Baraza la Mitihani nchini (Necta) limetangaza kuahirisha mitihani ya kidato cha sita na ualimu iliyokuwa ifanyike Mei 4, mwaka huu...
READ MORESHAHIDI wa tatu katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Kigoma Mjini na Kiongozi wa Chama cha ACT – Wazalendo,...
READ MOREJeshi la Magereza Tanzania limesitisha huduma za kutembelea wafungwa na mahabusu ikiwamo huduma ya kuwapelekea chakula mahabusu, hadi pale itakavyoelekezwa...
READ MOREWIZARA ya Afya imesema wagonjwa wapya wawili Watanzania wamethibitika kuwa na virusi vya Corona (COVID-19) jijini Dar es Salaam, na...
READ MOREBENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema noti zake zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti. Katika...
READ MOREMkurugenzi Mkuu wa Shirika la Masiliano Tanzania (TTCL), Waziri Kindamba akifafanua jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuelezea namna...
READ MOREHAKIKA Mungu ni mwema, ndivyo unavyoweza kutafsiri baada ya mtoto Ayubu Mohamed (2) aliyekuwa ameuchapa usingizi kunusurika na kifo...
READ MOREMeneja Mwandamizi wa Bima wa Benki ya NMB, Martine Massawe akielezea kuhusu Bima ‘Bancassuarance’ wakati wa mkutano wa NMB Business...
READ MOREWAZIRI wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametangaza ongezeko zaidi la wagonjwa wa Corona na...
READ MOREBenki ya Taifa ya Biashara (NBC) imeendelea na mkakati wao wa kuzindua NBC Biashara Club katika maeneo mbali mbali...
READ MOREMWANAMKE mmoja aliyejulikana kwa jina moja la Emakulata amemfanyia kitu mbaya mtoto wake wa miezi miwili kwa kumtoroka usiku wa...
READ MOREWIZARA ya Afya imesema kuwa kuwa si kila mtu anatakiwa kuvaa kifaa cha kuziba uso ‘mask’ ili kujikinga na homa...
READ MOREWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto amesema kuwa sampuli za washukiwa wa virusi vya Corona zinapimwa...
READ MOREWaathiriwa wa kirusi cha corona nchini Kenya wamefikia watu saba baada ya watu wengine watatu kuthibitishwa kuambukizwa kirusi hicho. ...
READ MOREMAPITO ya dereva wa teksi ambaye alimbeba mgonjwa aliyethibitishwa kuwa na virusi vya Corona, Isabela Mwampamba (46) yamefuatiliwa katika Jiji...
READ MOREKIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameishauri serikali mambo matatu ambayo itatakiwa...
READ MOREMUFTI wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zuberi, amewaagiza walimu wa madrasa kufunga madrasa zote hadi utakapotangazwa utaratibu mpya. Aidha amewataka waumini...
READ MOREMgonjwa wa kwanza wa virusi vya corona nchini Tanzania Isabela Mwampamba amezungunza kwa njia ya simu na Waziri wa Afya,...
READ MOREWAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza kuwepo wagonjwa wengine wawili wa virusi vya Corona nchini Tanzania, ambao mmoja ni raia...
READ MOREKUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, Hospitali ya KCMC imezuia ndugu wa wagonjwa kulundikana hospitali na badala yake mtu...
READ MOREMBUNGE wa Kigoma Mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameanza kujitetea katika kesi yake ya uchochezi...
READ MOREMAJAJI wa Shindano la National Public Speaking tayari wameshagawana washiriki 30 katika makundi matatu kwa ajili ya mafunzo yatakayotolewa kambini....
READ MOREPOLISI mkoani Shinyanga linafanya uchunguzi wa tukio la mauaji ya mwanamme anayekadiriwa kuwa na umri wa 25-30 ambaye hajafahamika jina...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema Dereva tax aliyembeba mgonjwa wa Corona amepatikana na kuchukuliwa sampuli kwa ajili...
READ MOREWAKATI kisa cha kwanza cha mgonjwa mwenye virusi vya Corona kikiripotiwa rasmi nchini Tanzania, juhudi mbalimbali zimeanza kuchukuliwa na serikali...
READ MOREMAMLAKAya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetoa maelekezo kuhusu hatua za kufuata mtu anapopoteza kitambulisho chake ili aweze kupata kitambulisho kipya....
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amesema kwamba ndani ya mkoa huo umebainika kuwa na mgonjwa mmoja wa Corona...
READ MOREILE PROMOSHENI kubwa nchini ya Bahati Nasibu ambayo mshindi wa droo kubwa anatarajia kujishindia ndinga mpya kwa kusoma magazeti ya...
READ MORERAIS John Magufuli leo amewasimamisha kazi wahandisi 12 wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Morogoro na kuwapa onyo...
READ MOREMkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amepiga marufuku msongamano wa abiria katika vyombo vya usafiri, maeneo ya...
READ MOREWAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu, amethibitisha kuwa Tanzania ina mgonjwa mmoja mwanamke (46)...
READ MOREMeneja Mawasiliano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji, Titus Gaguo amebainisha chanzo cha mlipuko wa gesi...
READ MORERAIS John Pombe Magufuli, amesitisha mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2020 zilizotarajiwa kuanza hivi karibuni ili kuepuka maambukizi...
READ MOREHapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Machi 16, 2020. Ni yale ya Hard-news, Udaku na Michezo....
READ MOREWAANDISHI wa habari wanne Mkoani Morogoro wameungua moto wakati wakifuatilia tukio la nyumba kuwaka moto katika eneo la Msamvu Mizambarauni,...
READ MOREWAKAZI wa Jiji la Dar es Salaam wa maeneo ya Buza na maeneo ya Kijiwe Samli wamejinasibu kununua kwa wingi...
READ MOREVIJANA wa siku hizi wanasema, mambo ni yente au safi ndani ya Jiji la Arusha, wenyeji hupaita R-Chuga, hii ni...
READ MOREMWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Profesa Ibrahim Lipumba, amesema kitendo cha aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt. Vincent...
READ MORE