Benki ya NMB imeanza mwaka kwa kusambaza upendo kupitia kampeni ya #MastaBataKoteKote kwa kumzawadia mshindi wa pikipiki mpya aina...
READ MOREKampuni ya Mawasiliano nchini ya Halotel Tanzania PLC leo imekabidhi zawadi kwa mshindi mkuu aliyejishindia gari aina ya IST...
READ MOREBenki ya NMB imetoa msaada wa vifaa vya tiba mbalimbali kwa Hospitali ya Wilaya ya Micheweni Pemba ikiwa ni utekelezaji...
READ MOREKatika kuunga mkono juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuhudumia wananchi, Wafanyakazi wa benki ya NMB kutoka matawi...
READ MOREKutoka katika Mahakama ya Hakimu mkazi kisutu ni kwamba Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya JATU PLC, Peter Gasaya amefikishwa katika...
READ MOREBARAZA la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA-CCC) limesema litaendelea kuhakikisha ya kwamba watumiaji wa...
READ MOREMkurugenzi Mtendaji, Eric Shigongo,Uongozi na Wafanyakazi wa Global Groups wanawatakia wasomaji wetu kote nchini na nje ya Tanzania Krismasi Njema,...
READ MOREPress 22 Desemba 2022 Makosa ya KImtandao(1) KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 11 MAKOSA YA KIMTANDAO Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya...
READ MORESerikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa zaidi ya shilingi bilioni saba kuwezesha ujenzi wa majengo mapya ya...
READ MOREWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amekemea vikali udanyanyifu wa mitihani unaofanywa na baadhi ya watumishi wa...
READ MOREWaziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea na kujionea maeneo ambayo bado hayajakamilika wakati alipokagua ujenzi wa Kituo cha Afya...
READ MOREMkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Benki ya Absa Tanzania, George Binde ( kushoto) akikabidhi madawati 37 yenye...
READ MOREMKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amesema uwekezaji kwenye eneo la viwanda uliofanywa na Mfuko wa Hifadhi...
READ MOREZama mpya ya huduma za kibenki imejili nchini baada ya Benki ya NMB kuzindua suluhisho la kisasa ‘NMB Pesa Akaunti’...
READ MOREKuanzia sasa serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe...
READ MOREKampeni ya NMB MastaBata ‘Kote Kote,’ inayoendeshwa na Benki ya NMB, imezidi kupasua anga baada ya zawadi zenye thamani...
READ MOREKatika juhudi zake za kusaidia sekta ya elimu hapa nchini, Kampuni ya Halotel imekuja na ubunifu mwingine katika kutoa...
READ MORE· WIZARA ya Ujenzi na Uchukuzi imeahidi kuzifanyia kazi changamoto mbalimbali zinazokikabili Chuo cha bahari Dar es Salaam (DMI)....
READ MOREWAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amelipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) kwa kufanikiwa...
READ MOREWizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema haina sababu ya kuagiza Vishikwambi kutoka nje ya nchi itaunga mkono jitihada...
READ MOREMWENYEKITI wa CCM Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan amepata kura 1914 huku akipata kura moja ya hapana. Kwa Makamu Mwenyekiti...
READ MORECHUO cha Bahari Dar es Salaam, (DMI), kimeomba serikali ikipatie meli ya mafunzo kwaajili ya kuwaongezea ujuzi wahimu wa...
READ MOREWAKUFUNZI 54 wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU), wamepata ufadhili wa kusoma Shahada za Uzamili kupitia mradi unaolenga kufanya tafiti kutatua...
READ MOREMAMLAKA ya Usimamizi wa Bima nchini Tanzania (TIRA), imeipongeza Kampuni Tanzu ya Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL Corporation) T-Pesa kwa...
READ MORESerikali imeweka bayana dhaira yake ya kuchukua hatua kali za uwajibikaji kwa Maafisa Elimu wa Mikoa, Wilaya, Walimu na...
READ MOREWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene amesema fedha zilizokuwa zimetengwa na...
READ MOREBenki ya NMB imetangazwa kuwa Mwajiri bora wa mwaka 2022 katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na Chama cha...
READ MOREMTANDAO wa Elimu Tanzania (TEN/MET), umetoa changamoto kwa wadau wa elimu nchini kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha mabadiliko ya...
READ MOREKampuni ya Northrop Grumman Corp imezindua ndege yake mpya ya ufyatuzi wa mabomu aina ya B-21 “Raider” aina ya jet,...
READ MORECHUO Kikuu cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), kimeiomba serikali kuendelea kuongeza mikopo na ufadhili kwa wanafunzi wa fani...
READ MOREAliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki...
READ MOREShirika la Social Action Trust Fund ( SATF ) ambalo limekuwa likitoa msaada kwa Watoto wenye uhitaji kufikia malengo yao...
READ MOREMFUKO wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umetwaa Tuzo ya Umahiri katika Uwasilishaji wa Taarifa...
READ MOREKatika kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani leo tarehe 1 Disemba 2022 Kampuni ya Barron ambao ni wazalishaji na wauzaji wa...
READ MOREChama cha Mapinduzi (CCM), kimesikitishwa na kulaani kitendo cha udhalilishaji na ukiukaji wa haki ya msingi ya Mtanzania kuwa huru...
READ MORELICHA ya kufanikiwa kufunga mabao saba katika michezo mitatu iliyopita ya ligi, staa wa Yanga, Fiston Mayele amesema kuwa bado...
READ MORESPIKA Mstaafu ambaye ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Hubert Kairuki (HKMU), Anne Makinda anatarajiwa kuwatunuku wahitimu 291 wa...
READ MORE