×

Kitaifa

Prof. Carolyne Nombo Ameitaka COSTECH Kuwa na Mfumo Mathubuti wa Kuratibu Tafiti

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo ameitaka Tume ya ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuwa...

READ MORE

Prof. Mkenda Aeleza Serikali Itakavyotoa Ufadhiri Kwa Wahitimu 640 Kidato cha Sita

Serikali inatarajia kutoa ufadhili kwa wahitimu wa Kidato cha Sita wapatao 640 kwa ajili ya kugharamia elimu ya juu kwa...

READ MORE

Rais Samia Ashangiliwa Kwa Kuhutubia wageni wa Nje Kwa Kiswahili

Samia aleta marais 6 Tanzania* * Wamo pia Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu kutoka nchi mbalimbali * Rais Samia ashangiliwa...

READ MORE

Airtel na CRDB Kurahisisha Malipo ya Ada za Shule Kidigitali

Mtandao wa kidijitali waunganisha Benki ya CDRB na Airtel Money kurahisisha malipo ya ada za shule Malipo ya ada za...

READ MORE

Ugawaji wa Vishikwambi Unalenga Kuboresha Ufundishaji na Ujifunzaji: Prof. Mdoe

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa James Mdoe amesema ugawaji vifaa vya Tehama vikiwemo vishikwambi kwa...

READ MORE

Waendesha Pikipiki Dar Kuwaburuza Mahakamani Wanaotumia Jina Lao Vibaya

Chama Cha Madereva na Wamiliki wa Pikipiki Mkoa wa Dar es Salaam (CMPD) kimeelezea dhamira ya kufungua kesi dhidi ya...

READ MORE

Kampuni ya Bia ya Serengeti Yazindua Kampeni Ya ‘Jibambe Kibabe’

KAMPUNI ya bia ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imezindua kampeni yake ya kitaifa ‘Jibambe Kibabe’ inayolenga kuchochea uwezeshaji kiuchumi katika...

READ MORE

Zaidi ya Watu 2,000 Wilaya ya Handeni Kunufaika na Mradi wa Bwawa la Maji Kwa Ufadhili wa SBL

Naibu Waziri wa Maji, Mheshimiwa Eng. Maryprisca Mahundi ametoa pongezi kwa Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa mchango wake...

READ MORE

WCF Yashiriki Maonesho Ya Sabasaba Kwa Mafanikio

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeshiriki kwenye Maonesho ya 47 ya Kimataifa ya Biashara na Viwanda (Sabasaba) huku wadau...

READ MORE

Halotel Yabadili Nembo Yake, Yaahidi Huduma Bora

Katika kuboresha huduma zake za interneti nchini, kampuni ya Halotel imedhamiria kufanya maboresho zaidi katika kupanua wigo kwa wateja wake...

READ MORE

Rais Samia Atinga na Kombati ya Jeshi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT- Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo ametinga na mavazi ya kijeshi alipokuwa akiwasili kwenye maadhimisho ya Miaka...

READ MORE

Maagizo ya Rais Samia ya Usimamizi wa Uingizaji Mafuta na Ruzuku Yaleta Ahueni kwa Watanzania

MAAGIZO ya Rais Samia Suluhu Hassan yamesaidia kushusha bei ya mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi wa pili...

READ MORE

Hisa za NICOL Hazikamatiki Sokoni DSE

KAMPUNI ya Uwekezaji ya NICOL, imeendelea kufanya vizuri sokoni kwa kupata ongezeko ya faida ya shilingili bilioni 6.2 mwaka huu...

READ MORE

Absa Yatambulisha Mpango Wake mpya Uitwao ‘Tunaiwezesha Afrika ya Kesho Pamoja’

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Absa Tanzania, Obedi Laiser Jana ameshiriki hafla ya kuutambulisha Mpango mpya ya benki hiyo...

READ MORE

Nmb Kuaanza Kusajili, Kutao Kadi za Wanachama wa Yanga Nchi Nzima

Benki ya NMB kupitia matawi yake yote nchi nzima kuanza rasmi Jumatatu tarahe 10 Julai, 2023, kusajili na kutoa kadi...

READ MORE

Rais Mstaafu Mhe. Kikwete, Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Kariakoo Watemebelea Banda la TRA Sabasaba

Rais Mstaafu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ametembelea kliniki ya Biashara na kupata nafasi ya...

READ MORE

Makamu Wa Rais Dkt. Mpango Afungua Tawi la 229 la NMB Buhigwe

MTANDAO wa Matawi ya Benki ya NMB nchini umezidi kutanuka, baada ya Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango...

READ MORE

Serikali Yakabidhi Magari na Vifaa Vya Bilioni 4.3 OSHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako ameukabidhi Wakala wa Usalama...

READ MORE

NMB, Agricom kukopesha wakulima Matrekta, Zana, Pembejeo za Kilimo

KATIKA kukuza mchango wa Sekta ya Kilimo kwa Pato la Taifa na kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa mkulima mmoja...

READ MORE

Mbunge Keisha: Msitishwe na Kuogopa Maneno DP World ni Fursa Kwa Wananchi

Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa...

READ MORE

Wateja wa Airtel Kupata Punguzo la Asilimia 10 Wanunuapo Tiketi za Flydubai kwa Kutumia Airtel Money

Airtel money leo imetangaza ushirika wake na Flydubai, ambapo wateja waliounganishwa na Airtel Money wanaonunua tiketi za Flydubai watapata upendeleo...

READ MORE

Wakala wa Meli Tanzania Waunga Mkono Ujio wa DP World

CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World...

READ MORE

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu Yatangaza Matokeo Ya Mei 2023

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imeidhinisha matokeo ya mitihani ya 97...

READ MORE

Chongolo Ahimiza UVCCM Kutimiza Wajibu Wake, Kukitangaza Chama kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amewataka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kutambua...

READ MORE

Chalamila Azindua Huduma ya NMB Onja Unogewe, Aiita Akili Kubwa

BENKI ya NMB imezindua huduma mpya chini ya Mwamvuli wa Teleza Kidigitali iitwayo NMB Onja Unogewe, ambayo imepongezwa na Mkuu...

READ MORE

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival)

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival) Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

READ MORE

Tantrade Yapokea Vizimba Vya Mabanda ya Kisasa Maonesho ya 47 ya Biashara Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini...

READ MORE

Airtel Afrika Yaitaja Tanzania Miongoni Mwa Nchi Tatu Kuwashwa Masafa ya Mawasiliano ya kasi ya 5G

Airtel Tanzania miongoni mwa himaya tatu za Airtel zitakazohamia teknolojia ya 5G hivi karibuni  Airtel Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa...

READ MORE

Waziri Aweso Atengua Uteuzi wa Meneja wa Ruwasa Dodoma

  Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso (Mb) ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey...

READ MORE

Wawekezaji Viwanda Waaswa Kuzingatia Sheria na Miongozo ya Kazi

Wawekezaji wa sekta ya viwanda wametakiwa kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya kazi nchini ikiwemo kuboresha mifumo ya usimamizi wa...

READ MORE

Ali Mayai Akoshwa na Ubora wa Mashindano na Vipaji

Mashindano ya Kombe la Mkenda 2023 yamehitimishwa Juni 18, 2023 Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro mshindi akiondoka na Kitita cha Shilingi...

READ MORE

Tantrade na Ubalozi wa Misri Kuandaa Mikutano Ya B2B Katika Sekta ya Hotel na Vifaa Vya Nyumbani

Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis leo tarehe 20 Juni, 2023 katika ofisi za TanTrade amekutana na Maafisa kutoka...

READ MORE

Rostam, Kitila Wamshukia Vikali Mbowe Kwa Kauli za Ubaguzi

* Wamtaka awaombe radhi Watanzania kwa kuwabagua Wazanzibari * Wawaonya wanasiasa kwa kutoa kauli hatari kwa umoja wa taifa MFANYABIASHARA...

READ MORE

Waziri wa Elimu Aitaka Taasisi ya Elimu Tanzania Kuwatambua Walimu Wanaomudu Stadi za Ufundishaji

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuweka mazingira endelevu ya kutambua walimu...

READ MORE

TanTrade na Tanroads Waboresha Miundombinu ya Barabara Katika Uwanja wa Maonesho Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Wakala wa Barabara Tanzania (TanRoads) kuboresha na kukarabati miundo mbinu ya ndani...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa EITI, Ataka Uwekezaji Wenye Manufaa Sekta Ya Madini

RAIS Samia Suluhu Hassan amehutubia kwa njia ya mtandao mkutano wa kimataifa wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Sekta...

READ MORE

Chongolo Aanza Ziara Dodoma Kukagua Utekelezaji wa Ilani, Kutatua Kero za Wananchi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara yake mkoani Dodoma kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa...

READ MORE

Rais Samia Akagua Ujenzi Hoteli ya Nyota 5 Mwanza, Mkurugenzi Mkuu NSSF Abainisha Sababu Kuchelewa Kukamilika

Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE