×

Kimataifa

Afrika Kusini: Vifo vya Corona Vyafikia Vitano

AFRIKA Kusini hadi sasa ina wagonjwa 1,353 wa homa ya Covid-19 ambapo watano wamekufa, kwa mujibu wa taarifa ya  Waziri...

READ MORE

Mfanyabiashara Azikwa na Benz Lake

MFANYABIASHARA maarufu nchini Afrika Kusini ameushangaza ulimwengu baada ya kuzikwa akiwa ndani ya gari lake aina ya Mercedes Benz ambalo...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Kenya Wafika 50

WAZIRI wa Afya wa Serikali ya Kenya, Mutahi Kagwe jana Jumatatu, Machi 30, alitangaza wagonjwa nane zaidi wa ugonjwa wa...

READ MORE

Corona: Bodaboda Aliyeuawa Alimpeleka Mjamzito Hospitali

Familia moja nchini Kenya yataka haki itendeke baada ya kifo cha Khamisi Juma Bega (49), bodaboda ambaye alipigwa na polisi...

READ MORE

China Yatangaza Ushindi Dhidi ya Coronavirus

SERIKALI ya China imesema kuna wagonjwa wapya 31 wa ugonjwa wa COVID-19 na vifo vinne hivi leo, kwa mujibu wa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Rwanda Wafikia 70

TAARIFA mpya kutoka nchini Rwanda zimeeleza kuwa watu wengine 10 wamethibitika kuambukizwa virusi vya corona (covid-19) nchini humo na kufanya...

READ MORE

Marekani Yawataka Wananchi Wake Walioko TZ Warejee U.S

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19.   ...

READ MORE

Marekani: Waathirika wa Corona Virus Wafikia 104,256

MAREKANI imeendelea kuongoza kwa idadi kubwa ya kasi ya maambukizi ya virusi vya corona ambapo wamefikia  104,256 na waliopona ni...

READ MORE

Corona Yaleta Mtikisiko Wa Uchumi Dunia Nzima

DAR: Ni vilio kila kona, ndivyo unavyoweza kutafsiri janga la maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo sasa vimeathiri sekta zote...

READ MORE

Corona Imetibua Uchaguzi Mkuu wa Nchi Nyingi Duniani

HALI haijulikani itakuwaje kwa nchi nyingi za Afrika ambazo zinatakiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kama Virusi vya Corona vitaendelea...

READ MORE

Wawili Wafariki kwa Corona Afrika Kusini

WAZIRI wa Afya wa Afrika Kusini, Dkt. Zweli Mkhize,  amesema watu wawili kutoka Jimbo la Western Cape wamefariki dunia kutokana...

READ MORE

Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson Apata Corona

WAZIRI Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amethibitika kuwa na virusi vya corona, taarifa iliyotolewa na Mamlaka za Uingereza imesema Boris...

READ MORE

Baada ya Kuzidiwa na Corona, Marekani Yaiangukia China

BAADA ya kurushiana maneno kwa muda mrefu, kila mmoja akimshutumu mwenzake kwamba ameleta janga la virusi vya corona, hatimaye serikali...

READ MORE

Papa Francis Apimwa Corona

KIONGOZI wa KanIsa Katoliki Duniani, Papa Francis amepimwa virusi vya corona (covid-19) na kuthibitika kuwa hajaambukizwa.   Alipimwa virusi hivyo...

READ MORE

Mwenye Nyumba Awasamehe Kodi Wapangaji Kisa Corona

BABA mwenye nyumba mmoja kutoka Nyandarau nchini Kenya amewasamehe wapangaji wake kodi ya nyumba ya miezi miwili ili watumie pesa...

READ MORE

Kenyatta Apunguza Mshahara Wake Kupambana na Corona

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amepunguza mshahara wake na wa makamu wake, William Ruto, kwa asilimia 80 kwa ajili ya...

READ MORE

Wafungwa 4,000 Waachiwa Huru Kisa Corona

ZAIDI ya wafungwa 4,000 wameachiwa huru nchini Ethiopia ikiwa ni hatua ambayo serikali hiyo imechukua ili kudhibiti maambukizi ya virusi...

READ MORE

Corona: Rais DRC Atangaza Hali ya Hatari Nchi Nzima

RAIS Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ametangaza hali ya hatari nchini kote, ikiwa ni juhudi za...

READ MORE

Breaking: Wahamiaji 64 Wafariki Ndani ya Kontena – Video

  Raia 64 wa Ethiopia wamekutwa wamefariki na wengine 14 wakiwa hai ndani ya kontena la mizigo katika Jimbo la...

READ MORE

Baada ya Coronavirus, Ugonjwa Mpya Hantavirus Waua China

RAIA mmoja China amefariki dunia baada ya kukutwa na virusi vya Hanta (Hantavirus) akiwa kwenye basi alipokuwa akielekea Shandong. Aidha...

READ MORE

Mwanamuziki Nguli Afariki kwa Corona

MWANAMUZIKI na mpiga saxophone maarufu kutoka nchini Cameroon, Emmanuel N’Djoke Dibango,  amefariki dunia leo Jumanne, Machi 24, 2020, asubuhi akiwa...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Waongezeka Uganda, Rwanda

IDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona nchini Uganda imeongezeka kwa kasi huku nchi hiyo ikipambana kuzuia maambukizi zaidi. Uganda...

READ MORE

Waziri Ahukumiwa Kufanya Kazi Ngumu

ALIYEKUWA Waziri wa Afya nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Oly Ilunga, amehukumiwa kufanyishwa kazi ngumu kwa miaka mitano...

READ MORE

Mtangazaji Maarufu wa Runinga Afariki kwa Corona

ZORORO Makamba (30), mtangazaji maarufu wa vipindi vya televisheni nchini Zimbabwe, amefariki dunia kwa ugonjwa wa corona (COVID-19). Makamba aliyefariki...

READ MORE

Corona Afrika Kusini: Nchi Nzima Yawekwa Karantini kwa Siku 21

RAIS wa Afrika Kusini, Cyrill Ramaphosa,  ametangaza siku 21 za wananchi wote wa nchi hiyo kujifungia ndani ilikiwa ni sehemu...

READ MORE

Mjukuu wa Mandela Akutwa na Corona

NDABA MANDELA, mjukuu wa aliyekuwa rais wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amekiri kwamba ameambukizwa virusi vya Corona.   Ndaba amethibitisha...

READ MORE

Madaktari Bingwa Kiboko ya Corona Watua Italia – Video

MADAKTARI bingwa wa magonjwa ya mlipuko kutoka nchini Cuba wametua nchini Italia kupambana na virusi hivyo. Madaktari hao ambao hawana...

READ MORE

Wenye Virusi vya Corona Kenya Wafika 15

WAZIRI wa Afya wa Kenya Mutahi Kagwe ametangaza kuwa, watu wengine wanane wamethibitishwa kuwa na ugonjwa wa Corona nchini humo....

READ MORE

Mkutano wa G7 Utafanyika Kupitia Video

Rais wa Marekani Donald Trump amefuta Mkutano wa viongozi wa mataifa 7 tajiri dunaini G7 na badala yake watazungumza kwa...

READ MORE

Waliombaka Mwanamke Ndani ya Basi Wanyongwa

WANAUME wanne raia wa India waliofungwa kwa kumbaka na kumuua na mwanafunzi mjini Delhi mwaka 2012 wamenyongwa. Akshay Thakur, Vinay...

READ MORE

Auawa Akishukiwa Kuwa na Virusi vya Corona

POLISI huko Kwale, Kenya,  wanakisaka kikundi cha watu ambao wanadaiwa kumuua kijana Hezron Kotin eneo la Kibundani baada ya kumtuhumu...

READ MORE

TANZIA: Aurlus Mabélé Afariki kwa Kansa na Corona

STAA na nguli wa muziki wa Soukous kutoka Jamhuri ya Congo, Aurlus Mabélé,  amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...

READ MORE

Coronavirus: Serikali Kutengeneza Sanitizer Zenye Kilevi na Kuzigawa Bure

Katika barua iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Umma, kwenda kwa Wanachama wa MAT (Multi Agency Team) imesema...

READ MORE

Corona Yaua Mtu wa Kwanza Burkina Faso

BURKINA FASO imetangaza kifo cha kwanza cha mtu aliyekuwa na ugonjwa wa virusi vya Corona nchini humo, hii ikiwa ni...

READ MORE

Mgonjwa wa Corona Atoroka Hospitali, Mtandao Wake Wasakwa

SERIKALI ya  Kenya inawasaka watu 85 wanaohofiwa kuambukizwa virusi vya Corona baada ya kuambatana na mgonjwa wa virusi hivyo katika...

READ MORE

Zimbabwe: Corona ni Adhabu kwa Ulaya na Marekani

WAZIRI wa Ulinzi wa Zimbabwe, Oppah Muchinguri,  amesema  virusi vya Corona ni adhabu kwa Marekani na Ulaya kwa kuiwekea nchi...

READ MORE

Wagonjwa wa Corona Waongezeka Kenya, Kenyatta Afanya Maamuzi

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amethibitisha kisa cha tatu cha maambukizi ya virusi vya Corona na kuamuru shule zote za...

READ MORE

Trump Atangaza Hali ya Hatari Janga la Corona

RAIS wa Marekani,  Donald Trump,  ametangaza hali ya dharura kutokana na kuenea kwa virusi vya Corona, pamoja na upatikanaji wa...

READ MORE

Corona: A. Villa, Brighton Zatoa Chakula kwa Wasio na Makazi!

VILABU vya England(Uingereza) aya Aston Villa na Brighton  & Hove Albion FC vimechangia zaidi ya milo 1,300 ikiwa misaada kwa...

READ MORE

Umoja wa Ulaya Wamvaa Trump Kisa Corona, Ajibu Mapigo – Video

RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kauli yake ya kuwazuia watu kutoka Bara la Ulaya kuingia Marekani haikupaswa kusubiri hadi...

READ MORE