×

Kitaifa

Waziri Nape: Mtakuwa na Uwezo wa Kuiangalia Dunia Kutokea Msomera

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye, amesema, zoezi la kuboresha huduma za Mawasiliano katika makazi...

READ MORE

PSSSF Yaboresha Huduma Kwa Wastaafu, Yaja na Uhakiki Kwa Njia ya Bio-Metric

  KATIKA kuhakikisha Wastaafu wanapata huduma kwa haraka na kwa urahisi zaidi, Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa...

READ MORE

Kesi Waliyoifungua Akina Halima Mdee Kutolewa Uamuzi Julai 9

Mahakama Kuu imesikiliza sababu za Halima Mdee na wenzake 18 za kuomba ridhaa ya kufungua kesi kupinga kuvuliwa uanachama wa...

READ MORE

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Kitaifa wa Wafanyakazi Wenye Ulemavu

Sababu kuu tatu zimetajwa kuwa changamoto ya kuwakosesha ajira watu wenye ulemavu nchini licha ya kuwa wanakuwa na sifa zinazotastahili....

READ MORE

NBC Kuboresha Malipo na Makusanyo ya Serikali Zanzibar

  Jumanne, Juni 28, 2022, Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesaini Mkataba wa Maradhiano na Wakala wa Serikali Mtandao...

READ MORE

Balozi Mulamula Ataka Migogoro Katika Nchi za Jumuiya ya Madola Imalizwe

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa, licha ya wanachama wa Jumuiya...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCCM Daniel Chongolo Awasili Burundi Kwa Ziara ya Kikazi

  Katibu Mkuu ameongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdullah Juma Saadallah pamoja na Katibu wa NEC...

READ MORE

Watumishi TIC Watoa Msaada Kwa wagonjwa Ocean Road

Dar es Saalam. Katika kuendeleza utamaduni wa kujitoa kwa Jamii, Watumishi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), wametoa msaada wa...

READ MORE

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awasili Rwanda Kushiriki CHOGM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasili nchini Rwanda tarehe 22 Juni 2022...

READ MORE

Kongamano Uchumi wa Bluu Laibua Fursa Lukuki

  SERIKALI imesema inaweka mazingira mazuri kuhakikisha kipaumbele kwenye fursa zilizoko kwenye uchumi wa bluu kinakuwa kwa watanzania kabla ya...

READ MORE

Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Madola Kukutana Rwanda

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine, Katibu wa Baraza...

READ MORE

Serikali kukiwezesha Chuo cha Bahari Vifaa vya Kisasa na Majengo

  SERIKALI imeahidi kukiwezesha Chuo cha Bahari (DMI), cha jijini Dar es Salaam kwa miundombinu bora na vifaa vya kisasa...

READ MORE

DMI Yapigia Chapuo Mafunzo ya Ubaharia

  WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, leo anatarajiwa kufungua kongamano kubwa na la kwanza la uchumi wa...

READ MORE

Wizara ya Elimu Kupitia Mradi wa EASTRIP Yakipatia Chuo cha (NIT) Zaidi ya Bilioni 49

Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kupitia mradi wa EASTRIP imekipatia Chuo cha Usafirishaji (NIT) zaidi ya Shilingi bilioni 49...

READ MORE

TCB Yatangaza Kupata Faida ya Shilingi Bilioni 19.7

  Tanzania Commercial Bank TCB imetangaza kupata faida ya shilingi Bilioni 19.7 kwa mwakaulioishiaDesemba 31 2021 hatua inayotajwa kuwa ya...

READ MORE

RC Mtaka Apokea Vifaa vya Kuhifadhia Taka Vilivyotolewa na Benki ya NMB

  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka ameagiza Jiji la Dodoma kuharakisha sheria ndogo ndogo za mazingira ili kuweka...

READ MORE

NMB Yakabidhi Bilioni 30.7 Gawio Kwa Serikali

    Benki ya NMB leo wamekabidhi Sh. Bilioni 30.7 kwa Serikali huku Makamu wa Rais, Mhe.Dkt Philip Isdor Mpango...

READ MORE

NMB Kuzindua Kampeni ya “Nmb Teleza Kidigitali” Shinyanga

  BAADA ya kuchanja mbuga mtaa kwa mtaa katika Mkoa wa Dar es Salaam na Arusha, sasa Benki ya NMB...

READ MORE

Wanafunzi HKMU Watia Fora Kwa Tafiti za Afya

  WANAFUNZI  wa udaktari wa Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU), wamepongezwa na kuzawadiwa kutokana na kufanikiwa kufanya tafiti...

READ MORE

Dk. Mollel Apongeza Uwekezaji KHEN Sekta ya Afya

  SERIKALI imepongeza uwekezaji uliofanywa na Mtandao wa Elimu ya Afya Kairuki (KHEN), kwenye sekta ya elimu ya afya kwani...

READ MORE

Waziri Dkt. Gwajima Awataka Watoto Kufichua Vitendo Vya Kikatili

    WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, amewataka watoto kote nchini kufichua...

READ MORE

Serikali, Benki ya Dunia Yazindua Programu Kuimarisha   Ufundishaji Shule za Msingi

Serikali kwa ufadhili wa Benki ya Dunia imezindua Programu ya kuimarisha   ufundishaji na ujifunzaji katika shule za awali na msingi...

READ MORE

NMB yachangia Milioni 27/- Kutatua Changamoto Elimu na Afya Wilaya ya Ubungo

    Benki ya NMB imetoa vifaa mbalimbali vya afya na vya shule vyenye thamani ya Sh.milioni 27 kwa Hospitali...

READ MORE

Wafanyabiashara Tabora wapewa mchongo Exim

MKUU wa Mkoa wa Tabora Balozi Dk. Batilda Burian amewaomba wafanyabiashara mkoani humo kuhakikisha wanachangamkia vema uwepo wa taasisi za...

READ MORE

Wananchi Tabora Wachangamkia Vyeti vya Kuzaliwa vya Watoto

  Kabidhi Wasii Mkuu Bi. Angela Anatory ametembelea na kukagua vituo vya tiba vinavyotoa huduma ya mama na mtoto na...

READ MORE

Wanahisa Benki ya NMB Waidhinisha Gawio Bil. 96.7

  Wanahisa wa Benki ya NMB wameidhinisha gawio la Sh 96.7 bilioni kwa mwaka 2021, huku wakiwa na imani kubwa...

READ MORE

Viongozi wa Skauti Wakutana na Waziri wa Elimu, Kufanyika Mkutano Mkuu Julai

  Mkutano Mkuu wa SKAUTI umepangwa kufanyika tarehe 2 Julai 2022 Jijini Dodoma ukiwa na agenda kubwa ya uchaguzi Mkuu...

READ MORE

Wananchi Tabora Watakiwa Kusajili Watoto Wao ili Kupatiwa Vyeti vya Kuzaliwa

Wananchi wa Mkoa wa Tabora wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuwasajili watoto wao ili wapate vyeti vya kuzaliwa bila ya malipo...

READ MORE

Prof. Mbarawa Aruhusu Magari Kupita Barabara ya Juu Chang’ombe

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa ameruhusu kuanza kutumika kwa njia moja ya barabara ya Juu Chang’ombe ili...

READ MORE

Waziri Nape Apongeza Vodacom, TBL Katika Jitihada za Kuinua Kilimo

  SERIKALI inaunga mkono jitihada za Kampuni ya Vinywaji vikali ya TBL na Kampuni ya Mawasiliano ya simu za mikononi...

READ MORE

Meli Kubwa ya EGT Southern Cross Kubeba Makaa ya Mawe Kupitia Bandari ya Mtwara

  MELI ya MV. EGT Southern Cross inatarajia kusafirisha Tani 59960 za Makaa ya Mawe kwenda Amsterdam Uholanzi, hii ikiwa ni...

READ MORE

Tasisi ya Jessy Foundation Yatoa Msaada Kituo Cha Watoto Yatima

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Hidaya Mtaremwa mkazi wa kibada wilaya ya kigamboni Dar ea salaam amefunguka na kusema...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB Ashinda Tuzo ya Mtendaji Bora Barani Afrika 2022

Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna, mwishoni mwa wiki alitangazwa kuwa mshindi wa kipengele cha Afisa Mtendaji...

READ MORE

Nbc Yaandaa Chakula cha Jioni Kwa Ajili ya Wateja Wake,Wajadili Matarajio ya Mbele

BENKI ya NBC yaandaa Chakula cha Jioni kwaajili ya wateja wake katika hoteli ya Hyatt  Regancy  the Kilimanjaro jijini Dar...

READ MORE

Swissport Yatangaza Gawio Kwa Wanahisa Wake la Sh. 29.8

Kampuni ya usafirishaji wa mizigo ya swissport imetangaza gawio kwa wanahisa wake la Shilingi 29.8 kwa hisa kwa mwaka 2021...

READ MORE

NMB Yapiga Tafu Milioni 20 Kinara wa Ubunifu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

  Benki ya NMB imekabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 20 kwa kinara wa Ubunifu kutoka Chuo...

READ MORE

Canada Yaahidi Kushirikiana na Tanzania

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye amesema kuwa, licha ya Serikali kufanya kazi nzuri katika...

READ MORE