×

Kitaifa

TANZIA: Aliyekuwa Mkurugenzi wa Katani Ltd Afariki Dunia

MKURUGENZI wa zamani wa Katani Limited, Salum Shamte, amefariki dunia katika Taasisi ya Mifupa ya Muhimbili (MOI) jijini Dar es...

READ MORE

Mgogoro na Mkewe… Mume Ajichongea Jeneza

CHANZO ni kuwa na mgogoro na mkewe, Sylvester Mihayo (45) amefikia uamuzi mgumu wa kujichongea jeneza ili siku akifa mambo...

READ MORE

Mchungaji Bongo Aibuka Upasuaji  wa Kimiujiza

  MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Jerusalem lililopo Kitunda jijini Dar, Nabii James Nyakia ameibuka na upasuaji wa kimiujiza, RISASI...

READ MORE

Maeneo 5 Hatari kwa Corona Bongo Yaanikwa

WAKATI nchi mbalimbali duniani zikiimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa COVID-19 unaonezwa na virusi vya Corona, RISASI Jumamosi linakuchambulia maeneo...

READ MORE

Sumaye Akabidhiwa Rasmi Kadi ya Uanachama CCM – Video

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. BASHIRU ALLY jana Machi 29, 2020 amemkabidhi rasmi kadi ya uanachama wa...

READ MORE

Video: Sumaye Apokelewa Rasmi CCM, Apewa Uanachama Makao Makuu

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye leo Machi 29, 2020 amerudi rasmi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na kupokelewa na...

READ MORE

GNM: Licha ya Corona, Tunaendelea Kusafirisha Mizigo Kutoka China

UCHUMI wa dunia nzima ni kama umesimama! Biashara nyingi zimefungwa, wafanyabiashara wanahofia kusafiri kwenda China kufuata bidhaa mbalimbali, serikali za...

READ MORE

Matukio ya ziara ya Kimasomo ya Washindi Shindano la CMSA Kwa Vyuo Vikuu,Taasisi za Elimu ya Juu

AfisaMtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko na Mitaji ya Dhamana (CMSA), Nicodemus Mkama akizungumza na wanafunzi (hawapopichani) wakati wa ziara...

READ MORE

Bahati Nasibu Ya Shinda Gari, Wasomaji Kawe Wamiminika Kujaza Kuponi

    Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kawe, Mikocheni hadi Msasani mapema leo...

READ MORE

Tanzia: Waziri Kiongozi wa Kwanza Zanzibar Afariki Dunia

Waziri Kiongozi wa kwanza Zanzibar (1972-1984), Muasisi wa Mapinduzi na Muungano, Ramadhani Haji Faki (99), amefariki Dunia jijini Dar leo,...

READ MORE

Waziri Mkuu Apokea Misaada ya Bil 1.185 Kukabiliana na Corona

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea msaada wa fedha pamoja na vitu mbali mbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa...

READ MORE

Azania Yadhibiti Corona Mbagala kwa Sabuni ya Champions

MAKAMPUNI ya Azania Group ambao ni mabingwa wa kutengeza sabuni zenye ubora wa hali juu za King Limau na Marhaba...

READ MORE

Naibu Waziri Mabula Achoshwa na Bajeti za Upimaji Ardhi Halimashauri za Mkoa wa Kagera

  Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula ameonesha kutoridhishwa na kiasi cha fedha kilichotengwa...

READ MORE

RC Mwanri Ataka Wananchi Kususia Maduka Yasiyo na Sanitizer – Video

MKUU wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa wito kwa wakazi wa Mkoa huo kutoa taarifa za wageni wasiofahamika walikopotoka...

READ MORE

Marekani Yawataka Wananchi Wake Walioko TZ Warejee U.S

Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19.   ...

READ MORE

Corona Imetibua Uchaguzi Mkuu wa Nchi Nyingi Duniani

HALI haijulikani itakuwaje kwa nchi nyingi za Afrika ambazo zinatakiwa kufanya uchaguzi mkuu mwaka huu kama Virusi vya Corona vitaendelea...

READ MORE

Balozi Kairuki: Watanzania Sitisheni Kuja China, Kuna Corona – Video

China imetangaza kuzuia wageni wote kuingia nchini humo hata kama wana viza au vibali, lengo likiwa kudhibiti maambukizi ya virusi...

READ MORE

Walioambukizwa Corona Uganda Wafikia 18

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema idadi ya maambukizi nchini humo imefikia 18 baada ya vipimo 197 vilivochukuliwa jana kuthibitisha...

READ MORE

Tokomeza Corona ya Championi, Spoti Xtra Yatinga Karume, Buguruni

GLOBAL Publishers kupitia magazeti yake bora ya michezo Tanzania ya Championi na Spoti Xtra, imeendelea na kampeni ya kuzuia kusambaa...

READ MORE

Corona: Raia Wapigwa Risasi kwa Kukiuka Agizo la Rais

WATU wawili wamelazwa hospitali nchini Uganda baada ya kupigwa risasi na polisi kwa kukiuka agizo la Rais Yoweri Museveni la...

READ MORE

Marekani Yaongoza Maambukizi ya Corona, Yaipiku China

MAREKANI imeripoti jumla ya maambukizi 85,604 na kuwa nchi yenye maambukizi mengi zaidi ikiizidi China yenye maambukizi 81,340 na Italia...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza Afariki kwa Corona Kenya

SERIKALI ya Kenya imethibitishia kuwa mgonjwa wa kwanza aliyekutwa na maambukizi ya virusi vya corona nchini humo ambaye ni mwanamme...

READ MORE

Anayedaiwa Kumuua Binti wa Kazi kwa Kipigo Kortini Tena

  Kesi ya mauaji namba 5 ya mwaka 2020 imekuja kutajwa tena kwa Mara ya pili Leo katika mahakama ya...

READ MORE

Makongoro Mahanga Azikwa Dar, Zitto Atoa Ujumbe Mzito – Video

SIMANZI na majonzi yametawala wakati wa kuaga mwili wa marehemu Milton Makongoro Mahanga, ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa...

READ MORE

Deni la Taifa Lapaa Tena

DENI la Taifa katika Mwaka wa Fedha wa 2018/19, limeongezeka kwa asilimia 2.18, kutoka Sh. 50.93 trilioni mwaka 2018 hadi...

READ MORE

Mitumba Yapigwa Marufuku Kenya

KENYA imepiga marufuku uingizaji na uuzaji wa nguo za mitumba nchini humo katika harakati za kupambana na usambaaji wa virusi...

READ MORE

Championi, Spoti Xtra Zaungana Kutokomeza Corona

  GLOBAL Publishers kupitia magazeti yake bora ya michezo Tanzania ya Championi na Spoti Xtra, imeanzisha kampeni ya kuzuia kusambaa...

READ MORE

JPM Amteua Brig. Jen. Mbungo Kuwa Mkurugenzi Takukuru – Video

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli amthibitisha Kaimu Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia...

READ MORE

Sirro Ampandisha Cheo Aliyetoa Wazo la Kituo cha Huduma

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro amempandisha cheo Christina Onyango kuwa mkaguzi msaidizi wa Polisi. Awali Christina...

READ MORE

JPM: “Wanafikiri Nitaahirisha Uchaguzi Sababu ya Corona?” – Video

Rais Dkt. John Magufuli amesema uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba mwaka huu hautaahirishwa licha ya kuwepo kwa tishio la mlipuko...

READ MORE

Rais JPM Amtumbua Balozi; Asema Abebe Msalaba Wake – Video

RAIS John Magufuli  amemvua ubalozi na kumrejesha nyumbani aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Emilia Mkusa,  kutokana na ripoti  Mdhibiti...

READ MORE

CAG Abaini Madudu CUF, CCM, Amkabidhi JPM – Video

  CHAMA cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), vinatajwa kwa matumizi mabaya ya fedha katika Ripoti ya Ukaguzi...

READ MORE

Mgonjwa wa Kwanza wa Corona Tanzania Apona

ISABELA Mwampamba (46), mgonjwa wa kwanza kupatikana na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, amepona na yupo huru kuungana na...

READ MORE

Feza Yaendelea Na Elimu Mtandaoni

Baada ya mashule kufungwa kwa kipindi cha siku 30 na watoto wakiwa nyumbani ili kujikinga na janga la Corona ambalo...

READ MORE

CCM Yamhoji Naibu Waziri Waitara

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara amezungumzia taarifa za...

READ MORE

Corona: Mbowe Karantini Siku 14

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, sasa yupo chini ya karantini na amechukua hatua hiyo yeye...

READ MORE

Muuguzi Aliyepata Coronavirus Ajiua

MUUGUZI aliyekuwa akifanya kazi katika Kitengo Maalum cha Kupambana na Maambukizi ya Virusi vya Corona nchini Italy, Daniela Trezzi (34)...

READ MORE

Vilio Vyatawala Mwili wa Makongoro Ukiwasili Kwake – Video

  MWILI wa aliyekuwa mwanasiasa mkongwe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Kichama wa Ilala Jijini...

READ MORE

Bahati Nasibu Ya Shinda Gari Ilivyotikisa Tabata Mawenzi

Bahati Nasibu ya shinda gari  iliyopewa jina la Chomoka na Gari Mpya  inayopatikana kupitia magazeti ya Championi na Spoti Xtra ambapo wasomaji...

READ MORE