×

Kimataifa

Breaking: Bilionea Jack Ma Ajitokeza Hadharani

  MFANYABIASHARA na mmliki wa Kampuni ya Alibaba, Jack Ma, nchini China, kwa mara ya kwanza leo amejitokeza hadharani kuzungumza...

READ MORE

Maalim Seif Akutana na Watendaji Wenye Ulemavu Zanzibar.

MAKAMU wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad Janauari 19 amefanya Ziara katika Idara ya Watu wenye...

READ MORE

Biden Kuapishwa Leo, Trump Atoa Kauli ya Mwisho Ikulu

RAIS Donald Trump amelihutubia taifa la Marekani kabla hajaondoka madarakani na kusema: “Tumefanya kile ambacho tulikuja kukifanya na tumefanya mambo...

READ MORE

Trump Amsamehe Aliyekuwa Mshauri Wake Dakika za Mwisho

RAIS anayeondoka madarakani, Donald Trump, amsamehe aliyekuwa mshauri wake, Steve Bannon, ambaye anakabiliwa na mashtaka ya udanganyifu. Tangazo hilo linawadia...

READ MORE

Jose Chameleone Ausaka Umeya Kampala

NYOTA wa muziki wa Hip Hop nchini Uganda, Joseph Mayanja maarufu kama Jose Chameleone, ni miongoni mwa wagombea wa nafasi...

READ MORE

Uganda Yaishutumu Marekani ‘Kuingilia Uchaguzi Wake’

Msemaji wa serikali ya Uganda, Ofwono Opondo, ameishutumu Marekani kwa kujaribu “kupindua matokeo ya uchaguzi”, kwa mujibu wa chombo cha...

READ MORE

Bobi Wine Awekwa Kizuizini Nyumbani Kwake

WASEMAJI wa jeshi na polisi nchini Uganda wamesema mpinzani wa rais Yoweri Museveni Robert Kyagulanyi Bobi Wine ataendelea kukaa katika...

READ MORE

Bilionea wa Samsung Jela Miaka 2

Bilionea wa kampuni kubwa ya vifaa vya kielektroniki nchini Korea Kusini, Samsung, Lee Jae-yong amerejeshwa gerezani baada ya mahakama nchini...

READ MORE

Corona: Abiria Kwenda Uingereza Wakataliwa Kupanda Ndege Marekani

  ABIRIA kutoka Marekani kwenda Uingereza wamekataliwa kupanda ndege leo (Jumatatu) baada ya matokeo ya vipimo vyao kuhusu ugonjwa wa...

READ MORE

Maelfu Wazuiwa Guatemala Kuingia Marekani

MSAFARA wa wahamiaji kutoka Amerika Kusini uliokuwa ukielekea nchini Marekani umekutana na virungu na gesi za kutoa machozi nchini Guatemala,...

READ MORE

Bobi Wine Kupinga Matokeo Mahakamani

ALIYEKUWA mpinzani mkuu kwenye uchaguzi wa urais nchini Uganda Bobi Wine amesema atakwenda mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi uliomrejesha madarakani...

READ MORE

Uapisho wa Biden, Ulinzi Kuimarishwa Majimbo Yote

WAKATI Rais Mteule wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuapishwa Jumatano Januari 20,  Majimbo yote 50 ya Marekani yamewekwa katika hali...

READ MORE

Mwanafunzi Akiri Kumchinja na Kunywa Damu ya Binamu Yake

KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 16 katika eneo la Embu nchini Kenya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini humo...

READ MORE

Museveni Atangazwa Mshindi wa Urais Uganda

TUME ya Uchaguzi (EC) imemtangaza Yoweri Museveni (76) aliyeongoza taifa hilo tangu mwaka 1986 kuwa Mshindi wa nafasi ya urais...

READ MORE

Waziri Mashuhuri Auawa na Jeshi

  Vikosi vya jeshi la Ethiopia vimetangaza kumuua waziri wa zamani wa mashauriano ya kigeni wa Ethiopia Seyoum Mesfin, mmoja...

READ MORE

Rais wa Korea Kusini Jela Miaka 20

Mahakama ya juu ya Korea Kusini leo imethibitisha adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela, kinachomkabili rais wa zamani Park...

READ MORE

WHO Wawasili Wuhan China Kuchunguza Chanzo cha Corona

Ikiwa Bado Sintofahamu ya CORONA Kuendelea Dunia Wataalam wa WHO Wamewasili China Mji wa Wuhan Kuchunguza Chanzo. Wakati huohuo wataalamu...

READ MORE

Korea Kaskazini Yazindua Kombora Jipya

TAIFA la Korea Kaskazini limezindua kombora jipya la masafa marefu linaloweza kurushwa kutoka kwenye manowari ambalo vyombo vya habari vya...

READ MORE

Mwanamke Amchoma Moto Mpenzi Wake

PIGA picha umelala na mpenzi wako ukiwa umemwegemea, ambaye kabla ya kulala mlikuwa na furaha tu na ghafla unaamka na...

READ MORE

Wafanyabiashara Waomba WhatsApp na Facebook Vizuiwe

Shirikisho la wafanyabiashara wa India (CAIT) limeiomba Serikali izuie mtandao wa WhatsApp, Facebook na Facebook Messenger kutokana na sera mpya...

READ MORE

Corona Yaibuka Tena kwa Nguvu China

    CHINA imepiga marufuku watu kutoka nje katika maeneo ya kitongoji kimoja katika mji wake mkuu wa Beijing, ikiwa...

READ MORE

Waziri Agundulika ‘Alipiga Chabo’ Akiwa Chuo, Ajiuzulu

WAZIRI wa Kazi, Familia na Vijana wa Australia, Christine Aschbacher, amejiuzulu baada ya kugundulika kuwa baadhi ya kazi zake za...

READ MORE

Bilionea Dangote Apoteza Tril. 2, Utajiri Waporomoka

MWENYEKITI wa kampuni ya Dangote, Alhaji Aliko Dangote,  amepoteza kiasi cha Dola milioni 900 katika hisa nchini Nigeria ambazo ni ...

READ MORE

Bibi Harusi Afariki Dunia Baada ya Fungate

DESEMBA 11, 2020, Mastin Mukanga alifunga pingu za maisha na Linet Kavere katika harusi maridadi lakini bibi harusi aliaga dunia...

READ MORE

Akaunti za Facebook Zinazomwunga Mkono Museveni Zafungwa

WAFUASI wa Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, wameilalamikia kampuni ya Facebook kwa madai kuwa ilifunga akaunti zao kwenye mtandao huo....

READ MORE

Rais Amfuta Kazi Waziri wa Afya

RAIS wa Zambia, Edgar Lungu, amemfuta kazi waziri wa afya nchini humo, Chitalu Chilufya, ambaye mwezi Juni mwaka jana alikamatwa...

READ MORE

Ndege Yapotea na Abiria 62

      NDEGE iliyokuwa na  abiria  zaidi ya 62 imepotea na haijulikani ilipo muda mfupi baada ya kuruka kutoka...

READ MORE

Gari la Mabomu Karibu na Bunge Lakamatwa

POLISI jijini Washington DC, Marekani, wamekamata gari lililokuwa na mabomu na bunduki, likiwa limeegeshwa karibu na Bunge siku ya Jumatano...

READ MORE

Wabunge Walalamikia Kondom Feki

WABUNGE nchini Zambia wamelalamikia kondom na glovu zisizo na viwango zinazosambazwa na Kampuni ya Honey Bee, ikidaiwa zinaweza kuvuja zikijazwa...

READ MORE

Mnangagwa: Marekani Haina Haki ya Kuadhibu Nchi Nyingine

BAADA ya wafuasi wa Rais Trump kuvamia Bunge la Marekani, Rais wa #Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, amesema taifa hilo halina haki...

READ MORE

Iraq Yatoa Hati Kumkamata Trump

JAJI  katika Mahakama ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Donald Trump,...

READ MORE

China Yaisamehe DR Congo

SERIKALI ya China imeisamehe Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sehemu ya deni inaloidai, ili taifa hilo liweze kupambana na janga...

READ MORE

Bezos Aondolewa Nafasi ya Bilionea wa Kwanza Duniani

ELON MUSK amekuwa tajiri wa kwanza duniani huku thamani yake ikipita dola bilioni 185 (Tsh trilioni 428.83). Mfanyabiashara huyo ambaye...

READ MORE

Hawa Nd’o Wanawanake 5 Hatari Zaidi Duniani

MAKALA mpya ya shirika la utangazaji la Uingereza (BBC) inayofahamika kama “Killing Eve” ambayo inasimulia mateso wanayopitia wahusika kama vile...

READ MORE

Mamia ya Madaktari Wafukuzwa Kazi Kenya

MAMLAKA mjini Mombasa nchini Kenya imewafukuza mamia ya madaktari akiwemo mwenyekiti wa umoja wa madaktari katika kaunti hiyo.   Kwa...

READ MORE

Uganda: Msafara wa Mgombea Urais Washambuliwa kwa Risasi

Polisi mmoja nchini Uganda anazuiliwa katika kituo cha polisi kwa sababu ya kuupiga risasi msafara wa mgombea wa urais, Patrick...

READ MORE

Hatimaye: Trump Akubali Kukabidhi Madaraka

Rais wa Marekani, Donald Trump amekubali kukabidhi madaraka kwa mrithi wake, Joe Bideo baada ya kushindwa katika uchaguzi mkuu wa...

READ MORE

Twitter, Facebook za Trump Zafutwa

AKAUNTI za Twitter na Facebook za Rais wa Marekani, Donald Trump, zimefutwa kwa muda baada ya kutuma ujumbe kwa wafuasi...

READ MORE

Waziri Mambo ya Nje China Kutua Chato Leo

WAZIRI wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi, anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania leo Alhamisi, Januari 7, 2020, kwa ziara...

READ MORE

Breaking: Bunge Lathibitisha Biden Rais Mteule Marekani

BUNGE  la Congress nchini Marekani limemuidhinisha Joe Biden kuwa rais mteule wa Marekani na Kamala Hariss kuwa makamu wa rais....

READ MORE