×

Kitaifa

Tanzia: Mtoto wa Mzee Kawawa Afariki Dunia

FAMILIA ya marehemu Rashid Mfaume Kawawa inasikitika kutangaza kifo cha kaka yao mkubwa, Alhaji Mfaume Rashid Kawawa, kilichotokea leo Jumatatu,...

READ MORE

Kijana Ajisalimisha Polisi Baada ya Kumuua Baba’ke

MWANAFUNZI wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kericho nchini Kenya amejisalimisha kwenye kituo cha polisi mara baada ya kumchoma...

READ MORE

Mtoto Aliyesombwa na Mafuriko, Siku ya 5 Hajapatikana

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Manyara kwa siku ya tano sasa bado linaendelea kumtafuta mtoto Salimu Muhazar (12) aliyekuwa...

READ MORE

Lugola: ‘Siwezi Kurudia’

IKIWA ni siku mbili baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, kuenguliwa kwenye wadhifa wake...

READ MORE

Tanzia: Mama Salma Kikwete Afiwa na Mama Yake Mzazi

  MAMA mzazi wa mama Salma Kikwete amefariki dunia leo Ijumaa, Januari 24, 2020, baada ya kuugua kwa muda. Taarifa...

READ MORE

Wabongo Waliozamia Sauzi Kinyemela Wahukumiwa Jela – Video

MAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kwenda jela miezi sita bila faini washtakiwa 22 raia wa Tanzania baada ya kukutwa...

READ MORE

Kesi ya Mbowe: “Polisi Walinichukulia Sh 12,500, Nikabakiwa na Sh 200”

ALIYEWAHI kuwa Mwanachama wa chama cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2000 hadi 2014 na baadaye kuacha siasa na kujiunga na Chuo...

READ MORE

JPM Aagiza Makontena ya Makinikia Wapewe Twiga – Video

RAIS  John Magufuli ameagiza makontena ya makinikia yaliyokamatwa yauzwe kwa wateja na faida iende kwenye kampuni mpya ya Twiga, inayomilikiwa...

READ MORE

Rais JPM: Chama Kisikufatefate, Wewe Nani? Ondoka – Video

Rais na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Januari 24, 2020 amekutana na viongozi...

READ MORE

Polisi: Wafanyabiashara wa Mabasi Hawajahujumu Reli – Video

POLISI mkoani Kilimanjaro jana Alhamisi, Januari 23, 2020, ilisema imebaini kuwa hakuna miundombinu ya reli iliyoharibiwa au kuhujumiwa katika eneo...

READ MORE

Mwalimu Aliyemvunja Mgongo Mwanafunzi kwa Kukosa Hesabu

  KESI namba 141-2019 inayomkabili mwalimu Focus Mbilinyi anayetuhumiwa kumvunja uti wa mgongo aliyekuwa mwanafunzi wa shule ya msingi Madeke...

READ MORE

Kauli Kangi Lugola Baada ya Kutumbuliwa

IKIWA ni muda mfupi baada ya Rais John Magufuli kusema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola...

READ MORE

Kashfa ya Trilioni 1, JPM Amng’oa Waziri Lugola – Video

KASHFA ya mkataba wa kifisadi iliyomkumba Kangi Lugola, imesababisha kujiuzulu kwenye nafasi ya uwaziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi....

READ MORE

Breaking: Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani Ajiuzulu – Video

RAIS  John  Magufuli  amesema Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu, amemwandikia barua ya kujiuzulu nafasi...

READ MORE

Serikali: Hatujapokea Waraka wa Marekani Kuiwekea Vikwazo TZ

MKURUGENZI wa Mawasiliano wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Emmanuel Buhohela amesema kuwa hadi sasa...

READ MORE

#Live: Rais JPM Azindua Nyumba za Askari Magereza Ukonga

Rais Dkt. John Magufuli leo Januari 23, 2020 anafungua majengo ya makazi ya Askari Magereza wa Gereza la Ukonga jijini...

READ MORE

Mwanafunzi Anayedaiwa Kuanika Tatizo la Maji UDOM Akamatwa

MWANAFUNZI wa mwaka wa pili anayesomea Shahada ya Sayansi ya Asili (Natural Science) katika Chuo Kikuu Dodoma (UDOM), Mugaya Tungu, ...

READ MORE

Mchungaji Kortini kwa Kumchoma Moto Mwanaye

MCHUNGAJI Japhes Manwa wa Kanisa la Pentekoste Wilayani Kibaha, anatuhumiwa kumchoma moto mikononi na mgongoni mwanaye wa miaka saba ambaye...

READ MORE

Mtoto Auawa, Akatwa Nyeti, Kitovu, Unyayo na Achunwa Kichwa

IMANI za kishirikina zimetawala tukio la mwanafunzi wa darasa la pili, Celina Fosi,  aliyetoweka kwa siku sita na baadaye mwili...

READ MORE

Marekani Yaidhinisha mpango wa kumuondoa madarakani Rais Trump.

Baraza la Seneti nchini Marekani limepiga kura kwa misingi ya chama na kuidhinisha sheria zitakazotumika katika kesi ya kumuondoa madarakani...

READ MORE

Betika Latua kwa Wafanyabiashara wa Mbezi, Kimara Dar

MAPEMA leo Jumatano, Januari 22, mwaka huu timu ya maofisa masoko ya Global Publishershers imetembelea maeneo ya wafanyabiashara wa maeneo...

READ MORE

CHADEMA Wajilipua Mikutano Kila Kona ”Rais Alisema Ruksa 2020”

Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Mkoa wa Arusha kupiti kwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (BAVICHA) Mkoa, Ema Kimambo...

READ MORE

Ujenzi wa Barabara za Juu ‘Ubungo Interchange’

HAYA ni Maendeleo ya Ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es Salaam.  ...

READ MORE

Tanesco Yaokoa Bilioni 23.5

Shilingi Bilioni 23.5 zinaokolewa kila mwaka baada ya Serikali kupitia Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kuzima mitambo ya kuzalisha umeme...

READ MORE

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar Chaanzisha Masomo ya Masters

 CHUO Kikuu cha Tumaini Tawi la Dar es Salaam (TUDARCo) kinachomilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya...

READ MORE

Mshitakiwa Afariki Mahakamani

SHUGHULI zilisimama kwa muda katika Mahakama Kuu mjini Mbale nchini Uganda baada ya mtuhumiwa kuanguka na kufariki dunia.   Simon...

READ MORE

Wamiliki Mabasi Wanaotuhumiwa Kuhujumu Reli Wajisalimisha Polisi

MKUU wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, amesema tayari wamiliki wa mabasi wanaotuhumiwa kuhujumu miundombinu ya reli wameripoti kituo...

READ MORE

TCU Yavifutia Usajili Vyuo 9 Tanzania

TUME ya Vyuo Vikuu (TCU) imefuta hati za usajili wa vyuo vikuu vishiriki vitano, vyuo vikuu vitatu na chuo kikuu...

READ MORE

Amkata Kichwa Bosi Wake Kisa Kutomlipa Mishahara

FUNDI makenika wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Cathbert Mwangalaba (47) ameuawa kwa kukatwa mwili wake na kiwiliwili...

READ MORE

Mdee, Bulaya Matatani kwa Kukiuka Masharti ya Mahakama

MBUNGE wa jimbo la Kawe, Halima Mdee na Mbunge wa Bunda Mjini, Esther Bulaya,  wamejitetea kutofutiwa dhamana yao katika Mahakama...

READ MORE

Ofisa NIDA Mbaroni Kuwatoza Wananchi Sh 30,000

OFISA  Msajili Msaidizi wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida),  mkoani Shinyanga, Haruna Mushi,  na wakala wa usajili laini za...

READ MORE

Hospitali Kubwa Kanda ya Ziwa Kujengwa Chato

SERIKALI  ya Tanzania imesema ina mpango wa kujenga Hospitali ya Kanda ya Ziwa wilayani Chato mkoani Geita itakayohudumia wakazi wote...

READ MORE

Rais Magufuli Ampa Tena Shavu Mrema – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wenyeviti 5 wa bodi za taasisi...

READ MORE

Lala Salama ya Usajili wa Laini, Macho yote kwa JPM

“JPM (RAIS Dk John Pombe Magufuli), okoa jahazi, laini zetu zipone!” Hayo ni maneno ya baadhi ya wamiliki wa laini...

READ MORE

Wadhamini Wamuomba Mbowe Amlete Lissu Mahakamani

WADHAMINI wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, wameieleza Mahakama...

READ MORE

Zitto ‘Awanyima’ Posho Wenyeviti Wote Serikali za Mtaa “Ni Batili”

  Baraza la Halmashauri ya Kigoma Ujiji linaloongozwa na Chama Cha ACT Wazalendo chini ya kiongozi wao Mkuu, Zitto Kabwe,...

READ MORE

RC Mghwira Ashtushwa Wingi wa Viongozi wa Dini Kuomba Kumiliki Silaha

MKUU wa mkoa wa Kilimanjaro, Dkt Anna Elisha Mghwira ameeleza kushtushwa na kundi kubwa la watu kujitokeza kuomba umiliki wa...

READ MORE

Makonda: Wasio na Kitambulisho cha NIDA, Namba ni Wambea

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amesema wananchi wa mkoa huo ambao hadi jana Jumapili Januari 19,...

READ MORE

JK: Nimeitikia Wito wa Rais Magufuli

  Rais Mstaafu wa awamu ya 4, Jakaya Kikwete hii leo amekamilisha usajili wa laini zake za simu kwa njia...

READ MORE

Mtuhumiwa Mauaji ya Mwanaharakati wa Tembo Aanguka Mahakamani – Video

MSHTAKIWA mmoja katika kesi ya mauaji ya Mwanaharakati wa kupambana na mauaji ya Tembo, Wayne Lotter amezimia mahakamani huku mwenzake...

READ MORE