×

Kitaifa

SportPesa Yaendelea Kumwaga Zawadi

KAMPUNI ya SportPesa kwa kushirikiana na Kampuni ya Mtandao wa Simu za mkononi Tanzania, Tigo wanatoa zawadi za simu aina...

READ MORE

Kilichotokea Mahakamani Kesi ya ‘Mpemba wa Magufuli’

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mfanyabiashara Yusufu Ali maarufu ‘Mpemba wa Magufuli’ na wenzake...

READ MORE

Airtel Yaja na Huduma ya Tuma na ya Kutolea

    Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua huduma ambayo ni suluhisho kwa wateja wa Airtel...

READ MORE

JPM Aamsha Balaa kwa Mkurugenzi Nachingwea – Video

RAIS John  Magufuli ameendelea na ziara yake mkoani Lindi ambapo leo Jumatano, Oktoba 16, 2019, amefika katika Wilaya ya Nachingwea...

READ MORE

Makonda Amtaka Mkandarasi Akabidhi Jengo la Hospitali – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda leo Oktoba 16 ametembelea na kukagua ujenzi wa jengo la ghorofa...

READ MORE

Kesi ya Vigogo Chadema, Wakili wa Serikali Acharuka

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku moja kwa mawakili wa pande zote mbili katika kesi inayowakabili vigogo wa Chama...

READ MORE

Prof. Ndalichako Akerwa Usimamizi Mbovu Elimu Buhigwe

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako ameonyesha kukerwa na usimamizi mbovu wa miradi ya elimu katika Halmashauri...

READ MORE

Lissu Asisitiza Kugombea Urais

MWANASHERIA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesisitiza nia yake ya kugombea urais, iwapo atapata wito kutoka...

READ MORE

NBC Yatoa Elimu ya Bima Ikiadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja

  BENKI ya NBC imeendelea kuadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja kwa kufanya matukio sehemu mbalimbali nchini na hapo jijini...

READ MORE

HESLB Kuanika Majina ya Wanafunzi Watakaopata Mikopo 2019

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema itatangaza orodha ya kwanza ya majina ya wanafunzi walioomba...

READ MORE

Wanafunzi Vinara na Shule Zilizoongoza Matokeo Darasa la 7

Shule 10 Bora Kitaifa Katika matokeo ya Darasa la Saba 2019 ni Graiyaki (Mara), Twibhoki (Mara),KemeBos (Kagera), Little Treasures (Shinyanga),...

READ MORE

Dar es Salaam Kinara wa Matokeo ya Darasa la Saba 2019

Mkoa wa Dar es Salaam umeshika nafasi ya kwanza kwa ufaulu wa mitihani ya Taifa ya Darasa la Saba mwaka...

READ MORE

JPM Ammwagia Sifa Nape “Ningempa Binti Yangu” – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye kwa kazi nzuri anayoifanya...

READ MORE

Mbowe: Hatutasusia Uchaguzi – Video

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hawatasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 na kuwataka viongozi, wanachama...

READ MORE

Alichonga Fimbo ya Nyerere, Sasa Achonga ya JPM

MCHONGA vinyago, Mzee Omary Mwariko aliyechonga kifimbo alichokuwa anakishika Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere ameandaa kifimbo kingine kwa lengo...

READ MORE

Mapya Kigogo Polisi Aliyehukumiwa Kunyongwa!

DAR ES SALAAM: HII ni habari njema! Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Naemi Sillayo...

READ MORE

Umejiandikisha Kuchagua Viongozi? Soma Hapa…

                Leo Jumatatu, mwandishi wetu alizunguka mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es...

READ MORE

Maafa Tanga: Watoto 5 Wafariki kwa Mafuriko

WATOTO watano wamekufa maji kutokana na mafuriko wilayani Korogwe mkoani Tanga na kufikisha idadi ya waliofariki kufikia 12 mkoani hapa...

READ MORE

Marekani: Dreamliner Mpya ya ATCL Hiyooo!

NDEGE mpya ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) aina ya Boeing 787-8 5H-TCJ Dreamliner ipo katika hatua za mwisho...

READ MORE

Makonda Afurahishwa na Kasi ya Ujenzi wa Machinjio

TANGU Rais Dkt John Pombe Magufuli, alipotembelea ujenzi wa Machinjio ya Vingunguti hivi karibuni na kuangiza ujenzi huo uwe umekamilika...

READ MORE

Waziri Kairuki  Azindua  DVD za Nyimbo za Kwaya ya  Gethmane

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji, Angella Kairuki ameipongeza Kwaya ya Gethmane ya Kanisa Wasaabato Mtaa wa...

READ MORE

Jafo Aongeza Siku 3 Uandikishaji Daftari la Wapiga Kura

WAZIRI wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Selemani Jafo ameongeza siku tatu kwa wananchi...

READ MORE

Ulinzi Madawa ya Kulevya Usipime

“OOOH! Haya madawa ya kulevya wanayokamatwa nayo watu, kesi zao zikimalizika ndipo wajanja serikalini wanayauza na kujipatia fedha.” Nani anakuambia...

READ MORE

NBC yatoa wito kwa wazazi kuwafungulia watoto wao Chanua Akaunti ya NBC

    BENKI ya Taifa ya Biashara (NBC), imetoa wito kwa wazazi kote nchini kufungua akaunti maalumu ya watoto ya...

READ MORE

JPM, Mkewe Wajiandikisha Kupiga Kura Dodoma – Video

RAIS  John  Magufuli  na mkewe,  Janeth Magufuli, wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura kwa uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika...

READ MORE

JPM Kuwawajibisha Wasiohamasisha Kujiandikisha

RAIS John Magufuli, amesema kuwa hatasita kuwachukulia hatua viongozi wa mikoa na wilaya ambao watashindwa kuwahamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari...

READ MORE

Kabendera Ataka Kuongea na DPP

WAKILI Jebra Kambole anayemtetea mwandishi wa habari nchini Tanzania, Erick Kabendera katika kesi namba 75/2019, jana ameieleza Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Mbaroni Kujiandikisha Zaidi ya Mara Moja

WATU wanne wanashikiliwa na polisi wakituhumiwa kuvuruga uandikishaji wa wapiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24,...

READ MORE

TCRA Yawanasa Wanaodaiwa Kuiba Mamilioni Benki – Video

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewafikisha mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu watu sita wakikabiliwa na mashtaka nane ikiwemo la kuisababishia...

READ MORE

Aveva, Kaburu Wampigia Magoti DPP

Mapema leo Ijumaa, Oktoba 11, 2019, katila Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kupitia kwa wakili wa Serikali Wankyo Simon ameieleza...

READ MORE

NMB YAKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO TIMU ZA JWTZ

    BENKI ya NMB imekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikiwa ni udhamini...

READ MORE

Mahakama Yaendelea Kusikiliza Mashauri kwa ‘Video Conference’

Naibu Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Amir Msumi (katikati) akifuatilia kesi kwa njia ya mtandao ‘Video Conference’ katika ukumbi...

READ MORE

Makamu wa Rais Ashtukiza Hospitali ya Mkoa Dodoma

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,amemuagiza Meneja Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimali za...

READ MORE

Taarifa ya HESLB Kuhusu Wanafunzi Waliokosea Kuomba Mikopo

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu-HESLB  imetoa taarifa mpya kwa wanafunzi waliokosea wakati wa kufanya maombi ya Mikopo yao...

READ MORE

JPM: Ningetaka Utajiri Ningekuwa Bilionea – Video

Rais Dkt John Magufuli, leo Oktoba 10, 2019 anaendelea na ziara yake mkoani Katavi ambapo ameweka jiwe la msingi katika...

READ MORE

PM Majaliwa Ahitimisha Mbio za Mwenge Ruangwa

MWENGE wa Uhuru uliokuwa unakimbizwa wilayani Ruangwa, mkoani Lindi umemaliza mbio zake na kukabidhiwa wilayani Nachingwea.   Kiongozi wa mbio...

READ MORE

Mwalimu Mtuhumiwa Kumpa Mimba Denti Aachiwa Tena

MAHAKAMA ya Hakimu Kazi Mkoa wa Kigoma, imemwachilia huru kwa mara nyingine Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantore, katika...

READ MORE

Rugemalira, Singasinga Watubu kwa DPP, Huenda Wakaachiwa

WAFANYABIASHARA James Rugemalira na Habinder Sethi ‘Singasinga’ ambao pia ni wamiliki wa kampuni ya kufua Umeme ya IPTL, wamedaiwa kuandika...

READ MORE

Lissu Amaliza Matibabu, Asitisha Kurejea Tanzania – Video

ALIYEKUWA Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA) na Mnadhimu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Tundu Lissu, ambaye alinusurika kuuawa miaka...

READ MORE