×

Kitaifa

RIDHIWANI AWABEBA WAZEE NA WENYE ULEMAVU, CHALINZE

  Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mh.Ridhiwani Kikwete akimkabidhi msaada wa Baiskeli ya Miguu mitatu (Wheel Chair),Mkazi wa Zomozi-Ubena Mzee Cosmas...

READ MORE

TANZIA: Waziri Afariki Dunia Zanzibar

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo na Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ali Juma Shamhuna amefariki dunia...

READ MORE

NMB YAFUTURISHA WATEJA WAKE MKOANI TANGA

  BENKI ya NMB imeombwa kuangalia uwezekano wakuongeza matawi ya vituo vya kutolea fedha ATM ili kuhakikisha inasogeza huduma zake...

READ MORE

SERIKALI YAIPONGEZA DCB KWA UFANISI KATIKA MAUZO YA HISA ZAKE

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Ashatu Kijaji, ameipongeza benki ya biashara DCB kwa kufanikisha zoezi la uuzaji wa...

READ MORE

MAKONDA: “KWA HILI SIOMBI MSAMAHA”, ATAJA CHEO ANACHOKIPENDA – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda,  amesema hakuna jambo ambalo halipendi kama kusikia Mkristo akilalamika kwamba hakuna ajira, maisha...

READ MORE

Wananchi Tabora Waipongeza Serikali Kwa Kuwawezesha Kupitia MKURABITA

      Wananchi Wilayani Uyui mkoani Tabora Wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli...

READ MORE

Makonda Asimulia Alivyofukuzwa Nyumba ya Kupanga – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, amefunguka namna alivyofukuzwa kwenye nyumba ya kupanga, kisa hana pesa ya...

READ MORE

Membe Amjibu Rostam: Wewe ni Mwenzetu Sote Tumekatwa Mkia

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe, amemjibu mfanyabishara Rostam Aziz kuhusu suala...

READ MORE

MAMA AMPOTEZA MWANAYE MWAKA WA 20 SASA, ‘NISAIDIENI APATIKANE’

HII siyo filamu bali ni kweli, ule msemo wa ‘Uchungu wa mwana aujuaye ni mzazi’, unamaanisha kwa mama huyu aliyejitambulisha...

READ MORE

THE CAMPUS NIGHT LEO HAPATOSHI TANGANYIKA PACKERS

LILE Tamasha kubwa la vijana la Victory Campus Night 2019 linatarajiwa kuunguruma leo IJUMAA, MEI 17, 2019 katika Viwanja vya...

READ MORE

JPM Afanya Kikao Kizito Ikulu, Atumbua Wakurugenzi Wawili

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mbozi mkoani...

READ MORE

DREAMLINER Yapeleka Wapiganaji wa JWTZ Darfur – Video

MAOFISA na Askari wa Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ), wanaoshiriki Ulinzi wa Amani katika Jimbo la Darfur...

READ MORE

Mbunge Aliyetuhumiwa Kufumaniwa Abadili Jina

Mbunge wa Segerea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bonnah Kaluwa ametoa taarifa ya kubadilisha jina kufuatia kuingia kwenye mvutano wa...

READ MORE

Spika Ndugai Azungumzia Ofisi ya CAG: “Hakuna Anayebaki”

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameeleza amepokea taarifa ya kufanyiwa ukaguzi kwa ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu...

READ MORE

BREAKING: NDUGAI AMSIMAMISHA UBUNGE MASELE KWA UTOVU WA NIDHAMU – VIDEO

SPIKA Job Ndugai ametangaza kusitisha uwakilishi wa Mbunge Stephen Masele kwenye Bunge la Afrika (PAP) ambaye pia ni Makamu wa...

READ MORE

Hiki Ndicho Kilichoamriwa na Mahakama Kuhusu Mke wa Kisena wa UDART

Florencia Membe ambaye ni mke wa mkurugenzi wa mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Udart), Robert Kisena...

READ MORE

Basi, Hiace Yagongana Babati, Mwanafunzi Afariki

  KAMANDA wa Polisi Mkoani Manyara, Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali kati ya basi la Kampuni ya Mtei na...

READ MORE

MASHINDANO MAKUBWA YA QUR-AAN TUKUFU KUFANYIKA TAIFA

MASHINDANO makubwa ya Qur-aan Tukufu yanatarajia kufanyika Jumapili hii, Mei 19, mwaka huu katika Uwanja wa Taifa jijini hapa ambapo...

READ MORE

BREAKING NEWS: KISENA WA UDART AFUTIWA MASHTAKA

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisitu, chini ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba, leo Jumatano Mei 15, 2019 imewafutia mashtaka Mkurugenzi...

READ MORE

WATALII ZAIDI YA 340 WATUA NCHINI, NMB WATIA NENO

  KATIKA kuhakikisha hali ya uchumi inazidi kuimarika kupitia sekta ya utalii, Tanzania imepokea watalii Zaidi ya 340 kutoka nchini China...

READ MORE

Makonda Ashuhudia Mafuriko, Bil 200 Zapelekwa Mto Msimbazi

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda jana amefanya ziara ya ukaguzi wa athari za mafuriko ambapo amesema...

READ MORE

Breakin News: JPM Amtumbua RC Amos Makalla

Rais Magufuli amempandisha hadhi aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru, Juma Homera kuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi kuanzia  leo...

READ MORE

FUNDI WELDING ASEMA ALIMUONA MBOWE AKIONGOZA MAANDAMANO MKWAJUNI

SHAHIDI kesi ya uchochezi inayowakabili viongozi tisa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) upande  wa Jamhuri amesema kuwa alimuona...

READ MORE

BENKI YA DCB YAWASHUKURU WABUNGE, SPIKA KWA MAFANIKIO YA UUZWAJI WA HISA

  Benki ya Biashara ya DCB imetoa shukurani kwa waheshimiwa wabunge pamoja na mheshimiwa spika kwa kufanikisha zoezi la uuzwaji...

READ MORE

Kakolanya: Nakuja Simba, Manula jipange

ALIYEKUWA kipa wa Yanga, Beno Kakolanya amefunguka kwamba anatua Simba kwa msimu ujao huku akichimba biti kwa kipa mwenzake, Aishi...

READ MORE

MFALME AAMURU VIJANA WAOE WAKE WAWILI, UKIKAIDI UNAPELEKWA JELA

  Mfalme wa Eswatini, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza...

READ MORE

Tembo Kufungwa Mikanda ya GPS ya Sh. Mil. 800

  WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangallah jana amezindua mpango kuwafunga mikanda ya mawasiliano ya kijiographia (GPS) Tembo ...

READ MORE

NDUGAI AHOJI ‘KUTOSWA’ MRADI WA BANDARI BAGAMOYO

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, ameitaka serikali kueleza kwa nini ujenzi wa mradi wa bandari ya Bagamoyo mkoani...

READ MORE

UNAIBA VITI VYA KANISA? ‘SUKUMA NDANI WOTE HAWA’ – VIDEO

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri,  ameshangazwa na watuhumiwa wakiwemo vijana na akina mama waliokamatwa kwa wizi wa vitu...

READ MORE

Sakata la Kukutwa na Madawa: Shamim na Mumewe Wafikishwa Kortini

MFANYABIASHARA Abdul Nsembo ‘Abdukandida’ (45) na mkewe Shamim Mwasha (41) ambao ni wakazi wa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Licha ya Vifungu Kubatilishwa, Wakurugenzi Kuendelea Kusimamia Uchaguzi

SERIKALI imewasilisha notisi katika Mahakama ya Rufaa kupinga uamuzi ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kuhusu kesi ya...

READ MORE

Mwanza: Aliyekufa kwa ‘Kujirusha Ghorofani’, RPC Aanika Ukweli – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limekanusha taarifa ya mtu aliyedaiwa kufariki dunia kwa kujirusha kutoka kwenye ghorofa ya mwisho katika...

READ MORE

UDA-RT YASIMAMISHA HUDUMA YA MABASI MWENDOKASI

KAMPUNI ya UDART imesitisha huduma ya usafiri sehemu inayopitia eneo ya Jangwani na kwenda Morocco bonde la Mkwajuni kwa muda...

READ MORE

Askofu Nkwande Akemea Uchawi, Ushoga Na Utoaji Mimba

ASKOFU MKUU wa Jimbo Kuu la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande ameshutumu vikali uchawi, ushoga na utoaji wa mimba.   Ameyasema...

READ MORE

TRILIONI 1.2 ZA MENGI NGOMA NZITO JACK, WANAWE WAHURUMIWA

DAR ES SALAAM: UTAMADUNI wa kuandika wosia kwa Watanzania bado haujawaingia akilini watu wengi hivyo jambo hili linafikirisha pia juu...

READ MORE

Victory Campus Night 2019 Kutikisa Dar

 TAMASHA la Kimataifa Victory Campus Night 2019 kufanyika Dar, Ijumaa ijayo, Mei 17. Ni tamasha kubwa na la aina...

READ MORE

MWILI WA RCO ILALA WAZIKWA ARUSHA

MWILI wa aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa wa Kipolisi Ilala jijini Dar es Salaam, SSP Anael Mbise (48) umezikwa...

READ MORE

Taarifa ya TMA Kuhusu Mvua za Mfululizo Zinazoendelea Kunyesha

Taarifa kwa Umma kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), kuhusu mwenendo wa hali ya hewa hususan mvua za...

READ MORE