×

Kitaifa

NECTA Yaahirisha Mitihani ya Kidato cha Sita na Ualimu

Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, mwaka huu...

READ MORE

Zitto Anashtakiwa kwa Kuwasemea Wananchi – Shahidi

SHAHIDI wa tatu katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo,...

READ MORE

Magereza Yasitisha Kutembelea Wafungwa

Jeshi la Magereza Tanzania limesitisha huduma za kutembelea wafungwa na mahabusu ikiwamo huduma ya kuwapelekea chakula mahabusu, hadi pale itakavyoelekezwa...

READ MORE

Breaking: Wagonjwa wa Corona Tanzania Wafikia 6

WIZARA ya Afya imesema wagonjwa wapya wawili Watanzania wamethibitika kuwa na virusi vya Corona (COVID-19) jijini Dar es Salaam, na...

READ MORE

Noti za Tanzania Hazitunzi Virusi vya Corona – BoT

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema noti zake zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti.   Katika...

READ MORE

TTCL yawezesha Mkutano Wa SADC Kufanyika Kwa ‘Video Conferece’

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Masiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea namna...

READ MORE

Maajabu! Mtoto Alivyonusurika Ajali ya Moto wa Gesi

  HAKIKA Mungu ni mwema, ndivyo unavyoweza kutafsiri baada ya mtoto Ayubu Mohamed (2) aliyekuwa ameuchapa usingizi kunusurika na kifo...

READ MORE

NMB: Huduma ya Bima Kupitia Benki Hukuza Biashara Endelevu

Meneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business...

READ MORE

Ummy: Wananchi 26 Wanashukiwa Kuwa na Corona Arusha

WAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko zaidi la wagonjwa wa Corona na...

READ MORE

NBC Yazindua Klabu ya Biashara Mtwara,Yatoa Mafunzo ya Biashara

  Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea na mkakati wao wa kuzindua NBC Biashara Club katika maeneo mbali mbali...

READ MORE

Mama Amfanyia Mbaya Mwanaye

MWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Emakulata amemfanyia kitu mbaya mtoto wake wa miezi miwili kwa kumtoroka usiku wa...

READ MORE

Wizara ya Afya: Uvaaji Holela wa Mask ni Hatari kwa Afya – Video

WIZARA ya Afya imesema kuwa kuwa si kila mtu anatakiwa kuvaa kifaa cha kuziba uso ‘mask’ ili kujikinga na homa...

READ MORE

Serikali Yataja Sababu Sampuli za Corona Kupimwa Dar

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kuwa sampuli za washukiwa wa virusi vya Corona zinapimwa...

READ MORE

Wenye Corona Kenya Wafika 7

Waathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho.  ...

READ MORE

Alipopita Dereva Aliyembeba Isabella wa Corona Pajulikana

MAPITO ya dereva wa teksi ambaye alimbeba mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Corona, Isabela Mwampamba (46) yamefuatiliwa katika Jiji...

READ MORE

Zitto Aishauri Serikali Kuokoa Uchumi Wakati wa Corona

KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameishauri serikali mambo matatu ambayo itatakiwa...

READ MORE

Corona: Mufti wa Tanzania Aagiza Madrasa Zote Zifungwe

MUFTI  wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi,  amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote hadi utakapotangazwa utaratibu mpya. Aidha amewataka waumini...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Aongea Laivu ‘Nipo Fiti’ – Video

Mgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya,...

READ MORE

#BREAKING: Wagonjwa wa Corona Nchini Wafikia Watatu – Waziri Mkuu

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuwepo wagonjwa wengine wawili wa virusi vya Corona nchini Tanzania, ambao mmoja ni raia...

READ MORE

Ndugu Wadhibitiwa Kuwaona Wagonjwa, Kisa Corona – Video

KUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, Hospitali ya KCMC imezuia ndugu wa wagonjwa kulundikana hospitali na badala yake mtu...

READ MORE

Zitto Aanza Kujitetea Kesi ya Uchochezi – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameanza kujitetea katika kesi yake ya uchochezi...

READ MORE

 Hawa Ndio Majaji wa Public Speaking na Timu Zao

MAJAJI wa Shindano la National Public Speaking tayari wameshagawana washiriki 30 katika makundi matatu kwa ajili ya mafunzo yatakayotolewa kambini....

READ MORE

Achomwa Moto Akituhumiwa Kuiba Mahindi Shambani

POLISI mkoani Shinyanga linafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwanamme anayekadiriwa kuwa na umri wa 25-30 ambaye hajafahamika jina...

READ MORE

Dereva Aliembeba Mgonjwa wa Corona Apatikana

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Dereva tax aliyembeba mgonjwa wa Corona amepatikana na kuchukuliwa sampuli kwa ajili...

READ MORE

Kisa Corona, DC Sabaya: Tutafunga Bar, Supermarket Zote – Video

WAKATI kisa cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya Corona kikiripotiwa rasmi nchini Tanzania, juhudi mbalimbali zimeanza kuchukuliwa na serikali...

READ MORE

Utaratibu wa Kufuata Unapopoteza Kitambulisho cha NIDA

MAMLAKAya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya....

READ MORE

Arusha: Hoteli Aliyofikia Mgonjwa wa Corona Yafungwa, Hakuna Kutoka Ndani

MKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya mkoa huo umebainika kuwa na mgonjwa mmoja wa Corona...

READ MORE

Bahati Nasibu ya Jishindie Ndinga Yatikisa Kibaha

ILE PROMOSHENI kubwa nchini ya Bahati Nasibu ambayo mshindi wa droo kubwa anatarajia kujishindia ndinga mpya kwa kusoma magazeti ya...

READ MORE

JPM Atua Kwenye Daraja Moro, Asimamisha Kazi Wahandisi 12, Amuonya Waziri – Video

RAIS John Magufuli leo amewasimamisha kazi wahandisi 12  wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Morogoro na kuwapa onyo...

READ MORE

Makonda Atoa Maagizo Kukabiliana na Corona

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku msongamano wa abiria katika vyombo vya usafiri, maeneo ya...

READ MORE

Breaking News: Corona Yaingia Tanzania, Serikali Yathibitisha – Video

WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46)...

READ MORE

Ewura Yataja Chanzo cha Mlipuko wa Gesi Moro

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Titus Gaguo amebainisha chanzo cha mlipuko wa gesi...

READ MORE

JPM Ashtukiza Ubungo, Aahirisha Mbio za Mwenge – Video

RAIS John Pombe Magufuli, amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 zilizotarajiwa kuanza hivi karibuni ili kuepuka  maambukizi...

READ MORE

Magazeti ya Tanzania Leo Jumatatu, Machi 16, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....

READ MORE

Moto wa Gesi Wateketeza Nyumba Moro, Waandishi 4 Wajeruhiwa

WAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...

READ MORE

Watu wa Buza Wanataka Gari

WAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wa maeneo ya Buza na maeneo ya Kijiwe Samli wamejinasibu kununua kwa wingi...

READ MORE

Ndinga Mpya ya Championi, Spoti Xtra Yatua Arusha

VIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente au safi ndani ya Jiji la Arusha, wenyeji hupaita R-Chuga, hii ni...

READ MORE

Prof Lipumba: Mashinji Amewaokoa Chadema Kufungwa – Video

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba,  amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...

READ MORE