FAMILIA ya marehemu Rashid Mfaume Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha kaka yao mkubwa, Alhaji Mfaume Rashid Kawawa, kilichotokea leo Jumatatu,...
READ MOREMWANAFUNZI wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kericho nchini Kenya amejisalimisha kwenye kituo cha polisi mara baada ya kumchoma...
READ MOREJESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Manyara kwa siku ya tano sasa bado linaendelea kumtafuta mtoto Salimu Muhazar (12) aliyekuwa...
READ MOREIKIWA ni siku mbili baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kuenguliwa kwenye wadhifa wake...
READ MOREMAMA mzazi wa mama Salma Kikwete amefariki dunia leo Ijumaa, Januari 24, 2020, baada ya kuugua kwa muda. Taarifa...
READ MOREMAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miezi sita bila faini washtakiwa 22 raia wa Tanzania baada ya kukutwa...
READ MOREALIYEWAHI kuwa Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2000 hadi 2014 na baadaye kuacha siasa na kujiunga na Chuo...
READ MORERAIS John Magufuli ameagiza makontena ya makinikia yaliyokamatwa yauzwe kwa wateja na faida iende kwenye kampuni mpya ya Twiga, inayomilikiwa...
READ MORERais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 24, 2020 amekutana na viongozi...
READ MOREPOLISI mkoani Kilimanjaro jana Alhamisi, Januari 23, 2020, ilisema imebaini kuwa hakuna miundombinu ya reli iliyoharibiwa au kuhujumiwa katika eneo...
READ MOREKESI namba 141-2019 inayomkabili mwalimu Focus Mbilinyi anayetuhumiwa kumvunja uti wa mgongo aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Madeke...
READ MOREIKIWA ni muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kusema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola...
READ MOREKASHFA ya mkataba wa kifisadi iliyomkumba Kangi Lugola, imesababisha kujiuzulu kwenye nafasi ya uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi....
READ MORERAIS John Magufuli amesema Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, amemwandikia barua ya kujiuzulu nafasi...
READ MOREMKURUGENZI wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Emmanuel Buhohela amesema kuwa hadi sasa...
READ MORERais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 anafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga jijini...
READ MOREMWANAFUNZI wa mwaka wa pili anayesomea Shahada ya Sayansi ya Asili (Natural Science) katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Mugaya Tungu, ...
READ MOREMCHUNGAJI Japhes Manwa wa Kanisa la Pentekoste Wilayani Kibaha, anatuhumiwa kumchoma moto mikononi na mgongoni mwanaye wa miaka saba ambaye...
READ MOREIMANI za kishirikina zimetawala tukio la mwanafunzi wa darasa la pili, Celina Fosi, aliyetoweka kwa siku sita na baadaye mwili...
READ MOREBaraza la Seneti nchini Marekani limepiga kura kwa misingi ya chama na kuidhinisha sheria zitakazotumika katika kesi ya kumuondoa madarakani...
READ MOREMAPEMA leo Jumatano, Januari 22, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya wafanyabiashara wa maeneo...
READ MOREChama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Arusha kupiti kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa, Ema Kimambo...
READ MOREHAYA ni Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es Salaam. ...
READ MOREShilingi Bilioni 23.5 zinaokolewa kila mwaka baada ya Serikali kupitia Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuzima mitambo ya kuzalisha umeme...
READ MORECHUO Kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es Salaam (TUDARCo) kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya...
READ MORESHUGHULI zilisimama kwa muda katika Mahakama Kuu mjini Mbale nchini Uganda baada ya mtuhumiwa kuanguka na kufariki dunia. Simon...
READ MOREMKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amesema tayari wamiliki wa mabasi wanaotuhumiwa kuhujumu miundombinu ya reli wameripoti kituo...
READ MORETUME ya Vyuo Vikuu (TCU) imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu...
READ MOREFUNDI makenika wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Cathbert Mwangalaba (47) ameuawa kwa kukatwa mwili wake na kiwiliwili...
READ MOREMBUNGE wa jimbo la Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya, wamejitetea kutofutiwa dhamana yao katika Mahakama...
READ MOREOFISA Msajili Msaidizi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida), mkoani Shinyanga, Haruna Mushi, na wakala wa usajili laini za...
READ MORESERIKALI ya Tanzania imesema ina mpango wa kujenga Hospitali ya Kanda ya Ziwa wilayani Chato mkoani Geita itakayohudumia wakazi wote...
READ MORERais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 5 wa bodi za taasisi...
READ MORE“JPM (RAIS Dk John Pombe Magufuli), okoa jahazi, laini zetu zipone!” Hayo ni maneno ya baadhi ya wamiliki wa laini...
READ MOREWADHAMINI wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, wameieleza Mahakama...
READ MOREBaraza la Halmashauri ya Kigoma Ujiji linaloongozwa na Chama Cha ACT Wazalendo chini ya kiongozi wao Mkuu, Zitto Kabwe,...
READ MOREMKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Elisha Mghwira ameeleza kushtushwa na kundi kubwa la watu kujitokeza kuomba umiliki wa...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amesema wananchi wa mkoa huo ambao hadi jana Jumapili Januari 19,...
READ MORERais Mstaafu wa awamu ya 4, Jakaya Kikwete hii leo amekamilisha usajili wa laini zake za simu kwa njia...
READ MOREMSHTAKIWA mmoja katika kesi ya mauaji ya Mwanaharakati wa kupambana na mauaji ya Tembo, Wayne Lotter amezimia mahakamani huku mwenzake...
READ MORE