×

Kitaifa

Aweso Awasimamisha Kazi Wanne Bwawa la Milioni 600 Handeni

Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua...

READ MORE

Wamiliki wa Magari Sasa Kukata Bima Kupitia Nmb

Pata amani ya moyo ukiwa umebima gari lako kupitia Benki ya NMB.  Unaweza kupata mkopo wa bima na kuulipia...

READ MORE

Mtoto Auawa Kwa Kumwagiwa Maji ya Moto na Bibi Yake Lyabukande Wilaya ya Shinyanga

Mtoto aitwaye Joseph Juma mwenye umri wa miaka minne mkazi wa kijiji cha Lyabukande kata ya Lyabukande wilaya ya Shinyanga...

READ MORE

RC Tabora Kufungua Maadhimisho ya Elimu Igunga

MKUU wa Mkoa wa Tabora, Balozi Dkt. Batilda Burian anatarajiwa kufungua Maadhimisho ya wiki ya Elimu Aprili 25, 2022 Wilayani...

READ MORE

Mitihani ya Kitaifa Kusahihishwa Kidigitali

  Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda (Mb) leo Aprili 18 2022 amekagua na kuridhishwa na majaribio...

READ MORE

Mufti Wa Tanzania Ashiriki Iftari na Wateja wa Nmb

  Kwa kutambua thamani ya Wateja wao na umuhimu Mwezi wa Ramadhani, Benki ya NMB imeshiriki Futari na Wateja na...

READ MORE

Mbunge wa Buchosa Ashiriki Mazishi ya Maunda Zorro, Awapa Pole Familia – VIDEO

Maelfu ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamejitokeza kwa wingi katika kuusindikiza mwili wa aliyekuwa msanii hapa nchini...

READ MORE

Mfalme Wa Morocco Aridhia Kufunguliwa Mskiti wa Kisasa

    Mfalme wa Morocco Mtukufu Muhammed wa sita ameruhusu kufanyika ufunguzi mdogo wa msikiti wa Mohamed wa sita na...

READ MORE

Bima ya Mkono wa Pole ya NMB Inavyoleta Matumaini kwa Wanavikundi

 Mwanakikundi anaweza kuchangia kwanzia Sh.500 mpaka Sh.2,000 kila mwezi na kupata fidia pale janga la kifo litakapotea kwanzia Sh....

READ MORE

TCB Kuendelea kuwa Mdau wa Maendeleo  Nchini

  Tanzania Commercial Bank TCB) imesema itaendelea kuwa mdau mkubwa wa maendeleo  ili kuboresha uchumi wa Tanzania. TCB imeshirikia kikamilifu...

READ MORE

Waziri Mabula Ashangiliwa Baada ya Kumaliza Mgogoro Wa mda Mrefu Keko

Waziri wa ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ametoa onyo kwa wananchi na makampuni yanayovamia maeneo ya...

READ MORE

Tazama Wateja wa NBC Mkoa wa Dar Walivyoandaliwa Iftar

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Theobald Sabi amesema NBC inaendelea kukuza mshikamano na maelewano katika...

READ MORE

Uwajibikaji Kwa Jamii wa Benki ya NMB Yaendelea Kugusa Wengi

  Kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii (CSR), Benki ya NMB imetenga asilimia moja ya faida baada ya kodi...

READ MORE

Chongolo Amtembelea Masoud Kipanya, Ajionea Gari Lake..

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo, ametoa siku saba kwa Shirika la Viwango Tanzania (TBS),  kufika...

READ MORE

Nmb Yatia Mkono Ujenzi wa Mradi wa Reli ya SGR

  Kama ilivyokuwa katika miradi mbalimbali ya kimkakati, Benki ya NMB imeendelea kuwa mstari wa mbele kwenye kutoa ushirikiano kwa...

READ MORE

PM Majaliwa Azindua Teleza Kidigitali Ya NMB

BENKI ya NMB, imefanya mapinduzi makubwa ya kibenki ambapo imezindua huduma kubwa tatu kupitia kampeni yake ya Teleza Kidijitali zinazomwezesha mteja wa benki hiyo...

READ MORE

Tarura Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Faini za Wakwepa Kodi za Maegesho

Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unapenda kuwataarifu wananchi kuwa umeanza rasmi kutoza faini kwa watumiaji wa maegesho...

READ MORE

DC Jokate Azindua Tawi Jipya la Tcb, Atoa Mwelekeo wa Serikali

  Benki ya Taifa ya Biashara (TCB) imeongeza uwepo wake jijini Dar es Salaam kwa kufungua tawi la 12 katika...

READ MORE

NBC leo Yazindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’

Benki ya Taifa ya Biashara NBC leo imezindua Kampeni ya ‘Jaza Kibubu na NBC’  yenye lengo la kuweza kutoa elimu...

READ MORE

Msanii Bongo Muvi Afanyiwa Unyama, Vibaka Wamburuza na Bodaboda Barabarani

DOREEN Reguna almaarufu Queen Magali; ni mkongwe kwenye tasnia ya Bongo Muvi ambapo aliwahi kujizolea umaarufu na Kundi la Mishemishe...

READ MORE

Mbele ya Rais Samia, Nmb Yaeleza Ilivyomwaga Mabilioni Kwa Wakulima

  JUMLA ya Sh78.8 bilioni zimeshatolewa na benki ya NMB kwa wakulima kati ya Sh100 bilioni walizotengewa kwa ajili ya...

READ MORE

GGML yatoa Sh milioni 50 kwa Hospitali ya CCBRT

KAMPUNI ya AngloGold Ashati kupitia Mgodi wake wa dhahabu Geita (GGML) imetoa kiasi cha Sh milioni 50 kwa Hospitali ya...

READ MORE

Safari Kuelekea Mahakama Mtandao Yaongezwa Mwendo Kigoma

  Akizungumza hivi karibuni wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku (3) kuhusu mifumo ya uendeshaji wa mashauri kwa njia ya mtandao...

READ MORE

Mrema na Mkewe Waamsha Shangwe Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma, Rais Samia Atia Neno

WAKATI Rais Samia akiendelea kuhutubia Mkutano Mkuu Maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), ghafla shangwe ziliibuka kutoka kona zote za...

READ MORE

Marubani ATCL Wazuia Ndege Kupata Ajali Angani

Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi nchini Tanzania, imesema itawazawadia tuzo maalumu Rubani Suhad Soud Kassim na Ofisa Daraja la kwanza,...

READ MORE

‘Mfalme Zumaridi’, Wenzake Wafikishwa Mahakamani, Waomba Dhamana

Diana Bundala maarufu kama ‘Mfalme Zumaridi’ na wenzake 83 leo wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza kwa...

READ MORE

CAG ni Nani, Ana Nguvu Gani?…Soma Hapa Kupata Majibu

MJADALA unaotikisha hivi sasa ni kuhusu kutolewa kwa ripoti ya CAG inayoelezwa kuwa imeainisha namba ambavyo fedha za umma “zimepigwa.”...

READ MORE

TBL Yakumbusha Kampuni za Kivumbuzi Kuongeza Fursa za Maendeleo

    KAMPUNI ya vinywaji  ya TBL inayomilikiwa na kampuni ya AB Inbev imeendelea na jitihada  za kutafuta suluhu za ...

READ MORE

Mbowe Akutana na Raila Odinga Kenya

Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi. Kipekee, amewasihi...

READ MORE

DRC Mwanachama Mpya EAC

Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wameridhia nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama wa...

READ MORE

Rais Samia Apokea Ripoti Mpya, CAG Asema Deni la Taifa Limepanda Tsh. 7.76 Trilioni

Deni la Serikali Tanzania limeongezeka kutoka Sh56.76 trilioni mwaka uliopita hadi kufikia Sh64.52 trilioni kufikia Juni 30, 2021. Hayo yamesemwa...

READ MORE

RPC Aliyekitaka Kiti cha Sirro Aondolewa Kupisha Uchunguzi

Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro amefanya mabadiliko ya Ma RPC akiwamo Wankyo Nyigesa kutoka Kagera kwenda Makao Makuu....

READ MORE

Geita: Mfanyabiashara Adaiwa Kubaka na Kulawiti Watoto Watatu

JESHI la Polisi mkoani Geita linamtafuta mkazi wa Kijiji cha Bukori (jina limehifadhiwa), kwa tuhuma za kuwabaka na kuwalawiti watoto...

READ MORE

Breaking: Prof Ngowi Afariki Dunia

Makamu Mkuu wa Chuo Cha Mzumbe, Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Profesa Honest Ngowi na dereva wake, waliofariki...

READ MORE

Halotel Waja na “Shinda na Halopesa” Shuhudia

  Kampuni ya huduma za Mawasiliano ya mkononi nchini ya Halotel Tanzania kupitia mfumo wake wa kifedha wa Halo Pesa...

READ MORE

NMB Yazindua Huduma ya Wakala kwa Simu za Mkononi

      Benki ya NMB imezindua huduma maalumu ya kuweka na kutoa pesa kirahisi kupitia wakala watakao tumia simu...

READ MORE

Tanzania: Tunaendelea na Uboreshaji wa Sera na Mitaala ya Elimu

  Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameshiriki Mkutano wa Kimataifa Doha Forum kuhusu masuala ya Maendeleo uliofanyika...

READ MORE

Walimu Sengerema Sekondari Walia Kuishi Nyumba Chakavu

Walimu 25 kati 49 shule ya sekondari Sengerema iliyoko Wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali kuwasaidia kukarabati nyumba zako...

READ MORE

Jamhuri Waweka Pingamizi Kesi ya Kutaka Makonda Ashtakiwe

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es Salaam inatarajia kuanza kusikiliza mapingamizi yaliyowasilishwa na upande wajibu maombi katika kesi...

READ MORE