×

Kimataifa

Mama Zari Apumulia Mashine ya Oksijeni!

  TUMUOMBEE! Mama mzazi wa Zarinah Hassan ‘Zari Boss Lady’, Halima Hassan anadaiwa kupumulia mashine ya oksijeni kwenye Kitengo cha...

READ MORE

Rais wa Brazil Afungwa Jela kwa Kula Rushwa

  Rais wa zamani wa Brazil, Luiz Ignacio Lula da Silva (71), amehukumiwa kifungo cha miaka tisa na nusu jela...

READ MORE

VIDEO: Watangazaji wa Citizen TV Wapata Ajali ya Ndege

  Watangazaji wa Radio Citizen na Citizen TV za nchini Kenya, wamenusurika kufa baada ya ndege waliyokuwa wakisafiria kuelekea Karbanet,...

READ MORE

Bahari Mbili Zinakutana Lakini Maji ‘Hayachanganyikani’

  UMEONA picha na video zinazosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii zikionesha mahali ambapo bahari mbili zinakutana lakini bado...

READ MORE

Hii Ndiyo Nyumba ya Gharama Kuliko Zote Marekani

MWENYEWE umepata pesa zako, umeamua kununua kiwanja na kushusha bonge moja la mjengo, labda liwe la milioni mia tatu, unaona...

READ MORE

Akifanya Hivi, Blac Chyna Atamfikisha Ferrari Mahakamani

Labda ulikuwa ukilisikia lile vuguvugu la ugomvi mkubwa baina ya watu waliowahi kuwa wapenzi, Blac Chyna na mwanamuziki Ferrari. Ishu...

READ MORE

Tanzia: Waziri wa Rais Arap Moi Afariki Dunia

#TANZIA: Waziri wa zamani katika serikali ya Rais Mstaafu Daniel Arap Moi, Nicholas Biwott amefariki dunia akiwa na miaka 77...

READ MORE

Mwalimu Abakwa na Wanawake Watatu Wakitaka Mbegu Zake za Kiume

  MWALIMU mmoja wa kiume, mwenye umri wa miaka 39, amelazwa hospitalini nchini Zimbabwe baada ya genge moja ya wanawake...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi, Linalotembea Utupu-4

  MAISHA ya watu wa Kabila la Wabodi waishio Ethiopia katika Bonde la Mto Omo wanategemea ufugaji. Japokuwa huwa wanakula...

READ MORE

Watu 16 Wafariki kwa Ajali ya Ndege ya Jeshi

  Watu 16 wamefariki kwenye ajali ya ndege ya jeshi la Marekani aina ya C-130 Hercules kwenye Jimbo la Mississipi...

READ MORE

Hali ya Shumi Yadaiwa Kuwa Tete Ughaibuni

  MWIGIZAJI wa kitambo Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ au ‘Shumi’ anadaiwa kuwa na hali tete ya kimaisha nchini India kufuatia...

READ MORE

Awania Kuweka Kuweka Rekodi ya ‘HIPS’ Kubwa

MWANAMKE kibonge, Bobbi-Jo Westley (43) wa Pennyslvania, Marekani, mwenye uzito wa kilo 245.8 na kiuno cha sentimita 241.3 ameamua kwamba...

READ MORE

Dah Inauma Sana! Dogo Bradley Lowery Afariki Dunia

  Shabiki wa klabu ya Sunderland wa umri wa miaka sita Bradley Lowery, ambaye tatizo lake la kiafya liligusa nyoyo...

READ MORE

WHO: Ugonjwa wa Kisonono Umeanza Kuwa Sugu, Huenda Usitibike Tena

Shirika la afya Duniani, WHO, limetoa tahadhari kuwa, ugonjwa wa zinaa wa kisonono, umeanza kuwa sugu dhidi ya dawa ya...

READ MORE

Kaburi la Mtu Mashuhuli Lafukuliwa Uganda

    Kaburi la Mtunzi wa Wimbo wa Taifa wa Uganda marehemu, George Kakoma limefukuliwa na watu wasio julikana Jumanne...

READ MORE

PAPA GREGORY WA 13: Mwasisi wa Kalenda ya Sasa ‘Iliwapunja’ Watu Siku 13 Maishani!

HEBU tazama tarehe ya leo kwenye simu yako. Hebu tazama kalenda yako ukutani au popote il­ipo. Muulize mtu aliye karibu...

READ MORE

Michoro ya Trump na Mkewe Yaelekea White House

WATU na vipaji vyao bwana! Huku akiwa amefikisha miezi saba tangu alipoingia katika ikulu ya Marekani ‘White House’ hatimaye mchoro...

READ MORE

Azimia Baada ya Kuvunja Bangili ya Tsh Mil. 98.4 Akiijaribisha Dukani

Mwanamke mmoja raia wa China alizirai akiwa kwenye duka la kuuza vito vya thamani baada ya kuvunja kimakosa bangili ghali...

READ MORE

Hatimaye Baba Mzazi wa Jose Mourinho Azikwa Kwao Setubal

  Hatimaye baba mzazi wa Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho mzee Felix Mourinho amezikwa nyumbani kwao Setubal nchini Ureno....

READ MORE

Mwizi wa Gari Ashambuliwa na Nyuki, Ajisalimisha Polisi

FRANCIS SIKADIGU anayesadikiwa kuwa aliiba gari nchini Uganda, alijisalimisha kituo cha polisi cha Bungoma nchini Kenya Jumapili iliyopita baada ya...

READ MORE

Bobi Wine Akamatawa Akifanya Kampeni za Mwisho Uganda

POLISI wa Kasangati, Wilaya ya Wakiso nchini Uganda leo wamemkamata mgombea binafsi wa kiti cha ubunge cha Kyadondo Mashariki, Robert...

READ MORE

Mourinho Awasili Ureno Kumzika Baba Yake Mzazi Leo

Kocha Mkuu wa Manchester United, Jose Mourinho amewasili nyumbani kwao Ureno tayari kwa mazishi ya baba yake mzazi mzee Jose...

READ MORE

Kabila Linalohusudu Vitambi Linalotembea Utupu-2

  Wiki iliyopita tuliona jinsi Wabodi wanavyoishi wakiwa na tabia tofauti na jamii zingine za Kiafrika katika nchi ya Ethiopia...

READ MORE

Mashua Yazama Colombia 6 Wafariki Dunia, 16 Hawajulikani Waliko

  Idara ya polisi nchini Colombia, imesema kuwa yamkini watu 6 wamefariki ika ajali ya kuzama kwa boti moja la...

READ MORE

Afrika Kusini: Wazungu Waliomuingiza Kijana Mweusi Kwenye Jeneza Wafikishwa Kortini

AFRIKA KUSINI: Wakulima wawili wazungu watafikishwa mahakamani nchini Afrika Kusini, baada ya kutuhumiwa kuwa walimsukuma kijana mmoja mweusi na kumuingiza...

READ MORE

Hii Ndiyo Sababu ya SportPesa Kusitisha Udhamini kwa Ligi Kuu ya Kenya

  KAMPUNI ya mashindano ya bahati nasibu ya kubashiri matokeo ya mechi, SportPesa imetangaza kwamba itasitisha udhamini wake kwa Ligi...

READ MORE

DJ Khaled Aachia Video ya ‘WILD THOUGHT’

MWANAMUZIKI maarufu wa Marekani, DJ Khaled, ameachia video ya wimbo wake wa Wild Thought aliyompa shavu Rihanna  na Bryson Tiller....

READ MORE

Marekani Imeitungua Ndege ya Jeshi la Syria

Marekani imeitungua ndege ya kijeshi ya Syria iliyokuwa ikijiandaa kuwashambulia wanamgambo wa IS ambao wamekuwa wakihatarisha maisha ya wananchi wa...

READ MORE

GlobalNewsUpdates: Gari Lagonga na Kuua Mmoja Karibu na Msikiti

LONDON, UINGEREZA: Mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari kugonga umati wa watu waliokuwa wakitembea karibu na...

READ MORE

Baada ya Kifo cha Mumewe… Zari Akwaa Aibu 5

  KAMPALA: Katikati ya majonzi, yapata siku 15 tu tangu mumewe, Ivan Ssemwaga ‘Ivan Don’ azikwe huko Nakalilo nchini Uganda...

READ MORE

Kiongozi wa Bunge Marekani Apigwa Risasi

Kiongozi wa walio wengi katika Bunge la Congress nchini Marekani, Steve Scalise, amepigwa risasi na kujeruhiwa alipokuwa akihudhuria mazoezi ya...

READ MORE

LIVE Breaking News: Watu Wafariki, Wanasa Kwenye Jengo Linalowaka Moto London (Pichaz + Video)

  WATU kadhaa wamethibitika kufariki baada ya moto mkubwa kutokea usiku wa manane katika jengo moja magharibi mwa Jiji la ...

READ MORE

Ronaldo Amezaliwa Maskini, kwa Nini wewe Ushindwe?

MAKALA: Nyemo Chilongani na Mtandao MPENZI msomaji lengo la ukurasa huu ni kupeana mbinu za namna ya kutengeneza fedha na...

READ MORE

Zari: Nitawalea Wanangu Mwenyewe

Stori:Waandishi Wetu | IJUMAA WIKIENDA Kampala: Baada ya kuanua matanga ya mumewe, Ivan Ssemwanga ‘Don Ivan’ aliyefariki dunia Mei 25,...

READ MORE

GlobalCelebUpdates: Halle Berry Anasa Ujauzito Japo Ana Miaka 50

Beverly Hills, Marekani MUIGIZAJI mkongwe, Halle Maria Berry ‘Halle Berry’ pamoja ya kuwa na umri wa miaka 50 ambao wengi...

READ MORE

Kifo cha Mumewe… Zari Kulipwa Mabilioni

Stori: Mwandishi Wetu, Wikienda Dar es Salaam: Wakati wanafamilia wakiwa bado katika majonzi kufuatia kifo cha mpendwa wao, Ivan Ssemwanga...

READ MORE

Ukoo wa Kim Unaitawala Korea ya Kaskazini Tangu 1948

Mwandishi: Walusanga Ndaki | RISASI JUMAMOSI | Je Wajua? JE, unafahamu kwamba Kiongozi wa sasa wa Korea ya Kaskazini, Kim...

READ MORE

Kaburi la Mume wa Zari, Ivan Ssemwanga Kufukuliwa

Vyombo vya habari nchini Uganda vimeripoti kuwa mwanasheria mmoja ameiomba mahakama itoe ruhusa ya kufukuliwa kwa kaburi la aliyekuwa mfanyabaishara...

READ MORE