×

Ijumaa

NGOMA 10 Zilizotazamwa Zaidi Hadi 2018, Video Zipo Hapa

YOUTUBE ni mtandao wa kijamii wa kuweka na kutazama video za vitu mbalimbali zikiwemo za matukio ya kila aina bila...

READ MORE

ZARI AMMALIZA TANASHA, KIFUA, MVUTO

  AMEMMALIZA! Ndivyo walivyoamua wafuasi wa aliyekuwa mpenzi wa Diamond (Nasibu Abdul), Mganda Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ alipowekwa...

READ MORE

Mimi Mars Afurahia Kuwa Single

FULL happy! Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye gemu la Bongo Fleva, Marliane Mdee ‘Mimi Mars’ amesema hakuna kitu kinachompa furaha...

READ MORE

CHEMICAL ABEBA JINA LA KONKI

MWANADADA anayefanya Hip Hop Bongo, Claudia Lubao ‘Chemical’ amelikubali jina la Konki baada ya kuwa msanii wa kwanza kutoa shoo...

READ MORE

FAIZA ALLY: ALIPAMBANA USIKU NA MCHANA KUSAKA MAISHA BORA

    FAIZA Ally ni mmoja wa waigizaji wa sinema za Kibongo ambao kwa hivi sasa wameweza kujipatia umaarufu mkubwa...

READ MORE

Mpenzi Wa Poshy Anapata Tabu Sana!

Jacqueline obed ‘Poshy Queen’   ANAPATA tabu sana! Mrembo anayetingisha kwenye mitandao ya kijamii (socialite) kutokana na figa yake matata,...

READ MORE

BIASHARA TAMU KINOMA KWA WEMA!

  ASIKWAMBIE mtu! Staa mwenye nyota kama zote Bongo, Wema Isaac Sepetu amefunguka kuwa hakuna kitu anachokipenda kama biashara anayoifanya...

READ MORE

Kajala Ataka Kuanza Mwaka Akiwa Safi

AMANI tupu! Mkali wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ameapa kumaliza mwaka 2018, bila kugombana wala kuwa na bifu na...

READ MORE

Esma Abariki Diamond Kumuoa Tanasha

KAMA vipi poa tu! Dada wa staa mkubwa Afro-Pop nje na ndani ya Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan...

READ MORE

DIAMOND HATARINI KUFUNGIWA MAISHA!

DAR ES SALAAM: Baada ya kufungiwa kufanya shoo ndani na nje ya nchi kwa muda usiojulikana, mkali wa Bongo Fleva,...

READ MORE

NDOA YA CHAZ BABA VISA VYAANZA!

DAR ES SALAAM: Chokochoko! Takriban wiki moja baada ya kufungwa kisha kufuatiwa na sherehe kabambe kwenye Ukumbi wa Mlimani City...

READ MORE

DAKTARI: WEMA ANAHITAJI MASAJI

DAKTARI ambaye ni mtaalam wa kuwa­fanyia watu masaji za mwili na viungo, Hap­piness Mtuya amesema kuwa staa wa filamu za...

READ MORE

SHILOLE; KUTOKA MUUZA GENGE HADI BOSS LADY

BOSS LADY ni jina ambalo si vibaya ukimuita mrembo Zuwena Mohamed ‘Shilole’ ambaye historia ya maisha yake ina fundisho kubwa...

READ MORE

MTOTO ALIYECHANGIWA NA MONDI… MAZITO YAIBUKA!

DUNIA haina huruma! Licha ya mateso anayoyapata kutokana na ugonjwa wa kansa ya mifupa unaomsumbua, mazito yameibuka kwenye familia ya...

READ MORE

ISHU YA MASTAA WENYE FIGA KONKI, MAMA ‘WAHARIBU’ MABINTI ZAO!

“KILA nikiposti picha Instagram watu wanakimbilia kukomenti kuwa eti natumia dawa za Kichina ili kuongeza ukubwa wa makalio yangu. Naumia...

READ MORE

POSH QUEEN HATAKI KUAJIRIWA

SITAKI! Mlimb-wende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada...

READ MORE

MBWEMBWE ZAMUAIBISHA WOLPER

AIBU yake! Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe amekumbwa  na dhoruba ukumbini baada ya kuonesha mbwembwe za kuserebuka muziki...

READ MORE

WOLPER: SIWEZI KURUDIA ‘MATAPISHI’ YA MKONGO

MKALI wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hawezi kurudisha mapenzi kwa mpenzi wake wa zamani ambaye ni Raia...

READ MORE

SIKIA MAPYA YA ZARI, MOND KUHUSU NDOA

DAR ES SALAAM: Tambo! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mastaa ‘zilipendwa’; Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ na Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

WEMA AMKA, JIPANGUSE NA UKIMBIE!

TANGU ametwaa taji la Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Abraham Sepetu, hajawahi kuchuja. Nyota yake ilianza kung’ara tangu aliposhiriki mashindano...

READ MORE

TATHMINI UHUSIANO WAKO, 2018 UNAKUACHAJE, 2019 UNAINGIAJE?

ZIMEBAKI wiki chache kabla ya kuuaga mwaka 2018 na kuingia Mwaka Mpya wa 2019! Ni suala la kila mmoja wetu...

READ MORE

LULU DIVA AAHIDI NDOA, MTOTO 2019

MWANAMUZIKI na mwigizaji wa filamu Bongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ ameweka ‘pleini’ kuwa lazima mwaka unaokuja na yeye ajikwamue kwa...

READ MORE

SIRI YA VIPOCHI VYA WASANII WA WCB NI HII

WASANII wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) wamekuwa wakionekana sehemu mbalimbali wakiwa na vipochi kiunoni huku mashabiki wao wakihoji,...

READ MORE

WASAFI FESTIVAL: KILICHOMKUTA DIAMOND SUMBAWANGA, HATOSAHAU

NI hekaheka! Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekiona cha moto baada ya kundi la vijana kumvamia, kumzonga...

READ MORE

MIMBA YA SARAH WA HARMONIZE ILIVYOYEYUKA

MSHTUKO! Ile mimba iliyokuwa inawanyima usingizi wengi ya mchumba wa msanii wa Bongo Fleva anayeitumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby...

READ MORE

WASANII VIJANA MATAJIRI BONGO

TANZANIA ina vijana waliojaliwa vipaji vikubwa mno na laiti kama wangepata sapoti zaidi ya hapa walipo, basi wangekuwa mbali mno...

READ MORE

KIJANA ALIA…NAKIONA KIFO CHANGU

  INAUMA sana! Kijana Mustafa Saidi (32), mkazi wa Ukonga-Mombasa jijini Dar anadai kukiona kifo chake kutokana na mateso makubwa...

READ MORE

BABU SEYA AIBULIWA MAFICHONI

DAR ES SALAAM: ALIPOFUNGWA kifungo cha maisha kwa kosa la ubakaji na ulawiti, mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ mali zake...

READ MORE

MASTAA WANAORUDISHA WALICHOKIPATA KWA JAMII

WASWAHILI wanasema, “kutoa ni moyo si utajiri”. Hiyo humaanisha kwamba si kila anayetoa msaada kwa jamii ana fedha nyingi sana...

READ MORE

HUU NDIYO UKWELI UWOYA KUPORA MUME WA MTU

DAR ES SALAAM: Ile skendo kabambe iliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya...

READ MORE

UKIONA DALILI HIZI, TAMBUA WEWE SIYO CHAGUO LAKE -2

NI matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko vizuri! Ni wiki nyingine tunapokutana jamvini, ikiwa ni wiki ya kwanza ya mwezi...

READ MORE

BELLA, FIRST CLASS KUKINUKISHA KRISMAS HII

KAMA ulikuwa ukijiuliza sikukuu hii ya Krismas huende wapi jibu simpo tu. Uwanja wa Kimataifa wa Burudani, Dar Live unatarajia...

READ MORE

GIGY AIBARIKI NDOA YA MZAZI MWENZAKE

BAADA ya kumwagana na kila mtu kushika hamsini zake, hatimaye msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ ameibariki ndoa...

READ MORE

BAADA YA KUSHINDA TUZO… CALISAH ATOA YA MOYONI

BAADA ya kufanikiwa kuiwakilisha vyema Tanzania na kuwa mshindi wa Mr Africa International 2018, huko nchini Nigeria mwanamitindo, Calisah Abdulhamiid...

READ MORE

RASMI..DIAMOND KUMUOA HUYU !

PENZI ni kikohozi kulificha huwezi! Hicho ndicho kilichotokea kwa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ ambaye rasmi ametangaza...

READ MORE

LINAH, BELLE9 KUKIWASHA IRINGA WASAFI FESTIVAL…

BAADA ya uzinduzi wa kutisha wa Wasafi Festival kufanyika katika Uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, leo (Ijumaa) moto utawaka...

READ MORE

DIDA AZUA GUMZO UKUMBINI

HUYU naye! Mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani cha Redio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ amegeuka...

READ MORE

HAWA WANAPIGA KOTEKOTE !

MUZIKI wa Bongo Fleva kwa sasa upo kwenye ubora wake na hilo halina ubishi. Kumekuwa na ushindani mkubwa kwa wasanii...

READ MORE

MASTAA HUKU NI KUCHEZEANA AKILI

MAHUSIANO ya kimapenzi yanachukua nafasi kubwa sana kwenye maisha ya binadamu. Hapa nawazungumzia wale ambao ni watu wazima, wenye akili...

READ MORE

NANDY ATOBOA SIRI YAKE NA MOBETO

HITMAKER wa Ngoma ya Ninogeshe, Faustina Charles ‘Nandy’ ametoboa siri yake na mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobeto kuwa wapo mbioni kufanya...

READ MORE