×


Ijumaa

WEMA AELEZA ALIVYOPIGWA MILIONI 64

 UKURASA mpya! Mwanadashosti kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ameeleza kuwa ameanza upya maisha kutokana na misukosuko aliokutana nayo ya kutapeliwa shilingi milioni…

SOMA ZAIDI

MKE WA MBUNGE YAMFIKA MAZITO

IKIWA imepita takriban miezi 8 tangu aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM), Stephen Ngonyani ‘Profesa Maji Marefu’ afariki dunia, mkewe mdogo aliyefahamika kwa…

SOMA ZAIDIIRENE PAUL: Situmii Gharama Kujichubua!

MWIGIZAJI mkali anapokuwa mbele ya kamera, Irene Paul ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama ya kujitengeneza badala yake wanaweza kubaki na uasili wao…

SOMA ZAIDI

ZAMARADI AELEZA SABABU ZA KUMCHANGIA RUGE

UBINADAMU kwanza! Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha filamu cha Take-One kilichokuwa kikirushwa na Televisheni Clouds, Zamaradi Mketema ‘Zama’ ambaye pia ni mzazi mwenza wa Mkurugenzi…

SOMA ZAIDI

PENNY AJIPODOA KUFICHA SHIDA ZAKE

KUMBE! Kama ulikuwa hujui, basi chukua hii kutoka kwa mtangazaji wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Magic Swahili, Penniel Mungilwa ‘Penny’ ambaye amesanua kuwa…

SOMA ZAIDI

SHOO YA MAHABA… MASTAA WATETEMA !

MJINI kuna vituko! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mastaa mbalimbali wal­ivyotetema kwenye shoo ya Valentine iliyofanyika Ijumaa kwenye ukumbi wa King Solo­mon iliyopewa jina la…

SOMA ZAIDI

BABA DIAMOND KUKATWA MIGUU! – VIDEO

MUNGU amsaidie! Ndivyo walivyosikika, majirani wa baba wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa waliofika kumuona wakati waandishi wetu wakiwa wamewasili…

SOMA ZAIDI

MONA, MWANAYE WAANGUA KILIO HADHARANI

  MUIGIZAJI wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherry ‘Mo­nalisa’ na mtoto wake Sonia George juzikati waliangua kilio hadha­rani walipokuwa wakikabidhi misaada kwenye…

SOMA ZAIDI

ESTER KIAMA APONDA PENZI LA MAPEDESHEE

 MSANII wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amewaponda mapedeshee wa mjini waliokuwa wakimwaga pesa kwa wanawake kuwa kwa sasa wame­kuwa zilipendwa kwani mastaa wengi wanaangalia…

SOMA ZAIDI


WELLU AMKINGIA KIFUA STEVE

MTU na chake! Mwigizaji mwenye umbo matata kunako Bongo Muvi, Wellu Sengo ‘Matilda’ ambaye amezaa na komediani Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amemkingia kifua mzazi mwenzake…

SOMA ZAIDITANASHA AZUIWA KUZAA NA MONDI

DAR ES SALAAM: Penzi la mastaa wa Afrika Mashariki, mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mtangazaji nyota wa Radio NRG ya jijini…

SOMA ZAIDIDARASA AONYESHA JEURI YA PESA

WAKATI mta­zamo wa baadhi ya watu wakiamini kuwa Muziki wa Hip Hop Bongo haulipi kivile, hali imekuwa tofauti kwa staa Sharif Thabeet ‘Darassa’ baa­da ya…

SOMA ZAIDI
spotiXtra


Global TV Online