MAMIA ya wananchi wamejitokeza jana, Jumanne, Fenruari 4, 2020, katika viwanja vya jeshi la polisi mkoani Njombe kuaga miili ya...
READ MORESERIKALI imeandaa programu mbalimbali za kutunza mazingira ikiwa ni pamoja na kupanda miti zaidi ya bilioni moja katika eneo la...
READ MORESerikali imesema haiwezi kuongeza adhabu kali kwa wabakaji zikiwemo adhabu za kuhasiwa kwani zilizopo ni kali na zinatosha. ...
READ MOREJESHI la Ulinzi la Tanzania limetangaza kuwa askari 10 wa jeshi hilo wamepoteza maisha wakati wakifanya mazoezi. Hayo yamethibitishwa...
READ MORECHAMA Cha Mapinduzi Mkoa wa Singida, kimeibua tuhuma nzito kwa madaktari wa Hospitali ya Rufaa mkoani hapa, ikiwamo madai ya...
READ MOREKUPITIA ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, amesema ameitwa jijini...
READ MOREWAZIRI wa maliasili na Utalii, Dkt. Hamis Kigwangalla, amefafanua Bungeni sababu za kuwatumia watu maarufu kwenye kutangaza utalii akiwemo mwanamuziki,...
READ MOREMAMBO mawili yaliyoumiza wengi juu ya kifo cha Mtanzania, Shabani Ally aliyekutwa amefariki dunia ndani ya gari lake baada ya...
READ MORERAIS Mstaafu wa Kenya, Daniel arap Moi, amefariki dunia akiwa na miaka 95, rais Uhuru Kenyatta athibitisha. “Kwa masikitiko makubwa...
READ MOREDkt. Hassan Abbasi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ataendelea kutumikia cheo chake cha awali cha Msemaji...
READ MORESERIKALI imesema, Kanisa la Inuka Uangaze la Mchungaji Boniface Mwamposa, lina jukumu la kugharamia msiba wa watu 20 waliofariki...
READ MOREKWA mara nyingine, Jumanne Kishimba, Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), amesisitiza umuhimu wa kilimo cha bangi na kushauri serikali iruhusu...
READ MORECHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwandikia barua Rais John Pombe Magufuli, kikimtaka kuunda tume ya mardhiano, ili kuliondoa...
READ MOREMkuu wa Wilaya ya Hai, Ole Sabaya amewataka viongozi wa dini kabla ya kuwanyooshea vidole viongozi wa kisiasa ni vyema...
READ MORETAHARUKI imeendelea kutikisa katika mitandao ya kijamii na kwa mashabiki wa muziki wa singeli baada ya jana kusambaa kwa taarifa...
READ MOREMIILI ya watu 20 waliofariki kwa ajali ya kukanyagana juzi Jumamosi, Februari 1, 2020 katika Uwanja wa Majengo Moshi mkoani...
READ MOREMAOFISA wa afya wamethibitishwa kuwa mtu mmoja amefariki kutokana na virusi vya Corona nchini Ufilipino. Kwa mujibu wa mwakilishi wa...
READ MOREPOLISI watatu mkoani Njombe wanasadikiwa kuwa wamefariki dunia baada ya ajali iliyohusisha basi la kampuni ya Shalomu na gari la...
READ MOREKutokana na kuwepo kwa upungufu wa pembejeo nchini, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kuhakikisha pembejeo zinapatikana kwa wingi...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 03 Febuari, 2020 anawaapisha viongozi wateule wafuatao...
READ MOREKUFUATIA Jeshi la Polisi nchini kumkamatwa Mtume na Nabii Boniface Mwamposa, kwa kusababisha vifo vya watu 20 waliokanyagwa katika kongamano...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amesema miili ya watu 20 waliofariki kwenye kongamano la Mtume na Nabii Mwamposa,...
READ MOREBENKI ya NMB mwaka jana imetoa zaidi ya dhamana 500 kwa wakandarasi wazawa ili kuwawezesha kugharimia miradi mbalimbali ya ...
READ MOREKERO ya kusomea katika mazingira yasio mazuri kwa wanafunzi zaidi ya 350, wakiwemo wasichana 169 wa kitongoji cha Misuna, kijiji...
READ MORENAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni, amefika ofisi za makao makuu ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
READ MOREMbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Suleimani Jafo kwa kazi nzuri...
READ MORENAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, Ramadhan Kailima, amewasili makao makuu ya Taasisi ya Kupambana na Kupiga Vita...
READ MOREOFISI ya Taifa ya Mashtaka nchini kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kilimanjaro...
READ MORESPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amesema kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump, kwa...
READ MORERAIS John Magufuli leo Januari 31 Januari, 2020, amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni,...
READ MOREJEFF Bezos, Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Amazon amekuwa tajiri mkubwa Duniani baada ya kumpita Bill Gates. Jeff Bezos...
READ MOREKAKA wa rapa Nicki Minaj, Jelani Maraj, anaweza kwenda jela miaka 25 au maisha kutokana na tuhuma za ubakaji za...
READ MOREKIPA namba tatu wa Yanga Ramadhani kabwili ameondolewa kwenye kambi ya timu hiyo baada ya kupata taarifa za mama yake...
READ MOREWATU wanne wakazi wa Kitongoji cha Kamlale Kijiji cha Kibwela Kata ya Nyawilimilwa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, wamelazwa katika...
READ MOREALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, leo Januari 31, 2020, amehojiwa kwa zaidi ya saa tano...
READ MOREMAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) leo Januari 31, 2019 inazindua tuzo zake ziitwazo ICT Awards katika Chuo Kikuu cha Dar...
READ MOREALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Balozi Mteule, Meja Jenerali Jacob Kingu, naye amefika katika ofisi za...
READ MORE