye amefariki dunia akiwa kwenye dimbwi la damu baada ya...

READ MORE

DUDUBAYA JIPANGE UPYA ACHA KUTEGEMEA KIKI ZA ‘MASHOGA’

                    Godfrey Tumaini, KONKI! Konki! Konki master! ‘KONKI! Konki! Konki master!’ huu...

READ MORE

AUNTY AFUNGUKIA KUACHANA NA IYOBO

STAA wa filamu kutoka Bongo Muvi, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa amekuwa akisikia fununu kila kukicha kuwa ameachana na mzazi mwenzake,...

READ MORE

STAMINA AFICHUA SIRI YA MTOTO MTARAJIWA

MKALI wa muziki wa  kufokafoka kutoka pembezoni mwa Milima ya Uluguru iliyopo Mji Kasoro Bahari, Morogoro, Boniveture Kabogo ‘Stamina’ amefichua...

READ MORE

MCHEPUKO AUA MKE KWENYE FUMANIZI DAR

MWANAMKE Hajira Ramadhani (38) mkazi wa Mbagala, wilayani Temeke Dar, ameaga dunia; kilichomtoa uhai ni tukio la fumanizi.  Ijumaa limedokezwa na...

READ MORE

ULINZI WA ZARI LEVO ZINGINE!

ACHANA na dili alizolamba kupitia makampuni mbalimbali kipindi akiwa na mzazi mweziye ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

MUZIKI KONKI, ELIMU KONKI MASTER!

UKISIKIA neno Konki Konki, Konki Master kwa harakaharaka kwanza utamfikiria mkongwe katika Muziki wa Bongo Fleva, Godfrey Tumaini ‘Dudu Baya’....

READ MORE

MWILI WA SAJENTI UNARUHUSU VIZAZI VYA MITEGO

MSANII wa filamu Bongo, Husna Iddy ‘Sajent’ amesema kuwa hata kama akivaa vivazi vya mitego haisumbui kwa mtu yeyote kwa...

READ MORE

ZARI ATOA SHAVU UGANDA

 HUENDA jina la Zari likawa linamaanisha zali kwani si kwa kupata mazali ya mentali kiasi hiki! Siku chache baada ya...

READ MORE

WEMA AIKIMBIA NYUMBA USIKU

NI majanga juu ya majanga! Wakati akiwa amedakwa kisha kuburuzwa mahakamani kwa msala wa kusambaza picha za faragha mtandaoni, mwigizaji...

READ MORE

BWANA MPYA WA MOBETO MAMA ATOA NENO

MAMA mzazi wa mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Shufaa Rutiginga ametoa neno juu ya madai ya mtoto wake huyo kupata...

READ MORE

ESTER KIAMA: NIMEGUNDUA WANAWAKE WAZURI HATUOLEWI

MWIGIZAJI sexy kunako Bongo Muvi, Ester Kiama amesema kuwa, amegundua kuwa wanawake wazuri siku zote ni vigumu kupata waume wa...

READ MORE

KAREN: BABA NA PETIT MAN POA TU

MWANAMUZIKI anayechipukia kwenye Bongo Fleva, Karen Gardner ‘Malkia Karen’ amesema kuwa baba yake ambaye ni mtangazaji wa Radio Clouds FM,...

READ MORE

ESMA AOGOPA KUAIBIKA

Dada wa mkali wa Afro-Pop Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan ameweka wazi kuwa anaogopa kuaibika kama ambavyo hutokea...

READ MORE

KAPTENI HILDA: MWANAMKE WA KWANZA KUENDESHA NDEGE NCHINI

Hilda Wendy Ringo KUNA kazi ambazo wanawake kamwe hawawezi kuzifikiria kuzifanya maana baadhi ya wengi wao watakuambia nataka kufungua duka...

READ MORE

WOLPER AFUNGUKIA ‘KUTOKA’ NA LORD EYES

STAA mkali wa filamu Bongo, Jacquline Wolper amefungia madai ya kutoka kimapenzi na Rapa Waziri Makuto ‘Lord Eyes’ kwa kusema...

READ MORE

WIZKID ALIPWA BIL. 1 KUFANYA SHOO HARUSINI

STAA wa muziki kutoka nchini Nigeria amepata shavu la kupafomu kwenye harusi ya kifalme nchini India kwa malipo ya shilingi...

READ MORE

KAJALA: SIO WAKATI WA KUMBEZA WEMA

STAA anayefanya vizuri Bongo Muvi, Kajala Masanja amefunguka kuwa huu si wakati wa kushangilia kilichomtokea msanii mwenzake ambaye pia alikuwa...

READ MORE

IZZO B AMFUNGUKIA SEPENGA

MWANZONI mwa miaka ya 2,000 kulizuka makundi na wasanii ambao walikuwa wakiiwakilisha mikoa yao katika muziki wa Bongo Fleva. Ukienda...

READ MORE

MBINU ZA KUMFURAHISHA MUWAPO FARAGHA-2

NI wiki nyingine tunapokutana katika uwanja huu, mada yetu ni ile tuliyoianza wiki iliyopita, ambayo ama kwa hakika inaonekana kuwagusa...

READ MORE

HEMED ADAIWA KUWA KIWEMBE BONGO MUVI

SIYO ajabu kuona watu wanavuka maji ya Bahari ya Hindi na kwenda kuufuata ubuyu wa visiwani Zanzibar ambao wengi wanaamini...

READ MORE

SHOO YA JIDE, BASTOLA YAZUA TAHARUKI MBELE YA WAZIRI!

MWANAUME mmoja ambaye jina halikuweza kupatikana mara moja, ameibua taharuki ya aina yake baada ya kuonekana akiwa na bastola kwenye...

READ MORE

HAMISA: DIAMOND ALINIPA GUNDU !!

MWANAMITINDO anayebamba Bongo, Hamisa Mobeto amekiri kuwa mzazi mwenzake ambaye ni mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa...

READ MORE