Mwanaume mmoja huko Vietnamese amehukumiwa kifungo cha miaka mitano gerezani kwa kosa la kukiuka masharti dhidi ya kujikinga na Covid-19...
READ MOREKUNDI la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini Afghanistan, itakayoongozwa na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo, mwanamgambo aliyekuwa...
READ MOREWASICHANA wapatao sita wadogo katika eneo la kati mwa India wamevuliwa nguo na kutembezwa katika maandamano wakiwa uchi kama sehemu...
READ MOREMamia ya raia wa Guinea wamejitokeza barabarani kuunga mkono kikosi cha makomandoo kilichomteka na kumuweka kizuizini Rais wa nchi hiyo...
READ MOREKATIKA hali ya kushangaza, wakati watu wanahangaika kutafuta kizazi, kusaka watoto, mwanadada aliyefahamika kwa jina la Priyanka Ramgoolam (25) ambaye...
READ MOREMUIGIZAJI maarufu wa filamu kutoka nchini Marekani Michael Williams amefariki dunia. Nyota huyo amekutwa amefariki nyumbani kwake usiku wa Septemba...
READ MOREKUPOTEA kwa Ikran Tahlil ambaye ni wakala wa Shirika la Kitaifa la Ujasusi na Usalama (Nisa) nchini Somalia mnamo Juni...
READ MOREMtoto wa tatu wa kiongozi wa zamani wa Libya, Muammar Gaddafi, ameachiwa huru kutoka jela ya mji mkuu wa Tripoli,...
READ MOREKufuatia machafuko nchini Guinea, mchuano wa timu ya taifa hilo wa kufuzu kwa kombe la dunia dhidi ya Morocco nyumbani...
READ MORERAIS wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ambaye alihukumiwa kifungo cha miezi 15 jela baada ya kukaidi agizo la...
READ MOREKIONGOZI wa Kundi la Wapiganaji wanaopinga kundi la Taliban nchini Afghanistan anayeongza vita vikali dhidi ya Taliban katika Bonde...
READ MOREWATOTO pacha wenye umri wa mwaka mmoja ambao walizaliwa wakiwa wameungan nyuma ya vichwa vyao wameweza kuonana kwa mara ya...
READ MOREUMOJA wa Afrika (AU) umelaani mapinduzi ya kijeshi nchini Guinea na kulitaka jeshi la nchi hiyo kumuachilia Rais Alpha Conde...
READ MORERAIS wa Marekani Joe Biden anasema “uwekezaji wa kihistoria ” unahitajika kukabiliana na mzozo wa hali ya hewa, huku maeneo...
READ MOREKARIBU watu 4,500 wameugua kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufuatia kuvuja kwa sumu kutoka kwa mgodi wa almasi...
READ MOREMchungaji Cyril Utomi kutoka Nigeria ameyachoma mawigi na vipodozi vya muumini wa kike kwa madai asingeweza kukutana na Yesu akiwa...
READ MOREUSHINDANI katika sekta ya mawasiliano duniani unaendelea kushika kasi huku baadhi ya kampuni za simu zikianza kugeukia biashara ya utengenezaji...
READ MOREWahamiaji 20 wasio wa kawaida waliojaribu kufika kwenye Visiwa vya Canary kusini-magharibi mwa Uhispania kutoka pwani ya Morocco walipoteza maisha...
READ MOREMWANAFUNZI wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari ya Kapsumbeiywo huko Kuresoi Kusini, Kaunti ya Nakuru nchini Kenya ameuawa...
READ MORESERIKALI ya New Zealand imeripoti kile inachoamini kuwa kifo cha kwanza kinachohusisha chanjo ya corona ya Pfizer. Bodi huru inayosimamia...
READ MOREKIMBUNGA kikali, Ida kimesababisha madhara makubwa nchini Marekani ikiwa ni pamoja na kuvunja majengo na kuvuruga huduma ya nishati kwenye...
READ MOREPIGA picha umelala na mpenzi wako ukiwa umemuegemea, ambaye kabla ya kulala mlikuwa na furaha tu na ghafla unaamka na...
READ MORERAIS mpya wa Zambia Hakainde Hichilema jana Jumapili ameteua wakuu wapya wa jeshi na kuwaondoa wakuu wote wa polisi...
READ MOREJESHI la Marekani kwa kutumia ndege zake zisizo na rubani katika Mji Mkuu Kabul limefanikiwa kuzima shambulio jingine baya la...
READ MOREMamlaka ya kupambana na rushwa nchini Malawi, ACB imemkamata aliyewahi kuwa waziri wa maji na maendeleo ya umwagiliaji nchini humo,...
READ MOREMSHAMBULIAJI anayeshukiwa kuwa wa kujitoa muhanga amekamatwa nchini Uganda kwa kupanga kujilipua katika mazishi ya kamanda wa jeshi anayefahamika kama...
READ MORESerikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa kwake na uamuzi wa Serikali ya Denmark kutangaza kuufunga ubalozi wake nchini Tanzania wakati...
READ MOREMKUU wa polisi wa Nigeria amepokea ripoti ya uchunguzi kuhusu afisa wa juu aliyesimamishwa kazi Abba Kyari, ambaye anatafutwa kwa...
READ MOREWizara ya Mambo ya nje nchini Ufaransa inasema, mpaka sasa hakuna kinachoashiria kuwa makabiliano ya risasi siku ya Jumatano kati...
READ MOREWatu wanane wakiwemo raia wawili wa China wameuawa mjini Nairobi Kenya kufuatia ajali ya korongo au winchi yaani mtambo wa...
READ MORESHAMBULIO kubwa limetokea jana Alhamisi, Agosti 25, 2021 katika Uwanja wa Ndege wa Kabul nchini Afghanistan na kusababisha vifo vya...
READ MOREMAOFISA mjini Dubai wamethibitisha kumkamata mmoja wa walanguzi wakubwa kabisa wa dawa za kulevya wanaotafutwa ulimwenguni pamoja na mshirika wake...
READ MORENaibu wa Rais nchini Kenya, William Ruto siku ya Jumanne alisema kwamba hatojiuzulu saa chache tu baada ya Rais Uhuru...
READ MOREKUJIFUNGUA mtoto kunakuja na mabadiliko mengi katika mwili, mabadiliko ambayo megine ni ya kawaida na yasiyo ya kawaida. Mwanamke mmoja...
READ MOREMAOFISA wa polisi wanachunguza kisa kimoja ambapo mwenzao kutoka Kituo cha Polisi cha Njoro nchini Kenya amepiga risasi na kumuua...
READ MOREHakainde Hichilema amekula kiapo kuwa rais wa Zambia mbele ya umati wa watu waliokuwa wakishangilia Uwanja wa Mashujaa katika mji...
READ MOREMWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 28 anashikiliwa na polisi kwa mauaji mkoa wa Bono. Polisi nchini Ghana wanachunguza mauaji...
READ MOREKUTOKANA na vurugu zinazoendelea nchini Afghanistan imeelezwa kuwa mwanamke mmoja raia wa Afghanistan amejifungua mtoto wa kike ndani ya ndege ya jeshi ya...
READ MOREMtangazaji wa vipindi vya radio katika Jimbo la Tennessee nchini Marekani Bw. Phil Valentine aliyekuwa mmoja kati ya watu waliozipinga...
READ MOREBinti mwenye umri wa 7 kutoka kijiji cha Igumo wadi ya Marimanti katika Kaunti ya Tharaka Nithi nchini Kenya ameaga...
READ MORE