×

Kitaifa

Naibu Waziri wa Nishati Aipa Saa Mbili Tanesco Kurudisha Umeme

Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga Judith Kapinga amelipa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) saa mbili kurudisha uzalishaji wa umeme...

READ MORE

Mchengerwa Awatangazia Kiama Wakurugenzi Watakaoshindwa Kutekeleza Mradi wa TACTIC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mkurugenzi wa Halmashauri...

READ MORE

GEL Yasema Waliokosa Nafasi za Vyuo Vikuu Wawahi Kutafuta Nafasi Zipo vyuo Vya Nje

WAKALA wa Elimu ya Vyuo Vikuu Nje ya Nchi, Global Education Link (GEL), imewataka wazazi ambao watoto wao wamekosa nafasi...

READ MORE

Wanafunzi Green Acres Watia Fora Kwa Vipaji

WANAFUNZI wa Shule ya Msingi Green Acres, wamewapagawisha wazazi na wageni waalikwa kwenye mahafali yao baada ya kuzungumza kwa ufasaha...

READ MORE

Wadau na Wataalam wa Kimataifa Kuipa Temeke Mbinu za Kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Manispaa ya Temeke inaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi ambapo Mstahiki meya Abdallah Mtinika amekutana...

READ MORE

Mil 700 za Rais Samia Zamaliza Ujenzi wa Daraja Korofi la Kiseru Wilaya ya Kiteto- Mbunge Ole Lekaita

Daraja korofi katika barabara inayounganisha Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara na wilaya za Mvomero na Gairo Mkoa wa Morogoro, Kongwa...

READ MORE

Benki ya Absa Yasogeza Karibu Huduma za Kibenki Kwa Watanzania Ikizindua Absa Wakala

Benki ya Absa Tanzania imezindua huduma yake ya Absa Wakala ikiwa ni mikakati ya benki hiyo katika kusogeza huduma za...

READ MORE

Wanafunzi 9 Walioanza Elimu Ya Msingi Chini ya Mti Wamkosha Mbunge Ole Lekaita

Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la...

READ MORE

Nmb Yashinda Tena Tuzo ya Kuongoza Kuwafadhili Wajasiriamali Afrika

  Benki ya NMB imetunukiwa tena tuzo na jukwaa la kufadhili ujasiriamali duniani (SME Finance Forum) kutokana na huduma zake...

READ MORE

Prof. Mkenda Apongeza KCB Kwa Kuwezesha Vijana Kupata Mafunzo ya Amali

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameipongeza Benki ya KCB Tanzania kwa namna inavyowezesha vijana kupata mafunzo...

READ MORE

Dirisha la Ufadhili wa Masomo NMB Nuru Yangu 2023/24 lafunguliwa

NMB Foundation imefungua rasmi dirisha la pili wa Ufadhili wa Masomo na Usimamizi mwaka 2023/24, kwa wanafunzi wanaojiunga Vyuo Vikuu...

READ MORE

Katibu Mkuu Luhemeja Awataka Madiwani Kuwa Mabalozi wa Usalama Na Afya

Katibu Mkuu – Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhandisi, Cyprian Luhemeja amewataka madiwani wa Mkoa...

READ MORE

NMB yawa benki ya tatu kwa faida Afrika Mashariki

Benki ya NMB imeshika nafasi ya tatu kwa ukubwa wa faida katika ukanda wa Afrika Mashariki, hii ni kutokana na...

READ MORE

NMB Yabainisha Mikakati ya Kuwakwamua Wakulima Wadogo

Wakulima wadogo wana mchango mkubwa katika kuhakikisha utoshelevu na uhakika wa chakula nchini jambo ambalo Benki ya NMB imeahidi kuendelea...

READ MORE

Prof.Nombo: Serikali Inafanya Uwekezaji Mkubwa Kwenye Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam DIT

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amesema Serikali inafanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi ya Teknolojia...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Siku Mia Moja Kutumika Kutatua Migogoro ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Silaa ameelekeza  watendaji wa sekta ya ardhi nchini kuhakikisha ndani...

READ MORE

Prof. Makame mbarawa Asisitiza Ushirikiano Wizara Mpya

 Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame mbarawa  ametoa wito kwa menejimenti ya Wizara kushirikiana na wakuu wa taasisi  kuhakikisha kunakuwa na...

READ MORE

Waziri Silaa Ataka Ushirikiano Wizara ya Ardhi

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry William Silaa amewasili kwa mara ya kwanza ofisi za Wizara...

READ MORE

Lake Energies Yazindua kampeni ya ‘Kumtua Mama Kuni Kichwani’

MAKUMI elfu ya akina mama na familia zao wa mikoa mitano ya Dodoma, Morogoro, Mwanza, Arusha na Geita, watanufaika na...

READ MORE

Katibu CCM Aipongeza Shule ya East Africa Dodoma

MWENYEKITI wa Wazazi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Dk. Rose Rwakatare, ameishukuru serikali kwa kuendelea kuweka mazingira rafiki kwa wawekezaji wazawa....

READ MORE

Rais Samia Aitaka PAPU Kutumia Mashirika ya Ndege ya Afrika  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameutaka Umoja wa Posta Afrika (PAPU) kutumia mashirika...

READ MORE

RC Chalamila Atoa Neno Kuelekea Mkutano Jukwaa Mifumo ya Chakula Afrika

WAKATI Tanzania ikijiandaa kupokea ugeni wa viongozi wakuu wa nchi mbalimbali pamoja na wadau wa mifumo ya chakula Afrika kwa...

READ MORE

Waziri Nape Afungua Kika Cha Mawaziri wa PAPU

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amefungua kikao cha Mawaziri wanaohusika na Huduma za...

READ MORE

NMB Yamuahidi Makubwa Rais Samia Akifunga Tamasha la Kizimkazi 2023

BENKI ya NMB imemuahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwamba itaendelea kuwa mdau kinara...

READ MORE

Tanzania kinara wa kuzalisha Chakula Hasa Mahindi na Mchele Afrika

Wakati Tanzania inajiandaa kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula ya Afrika (AGRF) utakaofanyika Septemba 5-8, 2023, jijini...

READ MORE

Rais Samia Azindua Tawi la 230 NMB, Uzinduzi Watikisa Kizimkazi Festival

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana Agosti 30, amezindua Tawi la Benki ya...

READ MORE

Rais Samia atembelea Ujenzi wa Kituo Cha Afya Kizimkazi Kinachojengwa kwa Ushirikiano wa Serikali na Benki ya NBC

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan ametembelea ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kizimkazi kilichopo...

READ MORE

LSF Kushirikiana na North South Cooparation Kuwainua Wanawake Kiuchumi Longido

Shirika la Legal Services Facility (LSF) kwa kushirikiana na Taasisi ya North-South Cooperation kutoka nchini Luxembourg mapema Januari mwaka huu...

READ MORE

Rais Samia Aweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Mil. 600/- Inayojengwa na NMB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya...

READ MORE

Tanzania Yaishukuru China Kwa kutoa Fursa na Kufadhili Wanafunzi 30

Serikali ya Tanzania imeishukuru Serikali ya China kwa kutoa fursa na kufadhili wanafunzi 30 kutoka Taasisi ya Teknolojia Dar es...

READ MORE

TRA Mkoa wa Kikodi Kariakoo Wabandika Stika Maalumu Kuhamasisha Utoaji Risiti

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA, Mkoa wa Kikodi wa Kariakoo wamebandika stika maalumu kwaajili ya uzinduzi rasmi wa kuhamasisha wafanyabiashara...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yaipongeza Serikali Kwa Mazingira Mazuri ya Uwekezaji

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza serikali kwa kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini...

READ MORE

Wanafunzi Bora Shule ya Brilliant Kutesa na iphone Macho Matatu

MKURUGENZI wa shule ya Brilliant Dk. Jasson Rweikiza, amesema hakuna mwanafunzi wa shule hiyo atakayefukuzwa kwa kukosa ada baada ya...

READ MORE

Rasimu ya Sera ya Elimu Itakapopitishwa Kukutanisha Wadau Wote wa Elimu na Taasisi zote za Dini

Serikali imesema Rasimu ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 Toleo la 2023 na mabadiliko ya Mitaala ya...

READ MORE

Rais Dkt. Hussein Mwinyi Apongeza Absa Tanzania Kusaidia Juhudi za Kupunguza Vifo vya Mama wajawazito

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya Absa Tanzania, kwa...

READ MORE

Waziri wa Elimu Awakumbusha Wathibiti Ubora wa Shule Kulinda Viwango Vya Utoaji Elimu

Wathibiti Ubora wa Shule nchini wametakiwa kuhakikisha shule zinakuwa na viwango vilivyowekwa na Serikali katika miundombinu, ufundishaji, vitendea kazi na...

READ MORE

Serikali Kuhimiza Ujenzi Kampasi ya Chuo Kikuu cha Agha Khan Arusha

Serikali itaendelea kufuatilia na kuhimiza ujenzi wa kampasi ya Chuo Kikuu cha Agha Khan mkoani Arusha Hayo yamesemwa na Waziri...

READ MORE

TARURA Yaweka Wazi Vipaumbele Vyake Kwa Mwaka wa Fedha wa 2023/24

#Jukumu kubwa la TARURA ni kusimamia ujenzi, ukarabati na matengenezo ya mtandao wa barabara za Wilaya. Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Sapphire Glass Ltd Yaanza Kuwasha Mitambo ya Uzalishaji wa Vioo Nchini

Ujenzi wa kiwanda cha kisasa cha kutengeneza vioo kilichopo Kijiji cha Mkiu, Wilaya ya Mkuranga, Mkoa wa Pwani umefikia asilimia...

READ MORE