Ufaransa na Ulaya wanatarajia kusaidia Afrika kupambana dhidi ya ugonjwa hatari wa Covid-19 kwa “kuifutia kabisa madeni yake,” Rais wa...
READ MOREShirika la Afya Dunia (WHO) limetangaza mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Manjano, Kusini mwa Sudan Kusini, katika eneo la...
READ MOREMABALOZI wa Nchi za Afrika wamekutana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje China, Chen Xiaoding kuzungumzia changamoto zinazowakabili baadhi...
READ MORESeneta wa jimbo la Vermont la Marekani, Bernie Sanders, Jumatatu alimuidhinisha aliyekuwa makamu wa rais Joe Biden kuwa mgombea wa...
READ MOREMWANAMME mmoja akiwa anasukuma usafiri wa asili ili kumuwaisha hospitali mgonjwa katika Manispaa ya Arua, Uganda. Mwanamke huyo mgonjwa...
READ MOREBUNGE la nchi hiyo limepitisha sheria inayotoa kibali cha kuwaachia Wafungwa 100,000 kama mojawapo wa njia za kupambana na maambukizi...
READ MOREEcuador imesema polisi wameondoa karibu miili 800 katika wiki za karibuni kutoka katika makazi mjini Guayaquil, sehemu iliyoathiriwa kwa kiasi...
READ MORERais wa Marekani, Donald Trump anataka Marekani kuanza kutafuta raslimali kwenye mwezi. Hivi karibuni rais huyo alisaini amri inayosema Marekani...
READ MOREMATRONI wa Hospitali moja nchini Uingereza ambaye ameonekana katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson...
READ MOREShirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, chanjo 70 za coronavirus ziko katika hatua ya utafiti kwenye maabara za...
READ MOREPOLISI katika Kaunti ya Kisumu nchini Kenya wanawasaka vijana wawili kwa tuhuma za kumuua mpenzi wa baba yao mzazi, Mercy...
READ MOREShirika la Afya Duniani WHO limetangaza habari ya kuthibitishwa kesi nyingine moja ya ugonjwa wa Ebola huko Jamhhuri ya...
READ MOREBALAA limewakumba Waafrika walioko nchini China wakidaiwa kuwa wameingiza nchini humo virusi vya Corona vinavyosababisha ugonjwa unaojulikana kama Covid-19 ambao...
READ MOREMAAMBUKIZI ya Virusi vya Corona duniani yanazidi kushika kasi. Hadi sasa nchi 209 duniani zimeathirika na virusi hivyo ambavyo vimesababisha...
READ MORERais wa Uganda, Yoweri Museveni ametoa onyo kwa wapangaji nchini humo na kuwataka wasiwafukuze wapangaji wanaoshindwa kulipa kodi katika wakati...
READ MOREMAKOMBORA matano yameipiga kambi ya jeshi la angani la Marekani ya Bagram nchini Afghanistan leo, lakini hakujawa na ripoti za...
READ MOREMAOFISA wa Shirika la Afya Ulimwenguni – WHO wamekanusha leo kuwa shirika hilo linaipendelea China na kusema kuwa hatua hii...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump, ametishia kulipiza kisasi dhidi ya India endapo nchi hiyo itapiga marufuku mauzo ya dawa ya...
READ MORENGULI wa zamani wa soka wa Klabu ya Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, Ronaldinho Gaucho, na kaka yake...
READ MORETAHARUKI imezuka Bungeni baada ya taarifa mbalimbali kuripoti kuwa takriban wabunge na watumishi wa Bunge 17 wana maambukizi ya Virusi...
READ MORERAIS wa Marekani, Donald Trump, amelilaumu Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linaipendelea nchi ya China na kushirikiana nayo kuficha...
READ MORESERIKALI ya China imetangaza kwa mara ya kwanza kutokuwa na vifo vipya tangu virusi vya corona vilipoibuka mwishoni mwa mwaka...
READ MOREMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amekosoa vikali matamshi ya kibaguzi ya madaktari wawili wa Ufaransa waliopendekeza kufanyia...
READ MORERAIS wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo, ametangaza kuwalipia wananchi ankara za maji kwa miezi mitatu (Aprili, Mei na Juni),...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amepelekwa katika chumba cha kuhudumia wagonjwa mahututi baada ya hali yake kiafya kuwa mbaya...
READ MOREMAMA wa meneja (kocha) klabu ya Manchester City ya Uingereza, Pep Guardiola, aitwaye Dolors Sala Carrió, amefariki dunia...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson, amelazwa hospitalini ili kufanyiwa vipimo vya virusi vya corona, siku kumi baada ya kukutwa...
READ MORECHUIMILIA wa miaka minne katika bustani ya wanyamapori (zoo) jijini New York amethibitishwa kuwa na maambukizi ya #Coronavirus yanayosababisha ugonjwa...
READ MOREALIYEKUWA Waziri Mkuu wa mpito nchini Libya, Mahmoud Jibril, amefariki dunia baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona. ...
READ MOREKenya imethibitisha kuwa na wagonjwa wapya 16 wa corona, baada ya kuwafanyia vipimo watu 530. Hadi sasa Kenya imefikisha idadi...
READ MOREMGONJWA wa akili kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya, ameponea kifo kwenye tundu la sindano baada ya ambulensi aliyoiiba kutoka...
READ MOREHATIMAYE serikali ya Kenya imeonekana kuchukua hatua dhidi ya mauaji na ukatili unaoripotiwa kuendelezwa na maafisa wa polisi wanapoidhinisha amri...
READ MOREIDADI ya wagonjwa wa virusi vya corona (Covid-19) nchini Kenya imefikia 122 baada ya watu wengine 12 kuthibitishwa kuwa navyo...
READ MOREKWA mujibu wa data zilizotolewa na Wizara ya Afya nchini Hispania humo leo Aprili 3, 2020, jumla ya watu waliofariki...
READ MORERAIS wa Urusi, Vladimir Putin, ameamuru watu wa nchi hiyo kutokwenda kazini na kusalia majumbani hadi mwishoni mwa mwezi huu...
READ MORERAIS wa Urusi, Vladimir Putin, kuanzia sasa atakuwa akifanya kazi akiwa nyumbani kwake huko Novo-Ogarevo, karibu na jiji la Moscow,...
READ MOREZAIDI ya watu 5,000 wamefariki dunia nchini Marekani kwa sababu ya janga la Corona, ambapo zaidi ya watu 215,000 nchini...
READ MORESERIKALI ya Korea Kaskazini imesisitiza kuwa mpaka sasa haina mgonjwa hata mmoja mwenye homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya...
READ MOREWAZIRI Mkuu wa Uganda, Ruhakana Rugunda, amesema serikali ya Uganda itawapatia chakula watu maskini walioko mijini kuanzia Jumamosi wiki hii,...
READ MOREDUNIA nzima inatetemeka, janga la covid 19 linatishia maisha ya kila mmoja wetu, watu wamejifungia ndani, Siyo Amerika, Ulaya, Asia...
READ MORE