×

Kitaifa

Askari Waliofariki kwa Ajali Njombe Waagwa

MAMIA ya wananchi wamejitokeza jana, Jumanne, Fenruari 4, 2020, katika viwanja vya jeshi la polisi mkoani Njombe kuaga miili ya...

READ MORE

Serikali Kupanda Miti Bilioni 1 Mlima Kilimanjaro

SERIKALI imeandaa programu mbalimbali za kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti zaidi ya bilioni moja katika eneo la...

READ MORE

Mbunge: Wabakaji Hawakomi, Waondolewe Kizazi, Miaka 30 Haitoshi – Video

  Serikali imesema haiwezi kuongeza adhabu kali kwa wabakaji zikiwemo adhabu za kuhasiwa kwani zilizopo ni kali na zinatosha.  ...

READ MORE

Kilichoua Wanajeshi 10 Bagamoyo, CDF Mabeyo Ataja Sumu – Video

JESHI la Ulinzi la Tanzania limetangaza kuwa askari 10 wa jeshi hilo wamepoteza maisha wakati wakifanya mazoezi.   Hayo yamethibitishwa...

READ MORE

Madaktari Vijana Watuhumiwa Kuwatongoza Wagonjwa

CHAMA Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, kimeibua tuhuma nzito kwa madaktari wa Hospitali ya Rufaa mkoani hapa, ikiwamo madai ya...

READ MORE

Membe Aitwa CCM Kuhojiwa: ‘Nitahudhuria Mapema Bila Kukosa’

  KUPITIA ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe,  amesema ameitwa jijini...

READ MORE

Ishu ya Steve Nyerere, Kigwangala Amjibu Msigwa, Diamond Atajwa – Video

WAZIRI wa maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amefafanua Bungeni sababu za kuwatumia watu maarufu kwenye kutangaza utalii akiwemo mwanamuziki,...

READ MORE

Kauli ya Mwisho Mbongo Aliyeuawa Sauzi Inauma

MAMBO mawili yaliyoumiza wengi juu ya kifo cha Mtanzania, Shabani Ally aliyekutwa amefariki dunia ndani ya gari lake baada ya...

READ MORE

Breaking News: Rais Mstaafu Moi Afariki Dunia

RAIS Mstaafu wa Kenya, Daniel arap Moi, amefariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa...

READ MORE

Rais JPM Ampa ‘Vyeo Viwili’ Dkt. Abbas – Video

Dkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji...

READ MORE

Vifo vya Watu 20, Mwamposa Abebeshwa Zigo la Gharama za Mazishi

  SERIKALI imesema, Kanisa la Inuka Uangaze la Mchungaji Boniface Mwamposa, lina jukumu la kugharamia msiba wa watu 20 waliofariki...

READ MORE

‘Bangi ya Kishimba’ Yazua Balaa Bungeni – Video

KWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu...

READ MORE

Mbowe Amuandikia Barua Rais Magufuli – Video

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa...

READ MORE

DC Sabaya: Tunashindwa Kutofautisha Mganga na Mchungaji – Video

Mkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya amewataka viongozi wa dini kabla ya kuwanyooshea vidole viongozi wa kisiasa ni vyema...

READ MORE

Meja Kunta Amefariki? Mama Aishiwa Nguvu, Akimbia Hospitali

TAHARUKI imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii na kwa mashabiki wa muziki wa singeli baada ya jana kusambaa kwa taarifa...

READ MORE

LIVE: Watu 20 Waliofariki kwa Mwamposa Yaagwa Uwanja wa Mashujaa

MIILI ya watu 20 waliofariki kwa ajali ya kukanyagana juzi Jumamosi, Februari 1, 2020 katika Uwanja wa Majengo Moshi mkoani...

READ MORE

Kifo cha Kwanza cha Corona Nje ya China

MAOFISA wa afya wamethibitishwa kuwa mtu mmoja amefariki kutokana na virusi vya Corona nchini Ufilipino. Kwa mujibu wa mwakilishi wa...

READ MORE

Bad News: Askari Watatu Wafariki kwa Kugongwa na Basi

POLISI watatu mkoani Njombe wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia baada ya ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Shalomu na gari la...

READ MORE

Serikali Yachukua Hatua Kuhakikisha Mbolea Inapatiakan- Mhe Mgumba

    Kutokana na kuwepo kwa upungufu wa pembejeo nchini, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha pembejeo zinapatikana kwa wingi...

READ MORE

Live: Magufuli Anawaapisha Viongozi Wapya Aliowateua

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao...

READ MORE

Lema Amtetea Mwamposa, Ataka Simbachawene, Sirro Wajiuzulu

KUFUATIA Jeshi la Polisi nchini kumkamatwa Mtume na Nabii Boniface Mwamposa,  kwa kusababisha vifo vya watu 20 waliokanyagwa katika kongamano...

READ MORE

Watu 20 Waliofariki kwa Mtume Mwamposa Kuagwa Leo – Video

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema miili ya watu 20 waliofariki kwenye kongamano la Mtume na Nabii Mwamposa,...

READ MORE

NMB Yawasaidia Wakandarasi Wazawa

  BENKI  ya  NMB  mwaka jana  imetoa  zaidi  ya  dhamana  500  kwa  wakandarasi wazawa  ili  kuwawezesha  kugharimia  miradi  mbalimbali  ya ...

READ MORE

Benki ya NMB Yapiga Jeki Shule na Zahanati Singida

KERO ya kusomea katika mazingira yasio mazuri kwa wanafunzi zaidi ya 350, wakiwemo wasichana 169 wa kitongoji cha Misuna, kijiji...

READ MORE

Naibu Waziri Masauni Naye Ahojiwa na TAKUKURU

  NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni,  amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

READ MORE

Mbunge Selasini (Chadema) Aimwagia Sifa CCM – Video

Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Suleimani Jafo kwa kazi nzuri...

READ MORE

Ramadhan Kailima Awasili TAKUKURU Kuhojiwa

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhan Kailima,  amewasili  makao makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kupiga Vita...

READ MORE

Bosi Benki Afikishwa Mahakamani kwa Uhujumi Uchumi Bil.3

OFISI ya Taifa ya Mashtaka nchini kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro...

READ MORE

Ndugai: Marekani Wanamshughulikia Trump, Tumshugulikie Zitto – Video

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump,  kwa...

READ MORE

JPM Apangua na Kupanga Tena, Ampa Shavu Dkt. Abbas – Video

RAIS John Magufuli leo  Januari 31 Januari, 2020, amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,...

READ MORE

Jeff Bezos Apata Tsh. Tril 30 Ndani ya Dakika 15

JEFF Bezos, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Amazon amekuwa tajiri mkubwa Duniani baada ya kumpita Bill Gates.   Jeff Bezos...

READ MORE

Kaka wa Nicki Minaj Kwenda Jela Miaka 25

KAKA wa rapa Nicki Minaj, Jelani Maraj, anaweza kwenda jela miaka 25 au maisha kutokana na tuhuma za ubakaji za...

READ MORE

Mama Kabwili Apata Presha, Akimbizwa Hospitali – Video

KIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake...

READ MORE

Wanusurika Baada ya Kupigwa Risasi na Polisi Geita

WATU wanne wakazi wa Kitongoji cha Kamlale Kijiji cha Kibwela Kata ya Nyawilimilwa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, wamelazwa katika...

READ MORE

Lugola Ahojiwa na TAKUKURU kwa Saa 5, ‘Nipo Salama’ – Video

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola,  leo Januari 31, 2020, amehojiwa kwa zaidi ya saa tano...

READ MORE

TCRA Yazindua ICT Awards 2020 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam -Video

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) leo Januari 31, 2019 inazindua tuzo zake ziitwazo ICT Awards katika Chuo Kikuu cha Dar...

READ MORE

Jenerali Kingu Naye Awasili TAKUKURU Kuhojiwa – Video

ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Mteule, Meja Jenerali Jacob Kingu,  naye amefika katika ofisi za...

READ MORE