×

Kitaifa

Serikali Yakabidhi Magari na Vifaa Vya Bilioni 4.3 OSHA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Prof. Joyce Ndalichako ameukabidhi Wakala wa Usalama...

READ MORE

NMB, Agricom kukopesha wakulima Matrekta, Zana, Pembejeo za Kilimo

KATIKA kukuza mchango wa Sekta ya Kilimo kwa Pato la Taifa na kuleta mabadiliko chanya ya kimaendeleo kwa mkulima mmoja...

READ MORE

Mbunge Keisha: Msitishwe na Kuogopa Maneno DP World ni Fursa Kwa Wananchi

Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu wenye ulemavu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa...

READ MORE

Wateja wa Airtel Kupata Punguzo la Asilimia 10 Wanunuapo Tiketi za Flydubai kwa Kutumia Airtel Money

Airtel money leo imetangaza ushirika wake na Flydubai, ambapo wateja waliounganishwa na Airtel Money wanaonunua tiketi za Flydubai watapata upendeleo...

READ MORE

Wakala wa Meli Tanzania Waunga Mkono Ujio wa DP World

CHAMA cha Wakala wa Meli Tanzania (TASAA) kimeunga mkono mpango wa Serikali wa kuleta uwekezaji wa kampuni ya DP World...

READ MORE

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu, Wakaguzi wa Hesabu Yatangaza Matokeo Ya Mei 2023

Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) imeidhinisha matokeo ya mitihani ya 97...

READ MORE

Chongolo Ahimiza UVCCM Kutimiza Wajibu Wake, Kukitangaza Chama kwa Wananchi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Chongolo amewataka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kutambua...

READ MORE

Chalamila Azindua Huduma ya NMB Onja Unogewe, Aiita Akili Kubwa

BENKI ya NMB imezindua huduma mpya chini ya Mwamvuli wa Teleza Kidigitali iitwayo NMB Onja Unogewe, ambayo imepongezwa na Mkuu...

READ MORE

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival)

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ashiriki katika Tamasha la Vyakula vya Baharini (Zanzibar Seafood Festival) Kendwa Mkoa wa Kaskazini Unguja,...

READ MORE

Tantrade Yapokea Vizimba Vya Mabanda ya Kisasa Maonesho ya 47 ya Biashara Sabasaba

Mkurugenzi Mkuu  wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis leo tarehe 22 Juni, 2023 amepokea udhamini...

READ MORE

Airtel Afrika Yaitaja Tanzania Miongoni Mwa Nchi Tatu Kuwashwa Masafa ya Mawasiliano ya kasi ya 5G

Airtel Tanzania miongoni mwa himaya tatu za Airtel zitakazohamia teknolojia ya 5G hivi karibuni  Airtel Africa, kampuni inayoongoza katika kutoa...

READ MORE

Waziri Aweso Atengua Uteuzi wa Meneja wa Ruwasa Dodoma

  Waziri wa Maji, Jumaa H. Aweso (Mb) ametengua uteuzi wa Meneja wa Maji Mkoa wa Dodoma, (RUWASA) Mhandisi Godfrey...

READ MORE

Wawekezaji Viwanda Waaswa Kuzingatia Sheria na Miongozo ya Kazi

Wawekezaji wa sekta ya viwanda wametakiwa kuzingatia sheria na miongozo mbalimbali ya kazi nchini ikiwemo kuboresha mifumo ya usimamizi wa...

READ MORE

Ali Mayai Akoshwa na Ubora wa Mashindano na Vipaji

Mashindano ya Kombe la Mkenda 2023 yamehitimishwa Juni 18, 2023 Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro mshindi akiondoka na Kitita cha Shilingi...

READ MORE

Tantrade na Ubalozi wa Misri Kuandaa Mikutano Ya B2B Katika Sekta ya Hotel na Vifaa Vya Nyumbani

Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis leo tarehe 20 Juni, 2023 katika ofisi za TanTrade amekutana na Maafisa kutoka...

READ MORE

Rostam, Kitila Wamshukia Vikali Mbowe Kwa Kauli za Ubaguzi

* Wamtaka awaombe radhi Watanzania kwa kuwabagua Wazanzibari * Wawaonya wanasiasa kwa kutoa kauli hatari kwa umoja wa taifa MFANYABIASHARA...

READ MORE

Waziri wa Elimu Aitaka Taasisi ya Elimu Tanzania Kuwatambua Walimu Wanaomudu Stadi za Ufundishaji

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Elimu Tanzania kuweka mazingira endelevu ya kutambua walimu...

READ MORE

TanTrade na Tanroads Waboresha Miundombinu ya Barabara Katika Uwanja wa Maonesho Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) na Wakala wa Barabara Tanzania (TanRoads) kuboresha na kukarabati miundo mbinu ya ndani...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Mkutano Wa EITI, Ataka Uwekezaji Wenye Manufaa Sekta Ya Madini

RAIS Samia Suluhu Hassan amehutubia kwa njia ya mtandao mkutano wa kimataifa wa Taasisi ya Uwazi na Uwajibikaji katika Sekta...

READ MORE

Chongolo Aanza Ziara Dodoma Kukagua Utekelezaji wa Ilani, Kutatua Kero za Wananchi

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara yake mkoani Dodoma kwa lengo la kuangalia utekelezaji wa...

READ MORE

Rais Samia Akagua Ujenzi Hoteli ya Nyota 5 Mwanza, Mkurugenzi Mkuu NSSF Abainisha Sababu Kuchelewa Kukamilika

Masha Mshomba Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), amebainisha mbele ya Rais Mhe. Dkt. Samia...

READ MORE

Rais Samia Atembelea Na Kukagua Daraja La JP Magufuli Kigongo-Busisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kukagua Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi km...

READ MORE

Airtel Wachangia Damu Kuunga Mkono Juhudi za Serikali Kuboresha Huduma za Afya.

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Uchangiaji Damu nchini (NBTS) Leo...

READ MORE

NMB Yasherehekea Safari Yake ya Mafanikio ya Miaka 25 Visiwani Zanzibar!

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, imeipongeza Benki ya NMB kwa safari yake ya mafanikio yaliyotukuka ya miaka 25! Haya yamesemwa...

READ MORE

NMB yachangia vifaa vya 10M/= kusaidia wajawazito Korogwe

Benki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya kujifungulia kwa kina mama wajawazito zaidi ya 500 katika kituo cha afya...

READ MORE

Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kidato cha Tano Na Vyuo 2023 haya hapa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Angelah Kairuki amesema wanafunzi 1,878 wakiwemo...

READ MORE

Mjema: Vijana Nendeni Mkawe Chachu Ya Mabadiliko, Mkakilinde chama Chetu CCM

  Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Edward Mjema  leo Juni 11 2023, ameshiriki...

READ MORE

JK Akutana na Kamishna wa Umoja wa Ulaya ‘EU’

Rais Mstaafu na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) Dkt. Jakaya Kikwete amekutana na Bi....

READ MORE

TanTrade Kutoa Huduma Ya Mawasiliano ‘Interner-Wifi’ Uwanja wa Maonesho Sabasaba

Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) pamoja na Taasisi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote( UCSAF)  wamekutana na kufanya...

READ MORE

NSSF Yaendesha Semina Kwa Waheshimiwa Majaji Na Mahakimu Mwanza

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Mustapher Siyani amefungua semina kwa njia ya e-Mikutano kwa Waheshimiwa Majaji na...

READ MORE

Katibu Mkuu CCM Chongolo Akutana na Balozi Wa China Nchini

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Tanzania,...

READ MORE

Wizara ya Elimu Yasema Zaidi ya Programu 300 za Mafunzo Elimu ya Kuu Kuanzishwa

Zaidi ya programu 300 za mafunzo elimu ya juu kuanzishwa ama kuhuishwa ili kuendana na Dira na Mipango ya Maendeleo...

READ MORE

Chongolo Awaambia Vijana wa Afrika Kuwa Wazalendo Kwa Nchi Zao

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo, amewataka vijana wa Afrika, hususan kutoka Kusini mwa Afrika, kujitambua...

READ MORE

Wanaotaka Ubunge, Udiwani CCM Kabla ya Muda Sengerema Waonywa

  Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Sengerema Marco Makoye amewaonya wanaCCM wanaopita kwenye majimbo kutaka madaraka ya...

READ MORE

Wanafunzi wa St Joseph Dar Wabuni Satellite

Itarushwa Kimolita 400 angani hivi karibuni Itakuwa msaada mkubwa kwa wakulima Watafiti kuitumia kupata taarifa mbalimbali WANAFUNZI na wahadhiri wa...

READ MORE

Mkaguzi Mkuu wa Ndani Msaidizi Awataka Wakaguzi Kutoa Ushauri Wenye Serikalini

Mkaguzi Mkuu wa Ndani Msaidizi-Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali, Paison Mwamnyasi amewataka Wakaguzi wa Ndani kuzingatia sheria,...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Ukodishwaji wa Bandari ya Dar Huu Hapa..

UONGO #1: Serikali imekodisha Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World kwa miaka 100 Ukweli: Hakuna mkataba wowote wa...

READ MORE

Asilimia 87% Huduma Za WCF Zinafanyika Kwa Njia Ya Mtandao

Akiongea kwenye mafunzo kwa maafisa Rasilimali Watu, Utawala na Usalama na Afya mahali Pa kazi kutoka taasisi za Binafsi na...

READ MORE

Serikali Yatumia Zaidi ya Mil 334 Kuwezesha Upatikanaji Vifaa vya Kufundishia Wanafunzi Wenye Mahitaji Maalumu

  Serikali imetumia zaidi ya Shilingi milioni 334 kuwezesha upatikanaji wa vifaa vya kufundishia, kujifunzia, vifaa saidizi na kujenga mabweni...

READ MORE