×

Ijumaa

AUNT LULU: KUOMBA HELA OVYO KULINIGOMBANISHA NA WAZAZI

MTANGAZAJI Lulu Semagongo ‘Aunt LuLu’ ameibuka na kuifunua siri yake aliyokuwa ameificha muda mrefu kuwa, alikuwa kero kwa wazazi wake...

READ MORE

PROF JAY AMPA HESHIMA MONDI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Professor J’ ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mikumi mkoani Morogoro,...

READ MORE

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA KULIKO UENDAKO !

JUMATATU nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano.  Ndugu...

READ MORE

UVIMBE KATIKA MLANGO WA UZAZI (NABOTHIAN CYST)

TATIZO hili la uvimbe wa mlango wa kizazi au kitaalam linaitwa Nabothian Cyst au Nabothian Follicle ni vivimbe au uvimbe...

READ MORE

ZARI KUITIKISA MBAGALA KESHO

DAR ES SALAAM: Mambo ni faya! Wakati saga lake na mzazi mwenzake ambaye ni staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

NEEMA NABII ASIYEKUBALIKA

KWELI? Mwongozaji na mwigizaji wa Bongo Muvi, Neema Ndepanya amefunguka kuwa kwa kipindi kirefu alikuwa ni kama nabii asiyekubalika kwao...

READ MORE

NELLY ANATAKA KUZAA LAKINI…

WANAUME mpo? Mwanamitindo maarufu Bongo, Nelly Kamwelu amefunguka kuwa anataka sana kuwa na mtoto kwa kipindi hiki, lakini amejifunza kuwa...

READ MORE

MTOTO MIAKA 5 KUONDOLEWA KIZAZI!

DAR ES SALAAM: EE Mungu! Ndiyo kauli unayoweza kuiotoa kumuonea huruma mtoto wa miaka 5 ambaye madaktari wamemtaka afanyiwe upasuaji...

READ MORE

KUMEKUCHA TENA…NABII TITO AKIRI KUANGAMIZA WATU

KUMEKUCHA tena! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Nabii Tito Machibya kuibuka na kusema ameokoka kwa sasa yeye na mkewe ambapo...

READ MORE

DIAMOND APEWA MTIHANI KWA BABA’KE

MOJA kati ya matukio yaliyotikisa ndani ya wiki iliyopita ni lile la kupatana kwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

KINACHOSABABISHA MWANAMKE KUTOKWA NA UCHAFU MWEUPE SEHEMU ZA SIRI

WANAWAKE inawabidi kujichunguza kila siku ya maisha yao maeneo yao ya uzazi na matiti, vile vile kuichunguza nguo ya ndani...

READ MORE

 RIYAMA AWAPONDA WANAOTOA SIRI ZA WAUME ZAO!

STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally amewaponda wanawake wanaopenda kutoa siri za waume zao au wanaume wanaoachana nao na...

READ MORE

TESSY AFUNGUKIA MADAI YA KUVALIANA NGUO NA UWOYA

BAADA ya picha yake kusambaa mitandaoni akiwa amevaa nguo sare na aliyowahi kuonekana ameivaa msanii wa filamu za Kibongo, Irene...

READ MORE

BAADA YA KUPATANA… DIAMONDI BABA’KE WAFUKUA MAKABURI

DAR ES SALAAM: WIMBO mpya wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wa The One umeshindwa kuzima kishindo cha tukio la msanii...

READ MORE

UWOYA KWELI KAFUNGA VIOO

HATAKI shobo! Mwanamama sexy kunako kiwanda cha filamu za Kibongo ambaye ni mkali wa kupigilia pamba za bei mbaya kila...

READ MORE

MATESO YA FAMILIA HII TEMEA MATE CHINI!

JE! Mungu mwenye upendo anawezaje kuruhusu mateso ya namna hii kuendelea katika ulimwengu aliouumba? Ndivyo unavyoweza kujiuliza baada ya kusoma...

READ MORE

Wolper Kasahau Maumivu ya Mapenzi

KWELI au anazuga? Mkali wa sinema za Kibongo ambaye amegeukia kwenye ubunifu wa mavazi, Jacqueline Wolper Massawe amesema kuwa sasa...

READ MORE

MABADILIKO NA ATHARI KWENYE MZUNGUKO WA HEDHI

TATIZO la mabadiliko yasiyo ya kawaida katika mzunguko wa hedhi huwapata wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na wale...

READ MORE

Diamond hongera kwa kuyamaliza na ‘mshua’, lakini isiishie studio

MIONGONI mwa habari zinazoendelea kutrendi kwa kasi kubwa kwenye mitandao ya kijamii, ni tukio la msanii mahiri wa Bongo Fleva,...

READ MORE

ROSA REE AMEBANA AMEACHIA , UGUMU TUPA KULE

Rosa Ree ni mmoja wa mabinti wanaokuja kwa kasi kwenye muziki wa Hip Hop barani Afrika akitokea Bongo Flevani.   ...

READ MORE

Rose Ndauka: Wasanii Acheni utoto

MANENO kuntu! Mwanamama wa Bongo Movies, Rose Ndauka ameibuka na kusema kuwa, siku zote mtu akiacha utoto, mambo lazima yamnyookee....

READ MORE

Tunda hata akifa ghafla hana kinyongo na mtu

MAKUBWA! Muuza nyago matata Bongo, Tunda Sebastian amefunguka kuwa, hata kama atakufa leo hii, hana kinyongo na mtu yeyote.  ...

READ MORE

Kidoa Afunguka Kuwa Mke Bora, Awashangaa Wanaume!

WAOAJI mpo? Video queen ambaye kwa sasa amegeukia kwenye uigizaji Bongo, Asha Salum ‘Kidoa’ amefunguka kuwa yeye ni ‘waifu matirio’...

READ MORE

BAADA YA WIMBO WAKE KUPIGWA MUSCAT… BABA DEE, WANAYE KIMEELEWEKA

DAR ES SALAAM: KIMEELEWEKA! Ndivyo unavyoweza kusema, baada kuwepo kwa kutoelewana kwa muda mrefu, hatimaye moshi mweupe umeonekana baada ya...

READ MORE

UWOYA AFUNGUKA CHANZO KIFO CHA MBWA WAKE

  STAA wa filamu Bongo, Irene Uwoya hivi karibuni ameeleza kupata msiba mzito wa kufiwa na mbwa wake aitwaye Kallu...

READ MORE

SIWEZI KUZEEKA , SINA STRESS – MONALISA

 MUIGIZAJI wa kitambo Bongo, Yvonne Cherry ‘Monalisa’ amesema kuwa hawezi kuzeeka kwa sababu hana kabisa stress na ndiyo maana kila...

READ MORE

FAHAMU HATARI ZA KIAFYA KWA WAJAWAZITO

 UJAUZITO unachangia mabadiliko mbalimbali ya mwili tangu mwezi wa kwanza hadi mwanamke anapojifungua. Katika kipindi chote za kulea mimba, mjamzito...

READ MORE

MAMA ROMMY APEWA TALAKA POLISI

DAR ES SALAAM: MAMA yake DJ Rommy Jones, Shani Swedy anadaiwa kuzua kasheshe la aina yake alipokuwa akidai talaka yake...

READ MORE

MOBETO APIGA MIL 50 KWA MWEZI

DAR ES SALAAM: MUNGU akiamua kukupa atakupa tu! Baada ya kudharauliwa mno mitandaoni, hatimaye staa ‘grade one’ ambaye pia ni...

READ MORE

CHANZO CHA MAUMIVU YA KIUNO NA MAGOTI

WATU wa rika zote, wanaume na wanawake husumbuliwa na tatizo la maumivu ya kiuno na magoti huku wazee ndiyo huteseka...

READ MORE

PENNY:NISIPEKUE SIMU YA MCHUMBA ? THUBUTU

MTANGAZAJI wa Kipindi cha Harusini cha Swahili Magic, Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’ amesema kuwa ni vigumu mno kuacha kupekua simu...

READ MORE

AUNT: JAMANI MWACHENI MWANANGU

CHONDECHONDE! Staa wa filamu za Kibongo, Aunt Ezekiel amewaomba baadhi ya watu kuacha kumsimanga mwanaye, Cookie kuhusiana na nywele zake...

READ MORE

NAMNA YA KUJIWEKA ILI UOLEWE HARAKA

NI Ijumaa nyingine tunapokutana kwenye ukurasa huu mzuri. Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu unaendelea na majukumu yako vizuri.  Siku...

READ MORE

AIBU! NJEMBA ANASWA WIZI NGUO ZA NDANI ZA KIKE

MBEYA: AMEJUA kutuweza! Kwa kawaida wizi haukubaliki na utakapotiwa mbaroni kwa wizi ujue yatakukuta makubwa, lakini utakapodakwa katika tukio la...

READ MORE

DAKTARI NUSURA AUE MTOTO!

MTU akiitwa daktari maana yake ni: “Mtaalamu aliyepata shahada ya juu kabisa; mganga aliyehitimu katika elimu ya tiba ya dawa...

READ MORE

ZARI AFUNGUKA DIAMOND KUMPA MAFANIKIO MAKUBWA

KUMPIGA teke chura ni kumwongezea mwendo! Hiyo ndiyo kauli inayoshabihiana na kilichotamkwa na mwanadada wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

KABLA HATA YA MWAKA MMOJA MADARAKANI… JOKATE SI YULE

UKIAMBIWA mambo aliyoyafanya Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe mkoani Pwani, Jokate Urban Mwegelo tangu ateuliwe kushika nafasi hiyo, miezi minane...

READ MORE

NDOA YA SHAMSA KUVUNJIKA KISA MTOTO?

MWIGIZAJI bomba wa Bongo Muvi, Shamsa Ford amewajibu wanaomsema kwamba ameshindwa kumzalia mume wake, Chid Mapenzi mtoto na kwamba ndoa...

READ MORE

LYNN AMTIKISA TANASHA KWA MONDI

DAR ES SAAM: Msanii na video queen maarufu Bongo Irene Louis ‘Lyyn’ kwa mara ya kwanza amefunguka juu ya tetesi...

READ MORE

TESSY KAWAZIBA MIDOMO WANAOSEMA ANADANGA

BE inspired! Mzazi mwenza wa staa wa Bongo Fleva, Aslay Isihaka ‘Dogo Aslay’ aitwaye Tessy Abdul almaarufu ‘Tessy Chocolate’ amewaziba...

READ MORE