×

Kimataifa

Video za Ngono Zamwondoa Uhai Mrembo Huyu

PENGINE  haikuchukua muda mrefu kwa Tiziana Cantone kuanza mfululizo wa matukio ambayo yalisababisha kujikatisha uhai.   Mwezi Aprili mwaka 2015,...

READ MORE

Kim Jong-Un Akiri Mpango wa Korea Kaskazini Umefeli

KIONGOZI wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un, amekubali kuwa mpango wake wa kiuchumi wa miaka mitano kwa nchi hiyo ambayo imejitenga,...

READ MORE

Marekani: Trump Apigwa Kotekote

CHAMA cha Democratic cha rais mteule, Joe Biden, sasa kina udhibiti wa mabunge yote mawili ya Marekani baada ya kuibuka...

READ MORE

Marekani: Wafuasi wa Trump Wavamia Bunge, Wanne Wauawa

WATU wanne wamefariki dunia akiwemo mwanamke mmoja aliyepigwa risasi kufuatia vurugu zilizoibuka baada ya wafuasi wa Rais wa Marekani, Donald...

READ MORE

Trump Apata Pigo Jingine Georgia

Mgombea wa wa chama cha Democratic Raphael Warnock ameibuka mshindi katika uchaguzi wa maseneta dhidi ya mgombea wa chama cha...

READ MORE

Uchaguzi Uganda: Museveni Ateua Mwanajeshi Kusimamia Usalama

Rais wa Uganda,Yoweri Kaguta Museveni, ameamua kumteua Brigedia Kayanja Muhanga, kusimamia masuala ya usalama wakati huu kuelekea uchaguzi mkuu nchini...

READ MORE

Mbunge wa Trump Aahidi Kuingia na Bunduki Bungeni

MBUNGE mmoja wa chama cha Trump (Repulican) ameahidi kutembea na bunduki wazi mitaani. Mbunge huyo mpya mwanamke ameahidi kutembea na...

READ MORE

Tshisekedi Awasamehe Waliomuua Rais Kabila

    WANAUME wawili waliopatikana na hatia ya mauaji ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Laurent Kabila, miaka...

READ MORE

Mazungumzo ya Siri ya Trump Kujaribu Kubadili Matokeo Yanaswa

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amerekodiwa akimwambia afisa mkuu wa uchaguzi Georgia atafute kura za kutosha kuwezesha kubadilishwa kwa matokeo...

READ MORE

Bilionea wa Dunia Jack Ma Hajulikani Alipo

BILIONEA  wa China, Jack Ma inasemekana hajulikani alipo baada ya kutoonekana hadharani kwa zaidi ya miezi miwili.   Aidha, alishindwa...

READ MORE

Iran Kurutubisha Madini Yake ya Uranium kwa Asilimia 20

Iran inapanga kuanza tena kurutubisha madini yake ya uranium, kwa asilimia 20, hayo ni kulingana na Shirika la Umoja wa...

READ MORE

Zimbabwe Yatangaza ‘Lockdown’ kwa Siku 30

  SERIKALI  ya Zimbabwe jana imesitisha shughuli za kawaida za kila siku kote nchini humo kufuatia kuongezeka kwa visa vya...

READ MORE

Uingereza Yajitoa Rasmi Umoja wa Ulaya

UINGEREZA imeanza ukurasa mpya wa kujitegemea kwa kujitoa katika Umoja wa Ulaya (EU), baada ya usiku wa kuamkia jana kukamilisha...

READ MORE

Mchungaji Anyofolewa Sikio Kisa Kufumwa na Mume wa Muumini Wake

KATIKA kipindi cha sikukuu ya Krimasi kumetokea kisanga cha kipekee katika baa moja iliyopo mjini Embu jijini Nairobi nchini Kenya...

READ MORE

Tayari New Zealand, Australia Washerehekea Mwaka Mpya

WAKATI barani Afrika ikiwa bado ni mchana (wakati wa kuandika habari hii), nchini New Zealand na Australia ambako ni mashariki...

READ MORE

Muuaji Hatari Nchini Marekani Afariki Dunia

SAMUEL LITTLE, mtu aliyetajwa na shirika la upelelezi  la Marekani (FBI) kama muuaji mkubwa wa kuvizia katika historia ya Marekani, ...

READ MORE

Watano Wafa Shambulio la Kigaidi Yemen Serikali Mpya Ikianzishwa

WATU wasiopungua watano wameuawa na makumi kadhaa kujeruhiwa katika shambulio lililofanywa katika uwanja wa ndege wa mjini Aden, Yemen, muda...

READ MORE

Ramaphosa Aja na Masharti Mapya Kudhibiti Corona

RAISwa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa, amesema hali ya maambukizi nchini humo ni mbaya sana, hivyo serikali ya nchi hiyo...

READ MORE

Kirusi Kipya cha Corona Chasambaa, Chatua Marekani

AINA mpya ya kirusi cha corona kinachoaminka kusambaa kwa kasi, imeripotiwa kwa mara ya kwanza nchini Marekani na Amerika ya...

READ MORE

Trump Asaini Mswada Mzito Kabla ya Kuondoka Madarakani

RAIS  wa Marekani, Donald Trump, hatimaye ameusaini muswada wa sheria wa dola bilioni 900 unaokusudia kutoa misaada kwa watu walioathiriwa...

READ MORE

Hawa Nd’o Watu 10 Matajiri Zaidi Kuwahi Kuishi Duniani

MWANZILISHI wa kampuni la  Amazon, Jeff Bezos, ndiye mtu tajiri zaidi duniani kwa sasa, kulingana na orodha ya jarida la...

READ MORE

Mwandishi Aliyeripoti ‘Ukweli’ wa Corona Afungwa Jela Miaka 4

    MWANDISHI wa habari wa China aliyekamatwa kwa ‘kuripoti ukweli’ kuhusu janga la ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona...

READ MORE

Mlinzi wa Bobi Wine Adaiwa Kufa kwa Kugongwa Gari la Jeshi

RIPOTI za vyombo vya habari nchini Uganda zimesema kuwa, baadhi ya mashahidi wameripoti kwamba mlinzi wa mgombea urais kupitia National...

READ MORE

Uganda Yasitisha Kampeni za Uchaguzi Mkuu

SERIKALI ya Uganda imesitisha kampeni zote za uchaguzi wa Urais katika mji mkuu wa nchi hiyo Kampala na wilaya nyingine...

READ MORE

Uchumi wa China Kuupiku Marekani Ifikapo 2028

KITUO cha kutafiti uchumi na biashara kilicho na makao yake huko Uingereza CEBR kimesema kuwa Uchumi wa  taifa la China...

READ MORE

Eric Omondi Akwaa Skendo Kudhalilisha Wanawake Kingono

HATIMAYE mchekeshaji Eric Omondi amejipatia jiko ambalo ni  mrembo anayefahamika kwa jina la Carol, kupitia ‘The Wife Material Show’ kipindi...

READ MORE

Urusi Yaanika Kombora Jipya; ‘Halionekani, Halizuiliki’

RAIS Vladimir Putin wa Urusi amesema nchi hiyo inamiliki kombora ambalo haliwezi kutunguliwa na linaweza kufika pahala popote duniani huku...

READ MORE

Fifa Kumburuza Mahakamani Sepp Blatter

Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), limesema kuwa litamfungulia mashtaka ya jinai rais wake wa zamani Sepp Blatter, kwa...

READ MORE

‘Nyota ya Yesu’ Yaonekana Live Bethlehem

BAADA ya zaidi ya miaka 400, jana (Jumatatu) usiku sayari mbili kubwa zaidi katika mfumo wetu wa jua, sayari ya...

READ MORE

Mtoto wa Miaka 9 Aongoza kwa Kulipwa Pesa Nyingi YouTube

  JARIDA la Forbes, linamtaja kijana #RyanKaji, mwenye umri wa miaka tisa, kuwa ndiye Youtuber (mpandisha maudhui kwenye mtandao wa...

READ MORE

Madaktari Wafanya Mgomo Kenya

MADAKTARI wanaofanya kazi kwenye hospitali za umma nchini Kenya, wameungana na wahudumu wengine kwenye mgomo kulamamikia kutopewa bima ya afya...

READ MORE

Abiria Kutoka Uingereza Wapigwa Marufuku Ulaya

Tangu hapo jana Jumapili, mataifa kadhaa ya Umoja wa Ulaya yamekuwa yakipiga marufuku kuingia kwa ndege za abiria zinazotokea nchini...

READ MORE

Kampuni Yalipwa Mamilioni Kulinda Biden Akiapishwa

RAIS Mteule wa Marekani, Joe Biden anatarajiwa kulindwa na kampuni maalum ya ulinzi ambayo italipwa mamilioni ya fedha kwa ajili...

READ MORE

Bunge Lamwondoa Madarakani Gavana Sonko

BUNGE la Seneti limemuondoa madarakani Gavana wa Nairobi, Mike Sonko, baada ya maseneta 27 kupiga kura za ndiyo kuunga mkono...

READ MORE

Boko Haramu Yawaachia Wanafunzi 344 Iliowateka

MAMIA ya wavulana waliotekwa wiki iliyopita kutoka shule ya bweni kaskazini-magharibi mwa Nigeria wameachiliwa huru, mamlaka katika eneo hilo zimeliambia...

READ MORE

Makaburi ya Kifahari Yanayozidi Nyumba za Kifahari

MAISHANI watu wengi hutaka kuishi katika nyumba nzuri na za kifahari. Wengi huwa hawafanikiwi. Lakini nchini Mexico, ambapo ulanguzi wa...

READ MORE

Rais Macron wa Ufaransa Akutwa na Corona

RAIS wa Ufaransa,, Emmanuel Macron (42), amekutwa virusi vya corona na ana dalili za wazi hivyo atajitenga kwa siku saba. ...

READ MORE

Daktari Ashauri Watu Kutooga, Yeye Hajaoga Miaka 5

DAKTARI bingwa wa tiba ya uzuiaji wa magonjwa, James Hamblin, alifanya utafiti kuhusu utakatishaji wa ngozi ambao hivi karibuni umechapishwa...

READ MORE

Shule Zafungwa Nigeria Kuhofia Boko Haram

MAJIMBO manne nchini Nigeria yametoa amri ya shule kufungwa baada ya wanafunzi zaidi ya 100 kutekwa katika jimbo la Katsina. ...

READ MORE

Museveni Amteua Mwanaye Kuwa Mkuu wa Ulinzi

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museven,i ambaye pia ni amiri jeshi mkuu, amefanya mabadiliko katika jeshi la Uganda (UPDF) na...

READ MORE